SOMA VITABU TANZANIAπŸ“š
1.15K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.61K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
3490; Siyo Tatizo.
https://amkamtanzania.com/2024/07/21/3490-siyo-tatizo/

3490; Siyo Tatizo. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Huwa kuna kauli ya Kiswahili inayosema; Ukitaka kumuua mbwa, mpe jina […]
Tatizo linakuwa tatizo pale linapoonekana tatizo.
Lakini tatizo linaacha kuwa tatizo pale linapoonekana siyo tatizo bali ni changamoto.

Changamoto zinavukwa na matokeo makubwa kupatikana.
Kinachokukwamisha, kibadili jina na kukipa lile ambalo ni rahisi kwako.
Unakuwa umevuka mengi yanayowakwamisha walio wengi.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Kuwa Mtoaji Ili Kuwa Muuzaji Bora Na Kufanya Mauzo Makubwa.
https://amkamtanzania.com/2024/07/22/kuwa-mtoaji-ili-kuwa-muuzaji-bora-na-kufanya-mauzo-makubwa/

Habari njema wauzaji bora kabisa kuwahi kutokea, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya CHUO CHA MAUZO, kwenye eneo la […]
JE UNAIJUA NA KUIFUATA KANUNI?

Rafiki,
Kila kitu kwenye maisha huwa kina kanuni.

Mafanikio yana kanuni zake.
Na siku za mafanikio nazo zina kanuni zake.

Kitabu cha KANUNI YA SIKU YA MAFANIKIO kinakupa mwongozo wa kuiishi kila siku yako kwa mafanikio makubwa.

Kitabu kinakuongoza ni mambo gani ufanye asubuhi, mchana na jioni ili kila siku yako iwe ya mafanikio makubwa.

Jipatie nakala yako ya kitabu leo ili uweze kuwa na siku zenye mafanikio makubwa.

Wasiliana na 0678 977 007 kujipatia nakala ya kitabu.
MAENEO MATANO YA KUFANYIA KAZI ILI KUFANIKIWA.

Rafiki,
Mafanikio kwenye maisha yanahusisha maeneo tofauti.

Ili uwe na maisha ya mafanikio yaliyokamilika, unahitaji kufanyia kazi maeneo haya matano;
1. Kuwa na biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
2. Kuwa na matumizi yasiyozidi kipato.
3. Kutokuwa na madeni mabaya.
4. Kuwa na akiba ya dharura.
5. Kuwa na uwekezaji unaokupa uhuru wa kifedha.

Kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 unakwenda kupata mpango wako kamili wa mafanikio kwenye maeneo hayo matano.

Semina itafanyika tarehe 27/10/2024 DSM.

Ada Ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/=.
Kupata nafasi ya kushiriki semina, tuma taarifa zako sasa kwenda namba 0717396253.

Karibu sana uende kupindua meza kwenye eneo la fedha na uwekezaji.
Shiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
UNAHITAJI BUKU TU KUJENGA UTAJIRI MKUBWA.

Rafiki,
Buku, au shilingi elfu 1 ni pesa unayoweza kuidharau.

Lakini ni pesa ambayo ina uwezo wa kukujengea utajiri mkubwa sana.

Unachohitaji ni namna bora ya kuiwekeza fedha hiyo ndogo, kwa muda mrefu na msimamo.

Kwenye programu ya NGUVU YA BUKU unapata mafunzo, mwongozo na usimamizi wa kuweza kujenga utajiri mkubwa.

Hupaswi kukosa programu hii kama kweli una nia ya kujenga utajiri kwenye maisha yako.

Kuingia kwenye programu ya NGUVU YA BUKU tuma ujumbe wenye maneno NGUVU YA BUKU kwenda namba 0678 977 007 sasa.

Usile buku ambazo ndiyo mbegu ya utajiri wako. Karibu uungane nasi tujenge utajiri.
24.7.22; Wasiwasi.
https://amkamtanzania.com/2024/07/22/24-7-22-wasiwasi/

Dawa ya mafanikio ya kukopa, pale unapokuwa umepata matokeo makubwa kuliko juhudi ulizoweka, ni kulipa gharama ambayo hukulipa. Weka juhudi […]
3491; Dawa ya wasiwasi wa mafanikio.
https://amkamtanzania.com/2024/07/22/3491-dawa-ya-wasiwasi-wa-mafanikio/

3491; Dawa ya wasiwasi wa mafanikio. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Huwa kuna wasiwasi ambao unaambatana na kila hatua […]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
#ManenoYaUshawishi - 3/24; Unajua Nini Kuhusu .... ?

Rafiki,
Unaweza kukutana na watu ambao wanajiona ni wajuaji, lakini wanakuwa wanakosea.

Ukiwaambia kwamba wanakosea, unakuwa umewapoteza kabisa.

Ili uwe na ushawishi kwa watu wa aina hiyo, unapaswa kuwauliza swali la WANAJUA NINI KUHUSU kile ambacho tayari wanajiona wanakijua.

Kwa wao kueleza kile wanachojua, watagundua kama wanajua kweli au wanakosea.

Kwenye kitabu cha CHUO CHA MAUZO unapata nafasi ya kujifunza kuhusu MANENO YA USHAWISHI ambayo yapo 24.

Ukiyajua na kuyatumia maneno hayo, utakuwa na ushawishi mkubwa kwa wengine na kuweza kuuza zaidi.

Karibu ujipatie kitabu cha CHUO CHA MAUZO kwa kuwasiliana na 0678 977 007 sasa.
HATUA 7 ZA KUJENGA BIASHARA ISIYOKUTEGEMEA.

Rafiki,
Kitabu cha Clockwork kilichoandikwa na Mike Michalowicz kinaelezea hatua Saba za kujenga biashara inayoweza kujiendesha bila kukutegemea wewe moja kwa moja.
Hatua hizo ni kama ifuatavyo;
1. Kuunda biashara ambayo haitegemei wewe kufanya.
2. Kujua jukumu kuu la biashara.
3. Kulinda jukumu hilo kuu.
4. Kuweka mfumo.
5. Kuchagua mteja bora wa kumhudumia.
6. Kuweka mlinganyo kwenye timu.
7. Kufuatilia namba za biashara.
Hatua zote Saba zimechambuliwa kwa urahisi sana hapa; https://youtu.be/qb26_Jvcfyw

Karibu ujifunze na ujenge biashara inayokuweka huru.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
HUWEZI KUTAJIRIKA BILA KUWA NA WATUMWA....

Rafiki,
Miaka ya zamani, mataifa yaliyowahi kuendelea yalikuja kwenye mataifa ambayo hayajaendelea na kuwachukua watu kama watumwa.

Walienda kuwatumikisha watu hao na wakawazalishia utajiri mkubwa.

Kwa sasa biashara ya utumwa imefutwa duniani.
Lakini bado kama unataka kufanikiwa lazima uwe na watumwa.

Huwezi kujenga utajiri mkubwa bila kuwa na watu wanaokufanyia kazi usiku na mchana na kukuzalishia fedha.

Uzuri ni kwa sasa kuna mifumo mingi inayokuwezesha kuzalisha fedha bila kufanya kazi moja kwa moja.

Kuwekeza ni moja ya njia za kuifanya fedha yako ikufanyie wewe kazi.
Usiku na mchana fedha inakuzalishia fedha zaidi.

Huyo ndiye mtumwa unayeweza kumtumia vizuri kwenye utajiri.

Kitabu cha ELIMU YA MSINGI YA FEDHA kimeeleza kwa lugha rahisi kabisa aina za uwekezaji unazoweza kuanza nazo mara moja.

Pata sasa kitabu kwa kuwasiliana na 0678 977 007 ili na wewe uweze kuwa na watumwa wanaokujengea utajiri.
Dawa ya mafanikio ya kukopa, pale unapokuwa umepata matokeo makubwa kuliko juhudi ulizoweka, ni kulipa gharama ambayo hukulipa.

Weka juhudi kubwa zaidi ya kazi, jitoe mhanga, nenda hatua ya ziada na utajiamini kwamba hata ukipoteza ulichonacho, unaweza kuanza upya na ukafanikiwa.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
MAFANIKIO; JINSI YA KUGATUA KWA USAHIHI ILI KUPATA MATOKEO BORA.

Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,

Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.

Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,

Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita

Kipindi cha kesho Jumanne tutakuwa na mada ya;

MAFANIKIO; JINSI YA KUGATUA KWA USAHIHI ILI KUPATA MATOKEO BORA.

Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Tumia Orodha Mbalimbali Kufikia Wateja Wengi Zaidi.
https://amkamtanzania.com/2024/07/23/tumia-orodha-mbalimbali-kufikia-wateja-wengi-zaidi/

Habari njema wauzaji bora kuwahi kutokea. Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya CHUO CHA MAUZO, yenye lengo […]
HIVI NDIVYO UNAVYOWEZA KUWA BORA KWENYE MAJADILIANO

Kwenye maisha huwa hatupati kile tunachostahili, bali tunapata kile tunachoweza kuwashawishi wengine wakatupa kupitia majadiliano.

Hivyo ili uweze kupata mafanikio makubwa kadiri ya unavyotaka kwenye maisha yako, unapaswa kuwa bora kwenye majadiliano.

Kama muuzaji, kazi yako kila siku inakutaka uwe vizuri sana kwenye majadiliano. Kwani wateja watakuwa wanakupa mapingamizi kila wakati.

Bila ya kuwa vizuri kwenye majadiliano, utaishia kuuziwa na wateja badala ya wewe kuwauzia.

Ili uendelee kuwa bora kwenye majadiliano mengi na kushinda dili nyingi kila siku, unapaswa kuwa bora kwenye majadiliano.

Habari njema ni kwamba kila jumatatu kwenye CHUO CHA MAUZO tunajifunza somo la maendeleo binafsi (personal development). Kupata huduma ya CHUO CHA MAUZO ili na wewe uwe bora kwenye eneo la maendeleo binafsi wasiliana kwa namba hii 0717101505 kupata nafasi yako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
#ManenoYaUshawishi - 4/24; Utajisikiaje Kama....

Rafiki,
Sisi binadamu ni viumbe wa kihisia.
Huwa tunafanya maamuzi yetu kwa hisia kwanza kabla ya kuhalalisha kwa mantiki.

Kama unataka kuwashawishi watu, anza kwa kugusa hisia zao.
Na njia rahisi ya kugusa hisia za watu ni kuwauliza watajisikiaje kama tukio fulani litatokea.

Utajisikiaje Kama.... ni maneno ya ushawishi yanayoibua hisia ndani ya watu na kuwasukuma kufanya maamuzi.

Tumia maneno hayo ili uweze kuwashawishi watu na kuuza zaidi.

Karibu kwenye CHUO CHA MAUZO upate kitabu na mafunzo ya kutumia maneno haya ya ushawishi na uweze kuuza zaidi.

Wasiliana na 0717 101 505 sasa kupata nafasi hiyo nzuri.
INGIZA KIPATO KISICHO NA UKOMO.

Rafiki,
Dunia huwa ina utele, hakuna chochote chenye uhaba.
Lakini watu wengi tumejiwekea ukomo kwenye vipato vyetu.

Hakuna mtu yeyote ambaye analazimika kuwa na ukomo kwenye kipato chake.

Lakini wengi wananasa hapo kwa kukosa miongozo sahihi.

Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 ujifunze jinsi ya kuingiza kipato kisichokuwa na ukomo.

Semina itafanyika tarehe 27/10/2024 DSM, MBEZI GARDEN HOTEL.

Ada Ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/=.
Kupata nafasi ya kushiriki semina, tuma taarifa zako sasa kwenda namba 0717101505.

Karibu sana uende kupindua meza kwenye eneo la fedha na uwekezaji.
Shiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
JENGA BIASHARA ISIYOKUTEGEMEA.

Rafiki,
Biashara ndiyo njia ya uhakika ya kujenga utajiri mkubwa.

Lakini wengi wanaofanya biashara hawana utajiri wala uhuru.

Na hiyo ni kwa sababu wao ndiyo wanaofanya kila kitu kwenye biashara.

Kujenga biashara itakayokuweka huru, unapaswa kuwa na mfumo mzuri wa kuiendesha biashara yako.

Kwenye BILIONEA MAFUNZONI unapata nafasi ya kujifunza na kuongozwa kujenga biashara inayojiendesha kwa mfumo.

Hapo ndipo unapojenga uhuru na utajiri mkubwa.

Wasiliana sasa na 0678 977 007 kupata kitabu cha BILIONEA MAFUNZONI na kuingia kwenye programu ya mafunzo na usimamizi.