SOMA VITABU TANZANIA📚
1.15K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.61K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
JINSI YA KUONDOKA KWENYE MAUZO DUNI

Rafiki,

Waswahili wanasema, kidole kimoja hakivunji chawa.
Vivyo hivyo, kwenye biashara, kuwa na wateja wa chache ni chanzo cha kuwa na mauzo duni.

Kutegemea wateja wachache kwenye biashara, ni kujiingiza kwenye mauzo duni. Ukishakuwa na mauzo duni maana yake biashara haiwezi kujiendesha.

Ili biashara ziwe na mauzo makubwa, zinahitaji kuwa na wateja wengi wa uhakika ambao wananunua kwa msimamo.

Je, biashara inapataje wateja wengi wa uhakika ambao watanunua kwa ukubwa na kuongeza mauzo zaidi?

Habari njema ni kwamba, kwenye program ya CHUO CHA MAUZO, siku ya JUMANNE utafundishwa somo la usakaji litalokusaidia wewe kupata wateja wengi zaidi.
Na moja ya kauli mbiu yetu inasema, USAKAJI NDIYO PUMZI YA BIASHARA UNAPASWA KUFANYIKA MARA ZOTE.

Kupata huduma ya programu ya CHUO CHA MAUZO pamoja na kitabu chake wasiliana na 0717101505
Habari njema zaidi ni kwamba, ukinunua kitabu cha CHUO CHA MAUZO, unapata ofa ya kujiunga na CHUO CHA MAUZO bure kabisa. Piga 0717101505
Tumia Mtandao Wa Intaneti Kufikia Wateja Wengi Zaidi.
https://amkamtanzania.com/2024/07/30/tumia-mtandao-wa-intaneti-kufikia-wateja-wengi-zaidi/

Habari njema wauzaji bora kuwahi kutokea. Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya CHUO CHA MAUZO, yenye lengo […]
Darasa Maalumu; Ijue Akili Mnemba (Artificial Intelligence) Na Jinsi Unavyoweza Kuitumia Kwa Manufaa.
https://amkamtanzania.com/2024/07/30/darasa-maalumu-ijue-akili-mnemba-artificial-intelligence-na-jinsi-unavyoweza-kuitumia-kwa-manufaa/

Teknolojia Mpya Unayoweza Kuigeuza Kuwa Msaidizi Wako Binafsi (Personal Assistant). Rafiki,Maisha yetu hapa duniani yamekuwa yanarahisishwa sana na mapinduzi ya […]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
MAAJABU; HII VIDEO HAIJATENGENEZWA NA MTU.

Rafiki,
Hii video fupi unayoiangalia hapa, haijatengenezwa na mtu.
Bali imetengenezwa na Akili Mnemba (Artificial Intelligence).

Hii ni teknolojia mpya yenye uwezo wa kutekeleza majukumu mbalimbali kwa uwezo mkubwa sana.

Unaweza kuigeuza Akili hii mnemba kuwa msaidizi wako binafsi na ikakurahisishia majukumu mbalimbali.

Habari njema ni kwamba tutakuwa na Darasa maalumu la kujifunza jinsi ya kutumia Akili Mnemba kukamilisha majukumu mengi binafsi.

Darasa hilo litafanyika bure kabisa kwenye kundi la KISIMA CHA MAARIFA jumamosi tarehe 03/08/2024.

Karibu sana ushiriki darasa hili ili ujifunze matumizi ya teknolojia hii mpya kwa manufaa makubwa kwako.

Kushiriki darasa, ungana nasi kwa kiungo hiki; https://chat.whatsapp.com/KHtzXfz8pR85ZTHtJ8ZmS4

Karibu ujifunze kutumia Akili Mnemba (Artificial Intelligence) kama msaidizi wako binafsi (Personal Assistant).
Utaweza Kutosheleza Mahitaji Yako.

Rafiki,
Kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 unakwenda kujifunza jinsi unavyoweza kutosheleza mahitaji yako.

Matumizi kuwa makubwa kuliko kipato imekuwa changamoto inayowakwamisha wengi.

Changamoto hiyo inakwenda kupata suluhu ya uhakika kwenye semina hii.

Semina ni tarehe 27/10/2024 Mbezi Garden Hotel DSM. Zimebaki siku 89 tu kufikia siku ya tukio hili.

Kwa ada ya Tsh 65,000/= unakwenda kupata maarifa bora kabisa kwako kuboresha eneo lako la fedha.

Jiwekee nafasi yako sasa kwa kutuma ujumbe SEMINA 2024 kwenda namba 0717396253.

Usikose nafasi hii ya kipekee kwako kuleta mabadiliko kwenye maisha yako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
MAHALI PA KUANZIA KAMA HUNA NJIA YA KUINGIZA KIPATO.

Rafiki,
Kama kwa sasa upo kwenye hali ya kukosa njia ya kukuingizia kipato, mahali rahisi kwako kuanzia ni kwenye mauzo.

Mauzo ni tasnia pana na iliyo wazi kwa watu wote wenye kiu ya kuwa na kipato kisichokuwa na ukomo.

Watu wa mauzo ndiyo watu wenye fursa ya kulipwa zaidi. Kwa sababu wakiuza zaidi, wanaweza kupata zaidi.

Karibu kwenye programu ya CHUO CHA MAUZO uweze kupata mafunzo sahihi ya kukuwezesha kuingiza kipato cha uhakika.

Wasiliana sasa na 0717 101 505 uweze kuingia kwenye CHUO CHA MAUZO.
Mbinu Mbili Za Uhakika Za Ukamilishaji Wa Mauzo 61-62
https://amkamtanzania.com/2024/07/31/mbinu-mbili-za-uhakika-za-ukamilishaji-wa-mauzo-61-62/

Habari njema muuzaji bora kabisa kuwahi kutokea, Karibu sana kwenye mwendelezo wa makala zetu za ukamilishaji ambazo ni mwendelezo wa […]
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ᢰMWALIKO!

ᨖ/Tafadhali ungana nasi Jumamosi hii kujifunza kuhusu *Akili Mnemba* - teknolojia inayo-badilisha maisha yetu.

- Karibu tuguse kwa pamoja KINA cha MAARIFA na tuone jinsi gani tuna-weza kugeuza AI kuwa msaidizi wetu binafsi.

ᢰUsikose darasa hili maalumu la *IJUE AKILI MNEMBA* na UWE sehemu ya MAPINDUZI haya ya kiteknolojia.

- Tusafiri pamoja katika UVUMBUZI & KUCHANGAMKIA FURSA zilizo mbele yetu! sasa - 🗝️

JIUNGE HAPA :

https://chat.whatsapp.com/KHtzXfz8pR85ZTHtJ8ZmS4

•••

SIKU : JUMAMOSI
MUDA : 1 USIKU - 2 USIKU
HOST : DR. A. MAKIRITA KOCHA
GUEST SPEAKER : LATYANKIRA SHOO
HAKUNA USHINDI BILA UKAMILISHAJI

Rafiki,

Ukamilishaji ni muhimu sana kwenye mchakato wa mauzo, kwani ndiyo inayoleta mafanikio au kushindwa kwenye mauzo. Kwa sababu ushindi kwenye mauzo unapimwa kwa wale waliokubali pekee na siyo kwa ahadi.

Hakuna gharama kubwa kwenye maisha kama mtu kushindwa kukamilisha mauzo au ushawishi kwenye ndoto na mawazo aliyonayo. Kushindwa kukamilisha kumekuwa kunawachosha watu na kuwafanya washindwe kujiamini. Wale wanaoshindwa kukamilisha huwa wanakata tamaa na kukubali kushindwa.

Ili biashara iweze kuingiza mapato na hata wewe binafsi ni mpaka pale unapokuwa umekamilisha kitu. Kifupi, hakuna ushindi bila ukamilishaji.

Habari njema ni kwamba, kwenye CHUO CHA MAUZO, siku ya JUMATANO, tunajifunza masomo ya ukamilishaji na huku tukiongozwa na kauli mbiu yetu inavyosema ABC ALWAYS BE CLOSING -MARA ZOTE KUWA UNAKAMALISHA WATEJA.

Kupata huduma ya programu ya CHUO CHA MAUZO pamoja na kitabu chake, wasiliana kwa 0717101505.
PATA kitabu upate ofa ya kujiunga na CHUO CHA MAUZO.
MBINU MBILI KUTUMIA ILI KUWEKA AKIBA

Rafiki,
Kama tunavyojua kuwa, akiba ni pesa mali au kitu kinachohifadhiwa kwa matumizi ya baadaye. Hivyo ni muhimu sana kuwa na akiba.

Hii ni kwa sababu yajayo hayatabiliki, jambo lolote linaweza kujitokeza wakati wowote. Katika kufanikisha hili, nimekuwekea mambo kuzingatia;

Moja; Lengo.
Hili linakupa dira ya unakoelekea, kwamba baada ya muda fulani utakuwa na kiasi fulani cha pesa.

Pili; Matumizi.
Ili ufanikiwe kuweka akiba, lazima kwanza ujue vema matumizi yako, ili iwe rahisi kuyadhibiti.

Habari njema ni kwamba, tunayo program nzuri kwa ajili yako na kusimamia katika uwekezaji wa malengo na kudhibiti matumizi.

*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU*. Wasiliana na +255713604101 kupata kitabu na huduma.
Ni muhimu sana ujue wakati gani matokeo uliyopata yamesababishwa na juhudi ulizoweka na wakati gani yametokana na bahati tu.

Kudhani bahati ni juhudi zako binafsi kutakupoteza zaidi kuliko kukusaidia.

Ni muhimu sana mara zote ufuate mchakato wako sahihi kuliko kuhangaika na bahati ambazo huwezi kuzidhibiti.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
MADENI NI KAMA MOTO WENYE MADHARA UKITUMIWA VIBAYA

Kuthibiti madeni ni hatua muhimu kwenye mpango wa mtu kutengeneza utajiri kwenye maisha yake kwa sababu madeni ni kama moto. Ukitumiwa vema unafaida, ukitumiwa vibaya una hasara.

Hivyo ndivyo ilivyo kwenye madeni, mtu anayeyathibiti anayo nafasi ya kujenga utarajiri mkubwa kwenye maisha yake. Ila, anapokubali kuthibitiwa na madeni hukwama kwenye umasikini maisha yake yote.

Hivyo, kama mtu unayetaka kujenga utarajiri mkubwa huna budi kujiondoa kwenye madeni kwa kufanya uwekezaji.

Jibu ujumbe huu kwa kuandika "MADENI", kisha tutakukutanisha pamoja na washiriki waliochukia madeni.

MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0713604101kupata kupata kitabu na huduma.
MAUZO NI HUDUMA

Rafiki,
Biashara ina mambo mengi sana.
Kuanzia kutafuta wateja, kuwashawishi wanunue na kuwabakisha kwenye biashara.

Lakini kuna kitu kimoja chenye nguvu ya kujenga au kuvunja biashara yoyote ile.
Kitu hicho ni huduma ambayo wateja wanaipata.

Kama wateja watapata huduma nzuri, biashara itakua na kama wateja watapata huduma mbovu, biashara itakufa.
Unapaswa kusimamia sana eneo la huduma ili uweze kujenga biashara yenye ukuaji mzuri.

Habari njema ni kwamba kwenye program ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo, usimamizi wa kukuza mauzo na jinsi unavyoweza kuwapa wateja wako HUDUMA BORA SANA kiasi cha kuongeza MAUZO.

Wasiliana na namba 0717101505 ili upate program ya CHUO CHA MAUZO na kitabu chake.

Kitu kimoja zaidi, ukinunua kitabu cha CHUO CHA MAUZO mwezi huu, unapata ofa ya kujiunga na CHUO CHA MAUZO bure kabisa.
Hii siyo ya kukosa, wahi kabla ofa haijaisha, piga 0717101505 sasa hivi kupata OFA yako.
ᢰMWALIKO!

ᨖ/Tafadhali ungana nasi Jumamosi hii kujifunza kuhusu *Akili Mnemba* - teknolojia inayo-badilisha maisha yetu.

- Karibu tuguse kwa pamoja KINA cha MAARIFA na tuone jinsi gani tuna-weza kugeuza AI kuwa msaidizi wetu binafsi.

ᢰUsikose darasa hili maalumu la *IJUE AKILI MNEMBA* na UWE sehemu ya MAPINDUZI haya ya kiteknolojia.

- Tusafiri pamoja katika UVUMBUZI & KUCHANGAMKIA FURSA zilizo mbele yetu! sasa - 🗝️

JIUNGE HAPA :

https://chat.whatsapp.com/KHtzXfz8pR85ZTHtJ8ZmS4

•••

SIKU : JUMAMOSI
MUDA : 1 USIKU - 2 USIKU
HOST : DR. A. MAKIRITA KOCHA
GUEST SPEAKER : LATYANKIRA SHOO
TATIZO NI KANUNI...

Rafiki,
Kila kitu kwenye maisha huwa kina kanuni zake.
Hata kupika tu, lazima uwe na kanuni ndiyo upate pishi zuri.

Hivyo ndiyo maisha ya mafanikio yalivyo.
Kuna kanuni ambazo ukizifuata kwenye kila siku yako, lazima utafanikiwa.

Kwenye kitabu cha KANUNI YA SIKU YA MAFANIKIO kuna mwongozo wa jinsi ya kuiishi siku yako, tangu unaamka mpaka unalala.

Kwa kufuata mwongozo huo utaweza kuwa na siku ambazo ni bora na hizo kupelekea kuwa na maisha ya mafanikio.

Jipatie leo nakala yako ya kitabu cha KANUNI YA SIKU YA MAFANIKIO sasa kwa kuwasiliana na 0678 977 007.

Usiendeshe siku zako kwa mazoea, bali ziendeshe kwa kanuni sahihi ya mafanikio.
HUU NDIYO MPANGO BORA WA USIMAMIZI WA FEDHA BINAFSI UNAOPASWA KUWA NAO.

Rafiki,
Usimamizi wa fedha binafsi ndiyo kitu muhimu sana kwenye maisha.
Maana ndipo mambo yote yanapoanzia.

Kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 unakwenda kupata mpango wako kamili wa kufanyia kazi na kupata utajiri na uhuru wa kifedha.

Mpango unaoenda kutoka nao utakuwa na;
1. Njia za uhakika za kuongeza kipato.
2. Namna bora ya kudhibiti matumizi.
3. Mkakati wa kuondoka kwenye madeni.
4. Mpango wa kuweka akiba bila kuingilia.
5. Mpango wa uwekezaji kufikia uhuru wa kifedha.
Hayo yote utajifunza na kuondoka na mkakati kamili wa kufanyia kazi.

Semina itafanyika tarehe 27/10/2024 DSM.

Ada Ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/=.
Kupata nafasi ya kushiriki semina, tuma taarifa zako sasa kwenda namba 0717396253.

Karibu sana uende kupindua meza kwenye eneo la fedha na uwekezaji.
Shiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.