SOMA VITABU TANZANIAπŸ“š
1.15K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.61K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
TATIZO SIYO PESA UNAYOPATA BALI MATUMIZI

Rafiki,
Ni kawaida kwetu kulalamika juu ya pesa tunavyopata kutoka kwenye biashara au kazi zetu. Na wengi tunajiambia kwamba, pesa haitoshi hatuwezi kufanya uwekezaji.

Hivi umewahi kufikiria juu ya matumizi ya pesa tunayopata? Utakuja kugundua wengi wetu matumizi yanazidi kipato chetu.

Siyo kweli kwamba wanaofanya uwekezaji wanalipwa pesa nyingi au kufanya mauzo makubwa. Ni namna wanavyopangilia matumizi yao dhidi ya kipato.

Hujachelewa, karibu kwenye programu ya NGUVU YA BUKU
Huku tunajifunza na kuchukua hatua kwa uhakika ili kujenga utajiri kupitia uwekezaji na kuthibiti matumizi yetu.

*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na +255713604101kupata kitabu na huduma.
Ukitaka kitu hasa, lazima utafanya kila namna kukipata.
Ukiwa hutaki kitu hasa, utatafuta kila sababu za kukikosa.
Unaweza kujidanganya utakavyo, lakini kama hujafanikiwa, ukweli ni hujataka hasa kufanikiwa.
Taka kweli kufanikiwa na usikubali kukwamishwa na chochote.
Na utafanikiwa bila shaka.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
24.7.23; Sababu.
https://amkamtanzania.com/2024/07/23/24-7-23-sababu/

Ukitaka kitu hasa, lazima utafanya kila namna kukipata.Ukiwa hutaki kitu hasa, utatafuta kila sababu za kukikosa.Unaweza kujidanganya utakavyo, lakini kama […]
3492; Bado Usingetoboa.
https://amkamtanzania.com/2024/07/23/3492-bado-usingetoboa/

3492; Bado Usingetoboa. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Wanaofanikiwa na wanaoshindwa wanatofautiana kwenye kitu kimoja tu, KUTAKA. Wanaofanikiwa wanataka […]
Mbinu Mbili Za Uhakika Za Ukamilishaji Wa Mauzo 59-60
https://amkamtanzania.com/2024/07/24/mbinu-mbili-za-uhakika-za-ukamilishaji-wa-mauzo-59-60/

Habari njema muuzaji bora kabisa kuwahi kutokea, Karibu sana kwenye mwendelezo wa makala zetu za ukamilishaji ambazo ni mwendelezo wa […]
ONDOKA KWENYE HILI GEREZA LA KUJITAKIA.

Rafiki,
Watu wengi wamejiweka kwenye gereza ambalo linawanyima uhuru kwenye maisha yao.

Gereza hilo ni madeni ambayo watu wanakuwa nayo.
Madeni huwa yanaonekana ni mazuri pale mtu anapokuwa na shida.
Lakini wakati wa kuyalipa ndiyo yanakuwa mzigo.

Kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 itakayofanyika DSM tarehe 27/10/2024 utakwenda kujifunza na kuweka mpango kamili wa kuondoka kwenye Madeni.

Na kama huna madeni, semina hii itakusaidia kujipanga vizuri ili usiingie kwenye madeni.

Kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 unalipa ada ya Tsh 65,000/=

Thibitisha sasa ushiriki wako wa semina kwa kuwasiliana na namba 0717396253.

Karibu tujifunze pamoja kuboresha maisha yetu.
#UKITAKA KUONGEZA MAUZO FANYA HIKI

Rafiki,

Mauzo ndiyo moyo wa biashara.
Na ili biashara iweze kwenda vizuri inahitaji fedha.

Mauzo ndiyo yanaleta fedha kwenye biashara yako. Lakini mauzo hayo hayaji bila kuwa na wateja wanaonunua.

Ili biashara iweze kujiendesha na kuwa na uhakika wa mauzo, inahitaji wateja wengi zaidi.
Ni hatari biashara kutegemea wateja wale wale kila siku. Kutegemea wateja wachache ni kujinyima mauzo kwani wateja hao wanaweza kukuzingua wasinunue, wengine kuhama na hata kufa.

Swali la kujiuliza,je biashara yako inawezaje kuongeza wateja wengi kiasi cha kuongeza mauzo mara mbili zaidi?

Habari njema ni kwamba, siku ya JUMANNE kwenye CHUO CHA MAUZO utajifunza namna ya kusaka wateja na kupelekea kuongea mauzo zaidi.

Kitu kimoja zaidi, usakaji ndiyo PUMZI YA BIASHARA UNAPASWA KUFANYIKA MARA ZOTE. Wasiliana na namba 0717101505 kupata kitabu na programu ya CHUO CHA MAUZO.
Usikose ofa ya mwezi julai, ukinunua kitabu unapata ofa ya kujiunga na CHUO CHA MAUZO bure kabisa kwa mwezi.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
WEKA AKIBA KABLA YA MATUMIZI.

Rafiki,
Kinachosababisha watu wengi kushindwa kuweka akiba ni kwa sababu wanatumia kwanza kabla ya kuweka akiba.

Na Kaka tunavyojua, fedha haijawahi kukosa matumizi. Kadiri fedha inavyokuwepo, matumizi yuwa yanapatikana.

Kuondokana na hilo, unapaswa kuweka akiba kabla ya matumizi.

Yaani unapopokea fedha, weka kwanza akiba pembeni kabla hujaanza kufanya matumizi.

Hapo utalazimika kutumia kiasi kinachobaki, huku ukiwa tayari una uwekezaji.

Pata kitabu cha ELIMU YA MSINGI YA FEDHA uweze kujijengea kwa uhakika tabia hii ya kuweka akiba kabla ya matumizi na uweze kuwa imara kifedha.

Wasiliana sasa na 0678 977 007 kupata nakala yako ya kitabu.

Karibu.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
KUPATA UNACHOTAKA, WAPE WENGINE WANACHOTAKA.

Rafiki,
Kupata chochote kile unachotaka, anza kuwapa wengine kile wanachotaka.

Kwa kuwa unataka kupata fedha, wape kwanza wengine fedha.

Unaweza kujiuliza unaweza kuwapaje wengine fedha wakati wewe mwenyewe huna?

Jibu ni rahisi, wasaidie wengine kuongeza kipato chao au kupunguza gharama zao.

Kwa chochote unachofanya, jiulize unawasaidiaje wengine kuongeza kipato au kupunguza matumizi.

Ni kwa njia hiyo ndiyo utaweza kupata fedha unazotaka.

Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu cha MTAALA WA UTAJIRI ujifunze kutoa thamani kubwa ili kujenga utajiri.
ONDOA KUJIKOMBA KOMBA MBELE ZA WENGINE NA UJIAMINI

Rafiki,
Watu huwa wanafikiri kuelezea matatizo yao mbele ya wengine au kuwasifia wengine inasaidia wao kupata pesa.

Sikatai, lakini itakupa pesa za kukupa furaha bandia. Hii unaipata ukiwa na unayemsifia.

Pengine umamzidi elimu, umri na vitu vingine. Sasa ipo njia nzuri kuwa imara na kuongea mbele za wengine kwa kujiamini.

Siri hii ni kuweka akiba na kufanya uwekezaji.

Habari njema ni kwamba, kuweka akiba na kuwekeza hakuhitaji elimu kubwa sana. Mimi rafiki yako niko tayari kukufundisha na kusimamia ili uwekeze.

Karibu sana.

*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na +255713604101 kupata kitabu na huduma.
24.7.24; Milele.
https://amkamtanzania.com/2024/07/24/24-7-24-milele/

Ushauri wa kupenda unachofanya ili ufanikiwe haimaanishi mapenzi ya kitu ndiyo yatakupa mafanikio.Bali kwa kupenda unachofanya, utavuka magumu mengi bila […]
3493; Angalau unapenda.
https://amkamtanzania.com/2024/07/24/3493-angalau-unapenda/

3493; Angalau unapenda. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Imekuwa inashauriwa sana mtu kupenda kile unachofanya ndiyo uweze kufanikiwa. Watu […]
Ushauri wa kupenda unachofanya ili ufanikiwe haimaanishi mapenzi ya kitu ndiyo yatakupa mafanikio.
Bali kwa kupenda unachofanya, utavuka magumu mengi bila kukata tamaa.
Na kama utafanya kitu kwa muda mrefu bila kuacha, lazima utafanikiwa.

Kilicho muhimu ni uwe tayari kufanya kwa muda mrefu bila kuacha na mafanikio yanakuwa yako.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Namna Nzuri Kushughulika Na Wateja Wasumbufu Kwenye Huduma Yako
https://amkamtanzania.com/2024/07/25/namna-nzuri-kushughulika-na-wateja-wasumbufu-kwenye-huduma-yako/

Rafiki,Karibu tena katika mwendelezo wa masomo yetu ya program ya CHUO CHA MAUZO, yanayolenga kutujenga kuwa mauzaji bora kuwahi kutokea […]
FUATA MWONGOZO SAHIHI, UFANIKIWE.

Rafiki,
Kila kitu kwenye maisha huwa kina mwongozo.
Ambao ukifuatwa kwa usahihi matokeo mazuri hupatikana.

Mafanikio nayo yana mwongozo wake, ambao kwa bahati mbaya sana wengi hawaujui na ndiyo maana hawafanikiwi.

Kitabu cha MWONGOZO WA MAISHA YA MAFANIKIO kinakuwezesha wewe kufuata mwongozo sahihi na kufanikiwa.

Ni kitabu ambacho kila mwenye kiu ya mafanikio anapaswa kuwa nacho na kukifanyia kazi.

Usiendelee kujikwamisha kimafanikio kwa kukosa kitabu hiki muhimu.
Wasiliana sasa na 0678 977 007 kujipatia nakala yako ya kitabu.

Karibu upate mwongozo wa mafanikio.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
#ManenoYaUshawishi - 5/24; Pata Picha....

Rafiki,
Huwa kuna usemi; "Kama kusoma huwezi, je picha huoni?"

Usemi huo unaashiria kwamba watu wanaelewa zaidi picha kuliko maneno.

Hivyo kama unataka kuwashawishi watu na hawakuelewi kwa maneno, wape picha.

Wafanye watengeneze picha kwenye akili zao ya kile unachowaeleza na wataelewa zaidi.

Karibu kwenye CHUO CHA MAUZO ujifunze maneno 24 ya ushawishi ili uweze kuyatumia kuwa na ushawishi mkubwa na kufanya mauzo makubwa.

Wasiliana sasa na 0717 101 505 kupata nafasi hiyo nzuri.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
UNGANA NA WATU SAHIHI, UFANIKIWE.

Rafiki,
Watu wengi wanakwama kufanikiwa kwa sababu wanapambana peke yao.

Hilo linawafanya wawe dhaifu na kuangushwa kirahisi.
Kupata mafanikio makubwa, ambatana na watu sahihi.

Kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 utapata kuungana na watu sahihi kwa mafanikio yako.

Kwenye SEMINA hiyo utaondoka na mkakati wa kwenda kufanyia kazi na utaweza kuongeza kipato na kufanya uwekezaji mkubwa.

Semina itafanyika Dar tarehe 27/10/2024 kwa kiingilio cha Tsh 65,000/=.

Jiwekee nafasi ya kushiriki kwa kutuma ujumbe SEMINA 2024 kwenda namba 0717396253.

Karibu sana.