3482; Yanayotangulia.
https://amkamtanzania.com/2024/07/13/3482-yanayotangulia/
3482; Yanayotangulia. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Mapenzi ya dhati kwenye kitu huwa yanatangulia ungβangβanizi wa kukifanya kitu [β¦]

24.7.13; Uhakika.
https://amkamtanzania.com/2024/07/13/24-7-13-uhakika/
Kupenda unachofanya haimaanishi mafanikio yatakuwa rahisi kwako.Bali inamaanisha utaweza kungβangβana kwa muda mrefu mpaka kupata unachotaka. Fanya unachopenda au penda [β¦]

Utajiri Mkubwa Unajengwa Na Muda Na Siyo Kiasi Kinachowekezwa.
https://amkamtanzania.com/2024/07/13/utajiri-mkubwa-unajengwa-na-muda-na-siyo-kiasi-kinachowekezwa/
Rafiki yangu mpendwa, Kwenye programu ya kujifunza na kuwekeza pamoja ya NGUVU YA BUKU, tunaamini kwamba KILA MTU ANAWEZA KUWA [β¦]

MISINGI NANE YA KUFANIKIWA KWENYE BIASHARA;
1. Kuwa na imani kali.
2. Kuwa na mapenzi ya dhati.
3. Chukua hatua haraka.
4. Kuwa bora kwenye uimara wako.
5. Kuwa mwerevu na makini.
6. Tawala sehemu ya soko.
7. Fikiria muda mrefu, chukua hatua za muda mfupi.
8. Kuwa tofauti kabisa na wengine.
Mambo mazuri kama haya unayapata kwenye chambuzi za vitabu kupitia programu ya KURASA 10 KWA SIKU.
Programu hii ipo ndani ya FAMILIA YA KISIMA CHA MAARIFA.
Kuwa sehemu ya familia hii fungua; https://chat.whatsapp.com/KHtzXfz8pR85ZTHtJ8ZmS4
Umekuwa unatamani kusoma vitabu ila unashindwa?
Njoo uungane nasi, utaweza kusoma vitabu na kujifunza kwa wengine pia.

#ONK-195; USTOA - Unachopaswa Kusema Na Kufanya Ili Uwe Sahihi Na Kuwa Tulivu.
https://podcasters.spotify.com/pod/show/dr-makirita-amani/episodes/ONK-195-USTOA---Unachopaswa-Kusema-Na-Kufanya-Ili-Uwe-Sahihi-Na-Kuwa-Tulivu-e2lvnb6

Utahangaika na mengi sana,
Lakini kama hutaweza kutekeleza yale unayowaahidi watu,
Hakuna mafanikio makubwa utakayoweza kuyajenga kwenye maisha yako.
Kuwa na nidhamu kali sana ya kutekeleza yote unayopanga na kuahidi.
Hata wasiokupenda, watakuheshimu kwa nidhamu yako kali.
Na hilo ndiyo unalohitaji ili kupata mafanikio makubwa unayoyataka.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita

3483; Usiwatukane wanaokuamini.
https://amkamtanzania.com/2024/07/14/3483-usiwatukane-wanaokuamini/
3483; Usiwatukane wanaokuamini. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Moja ya sababu zinazowazuia watu kufanikiwa ni kuwatukana wale wanaowaamini. Kabla [β¦]

24.7.14; Ulichosema.
https://amkamtanzania.com/2024/07/14/24-7-14-ulichosema/
Utahangaika na mengi sana,Lakini kama hutaweza kutekeleza yale unayowaahidi watu,Hakuna mafanikio makubwa utakayoweza kuyajenga kwenye maisha yako.Kuwa na nidhamu kali [β¦]

KITABU; THE TOILET PAPER ENTREPRENEUR (MWONGOZO WA KUJENGA BIASHARA YENYE MAFANIKIO KWA RASILIMALI HABA).
Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,
Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.
Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,
Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita
Kipindi cha Jumatatu tarehe 15/07/2024 tutakuwa na mada ya;

Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita

#ONK-196; Tathmini Za Wiki Na Mfumo Wa Kuwajibishana Ili Kila Mmoja Afanikiwe.
https://podcasters.spotify.com/pod/show/dr-makirita-amani/episodes/ONK-196-Tathmini-Za-Wiki-Na-Mfumo-Wa-Kuwajibishana-Ili-Kila-Mmoja-Afanikiwe-e2m0joi

3484; Kama unataka utajiri, usiwe mbinafsi.
https://amkamtanzania.com/2024/07/15/3484-kama-unataka-utajiri-usiwe-mbinafsi/
3484; Kama unataka utajiri, usiwe mbinafsi. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Huwa kuna kasumba ya watu wengi kudhani kwamba [β¦]

24.7.15; Wape.
https://amkamtanzania.com/2024/07/15/24-7-15-wape/
Unapata unachotaka, kwa kuwapa wengine kile wanachotaka.Ubinafsi hauna nafasi kwenye kupata mafanikio makubwa.Usisubiri upewe ndiyo utoe, bali anza kutoa kisha [β¦]

100 Kwa 100; Siku 100 Za Kugusa Wateja 100 Kila Siku Ili Kukuza Mauzo.
https://amkamtanzania.com/2024/07/15/100-kwa-100-siku-100-za-kugusa-wateja-100-kila-siku-ili-kukuza-mauzo/
Habari njema wauzaji bora kuwahi kutokea. Hongereni sana wote kwa kuendelea kuwepo kwenye mafunzo ya mauzo ya CHUO CHA MAUZO. [β¦]

Unapata unachotaka, kwa kuwapa wengine kile wanachotaka.
Ubinafsi hauna nafasi kwenye kupata mafanikio makubwa.
Usisubiri upewe ndiyo utoe, bali anza kutoa kisha utapata.
Usihofie watu kuchukua na wasikupe, kwani kuna ambao watakupa zaidi ya ulivyotoa.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Ubinafsi hauna nafasi kwenye kupata mafanikio makubwa.
Usisubiri upewe ndiyo utoe, bali anza kutoa kisha utapata.
Usihofie watu kuchukua na wasikupe, kwani kuna ambao watakupa zaidi ya ulivyotoa.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
KUZA MAUZO MARA MBILI NDANI YA MWAKA MMOJA.
Rafiki,
Kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 unakwenda kujifunza jinsi unavyoweza kukuza mauzo yako zaidi ya mara mbili ndani ya mwaka mmoja.
Kwa kushiriki semina hii unakwenda kuondoka na mkakati wa kufanyia kazi moja kwa moja na kuanza kupata matokeo.
Semina itafanyika jijini Dar es salaam Oktoba 27 2024.
Ada Ya kushiriki semina ni Tsh 50,000/= (elfu 50)
Kushiriki tuma ujumbe SEMINA 2024 kwenda namba 0717396253.
Chukua hatua sasa upate nafasi ya kushiriki semina.
Karibu sana.

70/70; MAUZO HAYANA MWISHO.
Rafiki,
Unaweza kusoma kitabu cha mauzo na ukakimaliza, lakini hujamaliza mauzo.
Unaweza kuwauzia wateja wote ukawamaliza, lakini hujamaliza mauzo.
Unaweza kufikia lengo la mauzo ulilojiwekea, lakini hujamaliza mauzo.
Mauzo ni kitu endelevu ambacho kinapaswa kufanyiwa kazi mara zote.
Karibu kwenye programu ya CHUO CHA MAUZO uweze kufanya mauzo endelevu.
Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.
Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.
Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Julai 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.
Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.

FURSA ZA UWEKEZAJI ZILIZOPO TANZANIA - 1
Rafiki,
Watu wengi wanaposikia kuhusu uwekezaji kwenye masoko ya mitaji, huwa wanadhani ni vitu vya matajiri na mataifa nje.
Lakini hiyo siyo kweli.
Kuna fursa nyingi sana za uwekezaji hapa Tanzania na ambazo zipo wazi kwa watu wote.
Soko la hisa lina makampuni 28 ambapo kila mtu anaweza kuwekeza.
Kuna hisa zinaanzia Tsh 100 na unahitaji kuanza na hisa 10 tu. Hivyo ukiwa hata na buku tu, na wewe unatamba kwenye soko la hisa kama mwekezaji.
Karibu upate kitabu cha MTAALA WA UTAJIRI ujifunze na kuchangamkia fursa za uwekezaji zilizopo hapa Tanzania.
Tuwasiliane kwa namba 0678 977 007 kupata nakala yako ya kitabu.
Pia utapata zawadi ya kuingia kwenye programu ya NGUVU YA BUKU ujifunze na kufanya uwekezaji kwa vitendo.
Chukua hatua sasa.
0678 977 007

#ONK-197; Kitabu; The Toilet Paper Entrepreneur (Mwongozo Wa Kujenga Biashara Yenye Mafanikio Kwa Rasilimali Haba).
https://podcasters.spotify.com/pod/show/dr-makirita-amani/episodes/ONK-197-Kitabu-The-Toilet-Paper-Entrepreneur-Mwongozo-Wa-Kujenga-Biashara-Yenye-Mafanikio-Kwa-Rasilimali-Haba-e2m1fde

CHIMBO LA PESA NA ZANA YA KUZICHIMBA.
Rafiki,
Watu huwa wanahangaika sana kwenda mbali kutafuta machimbo ya pesa, wakati tayari wanatembea nayo.
Sikiliza rafiki, chimbo lako namba moja la pesa ni akili yako.
Na zana kuu ya kuchimbua hizo pesa kutoka kwenye akili yako ni kuinoa kupitia maarifa sahihi.
Maarifa sahihi yapo ndani ya vitabu.
Soma vitabu unoe akili yako na kufungua mtazamo wako ili uweze kuona na kutumia fursa nyingi zinazokuzunguka hapo ulipo sasa.
Karibu upate vitabu vizuri vilivyoandikwa na Kocha Dr. Makirita Amani vyenye nguvu ya kukufungua na kukuwezesha kufanya makubwa.
Wasiliana sasa na 0678 977 007 kupata orodha ya vitabu na ushauri wa vitabu vipi unapaswa kuanza navyo mara moja.

MAFANIKIO; SIMAMIA MAADILI YAKO BINAFSI KWENYE SAFARI YAKO YA MAFANIKIO.
Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,
Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.
Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,
Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita
Kipindi cha Jumanne tarehe 16/07/2024 tutakuwa na mada ya;