Kama huna pesa nyingi, za kukutosha kula wewe, watoto, wajukuu na vitukuu bila kuimaliza, huruhusiwi kuisema pesa vibaya.
Maana chochote kibaya utakachosema kuhusu pesa yanakuwa ni makasiriko yako tu, ambayo hayatakusaidia kupata pesa kwa wingi.
Kuwa mnyenyekevu, weka kazi ya kutosha, pata pesa, ziheshimu na uzizalishe zaidi.
Ukifanya hayo tu hutakuwa na muda wa kuisema pesa vibaya.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita

#ONK-209; Ustoa - Kujua Yaliyo Ndani Na Nje Ya Uwezo Wetu Ili Tusisumbuke.
https://podcasters.spotify.com/pod/show/dr-makirita-amani/episodes/ONK-209-Ustoa---Kujua-Yaliyo-Ndani-Na-Nje-Ya-Uwezo-Wetu-Ili-Tusisumbuke-e2mgsg7

24.7.27; Pesa.
https://amkamtanzania.com/2024/07/27/24-7-27-pesa/
Kama huna pesa nyingi, za kukutosha kula wewe, watoto, wajukuu na vitukuu bila kuimaliza, huruhusiwi kuisema pesa vibaya. Maana chochote [β¦]

3496; Pata Pesa Kwanza.
https://amkamtanzania.com/2024/07/27/3496-pata-pesa-kwanza/
3496; Pata Pesa Kwanza. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Ukitoa hewa ambayo tunapumua bure, pesa ndiyo kitu kinachofuata [β¦]

Dawa ya hofu huwa ni kufanya hicho unachohofia.
Na ili uweze kufanya licha ya kuhofia, unapaswa kujipa uhakika fulani.
Unapokuwa unajua huwezi kushindwa kabisa, utaweza kufanya licha ya kuwa na hofu na hapo utafanikiwa kwa uhakika.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita

KITABU; HOW TO MAKE A FEW BILLION DOLLARS - MISINGI YA KUFANIKIWA KIBIASHARA.
Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,
Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.
Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,
Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita
Kipindi cha kesho Jumatatu tutakuwa na mada ya;

Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,
Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.
Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,
Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita
Kipindi cha kesho Jumatatu tutakuwa na mada ya;
KITABU; HOW TO MAKE A FEW BILLION DOLLARS - MISINGI YA KUFANIKIWA KIBIASHARA.
Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
24.7.28; Hofu.
https://amkamtanzania.com/2024/07/28/24-7-28-hofu/
Dawa ya hofu huwa ni kufanya hicho unachohofia.Na ili uweze kufanya licha ya kuhofia, unapaswa kujipa uhakika fulani.Unapokuwa unajua huwezi [β¦]

3497; Kinga ya Kushindwa.
https://amkamtanzania.com/2024/07/28/3497-kinga-ya-kushindwa/
3497; Kinga ya Kushindwa. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Hofu ya kushindwa imekuwa kikwazo kikubw kwa wengi kupata mafanikio [β¦]

Nafasi Za Kushiriki Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024 Zimebaki Chache, Chukua Hatua Sasa.
Rafiki yangu mpendwa,
Kila mwaka huwa tunafanya tukio moja kubwa la kimafanikio ambalo linawaleta pamoja watu wote wenye kiu ya mafanikio makubwa.
Tukio hilo ni SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA, ambayo huwa inakuwa na mafunzo, shuhuda na mipango ya kufanyia kazi ili kufanikiwa.
Mwaka huu 2024 SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA inafanyika jijini Dar es salaam, tarehe 27 Oktoba 2024. Utakwenda kujifunza na kuondoka na mpango sahihi wa USIMAMIZI WA FEDHA BINAFSI.
Napenda kuchukua nafasi hii kukujulisha kwamba nafasi za kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 zimebaki chache sana, hivyo kama umepanga kushiriki na hujatoa taarifa, fanya hivyo sasa.
Tuma sasa ujumbe SEMINA 2024 kwenda namba 0717396253.
Chukua hatua sasa ili usiikose nafasi hii ya kipekee sana.

NJIA RAHISI KUINGIZA KIPATO UKIWA UMELALA
Rafiki,
Warren Buffett, mmoja wa wawekezaji bora kuwa kutokea aliwahi kusema; "Kama huwezi kuingiza fedha ukiwa umelala, utafanya kazi maisha yako yote".
Nukuu hiyo imebeba ujumbe muhimu na mkubwa sana kuhusu kujijengea uwezo mkubwa wa kuingiza kipato bila kufanya kazi moja kwa moja.
Njia rahisi kuingiza kipato bila kufanya kazi moja kwa moja ni uwekezaji.
Habari njema kuhusu uwekezaji sio lazima uwe na elimu kubwa, umri mkubwa au pesa nyingi. Ni maamuzi, kujifunza na kuungana na wasimamizi sahihi.
Mimi rafiki yako niko tayari kukufundisha na kusimamia ili uwekeze na fedha zianze kukufanyia kazi.
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na +255713604101 kupata kitabu na huduma.

Jidhibiti Mwenyewe Ili Kuwa Muuzaji Bora Na Kufanya Mauzo Makubwa.
https://amkamtanzania.com/2024/07/29/jidhibiti-mwenyewe-ili-kuwa-muuzaji-bora-na-kufanya-mauzo-makubwa/
Habari njema wauzaji bora kabisa kuwahi kutokea, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya CHUO CHA MAUZO, kwenye eneo la [β¦]

#ONK-210; Kitabu - How To Make A Few Billion Dollars - Misingi Ya Kufanikiwa Kibiashara.
https://podcasters.spotify.com/pod/show/dr-makirita-amani/episodes/ONK-210-Kitabu---How-To-Make-A-Few-Billion-Dollars---Misingi-Ya-Kufanikiwa-Kibiashara-e2mifau

HUPATI UNACHOSTAHILI BALI UNACHOMSHAWISHI
Rafiki,
Kwenye kila eneo la maisha yetu tunahitaji kuwashawishi wengine wakubaliane na sisi. Kama upo kwenye biashara unahitaji kuwashawishi wateja wanunue kwako. Kama ni kiongozi unahitaji kuwashawishi wafuasi wako wakubaliane na wewe.
Ili uweze kufanikiwa kwenye kila eneo la maisha yako, unahitaji sana ushawishi wako kwa wengine.
Haijalishi unafanya nini, uwezo wako wa kuwashawishi wengine ndiyo utakaokupa matokeo makubwa zaidi.
Habari njema ni kwamba kwenye program ya CHUO CHA MAUZO tumetenga siku maalumu kwa ajili ya ushawishi tu.
Ili uweze kupata nafasi ya kujiunga na CHUO CHA MAUZO, wasiliana na namba 0717101505
Kitu kimoja zaidi, ukinunua kitabu cha CHUO CHA MAUZO, unapata ofa ya kujiunga na CHUO CHA MAUZO mwezi mmoja bure kabisa. Wasiliana sasa hivi kwenda namba 0717101505 kupata ofa yako.

Njoo ujifunze KUONGEZA KIPATO CHAKO KWA UHAKIKA.
Rafiki, zimebaki siku 90 pekee kufika siku ya tukio la SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024, itakayofanyika tarehe 27/10/2024.
Kwenye semina hii unakwenda kujifunza jinsi ya kuongeza kipato chako kwa uhakika ili uweze kuwa na maisha huru.
Thibitisha sasa kushiriki semina kwa kutuma ujumbe wasap; SEMINA 2024 kwenda namba 0717396253.
Karibu sana.

Karibu kwenye DARASA MAALUMU LA IJUE AKILI MNEMBA (ARTIFICIAL INTELLIGENCE).
Utajifunza jinsi ya kutumia mapinduzi haya mapya ya kiteknolojia kutengeneza msaidizi binafsi (Personal Assistant) na kukamilisha majukumu yako mbalimbali kwa urahisi.
Darasa litafanyika Jumamosi tarehe 03/08/2024 kwenye kundi la KISIMA CHA MAARIFA.
Ungana nasi hapa; https://chat.whatsapp.com/KHtzXfz8pR85ZTHtJ8ZmS4

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
KUFA MASIKINI NI UZEMBE.
Rafiki
Tutakuelewa kwa kuzaliwa masikini, kwa sababu huchagui uzaliwe na wazazi gani wala upate malezi gani.
Ila hatutakuelewa kabisa kama utakufa masikini, kwa sababu kwa kipindi cha uhai wako una fursa za kupambana kujenga utajiri.
Rafiki, ni kweli hukupata elimu ya fedha, lakini kuna elimu nyingi za fedha zinazopatikana bure kabisa.
Kwenye programu ya NGUVU YA BUKU, ambayo ni bure kabisa, unapata fursa ya kujifunza na kujijengea utajiri kwa uhakika.
Karibu ujiunge na programu hii kwa kutuma ujumbe NGUVU YA BUKU kwenda namba 0678 977 007.
Una kila sababu na kila fursa ya kujenga utajiri kwenye maisha yako.
Chukua hatua sasa ya kuingia kwenye NGUVU YA BUKU.

MAFANIKIO; WA MWISHO NDIYE MSHINDI UMUHIMU WA KUDUMU KWA MUDA MREFU.
Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,
Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.
Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,
Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita
Kipindi cha kesho Jumanne tutakuwa na mada ya;
MAFANIKIO; WA MWISHO NDIYE MSHINDI UMUHIMU WA KUDUMU KWA MUDA MREFU.
Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,
Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.
Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,
Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita
Kipindi cha kesho Jumanne tutakuwa na mada ya;
MAFANIKIO; WA MWISHO NDIYE MSHINDI UMUHIMU WA KUDUMU KWA MUDA MREFU.
Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
PITA HAPA KAMA MISHAHARA YAKO HAIKUTANI...
Rafiki,
Kipindi cha mwisho wa mwezi huwa ni neema kwa wafanyakazi.
Lakini katikati ya mwezi, mambo huwa ni magumu sana.
Hiyo ni kwa sababu kipato cha mshahara huwa ni kidogo na hakikutani na kinachofuata.
Na kusubiri mshahara upande huwa ni kitu ambacho hakiwezi kutabirika wala kutegemewa.
Kama wewe ni mwajiriwa na kipato hakitoshelezi (ndivyo ilivyo kwa waajiriwa wengi) kuna habari njema hapa kwa ajili yako.
Kitabu cha BIASHARA NDANI YA AJIRA kinakupa mwongozo wa kuanzisha na kukuza biashara itakayokuongezea kipato huku ukiendelea na ajira yako.
Ni kwa njia hiyo ndiyo unaweza kujihakikishia kipato cha kuendesha maisha yako.
Jipatie leo nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na 0678 977 007.
Usikubali kuendelea na maisha ya vipato kutokukutana.
Pata kitabu cha BIASHARA NDANI YA AJIRA ujikomboe kwenye kipato.

24.7.29; Aibu.
https://amkamtanzania.com/2024/07/29/24-7-29-aibu/
Ukishakuwa huna pesa, kazana sana usiwe na aibu.Kuona aibu kufanya shughuli halali ya kukuingizia kipato kisa haiendani na hadhi yako [β¦]

3498; Umasikini na Aibu.
https://amkamtanzania.com/2024/07/29/3498-umasikini-na-aibu/
3498; Umasikini na Aibu. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Umasikini na aibu ni vitu ambavyo havipaswi kukaa mahali [β¦]