Neema Gospel Choir
778 subscribers
91 photos
68 videos
2 files
85 links
Born again Christians | Singers | Members of Africa Inland Church Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(AICT) | Chang'ombe - Dar es salaam
Download Telegram
Unaweza kuwezesha Ibada hii kwa kuchangia Sadaka yako kupitia namba ya LIPA KWA M-PESA 5922779 jina SADAKA NEEMA GOSPEL CHOIR

MUNGU AKUBARIKI

ENDELEA KUWA KARIBU NA MITANDAO YETU YA KIJAMII KWA AJILI YA TAARIFA ZAIDI..!!

Sponsors are invited...!!

#WorshipinSpirit #Singwiththanksgiving #livemusic #weservethelivingGod #liverecording #choirs #WeAreGospelMusic #gospelmusic #gospelchoir #choir #tanzania #ulipotupo #jesus #livemusic #music ##รกfrica #worship #worshipmusic #praiseandworship
๐Ÿ†‚ ๐Ÿ…ท ๐Ÿ†„ ๐Ÿ…บ ๐Ÿ†„ ๐Ÿ† ๐Ÿ…ฐ ๐Ÿ…ฝ ๐Ÿ…ธ ๐Ÿ™๐Ÿฝ

A very humble person and charming our friend & Brother @ministerpaulclement Maneno hayatoshi kumuelezea namna tunavyokubali huduma ya kaka yetu Paul, Asante Sana kwa kukubali kutumika nasi katika ibada ya Shukurani tar 03 December, umetushika mkono! Mungu huyu atunzae ahadi zake akubariki wewe na familia yako.

#Sijawahiona ni wimbo mpya kabisa kutoka kwa kaka Paul na leo Mapema utakuwa YouTube, Karibu tuweze kubarikiwa๐Ÿ”ฅ

Photo credit @light_palmer & @silverink_

#singwiththanksgiving
#worshipinspirit2021
#neemagospelchoir
#wearegospelmusic
๐Ÿ†‚ ๐Ÿ…ท ๐Ÿ†„ ๐Ÿ…บ ๐Ÿ†„ ๐Ÿ† ๐Ÿ…ฐ ๐Ÿ…ฝ ๐Ÿ…ธ ๐Ÿ™๐Ÿฝ

Kipekee tunamshukuru Mungu aliyetupa Dada, Mama na Mchungaji kwetu,Pastor @pastornsiandumi . We don't take this for granted, We feel honoured kwelikweli. Wewe ni mtu mwema, na mnyenyekevu sana, Haukujiiza mara 2x2 pale tulipokufikishia ujumbe wa kushiriki nasi katika katika ibada tuliyomuandalia Mungu, Jibu lako lilikuwa Mazoezi ni lini na wapi? ๐Ÿ˜‚

Mungu na akubariki na azidi kukutunza kwaajili ya utukufu wake mwenyewe. Wewe ni baraka kwetu

Photo credit @light_palmer & @silverink_

#singwiththanksgiving
#worshipinspirit2021
#neemagospelchoir
#wearegospelmusic
Shalom!
Kwa upendo mwingi, ๐—ก๐—ฒ๐—ฒ๐—บ๐—ฎ ๐—š๐—ผ๐˜€๐—ฝ๐—ฒ๐—น ๐—–๐—ต๐—ผ๐—ถ๐—ฟ tunayo furaha kuwaletea wimbo mpya ๐—๐—œ๐—ก๐—” ๐—ฌ๐—˜๐—ฆ๐—จ kutoka kwenye live recording yetu ya ๐—ฆ๐—ถ๐—ป๐—ด ๐—ช๐—ถ๐˜๐—ต ๐—ง๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ธ๐˜€๐—ด๐—ถ๐˜ƒ๐—ถ๐—ป๐—ด.

Tumeshirikiana na mtumishi mwenzetu ๐—ฃ๐—ฎ๐˜‚๐—น ๐—–๐—น๐—ฒ๐—บ๐—ฒ๐—ป๐˜ anayefanyika baraka na kutumikia vyema karama aliyopewa na Mungu.

Hakika ๐—๐—œ๐—ก๐—” ๐—ฌ๐—˜๐—ฆ๐—จ ni ngome imara, kimbilio na msaada kwetu. Endelea kuliamini jina hili unaposubiria baraka hizi na Mungu akubariki.

๐™Ž๐™ช๐™—๐™จ๐™˜๐™ง๐™ž๐™—๐™š ๐™ฉ๐™ค ๐™ค๐™ช๐™ง ๐™”๐™ค๐™ช๐™ฉ๐™ช๐™—๐™š ๐˜พ๐™๐™–๐™ฃ๐™ฃ๐™š๐™ก ๐™‰๐™ค๐™ฌ!
#JinaYesu
#SingwithThanksgiving
#NewVideoRelease
#NeemaGospelChoir
Shalom!
Kwa upendo mwingi, @neema_gospel_choir tunayo furaha kuwaletea wimbo mpya ๐—๐—œ๐—ก๐—” ๐—ฌ๐—˜๐—ฆ๐—จ kutoka kwenye live recording yetu ya ๐—ฆ๐—ถ๐—ป๐—ด ๐—ช๐—ถ๐˜๐—ต ๐—ง๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ธ๐˜€๐—ด๐—ถ๐˜ƒ๐—ถ๐—ป๐—ด.

Tumeshirikiana na mtumishi mwenzetu @ministerpaulclement anayefanyika baraka na kutumikia vyema karama aliyopewa na Mungu.

Hakika ๐—๐—œ๐—ก๐—” ๐—ฌ๐—˜๐—ฆ๐—จ ni ngome imara, kimbilio na msaada kwetu. Endelea kuliamini jina hili unaposubiria baraka hizi na Mungu akubariki.

๐™Ž๐™ช๐™—๐™จ๐™˜๐™ง๐™ž๐™—๐™š ๐™ฉ๐™ค ๐™ค๐™ช๐™ง ๐™”๐™ค๐™ช๐™ฉ๐™ช๐™—๐™š ๐˜พ๐™๐™–๐™ฃ๐™ฃ๐™š๐™ก ๐™‰๐™ค๐™ฌ!
#JinaYesu
#SingwithThanksgiving
#NewVideoRelease
#neemagospelchoir
Shalom!
Wimbo wa ๐—๐—œ๐—ก๐—” ๐—ฌ๐—˜๐—ฆ๐—จ kutoka kwenye live recording yetu ya ๐—ฆ๐—ถ๐—ป๐—ด ๐—ช๐—ถ๐˜๐—ต ๐—ง๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ธ๐˜€๐—ด๐—ถ๐˜ƒ๐—ถ๐—ป๐—ด.
Tulioshirikiana na mtumishi mwenzetu @ministerpaulclement Sasa uko kwenye Channel yetu ya ๐™”๐™ค๐™ช๐™ฉ๐™ช๐™—๐™š!

Endelea kubarikiwa na ๐—๐—œ๐—ก๐—” ๐—ฌ๐—˜๐—ฆ๐—จ
๐™Ž๐™ช๐™—๐™จ๐™˜๐™ง๐™ž๐™—๐™š ๐™ฉ๐™ค ๐™ค๐™ช๐™ง ๐™”๐™ค๐™ช๐™ฉ๐™ช๐™—๐™š ๐˜พ๐™๐™–๐™ฃ๐™ฃ๐™š๐™ก ๐™‰๐™ค๐™ฌ!

Link:๐Ÿ‘‰๐Ÿพ https://youtu.be/buQIdkZgCJQ

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
13 April, Tutaachia wimbo wetu wa MSALABANI kwenye Channel yetu ya Youtube,

Wimbo unaoisifia Kazi ya thamani iliyofuta kila kitu kwetu, Kazi iliyofanyika *Msalabani* ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ’ฅMakosa yetu yamefutwa
๐Ÿ’ฅAibu yetu imefutwa
๐Ÿ’ฅMaumivu yetu yamefutwa
๐Ÿ’ฅKukataliwa kwetu kumefutwa
๐Ÿ’ฅUtumwa wa dhambi ulimalizwa

Subscribe Channel yetu ya YouTube Sasa!

#Msalabani
#SingwithThanksgiving
#NewVideoRelease
#neemagospelchoir