Neema Gospel Choir
777 subscribers
91 photos
68 videos
2 files
85 links
Born again Christians | Singers | Members of Africa Inland Church Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(AICT) | Chang'ombe - Dar es salaam
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Tuone kidogo wimbo wetu "MWEMA"

๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ


Shalom shalom watu wa MUNGU, Tar 11 Feb. 2022 - Ijumaa saa kumi kamili
Wimbo uitwao MWEMA utakuwa umetoka YouTube.

Share habari hii njema kwa marafiki wengi zaidi.

Jiandae kutazama wimbo huu, huku
uki-subscribe channel yetu ya Youtube ๐Ÿ™๐Ÿพ

https://bit.ly/neemagospelchoir?sub_confirmation=1

Special thanks!

Video director (Capturing & Editing) : @Amigo_Johnson
Audio Capturing, Mixing & Mastering : @Frester's Records

Mungu awabariki sana mnaposubiri zawadi hii ya Shukurani ๐Ÿ™๐Ÿพ

#Mwema #NGC30 #30thAnnivesary #newvideo
Je umetazama na kusikiliza wimbo wa MWEMA kutoka Neema Gospel Choir?
Anonymous Quiz
85%
Ndiyo
15%
Bado
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Shalom, Tunakukumbusha kuwa Wimbo Mpya wa ๐— ๐—ช๐—˜๐— ๐—” unaopatikana *YOUTUBE!*

Pia unapatikana kwenye Music Digital Platform zote Duniani, #applemusic #spotify #boomplay #tidalmusic #amazonmusic #audiomack #pandora #deezermusic na zingine nyingi.

LINK
https://youtu.be/bz1KMVZYjxk

#Mwema
#digitalplatform
#music
#musicvideo
#neemagospelchoir
Shalom!
Kwa upendo mwingi, ๐—ก๐—ฒ๐—ฒ๐—บ๐—ฎ ๐—š๐—ผ๐˜€๐—ฝ๐—ฒ๐—น ๐—–๐—ต๐—ผ๐—ถ๐—ฟ tunayo furaha kuwaletea wimbo mpya ๐—๐—œ๐—ก๐—” ๐—ฌ๐—˜๐—ฆ๐—จ kutoka kwenye live recording yetu ya ๐—ฆ๐—ถ๐—ป๐—ด ๐—ช๐—ถ๐˜๐—ต ๐—ง๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ธ๐˜€๐—ด๐—ถ๐˜ƒ๐—ถ๐—ป๐—ด.

Tumeshirikiana na mtumishi mwenzetu ๐—ฃ๐—ฎ๐˜‚๐—น ๐—–๐—น๐—ฒ๐—บ๐—ฒ๐—ป๐˜ anayefanyika baraka na kutumikia vyema karama aliyopewa na Mungu.

Hakika ๐—๐—œ๐—ก๐—” ๐—ฌ๐—˜๐—ฆ๐—จ ni ngome imara, kimbilio na msaada kwetu. Endelea kuliamini jina hili unaposubiria baraka hizi na Mungu akubariki.

๐™Ž๐™ช๐™—๐™จ๐™˜๐™ง๐™ž๐™—๐™š ๐™ฉ๐™ค ๐™ค๐™ช๐™ง ๐™”๐™ค๐™ช๐™ฉ๐™ช๐™—๐™š ๐˜พ๐™๐™–๐™ฃ๐™ฃ๐™š๐™ก ๐™‰๐™ค๐™ฌ!
#JinaYesu
#SingwithThanksgiving
#NewVideoRelease
#NeemaGospelChoir
Shalom!
Kwa upendo mwingi, @neema_gospel_choir tunayo furaha kuwaletea wimbo mpya ๐—๐—œ๐—ก๐—” ๐—ฌ๐—˜๐—ฆ๐—จ kutoka kwenye live recording yetu ya ๐—ฆ๐—ถ๐—ป๐—ด ๐—ช๐—ถ๐˜๐—ต ๐—ง๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ธ๐˜€๐—ด๐—ถ๐˜ƒ๐—ถ๐—ป๐—ด.

Tumeshirikiana na mtumishi mwenzetu @ministerpaulclement anayefanyika baraka na kutumikia vyema karama aliyopewa na Mungu.

Hakika ๐—๐—œ๐—ก๐—” ๐—ฌ๐—˜๐—ฆ๐—จ ni ngome imara, kimbilio na msaada kwetu. Endelea kuliamini jina hili unaposubiria baraka hizi na Mungu akubariki.

๐™Ž๐™ช๐™—๐™จ๐™˜๐™ง๐™ž๐™—๐™š ๐™ฉ๐™ค ๐™ค๐™ช๐™ง ๐™”๐™ค๐™ช๐™ฉ๐™ช๐™—๐™š ๐˜พ๐™๐™–๐™ฃ๐™ฃ๐™š๐™ก ๐™‰๐™ค๐™ฌ!
#JinaYesu
#SingwithThanksgiving
#NewVideoRelease
#neemagospelchoir
Shalom!
Wimbo wa ๐—๐—œ๐—ก๐—” ๐—ฌ๐—˜๐—ฆ๐—จ kutoka kwenye live recording yetu ya ๐—ฆ๐—ถ๐—ป๐—ด ๐—ช๐—ถ๐˜๐—ต ๐—ง๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ธ๐˜€๐—ด๐—ถ๐˜ƒ๐—ถ๐—ป๐—ด.
Tulioshirikiana na mtumishi mwenzetu @ministerpaulclement Sasa uko kwenye Channel yetu ya ๐™”๐™ค๐™ช๐™ฉ๐™ช๐™—๐™š!

Endelea kubarikiwa na ๐—๐—œ๐—ก๐—” ๐—ฌ๐—˜๐—ฆ๐—จ
๐™Ž๐™ช๐™—๐™จ๐™˜๐™ง๐™ž๐™—๐™š ๐™ฉ๐™ค ๐™ค๐™ช๐™ง ๐™”๐™ค๐™ช๐™ฉ๐™ช๐™—๐™š ๐˜พ๐™๐™–๐™ฃ๐™ฃ๐™š๐™ก ๐™‰๐™ค๐™ฌ!

Link:๐Ÿ‘‰๐Ÿพ https://youtu.be/buQIdkZgCJQ


#JinaYesu
#SingwithThanksgiving
#NewVideoRelease
#neemagospelchoir