Kuwa Bora Kwenye Majadiliano Ili Kuwa Muuzaji Bora Na Kufanya Mauzo Makubwa.
https://amkamtanzania.com/2024/07/15/kuwa-bora-kwenye-majadiliano-ili-kuwa-muuzaji-bora-na-kufanya-mauzo-makubwa/
Habari njema wauzaji bora kabisa kuwahi kutokea, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya CHUO CHA MAUZO, kwenye eneo la [β¦]

Tumia Kampeni Maalumu Kufikia Wateja Wengi Zaidi.
https://amkamtanzania.com/2024/07/16/tumia-kampeni-maalumu-kufikia-wateja-wengi-zaidi/
Habari njema wauzaji bora kuwahi kutokea. Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya CHUO CHA MAUZO, yenye lengo [β¦]

3485; Dunia ni yako.
https://amkamtanzania.com/2024/07/16/3485-dunia-ni-yako/
3485; Dunia ni yako. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Kadiri muda unavyokwenda, viwango vya ushindi vinashushwa kwa kasi [β¦]

24.7.16; Yasiyobadilika.
https://amkamtanzania.com/2024/07/16/24-7-16-yasiyobadilika/
Usijifiche nyuma ya teknolojia na kuacha kuweka juhudi kubwa zinazohitajika ili ufanikiwe. Kumbuka maendeleo ya teknolojia hayaondoi hitaji la juhudi [β¦]

Usijifiche nyuma ya teknolojia na kuacha kuweka juhudi kubwa zinazohitajika ili ufanikiwe.
Kumbuka maendeleo ya teknolojia hayaondoi hitaji la juhudi kwenye mafanikio.
Endelea kuweka juhudi kubwa na utapata mafanikio makubwa.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita

#ONK-198; Mafanikio - Simamia Maadili Yako Binafsi Kwenye Safari Yako Ya Mafanikio.
https://podcasters.spotify.com/pod/show/dr-makirita-amani/episodes/ONK-198-Mafanikio---Simamia-Maadili-Yako-Binafsi-Kwenye-Safari-Yako-Ya-Mafanikio-e2m2pmi

USIKOSE TUKIO HILI KUBWA LA MWAKA.
Rafiki,
Kila mwaka huwa tunakutana ana kwa ana watu wote wenye kiu ya mafanikio makubwa.
Hili ni kusanyiko la watu waliojitoa hasa kuhakikisha wanafanya makubwa na kuacha alama hapa duniani.
Ni watu ambao ukiambatana nao na wewe utaweza kufanya makubwa sana kwenye maisha yako.
Tukio hilo ni SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA ambayo mwaka huu 2024 inafanyika tarehe 25 - 27 Oktoba, jijini Dar.
SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 inakufaa sana kama;
1. Unataka kujenga biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
2. Unataka kukuza mauzo mara mbili.
3. Unataka kujenga utajiri na uhuru wa kifedha.
Karibu uungane basi kwenye semina ya mwaka huu 2024.
Kupata nafasi ya kushiriki semina tuma ujumbe SEMINA 2024 kwenda namba 0717396253.
Chukua hatua sasa ili usiikose nafasi.

SANUKA; MAZOEZI HAYAPUNGUZI UZITO.
Rafiki,
Watu wamekuwa wanahangaika na kufanya mazoezi kama njia ya kupunguza uzito.
Lakini ukweli ni kwamba mazoezi huwa hayapunguzi uzito, bali yanajenga mwili.
Njia ya uhakika ya kupunguza uzito ni KUFUNGA. Unapoupunguzia mwili chakula, unatumia kile kilichohifadhiwa.
Hilo linapelekea uzito wa mwili kupungua.
Ndani ya FAMILIA YA KISIMA CHA MAARIFA tuna programu inayoitwa ISHI MIAKA 100.
Kwenye programu hiyo tunafunga kwa vipindi (intermittent fasting).
Huu ni ufungaji bora ambao unawezesha kupunguza uzito kwa uhakika.
Tunakula ndani ya masaa 8 na kufunga masaa 16.
Kama ungependa kuwa ndani ya programu hii, ungana nasi hapa; https://chat.whatsapp.com/KHtzXfz8pR85ZTHtJ8ZmS4
Karibu ujenge afya bora na kuishi miaka π―

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
KUZA MAUZO MARA MBILI KWA UHAKIKA.
Rafiki,
Inawezekana kabisa kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.
Unachohitaji ni kuwa na mchakato sahihi ambao unaufanyia kazi.
Kitabu cha CHUO CHA MAUZO, pamoja na programu ambayo inaambatana na kitabu, vinakwenda kukupa mpango kamili wa kukuza mauzo.
Habari njema ni kwamba leo kuna ofa nzuri kwako kwenye kujiunga na CHUO CHA MAUZO.
Kupata ofa hiyo, wasiliana 0717 101 505.
Njoo upate mkakati wa kukuza mauzo yako kwa uhakika.

Mbinu Mbili Za Uhakika Za Ukamilishaji Wa Mauzo 57-58
https://amkamtanzania.com/2024/07/17/mbinu-mbili-za-uhakika-za-ukamilishaji-wa-mauzo-57-58/
Habari njema muuzaji bora kabisa kuwahi kutokea, Karibu sana kwenye mwendelezo wa makala zetu za ukamilishaji ambazo ni mwendelezo wa [β¦]

#ONK-199; 100 Kwa 100 - Mkakati Wa Kukuza Mauzo Ndani Ya Siku 100.
https://podcasters.spotify.com/pod/show/dr-makirita-amani/episodes/ONK-199-100-Kwa-100---Mkakati-Wa-Kukuza-Mauzo-Ndani-Ya-Siku-100-e2m46cd

Kinachokukwamisha siyo kile ulichokosa,
Bali kushindwa kutumia vizuri kile ulichonacho.
Kwa kila ulichokosa tayari una mbadala wake.
Tumia huo mbadala upige hatua kuliko kubaki hapo ulipo sasa.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Bali kushindwa kutumia vizuri kile ulichonacho.
Kwa kila ulichokosa tayari una mbadala wake.
Tumia huo mbadala upige hatua kuliko kubaki hapo ulipo sasa.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
FUNGUA AKILI YAKO UPOKEE MAFANIKIO YAKO.
Mafanikio makubwa unayoyataka, tayari yanakuzunguka.
Unashindwa kuyapata kwa sabahu umefunga akili yako.
Ni kwa kufungua akili yako ndiyo utaweza kutumia fursa nyingi zinazokuzunguka kufanikiwa.
Akili huwa inafunguliwa na maarifa, tena yanayopatikana kupitia usomaji wa vitabu.
Hiyo ina maana kwamba kama unataka kupata mafanikio makubwa, basi soma vitabu.
Kila unachotaka, tayari kimeelezwa vizuri ndani ya vitabu.
Kwa bahari mbaya sana watu wengi wamekuwa wanakwama kwenye usomaji wa vitabu.
Ndiyo maana kwenye FAMILIA YA KISIMA CHA MAARIFA tuna programu ya KURASA 10 KILA SIKU.
Kwenye programu hii tunasoma angalau kurasa 10 tu za kitabu kila siku.
Karibu uambatane nasi ili hapa; https://chat.whatsapp.com/KHtzXfz8pR85ZTHtJ8ZmS4
Usijikwamishe kufanikiwa, chukua hatua sasa.

3486; Kinachokuzuia siyo ulichokosa.
https://amkamtanzania.com/2024/07/17/3486-kinachokuzuia-siyo-ulichokosa/
3486; Kinachokuzuia siyo ulichokosa. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Ukimuuliza mtu yeyote ambaye hajafanikiwa ni kitu gani kimemkwamisha, atakujibu [β¦]

24.7.17; Unajikwamisha.
https://amkamtanzania.com/2024/07/17/24-7-17-unajikwamisha/
Kinachokukwamisha siyo kile ulichokosa,Bali kushindwa kutumia vizuri kile ulichonacho. Kwa kila ulichokosa tayari una mbadala wake.Tumia huo mbadala upige hatua [β¦]

Kama kuna mambo muhimu unataka kufanya na huna muda wa kuyafanya, ongeza kasi kwenye hayo unayofanya sasa.
Unaongeza kasi kwa kufanya hayo unayofanya sasa kwa nusu ya muda ambao unayafanya sasa.
Mengi unayofanya sasa, unatumia muda mrefu kuliko inavyopaswa.
Unaweza kuyafanya vizuri tu kwa nusu ya muda unaofanya sasa.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Unaongeza kasi kwa kufanya hayo unayofanya sasa kwa nusu ya muda ambao unayafanya sasa.
Mengi unayofanya sasa, unatumia muda mrefu kuliko inavyopaswa.
Unaweza kuyafanya vizuri tu kwa nusu ya muda unaofanya sasa.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
NJOO UPATE ELIMU SAHIHI YA FEDHA UEPUKE KUTAPELIWA.
Rafiki,
Changamoto kubwa ya fedha kwenye zama hizi ni watu kukosa elimu sahihi ya fedha.
Matokeo yake ni watu kutapeliwa na kuingia kwenye madeni ambayo yanawavuruga sana.
Kwa kuona hilo, Benki Kuu Ya Tanzania (BOT) imeandaa watoa elimu ya fedha (Certified Financial Educators).
Mimi Kocha Dr. Makirita Amani ni mmoja wa watoa elimu ya fedha walioidhibishwa na BOT.
Nikukaribishe kwenye programu ya NGUVU YA BUKU ambapo natoa mafunzo na usimamizi wa karibu kwenye eneo la fedha.
Karibu ujiunge hapa; https://chat.whatsapp.com/KHtzXfz8pR85ZTHtJ8ZmS4
Karibu upate elimu uepuke kupoteza fedha zako.

3487; Kasi kwenye mafanikio.
https://amkamtanzania.com/2024/07/18/3487-kasi-kwenye-mafanikio/
3487; Kasi kwenye mafanikio. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Kwenye kujenga mafanikio makubwa, kasi inahitajika.Siyo tu kasi ya [β¦]

24.7.18; Kasi.
https://amkamtanzania.com/2024/07/18/24-7-18-kasi/
Kama kuna mambo muhimu unataka kufanya na huna muda wa kuyafanya, ongeza kasi kwenye hayo unayofanya sasa. Unaongeza kasi kwa [β¦]

#ONK-200; Kufunga Kwa Vipindi - Njia Bora Ya Kupunguza Uzito Na Kuwa Na Afya Bora.
https://podcasters.spotify.com/pod/show/dr-makirita-amani/episodes/ONK-200-Kufunga-Kwa-Vipindi---Njia-Bora-Ya-Kupunguza-Uzito-Na-Kuwa-Na-Afya-Bora-e2m5nbs