SOMA VITABU TANZANIAπŸ“š
1.15K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.61K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
TENGENEZA HISTORIA MPYA YA MAISHA YAKO.

Rafiki,
Uko hapo ulipo sasa, kwa sababu yale uliyojua na kufanya huko nyuma.

Kama unataka kwenda zaidi ya hapo ulipo sasa, ni lazima ujifunze na kufanya vitu vipya.

Tarehe 27 Oktoba 2024 kuna fursa ya wewe kubadili kabisa historia ya maisha yako.

Kutakuwa na SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 ambayo inakwenda kukupa wewe mpango kamili wa USIMAMIZI WA FEDHA BINAFSI.

Utaondoka na hatua za kwenda kuchukua ili;
1. Kuongeza kipato.
2. Kudhibiti matumizi.
3. Kuondoka kwenye madeni.
4. Kuweka akiba.
5. Kufanya uwekezaji.
Semina inafanyika Dar kwa ada ya Tsh 65,000/=.
Jiwekee nafasi ya ushiriki sasa kwa kuwasiliana na 0713604101

Usikubali kubaki hapo ulipo sasa.
Shiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 na ubadili kabisa historia ya maisha yako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
TATIZO LAKO NI KUFIKIRI KWA UDOGO.

Rafiki,
Uko hapo ulipo sasa, kwa sababu ya fikra ambazo umekuwa nazo.

Fikra zako zimekuwa ni ndogo sana na hivyo kupelekea wewe kupata matokeo madogo.

Njia pekee ya kupata matokeo makubwa kuliko unavyopata sasa ni kufikiri kwa ukubwa.

Yale yote unayofikiri sasa, zidisha mara kumi (10X).
Hicho ndiyo kiwango sahihi kwako kuanzia kufikiri ili utoke hapo ulipo sasa.

Karibu upate kitabu cha MTAALA WA UTAJIRI ambacho kitabadili kabisa mtazamo wako juu ya fedha na utajiri.

Wasiliana sasa na 0678 977 007 kupata kitabu.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
JINSI YA KUENDESHA BIASHARA YAKO KISASA ZAIDI

Muuzaji bora kuwahi kutokea,

Wanasema ujinga ni kurudia kufanya kitu kile kile kwa mtindo ule ule halafu ukitegemea kupata matokeo ya tofauti.

Huwezi kupata matokeo mazuri kwenye kile unachofanya kama unaendelea kufanya kwa mtindo ule ule huku ukitegemea kupata matokeo mazuri.

Kwenye maisha unapata kile unachotoa. Biashara yako haiwezi kukua zaidi kama utendaji wako wa mambo ni ule ule.

Unahitaji kufanya mageuzi ili uendeshe biashara yako KISASA ZAIDI.

Je,wapi unaweza kujifunza namna ya kuendesha biashara au huduma yako KISASA ZAIDI?

Jibu; ni CHUO CHA MAUZO pekee, ambapo utapata mafunzo wewe kama mmiliki wa biashara pamoja na timu yako yote inayokusaidia kuendesha biashara au huduma yako.

Ili kujiunga na CHUO CHA MAUZO ninapaswa kuwa na nini ?
Jibu; kitabu cha CHUO CHA MAUZO tu.

Je, napataje hicho kitabu na hiyo huduma ya CHUO CHA MAUZO?
Jibu; Wasiliana na 0717101505 utapata kitabu na huduma ya CHUO CHA MAUZO.
UTAJIRI; USIKOPE FEDHA KWA AJILI YA KUFANYA UWEKEZAJI.

Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,

Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.

Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,

Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita

Kipindi cha kesho Ijumaa tutakuwa na mada ya;

UTAJIRI; USIKOPE FEDHA KWA AJILI YA KUFANYA UWEKEZAJI.

Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
JENGA MTANDAO MPANA WA KIMAFANIKIO...

Rafiki,
Mafanikio kwenye maisha hayategemei sana unajua nini, bali unamjua nani.

Ukubwa wa mtandao wako ndiyo unaoamua ukubwa wa mafanikio yako.

Moja ya faida za kushiriki matukio mbalimbali ni kukuza mtandao wako.

Kwenye tukio letu kuu la SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA, pamoja na mazuri utakayojifunza, pia utakutana na watu sahihi.

Watu wanaoshiriki semina hii ni makini na waliodhamiria kweli kufanikiwa.
Karibu na wewe ushiriki ili ukutane na watu hao na mjenga mtandao bora wa kimafanikio.

SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 itafanyika jumapili ya tarehe 27 Oktoba 2024 jijini Dar.

Utapata nafasi ya kushiriki semina hii kwa kulipa ada ya Tsh 65,000/=.

Weka nafasi yako ya kushiriki sasa kwa kuwasiliana na 0713 604 101.

Karibu sana.
24.8.16; Ruhusa
https://amkamtanzania.com/2024/08/16/24-8-16-ruhusa/

Kama unasubiri watu wakupe ruhusa ya kufanikiwa, unajiandaa kutokufanikiwa. Hao unaotaka wakupe ruhusa na wao wanasubiri wapewe ruhusa na watu […]
3516; Kusubiri ruhusa.
https://amkamtanzania.com/2024/08/16/3516-kusubiri-ruhusa/

3516; Kusubiri ruhusa. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Tulipokuwa watoto wachanga, tulikuwa tunajiamulia mambo yetu wenyewe na kwa […]
Tabia na Mazoea…
https://amkamtanzania.com/2024/08/16/tabia-na-mazoea/

Tabia na Mazoea… Hii ni Kwa Wale TU Ambao Wanataka Kujenga Utajiri Mkubwa Kwenye Maisha Yao. TABIA na Mazoea Vimekuwa […]
Tahadhari; Usikope Fedha Kwa Ajili Ya Kwenda Kufanya Uwekezaji.
https://amkamtanzania.com/2024/08/16/tahadhari-usikope-fedha-kwa-ajili-ya-kwenda-kufanya-uwekezaji/

Habari njema Matajiri Wawekezaji, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya […]
TABIA na Mazoea Vimekuwa Vikwazo Kwa Wengi Kujenga Utajiri Mkubwa Kwenye Maisha Yao.

Kuvuka Vikwazo Hivo Viwili (2), Unatakiwa Uweke Mfumo Ambao Utakuwajibisha Kuweka Akiba na Kuwekeza Moja Moja,

Kwa Kufungua Akaunti 3 Za Benki,
Akaunti Ya Kwanza inakuwa Ni Kwaajili Ya Akiba,
Akaunti Ya Pili Inakuwa Ni Kwaajili Ya Uwekezaji.
Akaunti Ya Tatu Inakuwa Ni Ya Malengo Maalum,

Sasa Baada Ya Hapo Nenda Kawaambie Benki Kila Tarehe Fulani ya Mwezi Husika Wakukate kiasi Fulani Kwenye Akaunti Yako kuu ya Kipato,

Iendee Kwenye Akaunti ya Akiba, Nyingine Uwekezaji na Nyingine Malengo Maalum.
Na Ukifanikiwa Kufanya Hivi Basi Utakuwa Umeweza Kuvuka Hivo Vikwazo Viwili Hapo Juu Vinavyowazuia Wengi Kujenga Utajiri Mkubwa Kwenye Maisha Yao.

Anyway Kama Unataka Kujifunza Zaidi Kuhusu Uwekezaji. Karibu Uungane na Wenzako Ni Hapa *https://wa.link/vpl0rj* *https://wa.link/vpl0rj*
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
PENDA MATATIZO UFANIKIWE...

Rafiki,
Mafanikio makubwa huwa ni matokeo ya mtu kusukumwa na matatizo.

Mtu anapokuwa na raha tu muda wote, hasukumwi kufanya vitu vya tofauti.

Ni matatizo ndiyo huwa yanamlazimisha mtu abadili vile anavyokuwa.

Kila wakati tafuta matatizo ambayo ni makubwa zaidi ili uweze kufanya makubwa zaidi ya hapo ulipo sasa.

Kitabu cha MTAALA WA UTAJIRI kinakupa mtazamo wa tofauti kwenye maisha yako, ambao unakuwezesha kugeuza matatizo kubwa fursa.

Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na 0678 977 007.

Penda matatizo na utafanikiwa.
VUKA MTEGO WA KUBWETEKA KIKAZI BAADA YA KUPATA KIPATO KIKUBWA KWA MPIGO

Rafiki,
Kama unafanya shughuli yoyote ambayo kila kitu kinakutegemea, jua tayari kuna ukomo umejiwekea kwenye kipato. Kwa sababu una ukomo wa muda, nguvu na mengine mengi.

Ili ujenge kipato kikubwa zaidi unahitaji kufanya uwekezaji, hata kama kipato chako ni kidogo. Hiki kitakuokoa pale unapopata changamoto au dharula.

Baadhi yetu tumekuwa tunashindwa kutegua mtego huu, tunapopata kipato kikubwa kuzidi wengine tunabweteka kikazi. Tunaona tumemaliza kila kitu kumbe sio kweli bali tunapaswa kufanya uwekezaji ili kukuza kipato chetu.

*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0713604101 kupata kupata kitabu na huduma.
PIGA KELELEEEEE...

Rafiki,
Kama na wewe unapokea jumbe nyingi za KIZIMKAZI kama mimi, usikereke, badala yake pata somo hapo.

Somo lenyewe ni kupiga kelele za kutosha kwa kutumia jumbe fupi za simu (SMS).

Jumbe hizo huwa zinafunguliwa zaidi kuliko jumbe za njia nyingine kama email, wasap au mitandao ya kijamii.

Habari njema ni kama unataka kuweza kuwatumia wateja wako wengi jumbe fupi kama hizi (Bulk SMS) tunayo hiyo huduma.

Kwa gharama rahisi kabisa unaweza kufikia maelfu ya wateja kwa urahisi kabisa.

Wasiliana sasa na 0717 396 253 kupata huduma hii ya BULK SMS.
Jinsi Unavyojizuia Kujenga Utajiri Mkubwa Kwenye Maisha Yako…
https://amkamtanzania.com/2024/08/16/jinsi-unavyojizuia-kujenga-utajiri-mkubwa-kwenye-maisha-yako/

Rafiki Yangu Hivi Utajisikiaje Kama Ulikuwa Una Fursa Kujenga Utajiri Mkubwa Lakini Mwisho Unakufa Maskini? Hakuna Kitu Ambacho Kinaniuma Kwenye […]
24.8.17; Furaha.
https://amkamtanzania.com/2024/08/17/24-8-17-furaha/

Fedha imekuwa inashindwa kukununulia furaha kwa sababu hujui duka lenyewe liko wapi. Ukijua lilipo duka halisi la furaha, kuinunua haiwi […]
3517; Siyo fedha pekee.
https://amkamtanzania.com/2024/08/17/3517-siyo-fedha-pekee/

3517; Siyo fedha pekee. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Watu wamekuwa na malalamiko kwamba fedha haiwezi kununua furaha. […]
Kanuni Kuu Yenye Ushawishi Mkubwa Kwa Wengine Itakayokusaidia Kujenga Na Kuimarisha Mahusiano Yako
https://amkamtanzania.com/2024/08/17/kanuni-kuu-yenye-ushawishi-mkubwa-kwa-wengine-itakayokusaudia-kujenga-na-kuimarisha-mahusiano-yako/

Habari njema muuzaji bora kuwahi kutokea, Leo ikiwa ni jumamosi ya ushawishi,  tunaongozwa na kauli mbiu yetu inayosema HUPATI UNACHOSTAHILI, […]
Fedha imekuwa inashindwa kukununulia furaha kwa sababu hujui duka lenyewe liko wapi.

Ukijua lilipo duka halisi la furaha, kuinunua haiwi kitu kigumu kwako.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Unajiita Nani? Unataka Kuwa Nani? Unataka Nini?…
https://amkamtanzania.com/2024/08/17/unajiita-nani-unataka-kuwa-nani-unajiita-nani/

Rafiki Yangu, Leo Inawezekana Unajiita Mwanamziki, Mwalimu, Kiongozi au Chochote Kile, Na Unapenda Kabisa Kuwa Hivo, Lakini Unajidharau na Kujiona […]