Neema Gospel Choir
776 subscribers
91 photos
68 videos
2 files
85 links
Born again Christians | Singers | Members of Africa Inland Church Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(AICT) | Chang'ombe - Dar es salaam
Download Telegram
Tunawatakia heri ya sikukuu ya kuzaliwa Yesu!
We wish you a *Merry Christmas*

*Isaya 9:6 *
Maana mtoto amezaliwa kwa ajili yetu, tumepewa mtoto wa kiume. Naye atapewa mamlaka ya kutawala. Ataitwa: โ€œMshauri wa Ajabuโ€. โ€œMungu Mwenye Nguvuโ€, โ€œBaba wa Mileleโ€, โ€œMfalme wa Amaniโ€.โ€™โ€™

#Christmas
#2021
#neemagospelchoir
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Shalom, Tunakukumbusha kuwa Wimbo Mpya wa ๐— ๐—ช๐—˜๐— ๐—” unaopatikana *YOUTUBE!*

Pia unapatikana kwenye Music Digital Platform zote Duniani, #applemusic #spotify #boomplay #tidalmusic #amazonmusic #audiomack #pandora #deezermusic na zingine nyingi.

LINK
https://youtu.be/bz1KMVZYjxk

#Mwema
#digitalplatform
#music
#musicvideo
#neemagospelchoir
Shalom!
Kwa upendo mwingi, ๐—ก๐—ฒ๐—ฒ๐—บ๐—ฎ ๐—š๐—ผ๐˜€๐—ฝ๐—ฒ๐—น ๐—–๐—ต๐—ผ๐—ถ๐—ฟ tunayo furaha kuwaletea wimbo mpya ๐—๐—œ๐—ก๐—” ๐—ฌ๐—˜๐—ฆ๐—จ kutoka kwenye live recording yetu ya ๐—ฆ๐—ถ๐—ป๐—ด ๐—ช๐—ถ๐˜๐—ต ๐—ง๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ธ๐˜€๐—ด๐—ถ๐˜ƒ๐—ถ๐—ป๐—ด.

Tumeshirikiana na mtumishi mwenzetu ๐—ฃ๐—ฎ๐˜‚๐—น ๐—–๐—น๐—ฒ๐—บ๐—ฒ๐—ป๐˜ anayefanyika baraka na kutumikia vyema karama aliyopewa na Mungu.

Hakika ๐—๐—œ๐—ก๐—” ๐—ฌ๐—˜๐—ฆ๐—จ ni ngome imara, kimbilio na msaada kwetu. Endelea kuliamini jina hili unaposubiria baraka hizi na Mungu akubariki.

๐™Ž๐™ช๐™—๐™จ๐™˜๐™ง๐™ž๐™—๐™š ๐™ฉ๐™ค ๐™ค๐™ช๐™ง ๐™”๐™ค๐™ช๐™ฉ๐™ช๐™—๐™š ๐˜พ๐™๐™–๐™ฃ๐™ฃ๐™š๐™ก ๐™‰๐™ค๐™ฌ!
#JinaYesu
#SingwithThanksgiving
#NewVideoRelease
#NeemaGospelChoir
Shalom!
Kwa upendo mwingi, @neema_gospel_choir tunayo furaha kuwaletea wimbo mpya ๐—๐—œ๐—ก๐—” ๐—ฌ๐—˜๐—ฆ๐—จ kutoka kwenye live recording yetu ya ๐—ฆ๐—ถ๐—ป๐—ด ๐—ช๐—ถ๐˜๐—ต ๐—ง๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ธ๐˜€๐—ด๐—ถ๐˜ƒ๐—ถ๐—ป๐—ด.

Tumeshirikiana na mtumishi mwenzetu @ministerpaulclement anayefanyika baraka na kutumikia vyema karama aliyopewa na Mungu.

Hakika ๐—๐—œ๐—ก๐—” ๐—ฌ๐—˜๐—ฆ๐—จ ni ngome imara, kimbilio na msaada kwetu. Endelea kuliamini jina hili unaposubiria baraka hizi na Mungu akubariki.

๐™Ž๐™ช๐™—๐™จ๐™˜๐™ง๐™ž๐™—๐™š ๐™ฉ๐™ค ๐™ค๐™ช๐™ง ๐™”๐™ค๐™ช๐™ฉ๐™ช๐™—๐™š ๐˜พ๐™๐™–๐™ฃ๐™ฃ๐™š๐™ก ๐™‰๐™ค๐™ฌ!
#JinaYesu
#SingwithThanksgiving
#NewVideoRelease
#neemagospelchoir
Shalom!
Wimbo wa ๐—๐—œ๐—ก๐—” ๐—ฌ๐—˜๐—ฆ๐—จ kutoka kwenye live recording yetu ya ๐—ฆ๐—ถ๐—ป๐—ด ๐—ช๐—ถ๐˜๐—ต ๐—ง๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ธ๐˜€๐—ด๐—ถ๐˜ƒ๐—ถ๐—ป๐—ด.
Tulioshirikiana na mtumishi mwenzetu @ministerpaulclement Sasa uko kwenye Channel yetu ya ๐™”๐™ค๐™ช๐™ฉ๐™ช๐™—๐™š!

Endelea kubarikiwa na ๐—๐—œ๐—ก๐—” ๐—ฌ๐—˜๐—ฆ๐—จ
๐™Ž๐™ช๐™—๐™จ๐™˜๐™ง๐™ž๐™—๐™š ๐™ฉ๐™ค ๐™ค๐™ช๐™ง ๐™”๐™ค๐™ช๐™ฉ๐™ช๐™—๐™š ๐˜พ๐™๐™–๐™ฃ๐™ฃ๐™š๐™ก ๐™‰๐™ค๐™ฌ!

Link:๐Ÿ‘‰๐Ÿพ https://youtu.be/buQIdkZgCJQ


#JinaYesu
#SingwithThanksgiving
#NewVideoRelease
#neemagospelchoir
Wimbo wa ๐—๐—œ๐—ก๐—” ๐—ฌ๐—˜๐—ฆ๐—จ kutoka kwenye live recording yetu ya ๐—ฆ๐—ถ๐—ป๐—ด ๐—ช๐—ถ๐˜๐—ต ๐—ง๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ธ๐˜€๐—ด๐—ถ๐˜ƒ๐—ถ๐—ป๐—ด.
Tulioshirikiana na mtumishi mwenzetu @ministerpaulclement Sasa uko kwenye Channel yetu ya ๐™”๐™ค๐™ช๐™ฉ๐™ช๐™—๐™š!

Endelea kubarikiwa na ๐—๐—œ๐—ก๐—” ๐—ฌ๐—˜๐—ฆ๐—จ
๐™Ž๐™ช๐™—๐™จ๐™˜๐™ง๐™ž๐™—๐™š ๐™ฉ๐™ค ๐™ค๐™ช๐™ง ๐™”๐™ค๐™ช๐™ฉ๐™ช๐™—๐™š ๐˜พ๐™๐™–๐™ฃ๐™ฃ๐™š๐™ก ๐™‰๐™ค๐™ฌ!

Link:๐Ÿ‘‰๐Ÿพ https://youtu.be/buQIdkZgCJQ

#JinaYesu
#SingwithThanksgiving
#NewVideoRelease
#neemagospelchoir
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
13 April, Tutaachia wimbo wetu wa MSALABANI kwenye Channel yetu ya Youtube,

Wimbo unaoisifia Kazi ya thamani iliyofuta kila kitu kwetu, Kazi iliyofanyika *Msalabani* ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ’ฅMakosa yetu yamefutwa
๐Ÿ’ฅAibu yetu imefutwa
๐Ÿ’ฅMaumivu yetu yamefutwa
๐Ÿ’ฅKukataliwa kwetu kumefutwa
๐Ÿ’ฅUtumwa wa dhambi ulimalizwa

Subscribe Channel yetu ya YouTube Sasa!

#Msalabani
#SingwithThanksgiving
#NewVideoRelease
#neemagospelchoir
๐Ÿ’ฅNOW AVAILABLE ON YOUTUBE๐Ÿ’ฅ

๐๐ˆ๐Ž๐๐†๐Ž๐™๐–๐„ ๐๐€๐–๐„ - BY @neema_gospel_choir

Ni wimbo wa Maombi, ya kuomba kuongozwa na YESU katika Maisha yetu.
Karibu ushiriki nasi Baraka katika wimbo huu!

#neemagospelchoir
#niongozwenawe
#newrelease
#tanzania
#gospelmusic
https://youtu.be/w6MHJ33B4jM

Kwa utofauti flani, tunakuletea new Live Version ya wimbo _*Msalabani*_

Ni ya kipekee sana, ni tofauti..!!

Twende YouTube..!!
๐Ÿ“ฝ๏ธ๐Ÿ“ฝ๏ธ๐Ÿ“ฝ๏ธ
๐Ÿ—“๏ธ๐Ÿ—“๏ธ๐Ÿ—“๏ธ
14 February 2024
Siku ya pekee sana kupokea Baraka za Upendo wa Kristo kupitia wimbo huu

Yaani ni ile Heri iliyoovutwa muda mrefu na subira
Kaa tayari
_Save the Date_


Subscribe Sasa: https://www.youtube.com/@NeemaGospelChoir

#neemagospelchoir #neemagospel #gospelmusic #youtube #music #gospel
NIKUREJESHEE - OFFICIAL LIVE VIDEO RELEASE!
Kaa tayari kupokea Baraka hizi!

Jumatano 14 Feb 2024
Wimbo huu utakuwa Released katika Digital Platforms zote.

Subscribe sasa!!
https://youtube.com/@NeemaGospelChoir?si=TEqRoW4r52ZgC2rk

Ubarikiwe sana!

#nikurejeshee #neema #neemagospelchoir #gospel #gospelmusic #music #video #youtube
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
NIKUREJESHEE - OFFICIAL LIVE VIDEO RELEASE!
Kaa tayari kupokea Baraka hizi!

Jumatano 14 Feb 2024
Saa Saba Kamili Mchana (13:00)
Wimbo huu utakuwa Released katika Digital Platforms zote.

Subscribe sasa!!
https://youtube.com/@NeemaGospelChoir?si=TEqRoW4r52ZgC2rk

Ubarikiwe sana!

#nikurejeshee #neema #neemagospelchoir #gospel #gospelmusic #music #video #youtube
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Akaniambia, 'Ewe Mwana wa Adamu, je! Mifupa hii yaweza kuwa hai?' Nikasema, 'Bwana Mwenyezi, wewe pekee ndiwe ujuaye.' Kisha akanambia, 'Toa unabii kwa mifupa hii, ukaiambie, 'Mifupa miovu, sikieni neno la Bwana! Bwana Mwenyezi asema hivi kuhusu mifupa hii: Nitaijaza roho, nanyi mtakuwa hai.'" Ezekieli 37:1-10

TUNATABIRI - Neema Gospel Choir x John Kavishe๐Ÿ”ฅ

Video ya wimbo huu itapatikana Youtube na Digital Platforms zote๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ

06 MARCH - 2024 Saa 7 Mchana ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

#Tunatabiri #NeemaGospelChoir
#VictoriousJourney
https://www.youtube.com/watch?v=qzarxPfLFT8

Ushuhuda wa kweli kutoka kwa Mwandishi wa wimbo TUNATABIRI, Minister John Kavishe.
Maono / Unabii aliooneshwa na Mungu kutabiri juu ya maisha yake.

Ikiwa YESU anaweza kuleta uzima tena kwa mifupa ile iliyokufa, vivyo hivyo anaweza kufufua chochote kilichokufa, kipate uhai tena kwa yeyote ambaye anamwamini.

"Akaniambia, Mwanadamu, je! Mifupa hii yaweza kuishi? Nami nikajibu, Ee Bwana MUNGU, wajua wewe. Akaniambia tena, Toa unabii juu ya mifupa hii, uiambie, Enyi mifupa mikavu, lisikieni neno la BWANA. Bwana MUNGU aiambia mifupa hii maneno haya; Tazama, nitatia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi. Nami nitatia mishipa juu yenu, nami nitaleta nyama iwe juu yenu, na kuwafunika ngozi, na kutia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi; nanyi mtajua ya kuwa mimi ndimi BWANA.'" Ezekieli 37:1-10

#Tunatabiri #NeemaGospelChoir
Tumeomba KUREJESHEWA, Mungu amerejesha na anaendelea kurejesha,
Kisha TUKATABIRI vyote vilivyorejeshwa vipate Uhai Hakika Mungu amevipa Uhai. Na sasa BWANA hatuondoki tunaomba UTUBARIKI LEO! ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Get Ready, Coming this Friday

#TUBARIKILEO #neemagospelchoir
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Tumeomba KUREJESHEWA, Mungu amerejesha na anaendelea kurejesha,
Kisha TUKATABIRI vyote vilivyorejeshwa vipate Uhai Hakika Mungu amevipa Uhai. Na sasa BWANA hatuondoki tunaomba UTUBARIKI LEO! ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Get Ready, Coming this Friday

Subscribe now!!
https://www.youtube.com/channel/UCMcoM_5waiFEbTgUsKApPdQ?sub_confirmation=1

#TUBARIKILEO #neemagospelchoir
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
LEO Saa 7:00 Mchana! ๐Ÿ™Œ๐Ÿพโœจ
MBINGUNI ITAKUWAJE? - New Video Release

Kuwa wa kwanza kusikiliza na kubarikiwa na ujumbe wenye nguvu.

Subscribe kwenye channel yetu ya YouTube sasa na bonyeza kengele! ๐ŸŽง๐Ÿ””

๐Ÿ‘‰https://youtube.com/@neemagospelchoir?si=IuJjkSCLcXnF-mI2)

Tumsifu Mungu pamoja! ๐Ÿ™๐Ÿพ #NeemaGospelChoir #MbinguniItakuwaje? #SubscribeNow
Kwa Neema ya Mungu *NEEMA GOSPEL CHOIR* tumechaguliwa kuwania *TUZO ZA MUZIKI WA INJILI TANZANIA - TGMA.*

๐Ÿ—ณ๏ธ*TUPIGIE KURA YAKO SASA*! ๐Ÿ‘Œ

*DIRECT NOMINATIONS*
โœ…1. *Neema Gospel Choir* - Kwaya/Bendi Bora ya Muziki wa Injili wa Mwaka
Please Vote for Nikurejeshee - Neema Gospel Choir in https://tanzaniagospelmusicawards.com/#/Category?code=TGA0905

โœ…2. โ *Nikurejeshee* - Wimbo Bora wa Muziki wa Injili wa Mwaka
Please Vote for Nikurejeshee - Neema Gospel Choir in https://tanzaniagospelmusicawards.com/#/Category?code=TGA0301

โœ…3. โ *Nikurejeshee* - Wimbo Bora wa Sifa wa Muziki wa Injili wa Mwaka.
Please Vote for Nikurejeshee - Neema Gospel Choir in https://tanzaniagospelmusicawards.com/#/Category?code=TGA0202

โœ…4. โ *Nikurejeshee* - Video Bora ya Muziki wa Injili wa Mwaka
Please Vote for Nikurejeshee - Neema Gospel Choir in https://tanzaniagospelmusicawards.com/#/Category?code=TGA1205

โœ…5. โ *Chukwu Oma* (ft. @rehema_simfukwe ) - Ushirikiano Bora wa Muziki wa Injili wa Mwaka
Please Vote for Chukwu Oma Neema Gospel Choir na Rehema Simfukwe - Neema Gospel Choir na Rehema Simfukwe in https://tanzaniagospelmusicawards.com/#/Category?code=TGA2005


*AFFILIATED NOMINATION*
โœ…1. @herman_mchome_ (NIKUREJESHEE) - Mtunzi Bora wa Muziki wa Injili wa Mwaka
Please Vote for Nikurejeshee - Herman Mchome in https://tanzaniagospelmusicawards.com/#/Category?code=TGA1403

โœ…2. โ  @amigojohnson (NIKUREJESHEE) - Mtayarishaji Bora wa Video ya Muziki wa Injili wa Mwaka.
Please Vote for Nikurejeshee - Amigo Johnson in https://tanzaniagospelmusicawards.com/#/Category?code=TGA1304

โœ…3. โ  @am_keifer (NGC MD) - Muandaaji Bora ya Muziki wa Injili wa Mwaka
Please Vote for Kepha Mndeme in https://tanzaniagospelmusicawards.com/#/Category?code=TGA1504

โœ…4. @mix3dbyfreddie (NGC Technical Director) - Muandaaji Bora ya Muziki wa Injili wa Mwaka.
Please Vote for Fredrick Masanja in https://tanzaniagospelmusicawards.com/#/Category?code=TGA1501

โœ…5. โ โ โ  @am_keifer (NGC MD) - Mtayarishaji Bora wa Sauti ya Muziki wa Injili wa Mwaka
Please Vote for Kepha Mndeme in https://tanzaniagospelmusicawards.com/#/Category?code=TGA1603

โœ…6. @mix3dbyfreddie โ  (NGC Technical Director) - Mtayarishaji Bora wa Sauti ya Muziki wa Injili wa Mwaka
Please Vote for Fredrick Masanja in https://tanzaniagospelmusicawards.com/#/Category?code=TGA1501

โœ…7. @herman_mchome_ (NGC Member) - Kiongozi Bora wa Muziki wa Kuabudu wa Mwaka
Please Vote for Herman Mchome in https://tanzaniagospelmusicawards.com/#/Category?code=TGA1902

*MUNGU AKUBARIKI SANA KWA KUTUPIGIA KURA.*๐Ÿ™๐Ÿฝ
(Haya si Mashindano, Bali ni kutoa heshima na kutambua kazi ya injili katika vipawa hivi)

#tanzaniagospelmusicawards
#tanzaniagospelmusicawards2025
#neemagospelchoir