SOMA VITABU TANZANIAπŸ“š
894 subscribers
51 photos
8 videos
649 files
558 links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
Mpangilio Sahihi Wa Mifuko Ya Uwekezaji Ya UTT AMIS Ili Kufikia Uhuru Wa Kifedha.
https://amkamtanzania.com/2024/04/22/mpangilio-sahihi-wa-mifuko-ya-uwekezaji-ya-utt-amis-ili-kufikia-uhuru-wa-kifedha/

Habari Matajiri Wawekezaji, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo ya uwekezaji kwenye programu yetu ya NGUVU YA BUKU. Kupitia programu hii […]
Oprah Winfrey; Kutoka Ufukara (Kuvaa Magunia) Mpaka Kufikia Ubilionea.
https://amkamtanzania.com/2024/04/22/oprah-winfrey-kutoka-ufukara-kuvaa-magunia-mpaka-kufikia-ubilionea/

Rafiki yangu mpendwa, Tunapowaangalia watu walioweza kujenga mafanikio makubwa kwenye maisha yao, halafu tukajiangalia sisi wenyewe, tunaona kuna namna watu […]
#HadithiZaKocha; Kisa Cha Kuku Anayetaga Mayai Ya Dhahabu.
https://amkamtanzania.com/2024/04/22/hadithizakocha-kisa-cha-kuku-anayetaga-mayai-ya-dhahabu/

Rafiki yangu mpendwa, Karibu kwenye #HadithiZaKocha ambapo tunakwenda kupata hadithi ya Kuku anayetaga mayai ya dhahabu. Soma hadithi hii kwa […]
3401; Mwendo wa kasi.
https://amkamtanzania.com/2024/04/23/3401-mwendo-wa-kasi/

3401; Mwendo wa kasi. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Jiwe likiwa ardhini, linabaki kuwa jiwe tu, ambalo halina madhara […]
Kufikia Wateja Wengi Kwa Kutumia Mabango.
https://amkamtanzania.com/2024/04/23/kufikia-wateja-wengi-kwa-kutumia-mabango/

Habari njema wauzaji bora kuwahi kutokea. Moja ya jukumu kubwa la biashara ni kuwafikia wateja wengi kila wakati. Na hilo […]
Jinsi Ya Kujenga Utajiri Mkubwa Kwa Kuishi Maisha Ya Kawaida.
https://amkamtanzania.com/2024/04/23/jinsi-ya-kujenga-utajiri-mkubwa-kwa-kuishi-maisha-ya-kawaida/

Rafiki yangu mpendwa, Kile ambacho watu wanakiona kwa nje kama utajiri, siyo utajiri halisi. Na ndiyo maana masikini wengi wanaowaiga […]
Huu Ndiyo UKIMWI Unaoua Biashara Yako.
https://amkamtanzania.com/2024/04/23/huu-ndiyo-ukimwi-unaoua-biashara-yako/

Rafiki yangu mpendwa, Najua unajua kuhusu ugonjwa wa UKIMWI, ugonjwa ambao ni hatari na hauna dawa ya kutibu. Mtu akishapata […]
Mbinu Mbili Za Uhakika Za Ukamilishaji Wa Mauzo 33-34
https://amkamtanzania.com/2024/04/24/mbinu-mbili-za-uhakika-za-ukamilishaji-wa-mauzo-33-34/

Habari njema muuzaji bora kabisa kuwahi kutokea, Karibu sana kwenye mwendelezo wa makala zetu za ukamilishaji ambazo ni mwendelezo wa […]
3402; Ujasiri na Mafanikio.
https://amkamtanzania.com/2024/04/24/3402-ujasiri-na-mafanikio/

3402; Ujasiri na Mafanikio. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Kuna njia kuu tatu za kuingiza kipato kama ifuatavyo; Moja […]
3403; Muda mfupi na mrefu.
https://amkamtanzania.com/2024/04/25/3403-muda-mfupi-na-mrefu/

3403; Muda mfupi na mrefu. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mlendwa,Mafanikio makubwa yanajengwa kwa mtu kufanya kazi kubwa na […]
Mteja Ni Mfalme, Mwambie Kitu Hiki Ashawishike Kununua Kwako
https://amkamtanzania.com/2024/04/25/mteja-ni-mfalme-mwambie-kitu-hiki-ashawishike-kununua/

Siku moja niliingia katika duka la vifaa vya michezo, nilipofika katika duka lile nikakuta muuzaji anaongea na simu. Nikaangalia angalia […]
Wekeza Muda, Nguvu Na Fedha Kujenga Utajiri Mkubwa.
https://amkamtanzania.com/2024/04/25/wekeza-muda-nguvu-na-fedha-kujenga-utajiri-mkubwa/

Rafiki yangu mpendwa, Moja ya vitu ambavyo vimewapoteza watu wengi ni kuchanganya kipato na utajiri. Wengi wamekuwa wanadhani wakishakuwa na […]
Swali Muhimu Kujiuliza Ili Kujua Kama Unapaswa Kubadilika Au Kuendelea Na Msimamo.
https://amkamtanzania.com/2024/04/25/swali-muhimu-kujiuliza-ili-kujua-kama-unapaswa-kubadilika-au-kuendelea-na-msimamo/

Rafiki yangu mpendwa, Kufanikiwa kwenye maisha huwa kunahitaji kiasi kwenye kila jambo. Kwa bahati mbaya sana, kipimo cha kiasi ni […]
3404; Chanjo ya mafanikio.
https://amkamtanzania.com/2024/04/26/3404-chanjo-ya-mafanikio/

3404; Chanjo ya mafanikio. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Chanjo huwa inafanya kazi ya kuchochea na kuimarisha kinga ya […]
Mtandao Unaoenda Kukupa Matokeo Makubwa Wakati Wa Ufuatiliaji
https://amkamtanzania.com/2024/04/26/mtandao-unaoenda-kukupa-matokeo-makubwa-wakati-wa-ufuatiliaji/

Umewahi kusikia msemo usemo β€œukubwa wa utajiri wako unategemea ukubwa wa mtandao wako”. Usemi huu ni wa kweli kabisa ukiufanyia […]
Ujasiri Unaohitaji Kuwa Nao Ili Kujenga Utajiri Kupitia Uwekezaji.
https://amkamtanzania.com/2024/04/26/ujasiri-unaohitaji-kuwa-nao-ili-kujenga-utajiri-kupitia-uwekezaji/

Habari njema Matajiri Wawekezaji, Tunajua jinsi ambavyo wanaotaka utajiri ni wengi, lakini wanaoupata utajiri huo ni wachache sana. Kinachowatofautisha wachache […]