Neema Gospel Choir
779 subscribers
91 photos
68 videos
2 files
85 links
Born again Christians | Singers | Members of Africa Inland Church Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(AICT) | Chang'ombe - Dar es salaam
Download Telegram
Channel photo updated
Tunawatakia heri ya sikukuu ya kuzaliwa Yesu!
We wish you a *Merry Christmas*

*Isaya 9:6 *
Maana mtoto amezaliwa kwa ajili yetu, tumepewa mtoto wa kiume. Naye atapewa mamlaka ya kutawala. Ataitwa: โ€œMshauri wa Ajabuโ€. โ€œMungu Mwenye Nguvuโ€, โ€œBaba wa Mileleโ€, โ€œMfalme wa Amaniโ€.โ€™โ€™

#Christmas
#2021
#neemagospelchoir
Wimbo huu unaitwa DOUBLE DOUBLE,
Sasa unapatikana kwenye digital platforms zote! Nenda huko kautazame ๐Ÿ™๐Ÿฝ
Endelea kutufatilia kwenye chaneli yetu ya ๐—ฌ๐—ข๐—จ๐—ง๐—จ๐—•๐—˜ kwa jina la ๐—ข๐—ณ๐—ณ๐—ถ๐—ฐ๐—ถ๐—ฎ๐—น ๐—ก๐—ฒ๐—ฒ๐—บ๐—ฎ ๐—š๐—ผ๐˜€๐—ฝ๐—ฒ๐—น ๐—–๐—ต๐—ผ๐—ถ๐—ฟ ili kuangalia nyimbo, matukio mbalimbali kuhusu neema gospel pamoja na nyimbo zetu mpya kwa mwaka huu 2022, Subscribe, Like & Comment โœ