Neema Gospel Choir
778 subscribers
91 photos
68 videos
2 files
85 links
Born again Christians | Singers | Members of Africa Inland Church Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(AICT) | Chang'ombe - Dar es salaam
Download Telegram
Wimbo wa ๐—๐—œ๐—ก๐—” ๐—ฌ๐—˜๐—ฆ๐—จ kutoka kwenye live recording yetu ya ๐—ฆ๐—ถ๐—ป๐—ด ๐—ช๐—ถ๐˜๐—ต ๐—ง๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ธ๐˜€๐—ด๐—ถ๐˜ƒ๐—ถ๐—ป๐—ด.
Tulioshirikiana na mtumishi mwenzetu @ministerpaulclement Sasa uko kwenye Channel yetu ya ๐™”๐™ค๐™ช๐™ฉ๐™ช๐™—๐™š!

Endelea kubarikiwa na ๐—๐—œ๐—ก๐—” ๐—ฌ๐—˜๐—ฆ๐—จ
๐™Ž๐™ช๐™—๐™จ๐™˜๐™ง๐™ž๐™—๐™š ๐™ฉ๐™ค ๐™ค๐™ช๐™ง ๐™”๐™ค๐™ช๐™ฉ๐™ช๐™—๐™š ๐˜พ๐™๐™–๐™ฃ๐™ฃ๐™š๐™ก ๐™‰๐™ค๐™ฌ!

Link:๐Ÿ‘‰๐Ÿพ https://youtu.be/buQIdkZgCJQ

#JinaYesu
#SingwithThanksgiving
#NewVideoRelease
#neemagospelchoir
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
13 April, Tutaachia wimbo wetu wa MSALABANI kwenye Channel yetu ya Youtube,

Wimbo unaoisifia Kazi ya thamani iliyofuta kila kitu kwetu, Kazi iliyofanyika *Msalabani* ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ’ฅMakosa yetu yamefutwa
๐Ÿ’ฅAibu yetu imefutwa
๐Ÿ’ฅMaumivu yetu yamefutwa
๐Ÿ’ฅKukataliwa kwetu kumefutwa
๐Ÿ’ฅUtumwa wa dhambi ulimalizwa

Subscribe Channel yetu ya YouTube Sasa!

#Msalabani
#SingwithThanksgiving
#NewVideoRelease
#neemagospelchoir
Ni leo sas 10: 00 jioni. Subscribe ili upate notification!
๐Ÿ’ฅANOTHER ONE๐Ÿ’ฅ

Shalom Shalom!

Mungu amekuwa *MWEMA* sana Kwenye maisha yetu, na tunaushaidi kwa sababu *JINA LA YESU* limekuwa msaada, na hii inathibitishwa na kazi alioifanya Bwana Yesu *MSALABANI*.

Tunao wimbo mwingine wa Ibada unaokwenda kwa jina *NIONGOZWE NAWE*๐Ÿ™Œ๐Ÿป.

Usikae mbali na Youtube Channel ya @Neema Gospel Choir na kwenye social media handles zote za @Neema Gospel Choir

๐Ÿ’ฅMUNGU AKUBARIKI๐Ÿ’ฅ
GROUP LA WHATSAPP LA NEEMA GOSPEL CHOIR

Unaweza kujoin Group la Marafiki wa Neema Gospel choir lenye watu wengi zaidi, kupitia link hii!

https://chat.whatsapp.com/ElJjCuuLbPdC9Pd1TnZEkl

๐Ÿ…๐Ÿ…˜๐Ÿ…ž๐Ÿ…๐Ÿ…–๐Ÿ…ž๐Ÿ…ฉ๐Ÿ…ฆ๐Ÿ…” ๐Ÿ…๐Ÿ…๐Ÿ…ฆ๐Ÿ…”

Mbele yetu YESU yupo
Nyuma yetu YESU yupo

Tunaongozwa na kulindwa na Yesu.

Haya yawe ni maombi yako, hatua zako ziongozwe na YESU.

KARIBU KESHO SAA KUMI KAMILI KUTAZAMA WIMBO HUU.

Subscribe and Share;

Neema Gospel Choir