Wengine wanakuchukuliaje wewe siyo biashara yako.
Watu watakuchukulia vile wanavyotaka wao wenyewe na huwezi kudhibiti hilo.
Kuliko kuishi maisha ya maigizo ili watu wakuchukulie kwa namna fulani, ni bora kuishi maisha halisi kwako ili walio sahihi wakukubali.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita

SEHEMU SAHIHI YA KUHAKIKISHIA USALAMA WA PESA YAKO
Rafiki,
Ni kweli kwamba, watu wengi wamekuwa wakitapeliwa fedha zao kwa sababu tofauti kama tamaa ya utajiri wa haraka na mengine mengi.
Licha ya wengine kutapeliwa, lakini wapo wengine ambao wamefuata mchakato sahihi na kulinda fedha zao.
Wanekubali kujifunza na kuchukua hatua stahiki. Hata wewe unaweza kujifunza na kufanya uwekezaji sahihi na pesa yako ikazaa bila wasiwasi.
Sehemu pekee ya kuanzia ni *NGUVU YA BUKU* huku tunajifunza dhana halisi ya fedha na kupewa maelezo na wakufunzi sahihi. Pia, unakutanishwa na wawekezaji wenye nia ya kukua kifedha.
*MUHIMU* Pata kitabu cha Mtaala Wa Utajiri Bei ni sh. 50000/ ili uunganishwe kwenye program ya Nguvu Ya Buku na kupewa masomo bure. Wasiliana na 0713604101 kupata kitabu na huduma.
Usikubali kutapeliwa tena, njoo uokoe pesa yako.

TATIZO NI KANUNI...
Rafiki,
Kila kitu kwenye maisha huwa kina kanuni zake.
Hata kupika tu, lazima uwe na kanuni ndiyo upate pishi zuri.
Hivyo ndiyo maisha ya mafanikio yalivyo.
Kuna kanuni ambazo ukizifuata kwenye kila siku yako, lazima utafanikiwa.
Kwenye kitabu cha KANUNI YA SIKU YA MAFANIKIO kuna mwongozo wa jinsi ya kuiishi siku yako, tangu unaamka mpaka unalala.
Kwa kufuata mwongozo huo utaweza kuwa na siku ambazo ni bora na hizo kupelekea kuwa na maisha ya mafanikio.
Jipatie leo nakala yako ya kitabu cha KANUNI YA SIKU YA MAFANIKIO sasa kwa kuwasiliana na 0678 977 007.
Usiendeshe siku zako kwa mazoea, bali ziendeshe kwa kanuni sahihi ya mafanikio.

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
UZA HISIA...
Rafiki,
Sisi binadamu ni viumbe wa kihisia zaidi kuliko mantiki.
Huwa tunafanya maamuzi yetu kwa hisia kabla ya mantiki.
Ukitaka watu wanunue unachouza, gusa hisia zao.
Na njia bora ya kugusa hisia ni kuwafanya wateja wajisikie vizuri.
Watu wanapojisikia vizuri, wananunua kwa wingi.
Ndani ya CHUO CHA MAUZO unapata nafasi ya kujifunza kuwaelewa wateja wako, kuwafanya wajisikie vizuri na kuuza zaidi.
Karibu uambatane nasi sasa kwenye CHUO CHA MAUZO kwa kuwasiliana na 0717 101 505.
Unaweza kuuza zaidi kwa sababu unaweza kuwafanya watu wajisikie vizuri kwa chochote unachofanya.

MAENEO MATANO YA KUFANYIA KAZI ILI KUFANIKIWA.
Rafiki,
Mafanikio kwenye maisha yanahusisha maeneo tofauti.
Ili uwe na maisha ya mafanikio yaliyokamilika, unahitaji kufanyia kazi maeneo haya matano;
1. Kuwa na biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
2. Kuwa na matumizi yasiyozidi kipato.
3. Kutokuwa na madeni mabaya.
4. Kuwa na akiba ya dharura.
5. Kuwa na uwekezaji unaokupa uhuru wa kifedha.
Kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 unakwenda kupata mpango wako kamili wa mafanikio kwenye maeneo hayo matano.
Semina itafanyika tarehe 27/10/2024 DSM.
Ada Ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/=.
Kupata nafasi ya kushiriki semina, tuma taarifa zako sasa kwenda namba 0717396253.
Karibu sana uende kupindua meza kwenye eneo la fedha na uwekezaji.
Shiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

#ONK-221; Ustoa; Jinsi Ya Kuepuka Kujizuia Kupiga Hatua Kwenye Maisha.
https://podcasters.spotify.com/pod/show/dr-makirita-amani/episodes/ONK-221-Ustoa-Jinsi-Ya-Kuepuka-Kujizuia-Kupiga-Hatua-Kwenye-Maisha-e2n1c5b

Udhaifu ambao kila mtu anao ni kutunza siri.
Mdomo ukinyamaza, matendo yanaonyesha.
Matendo yakiigizwa, historia inaweka wazi.
Kama kuna siri za watu hujazijua, siyo kwa sababu ni wazuri kwenye kuzificha, bali kwa sababu hujataka kuwasikiliza kile wanachokuambia.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Mdomo ukinyamaza, matendo yanaonyesha.
Matendo yakiigizwa, historia inaweka wazi.
Kama kuna siri za watu hujazijua, siyo kwa sababu ni wazuri kwenye kuzificha, bali kwa sababu hujataka kuwasikiliza kile wanachokuambia.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Jenga Mahusiano Ya Muda Mrefu Ili Kuwa Muuzaji Bora Na Kufanya Mauzo Makubwa.
https://amkamtanzania.com/2024/08/12/jenga-mahusiano-ya-muda-mrefu-ili-kuwa-muuzaji-bora-na-kufanya-mauzo-makubwa/
Habari njema wauzaji bora kabisa kuwahi kutokea, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya CHUO CHA MAUZO, kwenye eneo la [β¦]
https://amkamtanzania.com/2024/08/12/jenga-mahusiano-ya-muda-mrefu-ili-kuwa-muuzaji-bora-na-kufanya-mauzo-makubwa/
Habari njema wauzaji bora kabisa kuwahi kutokea, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya CHUO CHA MAUZO, kwenye eneo la [β¦]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
USISHINDANE KUTUMIA, SHINDANA KUZALISHA...
Rafiki,
Moja ya vitu ambavyo vimewaweka watu wengi kwenye umasikini ni kushindana kutumia.
Watu wanaiga matumizi ya wengine na kujikuta wakiwa na matumizi makubwa kuliko vipato vyao.
Matokeo yake ni kuzama kwenye umasikini kwa kulazimika kukopa ili kutimiza matumizi.
Njia pekee ya kuondokana na hilo ni kuacha kushindana kutumia na badala yake kushindana kuzalisha.
Badala ya kuiga matumizi ya wengine, iga kuzalisha kwao.
Badala ya kutaka kuwashinda wengine kwenye kutumia, washinde kwenye kuingiza kipato.
Kama umechoshwa na umasikini, karibu uambatane na sisi kwenye programu ya NGUVU YA BUKU.
Hii ni programu itakayofuta umasikini kabisa kwenye maisha yako.
Tuma sasa ujumbe wenye maneno NGUVU YA BUKU kwenda namba 0678 977 007.
Karibu.

PINDUA MEZA 2024 UBADILI UELEKEO WA MAISHA YAKO.
Rafiki,
Kama umekuwa unapambana kwa muda mrefu lakini umebaki pale pale, unapaswa kupindua meza.
Huwezi kuendelea kufanya hayo uliyozoea kufanya na utegemee kupata matokeo ya tofauti.
Unalazimika kufanya kitu cha tofauti kabisa na ambavyo umezoea kufanya.
Na hilo linakutaka upate kichocheo sahihi.
SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 ni kichocheo sahihi kwako kuyabadili maisha yako kabisa.
Semina hii inafanyika Dar tarehe 27/10/2024.
Hilo siyo tukio unalopaswa kulikosa kama unataka maisha mapya.
Wasiliana sasa na 0678 977 007 kupata nafasi ya kushiriki semina hii.

#ONK-222; Kitabu; Am I Being Too Subtle? Siri Za Mafanikio Kutoka Kwa Muasi Wa Kibiashara.
https://podcasters.spotify.com/pod/show/dr-makirita-amani/episodes/ONK-222-Kitabu-Am-I-Being-Too-Subtle--Siri-Za-Mafanikio-Kutoka-Kwa-Muasi-Wa-Kibiashara-e2n30v4

24.8.12; Faida
https://amkamtanzania.com/2024/08/12/24-8-12-faida/
Tumia faida kama dira ya biashara yako, Usije na mipango yoyote ya ukuaji kama hujaweza kuiona faida kamili kwa uhalisia [β¦]

3512; Faida kabla ya mengine.
https://amkamtanzania.com/2024/08/12/3512-faida-kabla-ya-mengine/
3512; Faida kabla ya mengine. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Watu huwa wanahangaika na mengi sana kwenye biashara. [β¦]

KAMA UNATAKA KUWA BORA, WEKEZA KWANZA SEHEMU HII
Kama unataka biashara, kazi au huduma yako iwe bora, kwanza unapaswa kuwekeza kwako wewe mwenyewe.
Mafanikio yoyote yale makubwa hayawezi kuja kwako kama wewe mwenyewe siyo bora.
Uwekezaji mzuri unaopaswa kufanya ni uwekezaji wa maendeleo yako binafsi. Habari njema ni kwamba, kwenye CHUO CHA MAUZO siku ya jumatatu unapata masomo ya maendeleo binafsi yatakayokuwezesha wewe kuwa bora kwenye mauzo na maeneo mengine ya maisha yako.
ILI KUWA MUUZAJI BORA, LAZIMA KWANZA UWE MTU BORA. Karibu sana CHUO CHA MAUZO ujifunze namna ya kuwa mtu bora. Kumbuka, biashara yako haiwezi kukua kama wewe mwenyewe hukui.
Kupata kitabu pamoja na huduma ya CHUO CHA MAUZO wasiliana na 0717101505.
Kitu kimoja zaidi, ukinunua kitabu cha CHUO CHA MAUZO leo, unapata ofa ya kujiunga na CHUO CHA MAUZO bure kabisa mwezi huu, wahi nafasi hii nzuri kwako kabla hazijaisha.

Tumia faida kama dira ya biashara yako,
Usije na mipango yoyote ya ukuaji kama hujaweza kuiona faida kamili kwa uhalisia kabisa.
Pambana kuzalisha faida kwenye biashara na mengine yatakwenda vizuri.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Usije na mipango yoyote ya ukuaji kama hujaweza kuiona faida kamili kwa uhalisia kabisa.
Pambana kuzalisha faida kwenye biashara na mengine yatakwenda vizuri.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Tumia Orodha Za Wengine Kufikia Wateja Wengi Zaidi.
https://amkamtanzania.com/2024/08/13/tumia-orodha-za-wengine-kufikia-wateja-wengi-zaidi/
Habari njema wauzaji bora kuwahi kutokea. Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya CHUO CHA MAUZO, yenye lengo [β¦]

#ONK-223; Mafanikio; Misingi 10 Ya Falsafa Binafsi Itakayokufikisha Kwenye Ukuu.
https://podcasters.spotify.com/pod/show/dr-makirita-amani/episodes/ONK-223-Mafanikio-Misingi-10-Ya-Falsafa-Binafsi-Itakayokufikisha-Kwenye-Ukuu-e2n49oj

JENGA UTAJIRI MKUBWA KWA KUFANYA MATUMIZI YA MSINGI
Rafiki,
Matumizi ya msingi ni yale ambayo yasipotimizwa maisha ya mtu yatakuwa yapo hatarini. Mfano wa matumizi ya msingi ni afya, chakula, mavazi na elimu.
Pamoja na matumizi haya kuwa ya msingi bado pia yanahitaji udhibiti ili yasiwe makubwa. Kwani matumizi yana tabia ya kukua kulingana na kipato.
Hivyo, kama unataka kuwa mwekezaji bora jitahidi kuishi ndani ya kipato au chini ya kipato ili kudhibiti matumizi yako.
Tunayo sehemu nzuri kukusaidia kupata hamasa ya kuwekeza na kudhibiti matumizi yako. π
MUHIMU Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri pamoja na kuwekwa kwenye kundi maalumu la NGUVU YA BUKU. Wasiliana na +255713604101kupata kitabu na huduma.

VIGEZO VITATU VYA USAKAJI
Rafiki,
Usakaji ndiyo PUMZI YA BIASHARA kwa sababu bila wateja wapya, biashara haiwezi kuongeza mauzo.
Na moja ya kazi kubwa ya msakaji kwenye biashara ni kuleta wapya. Siyo tu kuleta wateja wapya bali pia kuwafanya wateja waijue biashara na biashara iwajue wateja.
Ili msakaji aweze kuleta taarifa sahihi za mteja kuna vigezo vitatu ambavyo anapaswa kuzingatia navyo ni mamlaka, tamaa na maumivu.
Je, unapenda biashara yako kuwa na msakaji na kufundishwa namna ya kusaka wateja wapya na kuleta taarifa sahihi na hatimaye kuwageuza na kuwa wateja kamili wanaonunua na kuongeza mauzo mara mbili?
Kama jibu lako ni ndiyo, karibu ujiunge na CHUO CHA MAUZO, siku ya JUMANNE, utajifunza masomo ya usakaji yatakayokusaidia kuleta wateja wapya kila siku.
Utajisikiaje kuongea mauzo mara mbili zaidi? Ili ujifunze kwa kina vigezo vya usakaji pata kitabu cha CHUO CHA MAUZO na ukinunua kitabu leo unapata ofa ya kujiunga na CHUO CHA MAUZO kwa mwezi huu bure kabisa.
Piga simu 0717101505 sasa.