Neema Gospel Choir
778 subscribers
91 photos
68 videos
2 files
85 links
Born again Christians | Singers | Members of Africa Inland Church Tanzania 🇹🇿(AICT) | Chang'ombe - Dar es salaam
Download Telegram
https://youtube.com/channel/UCMcoM_5waiFEbTgUsKApPdQ

Bonyeza SUBSCRIBE button, Kwenye hii LINK - Baadaye mambo makubwa yanakuja 🔥🔥🔥🔥🔥
FINALLY MWEMA VIDEO ITAKUWA YOUTUBE SOON 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🔥🔥🔥🔥


Shalom shalom watu wa MUNGU,
Imempendeza MUNGU kwa wakati wake Tar 11 Feb. 2022 tunaenda kuachia Live Official Video ya moja kati ya nyimbo nyingi tulizozifanya kwenye ibada ya shukurani *Sing with Thanksgiving*.
Wimbo huu unaenda kwa jina la *MWEMA* ukiwa umejaa shukurani kwa Mungu kwa *Matendo* yake makuu anayotufanyia.


Jiandae kutazama wimbo huu, huku
uki-subscribe channel yetu ya Youtube 🙏🏾

Special thanks

Video director (Capturing & Editing) : @Amigo_Johnson
Audio Capturing, Mixing & Mastering : @Frester's Records

Mungu awabariki sana mnaposubiri zawadi hii ya Shukurani 🙏🏾

#Mwema #NGC30 #30thAnnivesary #newvideo