This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
#ManenoYaUshawishi - 1/24; Sina Uhakika Kama Itakufaa, Lakini ...
Rafiki,
Pale unapotaka kuwapendekezea watu kitu cha tofauti, tanguliza maneno; Sina Uhakika Kama Itakufaa, Lakini...
Maneno hayo yana ushawishi mkubwa kwa sababu yanamfanya mtu awe na shauku ya kujua hiyo LAKINI inahusu nini.
Kwenye CHUO CHA MAUZO unajifunza maneno 24 ya ushawishi ambayo ukiyatumia unaweza kufanya mauzo makubwa.
Wasiliana sasa na 0717 101 505 kupata nafasi ya kuingia kwenye programu ya CHUO CHA MAUZO na kukuza mauzo yako mara dufu.

Tumia Silaha Ya Upendo Kumuuzia Mteja Unayemfuatilia
https://amkamtanzania.com/2024/07/19/tumia-silaha-ya-upendo-kumuuzia-mteja-unayemfuatilia/
Rafiki, Karibu katika mwendelezo wa masomo yetu ya ufuatiliaji yenye lengo la kuifichua pesa ya mteja ili ije kwenye biashara. [β¦]
https://amkamtanzania.com/2024/07/19/tumia-silaha-ya-upendo-kumuuzia-mteja-unayemfuatilia/
Rafiki, Karibu katika mwendelezo wa masomo yetu ya ufuatiliaji yenye lengo la kuifichua pesa ya mteja ili ije kwenye biashara. [β¦]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
#ManenoYaUshawishi - 2/24; MTAZAMO CHANYA.
Rafiki,
Kila mtu huwa anapenda kuonekana ana mtazamo chanya.
Hivyo kuanza maelezo yako na "Mtazamo chanya... " unakuwa na ushawishi zaidi kwa wengine.
Je utakuwa na mtazako chanya wa kukuza mauzo yako zaidi ya mara mbili kwa mwaka?
Wasiliana sasa na 0717 101 505 upate kitabu cha CHUO CHA MAUZO na uingie kwenye programu ya mafunzo ya mauzo kila siku.
Rafiki,
Kila mtu huwa anapenda kuonekana ana mtazamo chanya.
Hivyo kuanza maelezo yako na "Mtazamo chanya... " unakuwa na ushawishi zaidi kwa wengine.
Je utakuwa na mtazako chanya wa kukuza mauzo yako zaidi ya mara mbili kwa mwaka?
Wasiliana sasa na 0717 101 505 upate kitabu cha CHUO CHA MAUZO na uingie kwenye programu ya mafunzo ya mauzo kila siku.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
#PovuLaPesa; KAMA UNATAKA UTAJIRI, USIFANYE BIASHARA.
Rafiki,
Imekuwa inashauriwa watu wafanye biashara ili kuwa na kipato kikubwa na cha uhakika.
Lakini kwenye KUFANYA, hakuna uhuru. Utaweza kuingiza kipato kikubwa, lakini ni lazima ufanye.
Kulazimika kufanya siyo utajiri.
Badala ya KUFANYA biashara, unapaswa KUJENGA biashara. Unapojenga biashara inakuwa na uwezo wa kujiendesha yenyewe bila kukutegemea moja kwa moja.
Kwenye kitabu cha MTAALA WA UTAJIRI utajifunza jinsi ya kujenga biashara inayojiendesha yenyewe bila kukutegemea moja kwa moja.
Pata nakala yako leo kwa kuwasiliana na 0678 977 007.

#ONK-201; Kamwe Usichukue Ushauri Wa Uwekezaji Kwa Watu Hawa.
https://podcasters.spotify.com/pod/show/dr-makirita-amani/episodes/ONK-201-Kamwe-Usichukue-Ushauri-Wa-Uwekezaji-Kwa-Watu-Hawa-e2m70ar

Kamwe Usichukue Ushauri Wa Watu Hawa Kwenye Uwekezaji.
https://amkamtanzania.com/2024/07/19/kamwe-usichukue-ushauri-wa-watu-hawa-kwenye-uwekezaji/
Habari njema Matajiri Wawekezaji, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya [β¦]

3488; Kikwazo Ndiyo Kichocheo.
https://amkamtanzania.com/2024/07/19/3488-kikwazo-ndiyo-kichocheo/
3488; Kikwazo Ndiyo Kichocheo. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Vile vitu ambavyo tunaviona ni vikwazo kwetu kufanikiwa, hivyo [β¦]

24.7.19; Kikwazo.
https://amkamtanzania.com/2024/07/19/24-7-19-kikwazo/
Kama unataka mafanikio, lakini unasema kuna kitu kinakuzuia, maana yake huyataki mafanikio. Ukiyataka mafanikio kweli, hakuna kinachoweza kukuzuia. Utageuza kila [β¦]

Ndani ya hiki kitabu kuna;
1. Uchambuzi wa vitabu 50 bora vya mafanikio.
2. Siri 50 bora za mafanikio.
3. Kanuni 50 bora za fedha.
4. Tafakari 50 za kufikirisha.
5. Masomo 50 ya mafanikio.
Yote hayo unayapata ndani ya kitabu kimoja kikubwa cha 5 ZA MAJUMA 50 YA MWAKA.
Wasiliana sasa na 0678 977 007 kujipatia nakala yako.

Jinsi Ya Kuwabadili Watu Bila Kuibua Hasira Au Chuki Kanuni Ya Sita
https://amkamtanzania.com/2024/07/20/jinsi-ya-kuwabadili-watu-bila-kuibua-hasira-au-chuki-kanuni-ya-sita/
Habari njema muuzaji bora kuwahi kutokea, Hongera na karibu sana kwenye mwendelezo wa makala zetu za ushawishi kutoka kwenye programu [β¦]

SANUKA; WAMEKUGEUZA MSUKULE...
Rafiki,
Umewahi kujiuliza inakuwaje unatumia mitandao ya kijamii bure, lakini wamiliki wa mitandao hiyo ni mabilionea?
Ni kwa sababu mitandao hiyo imekugeuza wewe kuwa msukule.
Inakufanyisha kazi bila malipo na yenyewe inanufaika.
Mitandao hiyo ina mbinu zinazokuweka wewe kwenye utumwa wa kuitumia kwa wingi hata kama hakuna manufaa unayopata.
Kitabu cha EPUKA UTUMWA WA KIDIJITALI ndiyo mkombozi wako kutoka kufanywa msukule.
Jipatie nakala yako leo ili uweze kuondoka kwenye utumwa ulionasa sasa.
Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu hiki ambacho ni ukombozi kwako.
Karibu.

HUU NDIYO MPANGO BORA WA USIMAMIZI WA FEDHA BINAFSI UNAOPASWA KUWA NAO.
Rafiki,
Usimamizi wa fedha binafsi ndiyo kitu muhimu sana kwenye maisha.
Maana ndipo mambo yote yanapoanzia.
Kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 unakwenda kupata mpango wako kamili wa kufanyia kazi na kupata utajiri na uhuru wa kifedha.
Mpango unaoenda kutoka nao utakuwa na;
1. Njia za uhakika za kuongeza kipato.
2. Namna bora ya kudhibiti matumizi.
3. Mkakati wa kuondoka kwenye madeni.
4. Mpango wa kuweka akiba bila kuingilia.
5. Mpango wa uwekezaji kufikia uhuru wa kifedha.
Hayo yote utajifunza na kuondoka na mkakati kamili wa kufanyia kazi.
Semina itafanyika tarehe 27/10/2024 DSM.
Ada Ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/=.
Kupata nafasi ya kushiriki semina, tuma taarifa zako sasa kwenda namba 0717396253.
Karibu sana uende kupindua meza kwenye eneo la fedha na uwekezaji.
Shiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

MALEZI YANAVYOKUATHIRI KIFEDHA...
Rafiki,
Tabia ulizonazo sasa kifedha, kwa sehemu kubwa sana umeziiga kutokana na malezi uliyoyapata kwenye familia.
Kwa sababu hatuna mafunzo rasmi Ya fedha, tumekuwa tunaiga wale wa karibu.
Kama huridhishwi na namna unavyoenda kifedha, ni wakati wa kuchukua hatua ya kupata maarifa sahihi.
Kwa kuanza na kitabu cha MTAALA WA UTAJIRI unakwenda kupata mwongozo sahihi wa kujijengea utajiri na uhuru wa kifedha.
Wasiliana sasa na 0678 977 007 uweze kupata nakala yako ya kitabu.

USIKOSE TUKIO HILI LINALOTOKEA MARA MOJA TU KWA MWAKA.
Rafiki,
SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA ni tukio ambalo huwa linatokea mara moja pekee kwa mwaka.
Lakini kishindo cha tukio hilo huwa kinadumu kwa muda mrefu sana.
Kishindo hicho kinaleta mapinduzi makubwa kwenye maisha yako.
Mwaka huu semina ni tarehe 27/10/2024 jijini Dar es salaam.
Hii siyo nafasi ya wewe kukosa, kwa sababu utakayokwenda kupata yatabadili sana maisha yako.
Kupata nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 tuma sasa ujumbe kwenda namba 0717 101 505.
Chukua hatua sasa ili kujihakikishia nafasi ya kushiriki.
Nafasi zilizopo ni chache, wahi usikose.

#ONK-202; Ustoa; Jinsi Ya Kukubaliana Na Asili Na Kuwa Na Maisha Bora Na Tulivu.
https://podcasters.spotify.com/pod/show/dr-makirita-amani/episodes/ONK-202-Ustoa-Jinsi-Ya-Kukubaliana-Na-Asili-Na-Kuwa-Na-Maisha-Bora-Na-Tulivu-e2m86tg

NJIA MBILI ZA KUFIKIA UBILIONEA; MATATIZO NA MAHITAJI.
Rafiki,
Njia ya kujenga utajiri kwa ngazi ya ubilionea iko wazi kwa kila mtu.
Inahusisha kujenga biashara ambayo inagusa moja kati ya haya mawili;
1. Kutatua TATIZO ambalo watu wanalo.
2. Kutimiza HITAJI ambalo watu wanalo.
Ukiweza kuwa na biashara ambayo mteja anakupa dola 10 kila mwezi (elfu 30) kwa mwaka mzima unahitaji wateja wateja milioni 10 tu kufikia ubilionea.
Ukiwa na wateja wa dola 100, unawahitaji milioni 1.
Kadhalika wakiweza kukulipq dola elfu 1, unawahitaji laki 1.
Ili uweze kuwahudumia wateja wengi kiasi hicho, utahitahi kuwa na biashara kubwa, yenye matawi mengi na wafanyakazi wengi.
Hayo yanakutaka ujenge biashara kwa mfumo wa kutokukutegemea wewe moja kwa moja.
Kitabu cha BILIONEA MAFUNZONI pamoja na programu yake vinakupa mwongozo wa kukamilisha hilo.
Jipatie nakala yako sasa kwa kuwasiliana na 0678 977 007.

Mafanikio yako ni mchezo wa mzunguko,
Unapaswa kumaliza mzunguko ndiyo upate unachotaka.
Kijumbe wa mchezo huo ni wewe mwenyewe.
Amua sasa kama utakamilisha mzunguko na ufanikiwe.
Au utaendelea kuishia katikati na kukosa mafanikio.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita

24.7.20; Kijumbe.
https://amkamtanzania.com/2024/07/20/24-7-20-kijumbe/
Mafanikio yako ni mchezo wa mzunguko,Unapaswa kumaliza mzunguko ndiyo upate unachotaka.Kijumbe wa mchezo huo ni wewe mwenyewe. Amua sasa kama [β¦]

3489; Kamilisha mzunguko.
https://amkamtanzania.com/2024/07/20/3489-kamilisha-mzunguko/
3489; Kamilisha mzunguko. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Watu wanaocheza michezo ya fedha, wanajua umuhimu wa mzunguko kukamilika.Yaani hata [β¦]

24.7.21; Tatizo.
https://amkamtanzania.com/2024/07/21/24-7-21-tatizo/
Tatizo linakuwa tatizo pale linapoonekana tatizo.Lakini tatizo linaacha kuwa tatizo pale linapoonekana siyo tatizo bali ni changamoto. Changamoto zinavukwa na [β¦]