FAIDA NNE ZA KUWEKA AKIBA
Rafiki,
Mojawapo ya kanuni bora ya matumizi mazuri ya pesa ni akiba. Japo baadhi ya watu hufikiri kuwa ili uweze kuweka akiba ni lazima uwe na pesa nyingi, lakini ukweli ni kuwa kuweka akiba ni maamuzi tu na siyo kuwa na pesa nyingi.
Kwenye makala ya leo, nimekuwekea faida nne unazopata kutokana na kuweka AKIBA;
Moja; Kujiaandaa kwa dharura
Watu wengi huingia kwenye madeni au kupata uhitaji mkubwa wa pesa inapotokea na dharura, lakini ukiwa na akiba ndiyo utatumia.
Mbili; Uhuru wa kifedha
Hii ni kuwa mtu ambaye unatakiwa kuwa maishani na kuweza kufanya au kupata kile unachokihitaji maishani.
Tatu; Matumizi mazuri ya pesa.
Kuweka akiba siyo kuwa na pesa nyingi bali ni maamuzi na mipango stahiki pekee.
Nne; Utulivu wa akili.
Unapokuwa akiba yoyote hata ndoto unazoota sio za kukimbizwa mitaroni unakuwa na utulivu wa akili.
MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze na kuingizwa kwenye program ya NGUVU YA BUKU Wasiliana na 0713604101 kupata kitabu na huduma.

PITA HAPA KAMA MISHAHARA YAKO HAIKUTANI...
Rafiki,
Kipindi cha mwisho wa mwezi huwa ni neema kwa wafanyakazi.
Lakini katikati ya mwezi, mambo huwa ni magumu sana.
Hiyo ni kwa sababu kipato cha mshahara huwa ni kidogo na hakikutani na kinachofuata.
Na kusubiri mshahara upande huwa ni kitu ambacho hakiwezi kutabirika wala kutegemewa.
Kama wewe ni mwajiriwa na kipato hakitoshelezi (ndivyo ilivyo kwa waajiriwa wengi) kuna habari njema hapa kwa ajili yako.
Kitabu cha BIASHARA NDANI YA AJIRA kinakupa mwongozo wa kuanzisha na kukuza biashara itakayokuongezea kipato huku ukiendelea na ajira yako.
Ni kwa njia hiyo ndiyo unaweza kujihakikishia kipato cha kuendesha maisha yako.
Jipatie leo nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na 0678 977 007.
Usikubali kuendelea na maisha ya vipato kutokukutana.
Pata kitabu cha BIASHARA NDANI YA AJIRA ujikomboe kwenye kipato.

HUU NDIYO MPANGO BORA WA USIMAMIZI WA FEDHA BINAFSI UNAOPASWA KUWA NAO.
Rafiki,
Usimamizi wa fedha binafsi ndiyo kitu muhimu sana kwenye maisha.
Maana ndipo mambo yote yanapoanzia.
Kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 unakwenda kupata mpango wako kamili wa kufanyia kazi na kupata utajiri na uhuru wa kifedha.
Mpango unaoenda kutoka nao utakuwa na;
1. Njia za uhakika za kuongeza kipato.
2. Namna bora ya kudhibiti matumizi.
3. Mkakati wa kuondoka kwenye madeni.
4. Mpango wa kuweka akiba bila kuingilia.
5. Mpango wa uwekezaji kufikia uhuru wa kifedha.
Hayo yote utajifunza na kuondoka na mkakati kamili wa kufanyia kazi.
Semina itafanyika tarehe 27/10/2024 DSM.
Ada Ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/=.
Kupata nafasi ya kushiriki semina, tuma taarifa zako sasa kwenda namba 0717396253.
Karibu sana uende kupindua meza kwenye eneo la fedha na uwekezaji.
Shiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

MAUZO NI HUDUMA
Rafiki,
Biashara ina mambo mengi sana.
Kuanzia kutafuta wateja, kuwashawishi wanunue na kuwabakisha kwenye biashara.
Lakini kuna kitu kimoja chenye nguvu ya kujenga au kuvunja biashara yoyote ile.
Kitu hicho ni huduma ambayo wateja wanaipata.
Kama wateja watapata huduma nzuri, biashara itakua na kama wateja watapata huduma mbovu, biashara itakufa.
Unapaswa kusimamia sana eneo la huduma ili uweze kujenga biashara yenye ukuaji mzuri.
Habari njema ni kwamba kwenye program ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo, usimamizi wa kukuza mauzo na jinsi unavyoweza kuwapa wateja wako HUDUMA BORA SANA kiasi cha kuongeza MAUZO.
Wasiliana na namba 0717101505 ili upate program ya CHUO CHA MAUZO na kitabu chake.
Kitu kimoja zaidi, ukinunua kitabu cha CHUO CHA MAUZO mwezi huu, unapata ofa ya kujiunga na CHUO CHA MAUZO bure kabisa.
Hii siyo ya kukosa, wahi kabla ofa haijaisha, piga 0717101505 sasa hivi kupata OFA yako.

*Mambo 6 Rahisi Yatayokusaidia Uwahi Kuamka Asubuhi na Mapema Huku Ukiwa na NGUVU na Furaha Hata Kama Kila Siku Unachelewa*...
Rafiki Yangu Watu Wengi wanapenda Kuamka Asubuhi Wakiwa na NGUVU na Furaha,
Lakini Wengi Wanaamka Wakiwa Wamechoka Hoi Taabani na Kuwapelekea Kuzianza Siku Zao Vibaya,
Na sio kwamba ni Wavivu, Bali TU ni kwasababu hawajayazingatia mambo haya 6 kwa msimamo unayoenda kuyaona Hapa chini;
1. Moja; Hakikisha Unapata Mlo Wa Mwisho Wa Siku MASAA MAWILI Kabla ya Muda Wako wa Kulala.
2. Hakikisha Unaachana na Simu Yako Lisaa Limoja Kabla Ya Muda WA Kulala.
3. Hakikisha Huingii na Simu Yako Kitandani.
4. Hakikisha Unaweka Alamu Yako Mbali na Unapolala.
5. Hakikisha Unalala Sehemu tulivu na Yenye Giza.
6. Hakikisha Unatenga Angalau MASAA 6 Mpaka 8 ya kulala.
Oh!, Kidogo Nisahau.....
Rafiki Yangu Kama Bado Hujadhibitisha Kushiriki SEMINA YA KISIMA Cha MAARIFA 2024,
....Basi Andika *NITASHIRIKI* Hapa Chini.
Karibu.

8/8; Kwasababu Leo ni Sikukuu Ya 8 Nane.
Utapata Zawadi Hizi 8 Sawa na Bure KABISA...
Utapata Kitabu Cha ; TABIA ZA KITAJIRI.
Utapata Kitabu Cha; Biashara Ndani Ya Ajira.
Utapata Kitabu Cha; KANUNI YA SIKU YA MAFANIKIO.
Utapata Kitabu Cha; SIMU YAKO OFISI YAKO.
Utapata Kitabu Cha; JINSI YA KUPATA PESA KWA BLOG.
Utapata Kitabu Cha; IJUE BIASHARA YA NETWORKING MARKETING.
Utapata Kitabu Cha; JINSI YA KUNUFAIKA NA MABADILIKO YANAYOTOKEA.
Utapata Kitabu Cha; KWANINI MPAKA SASA WEWE SIYO TAJIRI.
Vyote Hivi Vina Zaidi ya Thamani Ya Tshs 70,000 Lakini Leo ni Kama Bahati Kwako Unavipata Kwa Elfu 29,999Tu! BILA YA KUTOLEA.
Kuzipata Zawadi Zako 8 Sasahivi,
Bonyeza Hapa Tafadhali *https://wa.link/qnsdy4*
KUMBUKA; Watakaopata Zawadi Hizi ni Watu 9 TU! Lakini Wamebaki 8 TU, Nafasi 1 Imeshanyakuliwa.
MWISHO; Wa Kupata Zawadi Hizi ni Leo Saa 6 Kamili Usiku. Karibu ni Hapa *https://wa.link/qnsdy4*

Usipojivuruga wewe mwenyewe, utavurugwa na wengine.
Na ukivurugwa na wengine, unapotezwa kabisa.
Angalia njia zote ambazo watu wanaweza kuzitumia kukuvuruga kwenye kile unachofanya kisha anza kujivuruga mwenyewe.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita

#ONK-218; Biashara; Majibu Ya Sababu Zinazokuzuia Kuanza Au Kukuza Biashara.
https://podcasters.spotify.com/pod/show/dr-makirita-amani/episodes/ONK-218-Biashara-Majibu-Ya-Sababu-Zinazokuzuia-Kuanza-Au-Kukuza-Biashara-e2mv2nm

#ONK-219; Afya; Usimamizi Wa Nguvu Binafsi Ili Kufanya Makubwa.
https://podcasters.spotify.com/pod/show/dr-makirita-amani/episodes/ONK-219-Afya-Usimamizi-Wa-Nguvu-Binafsi-Ili-Kufanya-Makubwa-e2mtr44

Jinsi Matukio Ya Kitaifa Yanavyoleta Ukaribu Na Wateja
https://amkamtanzania.com/2024/08/09/jinsi-matukio-ya-kitaifa-yanavyoleta-ukaribu-na-wateja-3/
Habari njema wauzaji kuwahi kutokea. Karibu katika mwendelezo wa masomo yetu hapa Chuo Cha Mauzo, yenye kutufanya kuwa wauzaji bora [β¦]

https://amkamtanzania.com/2024/08/09/jinsi-matukio-ya-kitaifa-yanavyoleta-ukaribu-na-wateja-2/

https://amkamtanzania.com/2024/08/09/jinsi-matukio-ya-kitaifa-yanavyoleta-ukaribu-na-wateja/

Kitu pekee ambacho unaweza kukitegemea kwa uhakika kwenye kupata mafanikio unayotaka ni juhudi unazoweka kwenye kazi.
Ipe kazi uzito mkubwa, kuwa na vipaumbele sahihi, tenga muda wa kutosha wa kazi na tekeleza majukumu yako kwa kasi na umakini mkubwa.
Kwa kufanya hivyo utaweza kuamua aina ya matokeo unayopata na kufanikiwa sana.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Ipe kazi uzito mkubwa, kuwa na vipaumbele sahihi, tenga muda wa kutosha wa kazi na tekeleza majukumu yako kwa kasi na umakini mkubwa.
Kwa kufanya hivyo utaweza kuamua aina ya matokeo unayopata na kufanikiwa sana.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
TUPO KWENYE ZAMA BORA KUKUZA KIPATO CHETU
Rafiki,
Ukiangalia zama za nyuma njia za kutengeneza kipato zilikuwa chache. Ilikuwa ni labda mkulima/ mfugaji, mwajiriwa au mmiliki wa njia za uzalishaji kama viwanda, mashamba au biashara kubwa.
Hali hiyo iliwafanya watu wengi kutokuweza kuwa na umiliki wa njia za uzalishaji hivyo waliishi na ufugaji duni.
Lakini kwenye zama hizi za taarifa vikwazo vyote vimeondolewa na kila mtu anaweza kuingia kwenye soko la dunia nzima akauza chochote anachoweza kuuza hata kama mtaji au njia kubwa za uzalishaji.
Unahitaji tu kujua taarifa sahihi za wapi uuze na uwekeze. π
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0713604101 kupata kupata kitabu na huduma.

USISUMBUKE NA ANAYEKUPINGA
Mwanamafanikio,
Kwenye mauzo na hata maeneo mengine ya maisha usitegemee kila mtu akubaliane na wewe, wengi watakupinga, kukukosoa na kukukatisha tamaa.
Lakini kumbuka kitu hiki kimoja, wote hao hawajui nini unataka na uko tayari kujitoa kiasi gani kukipata.
Hivyo usiumizwe na ukosoaji wao, kama kuna kitu chenye manufaa wanakigusia kifanyie kazi, kama hakuna wapuuze na endelea na safari yako.
Ni rahisi kukata tamaa kama huna maarifa sahihi yatakayokuwezesha kupiga hatua zaidi kwenye kila eneo la maisha yako.
Habari njema ni kwamba, CHUO CHA MAUZO kinatoa mafunzo bora ya kukuwezesha wewe kuchukua hatua sahihi na kuwa muuzaji bora kuwahi kutokea.
Ili kuwa muuzaji bora kabisa kuwahi kutokea, kwanza unapaswa kuwa bora. Siku ya jumatatu kwenye CHUO CHA MAUZO utapata nafasi ya kujifunza masomo ya maendeleo binafsi kwa kina.
Kupata nafasi ya kujiunga na CHUO CHA MAUZO pamoja na kitabu chake wasiliana na namba 0717101505.
Nunua kitabu cha CHUO CHA MAUZO upate ofa ya CHUO.

#ONK-220; Utajiri; Kwa Nini Utapeli Hauwezi Kuisha Na Jinsi Ya Kuepuka Kutapeliwa Kwenye Kujenga Utajiri.
https://podcasters.spotify.com/pod/show/dr-makirita-amani/episodes/ONK-220-Utajiri-Kwa-Nini-Utapeli-Hauwezi-Kuisha-Na-Jinsi-Ya-Kuepuka-Kutapeliwa-Kwenye-Kujenga-Utajiri-e2n00hi

UFUNGUO WA MADENI UTAKAOKUWEKA HURU KIFEDHA.
Rafiki,
Imekuwa ni mazoea ya wengi kutatua matatizo yao ya kifedha kwa kukopa.
Mikopo inatatua tatizo la muda mfupi, lakini inatengeneza tatizo la muda mrefu.
Tatizo hilo la muda mrefu limekuwa ni utumwa ambao unawanyima wengi uhuru wa maisha yao.
Ili uwe huru kifedha, unapaswa kuondoka kwenye madeni.
Na kuondoka kwenye madeni kuna ufunguo maalumu unaopadwa kuwa nao.
Kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 unakwenda kupata ufunguo huo.
Kwa kuutumia, utaweza kabisa kuondoka kwenye madeni.
Karibu kwenye semina hii ambayo inaenda kuwa ukombozi kwako.
Wasiliana sasa na +255 717 396 253 kupata nafasi ya kushiriki semina.

Kwa Nini Utapeli Hauwezi Kuisha Na Jinsi Ya Kuepuka Kutapeliwa Kwenye Kujenga Utajiri.
https://amkamtanzania.com/2024/08/09/kwa-nini-utapeli-hauwezi-kuisha-na-jinsi-ya-kuepuka-kutapeliwa-kwenye-kujenga-utajiri/
Habari njema Matajiri Wawekezaji, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya [β¦]

Karibuni kupata Kahawa maalumu ya ISHI MIAKA π―
Kahawa inakupa nguvu na umakini wakati upo kwenye mfungo wa 16/8.
Kwa kutumia kahawa hii hutasikia njaa wakati wa mfungo.
Na pia utaweza kuweka umakini mkubwa kwenye kile unachofanya.
Kahawa pakiti ya 50g ni tsh elfu 2.
Wasiliana sasa na 0678 977 007 kujipatia kahawa.
Karibu uungane nasi kwenye kundi la ISHI MIAKA π― upate mafunzo na usimamizi wa kuwa na afya bora na kuishi miaka mingi.
Kujiunga fungua; https://chat.whatsapp.com/GT9YtNnLYR7FtbR4sOFXkM

Jinsi Ya Kuwabadili Watu Bila Kuibua Hasira Au Chuki Kanuni Ya Tisa
https://amkamtanzania.com/2024/08/10/jinsi-ya-kuwabadili-watu-bila-kuibua-hasira-au-chuki-kanuni-ya-tisa/
Habari njema muuzaji bora kuwahi kutokea, Hongera na karibu sana kwenye mwendelezo wa makala zetu za ushawishi kutoka kwenye programu [β¦]