LALA NA WATU HAWA KAMA UNATAKA KUBADILISHA MAISHA YAKO
Rafiki,
Ukilala na mbwa, utaamka na kupe.
Na ukiamhata na watu sahihi, lazima utafanikiwa kweli kwenye maisha yako. Ukiambatana na watu wenye njaa ya mafanikio makubwa, hakuna namna lazima watakuambukiza njaa hiyo ya kupambana.
Ili ubadilishe maisha yako, unapaswa kujihusisha na watu makini na wenye maadili.
Habari njema ni kwamba, October 27 mwaka huu, tunakwenda kuwa na semina bora kuwahi kutokea.
SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 ni mahali sahihi ya kupata watu makini wakujihusisha nao.
Kama kuna zawadi unapaswa kujipa mwaka huu au kumpa mtu mwingine, basi ni kushiriki semina ya KISIMA CHA MAARIFA 27/10/2024.
Wasiliana na namba 0678977007 kupata nafasi ya kushiriki semina hii.
Nafasi ni chache, wahi kabla hazijaisha.

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
WEKA AKIBA KABLA YA KUFANYA MATUMIZI.
Rafiki,
Watu wamekuwa wanashindwa kuweka akiba kwa kusingizia kipato hakitoshi.
Ni kweli kipato hakitoshi na hakijawahi kutosha, lakini hiyo haipaswi kuwa sababu ya kutokuweka akiba.
Kama kweli unataka kuweka akiba, basi kwenye kila kipato unapaswa kuweka akiba kwanza kabla hujaanza kutumia.
Ukianza tu matumizi kwa kutegemea inayobaki ndiyo uweke akiba, hakuna kitakachobaki na hivyo hutaweka akiba.
Kama umekuwa unashindwa kabisa kuweka akiba, karibu kwenye NGUVU YA BUKU ambapo utaweza kuweka akiba kwa uhakika.
Hii ni programu itakayokuwezesha kujenga utajiri kwa kuanzia hapo hapo ulipo sasa.
Wasiliana sasa na 0678 977 007 kupata nafasi kwenye NGUVU YA BUKU.

Usisubiri fursa mpaka iwe inaonekana kama fursa, hapo unakuwa umeshachelewa.
Wewe fungua fursa kwenye matatizo ambayo wengine wanayo na hawajapata wa kuyatatua.
Tatua matatizo ambayo watu wanataka sana kuyatatua na utafungua fursa kubwa na nzuri kwako.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita

24.8.13; Fursa.
https://amkamtanzania.com/2024/08/13/24-8-13-fursa/
Usisubiri fursa mpaka iwe inaonekana kama fursa, hapo unakuwa umeshachelewa. Wewe fungua fursa kwenye matatizo ambayo wengine wanayo na hawajapata [β¦]

3513; Wanachokimbia Wengine.
https://amkamtanzania.com/2024/08/13/3513-wanachokimbia-wengine/
3513; Wanachokimbia Wengine. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Wapo watu ambao wamekuwa wanalalamika kwamba fursa za kufanikiwa zimeisha. [β¦]
https://amkamtanzania.com/2024/08/13/3513-wanachokimbia-wengine/
3513; Wanachokimbia Wengine. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Wapo watu ambao wamekuwa wanalalamika kwamba fursa za kufanikiwa zimeisha. [β¦]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
KUIGOMEA TEKNOLOJIA NI KUJITAFUTIA SHIDA.
Rafiki,
Hapa tulipofika binadamu ni kwa sababu ya maendeleo ya teknolojia.
Lakini wakati teknolojia mpya ndiyo zinakuja, huwa hazikubaliwi.
Watu waliharibu cherehani ya kwanza.
Wakakataa kupanda treni ya kwanza.
Na wakaharibu mashine za mwanzo.
Lakini leo hii teknolojia hizo zipo na waliozipinga hawapo.
Kama unataka kufanikiwa, usiogope wala kupinga teknolojia.
Badala yake ikumbatie na kuitumia kufanya makubwa zaidi.
Karibu upate kitabu cha JINSI YA KUNUFAIKA NA MABADILIKO YANAYOTOKEA ili uweze kutumia vizuri teknolojia.
Wasiliana sasa na 0678 977 007 kujipatia kitabu.

Fanya yote ambayo tayari unajua unapaswa kuyafanya ili kufanikiwa.
Hapo ndipo mafanikio yako makubwa yalipo.
Usiendelee kusubiri mpaka ujue zaidi, kufanya ndiko kunakoleta mapinduzi makubwa kwenye maisha yako.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Hapo ndipo mafanikio yako makubwa yalipo.
Usiendelee kusubiri mpaka ujue zaidi, kufanya ndiko kunakoleta mapinduzi makubwa kwenye maisha yako.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
TANGULIZA AKIBA KABLA YA MATUMIZI UJENGE UTAJIRI MKUBWA
Rafiki,
Inapofika tarehe ya kupokea mshahara au kupokea malipo baada ya kazi. Kabla ya kuitumia pesa yako weka AKIBA.
Unaweza kuona kwamba, kuweka AKIBA sio jambo la dharula au bahati mbaya. Ni mkakati unaopaswa kuweka kuanzia kwenye akili yako.
Akili ikizoea kuweka AKIBA kabla ya matumizi utajenga utajiri mkubwa na kupunguza matumizi yasiyo ya lazima.
Usisubiri mshahara upande au uwe na kipato kikubwa, fedha yoyote unayopata inaweza kuwa chanzo cha AKIBA. Hujachelewa, wakati ndio huu karibuπ
MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Wasiliana na 0713604101 kupata kitabu na huduma.

#ONK-224; Njia Ya Uhakika Ya Kufanya Biashara Yenye Mafanikio Makubwa.
https://podcasters.spotify.com/pod/show/dr-makirita-amani/episodes/ONK-224-Njia-Ya-Uhakika-Ya-Kufanya-Biashara-Yenye-Mafanikio-Makubwa-e2n5l2b

Rafiki Yangu, Hivi Ulishawahi Kufikiria Kwamba,
Maisha Yako Yatakuwaje Leo Endapo Utakosa Milioni 1 Ya Kutatua Dharura Uliyoipata?....
Kama Utajisikia Vibaya Kama Wengine Ni Sawa...
Kwasababu Hili ni Tatizo Ambalo Linawasumbua Watu Wengi Sana.
Rafiki Dharura ni Moja ya Mtego Mgumu Sana,
...na ni Moja ya Mtego Mbaya Sana,
Unaowaweka Watu Kwenye Umaskini, na Hivyo Kuwakosesha Uhuru Wa Kuyaishi na Kuyafurahia Maisha Yao...
Kwasababu Dharura Inakula Kipato Chako, Dharura Inazidisha Matumizi Yako, Dharura Inakuingiza Kwenye Madeni Mabaya, Dharura Inakuzuia Kuweka Akiba, Dharura Inaathiri Uwekezaji Wako.
Rafiki Hivi MAISHA Yako Yatakuwaje Endapo Leo Utapata Milioni 1 Ya Kutatua Dharura Uliyonayo?
Kama Utajisikia Vizuri, Karibu Ujifunze Hapa (*https://wa.link/1k3nrv*)

Jinsi Ya Kupata PESA Za Dharura Za Kimaisha Chini Ya Dakika 5 TU!β¦.
https://amkamtanzania.com/2024/08/14/jinsi-ya-kupata-pesa-za-dharura-za-kimaisha-chini-ya-dakika-5-tu/
Rafiki Yangu, Hivi Ulishawahi Kufikiria Kwamba,Maisha Yako Yatakuwaje Leo Endapo Utakosa Milioni 1 Ya Kutatua Dharura Uliyoipata?β¦. Kama Utajisikia Vibaya [β¦]
https://amkamtanzania.com/2024/08/14/jinsi-ya-kupata-pesa-za-dharura-za-kimaisha-chini-ya-dakika-5-tu/
Rafiki Yangu, Hivi Ulishawahi Kufikiria Kwamba,Maisha Yako Yatakuwaje Leo Endapo Utakosa Milioni 1 Ya Kutatua Dharura Uliyoipata?β¦. Kama Utajisikia Vibaya [β¦]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ONGEZA MAUZO MARA MBILI KWA GHARAMA KIDOGO
Rafiki,
Faida ndiyo tunda la biashara.
Kila mtu anapenda kupata faida zaidi kupitia kile anachofanya. Kwa sababu kupitia faida ndiyo tunapata fedha ya kuendesha maisha yetu.
Utajisikiaje kama biashara yako, kazi au huduma unayotoa kwenda kupata faida zaidi?
Ili upate faida zaidi, unapaswa kuongeza mauzo zaidi. Ni kupitia kuongeza mauzo ZAIDI, ndipo unakwenda kupata FAIDA zaidi.
Habari njema ni kwamba, kupitia CHUO CHA MAUZO utakwenda kujifunza namna ya kuongeza mauzo mara mbili zaidi kwenye biashara au huduma unayotoa.
Wasiliana na 0717101505 kupata huduma ya CHUO CHA MAUZO pamoja na kitabu chake cha CHUO CHA MAUZO.
Habari njema zaidi ni kwamba, mwezi huu unapata ofa ya kujiunga na CHUO CHA MAUZO bure kabisa.
Unachotakiwa kufanya ni wewe tu kuwa na kitabu cha CHUO CHA MAUZO. Kama unacho, niambie sasa kwenda 0717101505 nikuunganishe sasa hivi.
Asante na karibu sana, wahi kabla ofa haijaisha piga simu 071710150505 kupata ofa hii kwa ajili yako.

Safari Yako Ya Kufikia Uhuru Wa Kifedhaβ¦
https://amkamtanzania.com/2024/08/14/safari-yako-ya-kufikia-uhuru-wa-kifedha/
Safari Yako Ya Kufikia Uhuru Wa Kifedha, Inalainishwa na Vitu Hivi Viwili (2), Akiba na Uwekezaji, Lakini Vyote Hivi Viwili [β¦]

Mbinu Mbili Za Uhakika Za Ukamilishaji Wa Mauzo 65-66
https://amkamtanzania.com/2024/08/14/mbinu-mbili-za-uhakika-za-ukamilishaji-wa-mauzo-65-66/
Habari njema muuzaji bora kabisa kuwahi kutokea, Karibu sana kwenye mwendelezo wa makala zetu za ukamilishaji ambazo ni mwendelezo wa [β¦]

24.8.15; Jitihada.
https://amkamtanzania.com/2024/08/15/24-8-15-jitihada/
Kumekuwa na kampeni nyingi za fanya kazi kwa akili (work smart) na usifanye kazi kwa juhudi (donβt work hard). Lakini [β¦]

3515; Akili na Jitihada.
https://amkamtanzania.com/2024/08/15/3515-akili-na-jitihada/
3515; Akili na Jitihada. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Watu huwa wanasema ili kufanikiwa unapaswa kufanya kazi kwa [β¦]

#ONK-225; Afya; Namba Muhimu Za Kufuatilia Kwenye Kujenga Na Kulinda Afya Yako.
https://podcasters.spotify.com/pod/show/dr-makirita-amani/episodes/ONK-225-Afya-Namba-Muhimu-Za-Kufuatilia-Kwenye-Kujenga-Na-Kulinda-Afya-Yako-e2n70no

*Moja Ya Swali Ambalo Watu Watu Wengi Huwa Wanauliza ni*,
*Je Ninawezaje Kuishi Chini Ya Kipato Changu*? Akati Kipato Changu Ni Kidogo?
Jibu ni Rahisi Sana, *Weka Akiba* Kisha *Wekeza*, Nina Maanisha Nini?
Nina Maanisha Kwamba Kwenye Kila Kipato Unachokipata Kabla Ya Kuanza Kukitumia Tenga Makumi MAWILI Ya Asilimia %,
Kivipi? Ipo Hivi Kwa *Mfano Umepata Leo Tshs 100000 Igawe Kwa 100 Unapata ni = na BUKU Tshs 1000* (Hii BUKU ni Kwaajili Ya Uwekezaji)
*Kisha Gawa Tena Tshs 100000 Kwa 100 Utapata = BUKU* (*TSHS 1000* ) -Hii ni Kwaajili Ya Akiba.
Na Ukifanya Hivi Mara Zote Utaweza Kuishi Chini Ya Kipato Chako.
Ohooo!!! Kitu Kimoja Zaidi, Kama Unataka Kujifunza Zaidi Kuhusu Uwekezaji. Karibu Uungane na Wenzako Ni Hapa *https://wa.link/vpl0rj* *https://wa.link/vpl0rj*

JIONDOE KWENYE GEREZA LA MADENI KUJENGA UTAJIRI MKUBWA
Rafiki,
Madeni mabaya ni gereza la utajiri, pia ni kikwazo kwa wengi kutoka kwenye umasikini na kujenga utarajiri.
Mwanzoni madeni hayo yanaonekana ni mkombozi, lakini baadaye yanakuja kuwa gereza kuu la kuzuia watu wengi kujenga utarajiri mkubwa.
Hii ni kwa sababu unapoingia na kukolea ni ngumu kutoka badala yake unazidi kuingia mzima mzima.
Siku ya leo ninayo dawa kwa ajili ya kujinasua na mtego wa madeni. Wametumia wengi na kupona bado weweπ
MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0713604101kupata kupata kitabu na huduma.

Kuishi Chini Ya Kipato Chakoβ¦
https://amkamtanzania.com/2024/08/15/kuishi-chini-ya-kipato-chako/
Moja Ya Swali Ambalo Watu Watu Wengi Huwa Wanauliza ni, Je Ninawezaje Kuishi Chini Ya Kipato Changu? Akati Kipato Changu [β¦]