Neema Gospel Choir
778 subscribers
91 photos
68 videos
2 files
85 links
Born again Christians | Singers | Members of Africa Inland Church Tanzania 🇹🇿(AICT) | Chang'ombe - Dar es salaam
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
13 April, Tutaachia wimbo wetu wa MSALABANI kwenye Channel yetu ya Youtube,

Wimbo unaoisifia Kazi ya thamani iliyofuta kila kitu kwetu, Kazi iliyofanyika *Msalabani* 🔥🔥

💥Makosa yetu yamefutwa
💥Aibu yetu imefutwa
💥Maumivu yetu yamefutwa
💥Kukataliwa kwetu kumefutwa
💥Utumwa wa dhambi ulimalizwa

Subscribe Channel yetu ya YouTube Sasa!

#Msalabani
#SingwithThanksgiving
#NewVideoRelease
#neemagospelchoir
https://youtu.be/w6MHJ33B4jM

Kwa utofauti flani, tunakuletea new Live Version ya wimbo _*Msalabani*_

Ni ya kipekee sana, ni tofauti..!!

Twende YouTube..!!