SOMA VITABU TANZANIAπŸ“š
1.15K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.61K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
Rafiki Inawezekana Unajiita Mwanamziki, Mwalimu, Kiongozi au Chochote Kile,
Na Unapenda Kabisa Kuwa Hivo,

Lakini Unajidharau na Kujiona Hauwezi Kuwa Yule Unayejiita. Nasio Kweli Kabisa Huwezi. Bali Nikwasababu Tu Umejiwekea Mipaka Ya Kwamba Hauwezi.

Ukweli ni Kwamba Unaweza Sana TU Kuwa Yule Unayejiita. Lakini Ukweli Hofu Ndio Adui Yako Namba 1 Anayekuzuia Kuwa Yule Unayejiita.

Na Ipo Njia Rahisi Sana Ya Kulivuka Hilo
Njia Hiyo ni Kuweka Mwili Wako Pale Unapopaswa Kuwa Yaani Fanya Kile Unachojiita.

Yaani Kama ni Mwanamziki Imba, au Kama Ni Kiongozi Ongoza Yaani Fanya Weka Juhudi Kwenye Hicho. Na ukifanya Hivyo Kwa Msimamo Basi Utaweza Kupata Kile Unachotaka.

Ok, Kama Unataka Kufikia Uwezo Wako Wa Kipekee, Basi Ungana na Wenzako HapaπŸ‘‡ *https://wa.link/n7xf3a*
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
FEDHA ZA BIASHARA SIYO ZA KWAKO

Rafiki,

Wafanyabiashara wengi wanashindwa kujitofautisha wao na biashara zao.
Kwa kuwa wanajua biashara ni zao, hivyo wanayo mamlaka ya kutumia kila fedha kwenye biashara vile watakavyo kwa sababu ni yake.

Lakini hilo siyo kweli, biashara ni kitu ambacho kinajitegemea. Fedha unaziona kwenye biashara ni mali ya biashara.

Hupaswi tu kutumia fedha za biashara kwa matumizi yako binafsi. Faida inayopatikana baada ya kutoa gharama zote za uendeshaji wa biashara, inayobakia ndiyo yako.

Ili kuhakikisha mzunguko wa biashara upo vizuri, tenganisha matumizi ya fedha za biashara na matumizi ya fedha binafsi.

Habari njema ni kwamba, kupitia CHUO CHA MAUZO utakwenda kujifunza namba 15 muhimu kwenye biashara yako. Hii itasaidia kujua afya ya biashara yako.

Kupata huduma ya CHUO CHA MAUZO na kitabu chake wasiliana na namba 0717101505.

Muhimu, ukiwa na kitabu cha CHUO CHA MAUZO, unapata ofa ya mwezi huu kujiunga na CHUO CHA MAUZO bure kabisa, tuwasiliane sasa 0717101505 upate ofa
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Siyo Kila Msaada Ni Wa 'Kushobokea.'

Rafiki,
Wakati unaendelea na harakati zako za kupambana kufanikiwa, kuna misaada na fursa huwa zinajitokeza.

Kuna misaada na fursa ukiziona unaona kama zitakufaa sana.
Lakini ni mpaka utakapozichukua ndiyo unakuja kugundua zinakuwa kikwazo kwako zaidi.

Mara nyingi kile unachofanya sasa, ndiyo kilicho sahihi kwako. Unachohitaji ni kukifanya kwa ubora zaidi ya unavyofanya sasa.

Kukimbilia kufanya vitu vingine inakukwamisha kuliko inavyokusaidia.

Pata kitabu cha UNA NGUVU YA KUTENDA MIUJIZA uijue na kuitumia NGUVU kubwa iliyo ndani yako ili usinase kwenye misaada inayokukwamisha.

Wasiliana sasa na 0678 977 007 kupata nakala yako ya kitabu.
KITABU; BUY BACK YOUR TIME - JIKWAMUE, RUDISHA HURU NA JENGA HIMAYA YAKO.

Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,

Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.

Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,

Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita

Kipindi cha kesho Jumatatu tutakuwa na mada ya;

KITABU; BUY BACK YOUR TIME - JIKWAMUE, RUDISHA HURU NA JENGA HIMAYA YAKO.

Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
3518; Asante, siyo muhimu.
https://amkamtanzania.com/2024/08/18/3518-asante-siyo-muhimu/

3518; Asante, siyo muhimu. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Mafanikio makubwa kwenye maisha yako huwa yanaanza na ndoto […]
3519; Thamani ya pesa.
https://amkamtanzania.com/2024/08/19/3519-thamani-ya-pesa/

3519; Thamani ya pesa. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Unapotoa fedha yako kulipia kitu chochote kile, huwa unazingatia […]
Sherekea Ushindi Mdogo Ili Kuwa Muuzaji Bora Na Kufanya Mauzo Makubwa.
https://amkamtanzania.com/2024/08/19/sherekea-ushindi-mdogo-ili-kuwa-muuzaji-bora-na-kufanya-mauzo-makubwa/

Habari njema wauzaji bora kabisa kuwahi kutokea, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya CHUO CHA MAUZO, kwenye eneo la […]
*Kama Unataka Kufanikiwa Sana Kwenye Hicho Unachofanya Basi Zingatia Mambo Haya (6) Muhimu*.

1. Fanya Hicho Unachojiita.
2. Chagua Eneo Zuri La Kufanyia Hicho Unachofanya.
3. Jitoe Hasa Kwenye Hicho Ambacho Unafanya.
4. Weka Umakini Wako Wote Kwenye Hicho Unachofanya.
5. Kuwa na Matamanio Makubwa Sana.
6. Usighairishe Kufanya Yale Yote Unayopaswa Kufanya.

Sawa, Kama Bado Hujapata Zile *Sheria 100 Za Maisha Ya Mafanikio*.

Basi Leo ni Kama Bahati Kwako. Kwasababu Naenda Kutoa Nafasi 5 Tena. Kupata Nafasi Yako,

Bonyeza Hapa πŸ‘‡ *https://wa.link/n2or4a*

Ni Hapa πŸ‘‰*https://wa.link/n2or4a*
Kutamani, Kutaka na Kusema…
https://amkamtanzania.com/2024/08/19/kutamani-kutaka-na-kusema/

Rafiki Yangu, Watu Wengi Sana Wanataka Kufanikiwa. Wengi Wanatamani Kufanikiwa. Na Wengine Kila Siku Wanasema Wanataka Kufanikiwa. Lakini Cha Ajabu […]
KARIBU UJIFUNZE KUTOKANA NA UZOEFU WA WENGINE.

Rafiki,
Moja ya manufaa ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 ni kujifunza kutokana na uzoefu wa wengine.

Washiriki wa semina huwa wanaeleza yale wanayofanya na hatua ambazo wamepiga kutokana na mafunzo ambayo wamekuwa wanayapata.

Kupitia uzoefu wa watu wengi, utajionea mwenyewe jinsi inavyowezekana na kwako pia kupiga hatua kubwa.

Karibu kwenye SEMINA YA KASIMA CHA MAARIFA 2024 ambayo itafanyika Dar Oktoba 27.

Semina hii inakwenda kuleta mapinduzi makubwa kwenye maisha yako ili uweze kufanikiwa sana.

Wasiliana sasa na namba 0713 604 101 ili ujiwekee nafasi ya kushiriki semina.

Nafasi zina ukomo, chukua hatua sasa ili usikose.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
PENDA MATATIZO UFANIKIWE KWENYE BIASHARA.

Rafiki,
Mafanikio kwenye biashara yanatokana na matatatizo yaliyopo.

Yanaweza kuwa matatizo yako mwenyewe, au matatizo ambayo watu wanayo.

Ukipenda utulivu kwenye biashara, huwezi kufanikiwa.

Kila wakati tafuta namna ya kuibua matatizo mapya ili uyatatue na kukuza biashara yako.

Karibu upate kitabu cha MTAALA WA UTAJIRI uweze kujifunza misingi sahihi ya kujenga biashara itakayokupa mafanikio makubwa kupitia matatizo.

Wasiliana sasa na 0678 977 007 kupata nakala ya kitabu.
EPUKA KUPOTEZA UTAJIRI KWA KUFANYA UWEKEZAJI SAHIHI

Rafiki,
Mtu anaweza kupoteza biashara zake au kufukuzwa kazi, lakini asipoteze utajiri wake wote kama alikuwa amewekeza vizuri. Ila kama hajawekeza sehemu sahihi atapoteza vyanzo vyote na kuondoka kabisa kwenye mstari wa utajiri.

Hivyo, ni muhimu sana kwa kila mtu anayetaka kujenga utarajiri mkubwa kwenye maisha yake na kudumu nao kufanya uwekezaji sahihi.

Hii itaambatana na kujifunza sehemu hizo sahihi na namna nzuri unavyoweza kufanya uwekezaji huo.

Watu wengi wamekuwa wanajiuliza ni sehemu ipi sahihi kufanya uwekezaji huo na namna ipi unaweza kufanya kwa msimamo. Jibu ni mojaπŸ‘‡

MUHIMU; * Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Na kupata nafasi ya kuungwa kwenye program ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0713604101 kupata kitabu na huduma.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
WASAIDIE WATEJA KUFANYA MAAMUZI

Rafiki,
Katika mazungumzo yako ya mauzo, utakutana na wateja wengi ambao licha ya kuwapa maelezo ya kutosha, kujibu maswali na vipingamizi vyao bado wanakuwa hawafanyi maamuzi.

Eneo la kufanya maamuzi, ni eneo ambalo limekuwa kikwazo kwa wengi kushindwa kuuza kwa wingi.

Habari njema ni kwamba, kwenye program ya CHUO CHA MAUZO unakwenda kujifunza jinsi ya kuvuka vipingamizi vya wateja na kuwasaidia kufanya maamuzi ili waweze kununua kile unachouza.

Je, unapenda kutumia mapingamizi ya mteja kumshawishi kununua kile unachouza?

Wasiliana na 0717101505 kupata kitabu cha CHUO CHA MAUZO na programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO.

Habari njema ni kwamba, kwa mwezi huu ukiwa na kitabu cha CHUO CHA MAUZO utapata nafasi ya kujiunga na CHUO CHA MAUZO bure kabisa.
Wasiliana na 0717101505 kupata ofa hii nzuri kwa ajili yako.
Wahi kabla ofa haijaisha.
Karibu sana.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
UNASTAHILI UTAJIRI MKUBWA UKIFANYA HIVI...

Rafiki,
Unaweza, unastahili na ni haki yako kujenga utajiri mkubwa kwenye maisha yako.

Hilo linawezekana kupitia kujenga biashara inayojiendesha yenyewe bila kukutegemea moja kwa moja.

Unahitaji vitu viwili kujenga biashara inayokupa utajiri; MFUMO na WATU.

Mfumo unaeleza kila kinachofanyika na namna ya kufanyika.
Watu wanatekeleza kilichoelezwa kwenye mfumo.

Kitabu cha BILIONEA MAFUNZONI, pamoja na programu yake ya mafunzo vinakupa wewe mwongozo sahihi kwenye hilo.

Wasiliana sasa na 0678 977 007 ujipatie kitabu na nafasi kwenye programu ya BILIONEA MAFUNZONI.
Jinsi Ya Kupata Mafanikio Makubwa Kwenye Kile Unachofanya…
https://amkamtanzania.com/2024/08/19/jinsi-ya-kupata-mafanikio-makubwa-kwenye-kile-unachofanya/

Rafiki Yangu, Mafanikio Yako Yamejificha Kwenye Hicho Unachokifanya. Na Kama Unataka Kufanikiwa Sana Kwenye Hicho Unachofanya Basi Zingatia Mambo Haya […]
MAFANIKIO; NGUZO SABA ZA MAISHA YA UHURU NA MAFANIKIO MAKUBWA.

Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,

Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.

Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,

Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita

Kipindi cha kesho Jumanne tutakuwa na mada ya;

MAFANIKIO; NGUZO SABA ZA MAISHA YA UHURU NA MAFANIKIO MAKUBWA.

Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Tumia Matukio Ya Kujenga Mtandao Kufikia Wateja Wengi Zaidi.
https://amkamtanzania.com/2024/08/20/tumia-matukio-ya-kujenga-mtandao-kufikia-wateja-wengi-zaidi/

Habari njema wauzaji bora kuwahi kutokea. Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya CHUO CHA MAUZO, yenye lengo […]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
TUMIA MAHUSIANO KUUZA ZAIDI.

Rafiki,
Sisi binadamu ni viumbe wa mahusiano.
Huwa tunajali zaidi kuhusu watu wa karibu yetu kama tunavyojijali sisi wenyewe.

Pamoja na kwamba binadamu huwa tunakuwa na ubinafsi, inapokuja kwenye kupata vitu tunavyotaka, lazima tuwe na mahusiano mazuri na wengine.

Kwenye biashara na mauzo, mahusiano ni kitu muhimu sana.
Japo wengi huona biashara na mauzo ni miamala tu, mahusiano yana mchango mkubwa.

Watu wanapenda kununua kwa wale wanaowajua na kuwaamini.
Hivyo kwa kujenga mahusiano ya kujulikana na kuaminika, utaweza kuuza zaidi.

Kwenye program ya CHUO CHA MAUZO, utajifunza namna ya kujenga ushawishi na kuimarisha mahusiano na wateja wako, ili kukuza mauzo yako mara mbili na zaidi.

Jipatie sasa nakala yako ya CHUO CHA MAUZO leo na upate ofa ya kujiunga na CHUO CHA MAUZO mwezi huu bure kabisa.

Wasiliana na 0717101505 kupata kitabu cha CHUO CHA MAUZO na kujiunga na program ya CHUO CHA MAUZO.
Kama tayari una kitabu njoo upate ofa.