SOMA VITABU TANZANIAπŸ“š
1.23K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.66K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
August 20, 2024
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
August 20, 2024
August 20, 2024
August 20, 2024
August 20, 2024
JINSI YA 'KUTOBOA' KIMAISHA.

KIPATO kikubwa
AKIBA ya uhakika
UWEKEZAJI unaokuweka huru.

Hivyo ni vitu vitatu ambavyo ukiweza kujihakikishia, basi umetoboa kimaisha.

Tarehe 27/10/2024 unakwenda kupata mwongozo kamili wa jinsi ya kujenga hayo.

Ni kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 itakayofanyika Mbezi Garden Hotel DSM

Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/=

Wasiliana sasa na 0713 604 101 kupata nafasi ya kushiriki.
August 21, 2024
KIPATO KINAPASWA KUWA KIKUBWA KULIKO MATUMIZI

Rafiki,
Kama kipato chako ni 100,000/= na matumizi yako ni 99,999/=, upo kwenye njia nzuri, kwani ukiendelea hivyo unaweza kutengeneza utajiri mkubwa kwenye maisha yako.

Lakini kama kipato chako ni 100,000/= na matumizi yako ni 101,000/=, upo kwenye njia mbaya, kwani ukiendelea hivyo utaishia kuzama kwenye lindi la umasikini.

Unaweza kujiuliza kwa nini? Hesabu hapo juu tofauti ni 1,000/= tu. Lakini pesa hizi ndogo ndogo madhara yake ni makubwa sana. Mtu anayewekeza 1,000/= anaweza kukuza utajiri mkubwa baadaye na anayepiteza 1,000/= atakuwa na deni kubwa linalokupeleka kwenye umasikini.

Hivyo, kipato na matumizi lazima uviangalie kwa jicho la pili. Je, unakwama na unahitaji kujitoa. Karibu πŸ‘‡

Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri pamoja na kuwekwa kwenye kundi maalumu la NGUVU YA BUKU. Wasiliana na +255713604101kupata kitabu na huduma.
August 21, 2024
August 21, 2024
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
August 21, 2024
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
August 21, 2024
August 21, 2024
August 21, 2024
August 22, 2024
August 22, 2024
August 22, 2024
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
August 22, 2024
FAIDA ZA KUWEKA AKIBA KATIKA SAFARI YA UTAJIRI

Rafiki,
Mojawapo ya kanuni bora ya matumizi mazuri ya pesa ni akiba. Japo baadhi ya watu hufikiri kuwa ili uweze kuweka akiba ni lazima uwe na pesa nyingi, lakini ukweli ni kuwa kuweka akiba ni maamuzi tu na siyo kuwa na pesa nyingi.

Kwenye makala ya leo, nimekuwekea faida nne unazopata kutokana na kuweka AKIBA;

Moja; Kujiaandaa kwa dharura
Watu wengi huingia kwenye madeni au kupata uhitaji mkubwa wa pesa inapotokea na dharura, lakini ukiwa na akiba ndiyo utatumia.

Mbili; Uhuru wa kifedha
Hii ni kuwa mtu ambaye unatakiwa kuwa maishani na kuweza kufanya au kupata kile unachokihitaji maishani.

Tatu; Matumizi mazuri ya pesa.
Kuweka akiba siyo kuwa na pesa nyingi bali ni maamuzi na mipango stahiki pekee.

Nne; Utulivu wa akili.
Unapokuwa akiba yoyote hata ndoto unazoota sio za kukimbizwa mitaroni unakuwa na utulivu wa akili.

MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze na kuingizwa kwenye program ya NGUVU YA BUKU Wasiliana na 0713604101
August 22, 2024