SOMA VITABU TANZANIAπŸ“š
1.15K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.61K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
UNAANZIA WAPI KUKUZA KIPATO CHAKO?

Inapokuja kwenye swala la kutengeneza kipato kila mtu kuna mahali anaanzia ambapo ni tofauti kabisa na watu wengine.

Katika hili kuna makundi ya aina tatu ya kuanzia;
1.Kundi la kwanza ni wale ambao wameajiriwa.

2.Kundi la pili ni waliojiajiri au wanafanya biashara ndogo.

3.Kundi la tatu ni ambao hawana shughuli yoyote ya kuingiza kipato.

Hivyo, ni vyema kujua wapi inaanzia kwenye kutengeneza kipato chako ili lengo lako la utajiri liweze kufikiwa.

Kwenye programu ya NGUVU YA BUKU tunafundisha namna ya kitumia vema kipato chako kujenga utarajiri mkubwa.

*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0713604101 kupata kupata kitabu na huduma.
SANUKA; WAMEKUGEUZA MSUKULE...

Rafiki,
Umewahi kujiuliza inakuwaje unatumia mitandao ya kijamii bure, lakini wamiliki wa mitandao hiyo ni mabilionea?

Ni kwa sababu mitandao hiyo imekugeuza wewe kuwa msukule.
Inakufanyisha kazi bila malipo na yenyewe inanufaika.

Mitandao hiyo ina mbinu zinazokuweka wewe kwenye utumwa wa kuitumia kwa wingi hata kama hakuna manufaa unayopata.

Kitabu cha EPUKA UTUMWA WA KIDIJITALI ndiyo mkombozi wako kutoka kufanywa msukule.

Jipatie nakala yako leo ili uweze kuondoka kwenye utumwa ulionasa sasa.

Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu hiki ambacho ni ukombozi kwako.

Karibu.
Tengeneza Mpango Binafsi Wa Kustaafu Ili Kuwa Huru.
https://amkamtanzania.com/2024/08/02/tengeneza-mpango-binafsi-wa-kustaafu-ili-kuwa-huru/

Habari njema Matajiri Wawekezaji, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya […]
UNAKOSA MAUZO KWA SABABU HII

Rafiki,
Matokeo yoyoye mazuri yanayohitajika, huwa yanataka uwekezaji ufanyike.

Na kwenye kukuza mauzo, ambalo ndiyo hitaji la wengi, kuna uwekezaji ambao unapaswa kufanyika.
Na uwekezaji huo ni ufuatiliaji endelevu.

Tokea biashara yako ianze mpaka sasa ni watu wangapi wamenunua? Ni wengi, je wateja wote hao una data zao? Unawafutilia kwa ukaribu?
Vipi kama ukiwafuatilia tena wataacha kununua kama bado wako hai?

Kwenye CHUO CHA MAUZO siku ya ijumaa tunajifunza somo la ufuatiliaji na tuna kauli mbiu yetu inayosema, PESA IMEJIFICHA KWENYE UFUATILIAJI, ukiwa kwenye CHUO CHA MAUZO, unapata fursa ya kujifunza haya yote kwa kina na kuongeza mauzo mara mbili zaidi.

Rafiki, ninayo habari njema kwako, programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.

Habari njema zaidi ni kwamba mwezi huu wa AGOSTI, 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.

Wasiliana na 0717101505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
SOMA VITABU UACHE MAKASIRIKO...

Rafiki,
Kama una makasiriko mengi na ni rahisi kuvurugwa na wengine, kuna tiba ya uhakika kwako.

Tiba hiyo ni kujaza ubongo wako vitabu kiasi kwamba makasiriko hayapati nafasi.

Na hata watu wakufanye nini, unakuwa na utulivu mkubwa sana.

Kwenye FAMILIA YA KISIMA CHA MAARIFA tunayo programu ya KURASA 10 KWA SIKU.
Hii ni programu ya kusoma kurasa 10 za kitabu kila siku.
Ukienda hivyo kila mwezi utamaliza kusoma kitabu kimoja na kila mwaka vitabu zaidi ya 10.

Kwa mpango huo utakuwa mbele sana kuliko wengi wanaokuzunguka.

Karibu kwenye FAMILIA YA KISIMA CHA MAARIFA uweze kuwa na utulivu mkubwa.

Ungana nasi hapa; https://chat.whatsapp.com/KHtzXfz8pR85ZTHtJ8ZmS4

Usikubali tena kuvurugwa kizembe, njoo uambatane nasi kwenye usomaji vitabu uwe bora.
Jinsi Ya Kuwabadili Watu Bila Kuibua Hasira Au Chuki Kanuni Ya Nane
https://amkamtanzania.com/2024/08/03/jinsi-ya-kuwabadili-watu-bila-kuibua-hasira-au-chuki-kanuni-ya-nane/

Habari njema muuzaji bora  kuwahi kutokea, Hongera na karibu sana kwenye mwendelezo wa makala zetu za ushawishi kutoka kwenye programu […]
UNAKOSA USHINDI KWENYE MAISHA YAKO KWA SABABU YA KUKOSA USHAWISHI

Rafiki,

Ili uweze kufanikiwa kwenye kila eneo la maisha yako unahitaji kuwa na ushawishi.

Na chochote kile unachotaka kwenye maisha yako, tayari kipo kwa mtu mwingine. Na njia nzuri ya wewe kuweza kukipata ni uwezo wako wa kuwashawishi watu hao waweze kukubaliana na wewe na kisha kukupa kile unachotaka.

Watu wengi wanashindwa kwenye maeneo mengi ya maisha yao, siyo kwamba hawajui ni kwa sababu hawana ushawishi.

Na habari njema ni kwamba kwenye program ya CHUO CHA MAUZO, siku ya JUMAMOSI huwa tunajifunza masomo ya kujenga ushawishi.

Kitu kimoja zaidi, hupati unachostahili bali unachomshawishi. Ili kujifunza ushawishi na kuweza kukamilisha mambo yako kwa urahisi, karibu sana CHUO CHA MAUZO uweze kujifunza.

Wasiliana na 0717101505 kupata program ya CHUO CHA MAUZO pamoja na kitabu chake.
Pata OFA ya kuingia kwenye program ya CHUO CHA MAUZO bure kabisa kama ukinunua kitabu cha CHUO CHA MAUZO leo.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
MAAJABU; HII VIDEO HAIJATENGENEZWA NA MTU.

Rafiki,
Hii video fupi unayoiangalia hapa, haijatengenezwa na mtu.
Bali imetengenezwa na Akili Mnemba (Artificial Intelligence).

Hii ni teknolojia mpya yenye uwezo wa kutekeleza majukumu mbalimbali kwa uwezo mkubwa sana.

Unaweza kuigeuza Akili hii mnemba kuwa msaidizi wako binafsi na ikakurahisishia majukumu mbalimbali.

Habari njema ni kwamba tutakuwa na Darasa maalumu la kujifunza jinsi ya kutumia Akili Mnemba kukamilisha majukumu mengi binafsi.

Darasa hilo litafanyika bure kabisa kwenye kundi la KISIMA CHA MAARIFA jumamosi tarehe 03/08/2024.

Karibu sana ushiriki darasa hili ili ujifunze matumizi ya teknolojia hii mpya kwa manufaa makubwa kwako.

Kushiriki darasa, ungana nasi kwa kiungo hiki; https://chat.whatsapp.com/KHtzXfz8pR85ZTHtJ8ZmS4

Karibu ujifunze kutumia Akili Mnemba (Artificial Intelligence) kama msaidizi wako binafsi (Personal Assistant).
Kama unataka kufanikiwa, nenda vizuri na neno hapana.

Kuwa tayari kuwaambia wengine hapana pale wanapokuja kwako na mapendekezo ambayo hayaendani na kile unachotaka.

Pia endelea kung'ang'ana hata baada ya kuambiwa hapana na wengine, mpaka upate unachotaka.

Hapana isikutishe wala kukukwamisha, bali ikuchochee kufanikiwa.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
HIVI NDIVYO PESA YAKO INAVYOTUMIKA, SHUTKA.

Rafiki,
Kila mmoja wetu kuna kipato anaingiza, na kipato hiki kuna sehemu kinaenda. Usipokuwa makini utajikuta pesa yako inaenda tu.

Hapa chini nimeainisha maeneo matatu kipato kinapoenda;

Moja; Kukitumia kwa matumizi mbalimbali. Inaweza kuwa kununua nguo, kodi na vitu vingine, lakini unakuwa umetengana nacho kabisa.

Mbili; Kuweka akiba.
Hapa unatunza fedha hiyo kwa matumizi ya baadaye. Unaweza kutunza mwenyewe au kuweka kwenye akaunt za benki. Japo kutunza mwenyewe inaweza kuwa hatari zaidi.

Tatu; Kuwekeza kwenye maeneo yanayokua thamani na kuzalisha faida. Kwenye uwekezaji, thamani ya fedha inaenda ikikua kulingana na mabadaliko ya kiuchumi na faida unarudi kama gawio au riba.

Wengi wetu eneo la tatu hatulipi nguvu, lakini ndilo eneo zuri kama unataka kujenga utajiri.

*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri na uwekezaji na kuunganishwa kwenye program NGUVU YA BUKU* piga 0713604101 kupata kitabu
OKTOBA, SIYO YA KUKOSA.

Rafiki,
Huwa kuna matukio yanatokea mara moja na kuacha alama kubwa sana kwenye maisha ya mtu.

Una bahati kwa sababu oktoba linaenda kutokea tukio hilo, ambalo litaacha alama kubwa sana kwenye maisha yako.

Litayafungua macho yako na utauona ulimwengu mpya ambao hukuwahi kudhani kama upo.

Utaona jinsi ilivyo ndani ya uwezo wako kabisa kujenga UTAJIRI na MAFANIKIO makubwa.

Tukio hilo ni SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024, ambayo itafanyika Mbezi Garden Hotel tarehe 27/10/2024.

Kwa kiingilio cha Tsh 65,000/= ambacho kinagharamia kila kitu mpaka chakula, unakwenda kupata mapinduzi makubwa sana kwenye maisha yako.

Ili kuhakikisha hukosi semina hii, nimekuandalia mpango wa kulipa kidogo kidogo, kuanzia buku.

Karibu ujiwekee nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 leo kwa kutuma ujumbe SEMINA 2024 kwenda namba 0717 396 253.

Njoo upindue meza 2024, shiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.
Mafanikio tayari ni magumu,
Usizidishe ugumu wake kwa kuongeza hatua zisizo na tija kwenye kile unachofanya.
Wape watu kile wanachotaka ili nao wakupe wewe kile unachotaka.
Usiongeze hatua zozote zisizokuwa na umuhimu kwenye hilo.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Jinsi Ya Kupata Wateja Bora
https://amkamtanzania.com/2024/08/06/jinsi-ya-kupata-wateja-bora/

Habari njema wauzaji bora kuwahi kutokea. Karibu katika mwendelezo wa masomo yetu ya programu ya CHUO CHA MAUZO yenye lengo […]
SHIRIKI SEMINA KWA BUKU MOJA.

Rafiki,
Je umeshathibitisha kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024?

Kama bado, chukua hatua sasa uli usikose nafasi.

Unakwama wapi? Gharama ni elfu 65(65000)

Habari njema ni kwamba tunao mpango wa kulipia kidogo kidogo mpaka unamaliza unaonaje huu mpango kwako?
Watu wameanza kuwekeza kwa shilingi elfu moja kila siku ili wasikose SEMINA.
Anza na wewe leo usikubali kukosa semina kwa shilingi elfu MOJA.

Tuma ujumbe sasa kwenda namba 0717396253 wenye maneno SEMINA 2024 na utapewa maelezo zaidi.

Usikose fursa hii ya kipekee kabisa kwako kupindua meza mwaka huu 2024.

Karibu.
UTAJIRI SIYO DHAMBI NA UMASIKINI SIYO UTAKATIFU

Rafiki,

Jamii imekuwa na mtazamo hasi na mbovu kuhusu utajiri, ambao unapendwa na wale wasiotaka kujituma na kufanya makubwa.

Utajiri siyo dhambi, utajiri ni kitu kizuri ambacho kina mchango mkubwa kwenye kila jamii.

UMASIKINI umekuwa unatukuzwa kama vile ni kitu kizuri sana. UMASIKINI umekuwa unaonekana kama vile ni UTAKATIFU, kwamba utateseka kwa UMASIKINI duniani lakini mbinguni utaenda kuishi vizuri.

Usikubali kujizuia kupata Fedha na utajiri kwa sababu ya mitazamo hasi iliyopo kwenye jamii.

Kama una ndoto kubwa na upo tayari kukaa kwenye mchakato wa kufanya kilicho sahihi, utajiri ni kitu sahihi na kizuri kwako, kipambanie.

Wasiliana na namba +255 678 977 007 kupata kitabu hiki cha BILIONEA MAFUNZONI ili kupata mwongozo kamili wa kufikia kwenye UBILIONEA.

Karibu tupambane kuupiga vita UMASIKINI kwa sababu unatesa watu wengi, uchukie kwa kupambana na kuchukua hatua SASA kwa kupata mwongozo kamili hapa +255 678 977 007.
HIVI NDIVYO UNAVYOWEZA KUWATUMIA WATEJA WAZURI ULIONAO KUPATA WATEJA WAZURI ZAIDI

Rafiki,

Kila biashara inahitaji wateja wazuri wanao nunua mara nyingi na kufanya manunuzi makubwa.

Wateja wazuri ni pumzi ya biashara. Ukiwa nao, mambo mengi kwenye biashara yanaenda vizuri.

Biashara haipaswi kuwa na wateja wazuri wachache, biashara inapaswa kuwa na wateja wengi wazuri ili iweze kujiendesha kwa faida.

Kama huna wateja wazuri, maana yake una MAUZO DUNI, na kama huna mauzo maana yake huna biashara na siku siyo nyingi utaifunga biashara.

Kwa nini haya yote yatokee wakati unaweza kuwatumia wateja wazuri ULIONAO KUPATA WATEJA WAZURI ZAIDI?
Habari njema ni kwamba, kwenye CHUO CHA MAUZO,siku ya JUMANNE tunajifunza masomo ya usakaji wa wateja kwenye biashara.

USAKAJI NDIYO PUMZI YA BIASHARA na hii ndiyo kauli mbiu yetu kwenye eneo la usakaji, njoo ujifunze namna ya kuwa muuzaji bora kuwahi kutokea kwa kuwasiliana na namba 0717101505

PATA OFA ya Nane Nane, pata kitabu cha CHUO CHA MAUZO na uingie CHUO Bure.
Mbinu Mbili Za Uhakika Za Ukamilishaji Wa Mauzo 63-64
https://amkamtanzania.com/2024/08/07/mbinu-mbili-za-uhakika-za-ukamilishaji-wa-mauzo-63-64/

Habari njema muuzaji bora kabisa kuwahi kutokea, Karibu sana kwenye mwendelezo wa makala zetu za ukamilishaji ambazo ni mwendelezo wa […]