SOMA VITABU TANZANIAπŸ“š
1.15K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.61K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
67/70; JALI MAMBO YAKO UUZE ZAIDI...

Rafiki,
Kama unataka kufanya mauzo makubwa, jali mambo yako na achana na ya dunia.

Kutaka kuhangaika na kila kinachoendelea duniani ni kupoteza muda na nguvu zako kwa mambo yasiyo na manufaa.

Muda unaopoteza kuhangaika na mambo yasiyokuhusu, ungeupeleka kwenye mauzo ungefanya mauzo makubwa sana.

Njoo kwenye CHUO CHA MAUZO uzingatie mambo yako na kufanikiwa kimauzo.

Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.

Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.

Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Julai 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.

Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
Ufunguo Mkuu (Master Key) Wa Utajiri Huu Hapa, Usisumbuke Tena.
https://amkamtanzania.com/2024/07/11/ufunguo-mkuu-master-key-wa-utajiri-huu-hapa-usisumbuke-tena/

Rafiki yangu mpendwa, Ukiwa hai, hakuna siku ambayo utaacha kufikiria kuhusu fedha. Ukiwa huna utafikiria ni jinsi gani ya kuzipata. […]
Rafiki,
Je umeshathibitisha kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024?

Kama bado, chukua hatua sasa uli usikose nafasi.

Tuma ujumbe sasa kwenda namba 0717396253 wenye maneno SEMINA 2024 na utapewa maelezo zaidi.

Usikose fursa hii ya kipekee kabisa kwako kupindua meza mwaka huu 2024.

Karibu.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
#PovuLaPesa; KUWEKA AKIBA NI TABIA NA SIYO KIPATO.

Rafiki,
Kama huweki akiba halafu unasingizia sababu ni kipato chako kuwa kidogo, wewe ni muongo.

Kuweka akiba hakuna uhusiano wowote na ukubwa wa kipato.
Kuweka akiba ni tabia, ambayo ukishakuwa nayo utaweka akiba hata kama kipato ni kidogo kiasi gani.

Unadhani kama huwezi kuweka akiba ya elfu 1 kwenye laki 1, utaweza kuweka akiba ya elfu 10 kwenye milioni 1?

Njoo kwenye programu ya NGUVU YA BUKU uweze kujijengea tabia ya kuweka akiba ili kujijengea utajiri na uhuru wa kifedha.

*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
3481; Mapenzi ya muda mrefu.
https://amkamtanzania.com/2024/07/12/3481-mapenzi-ya-muda-mrefu/

3481; Mapenzi ya muda mrefu. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Mafanikio makubwa huwa yanataka mapenzi ya muda mrefu.Mafanikio […]
24.7.12; Mapenzi.
https://amkamtanzania.com/2024/07/12/24-7-12-mapenzi/

Kama kukutana na changamoto kwenye kitu unachofanya kunapelekea ufikirie kuacha kitu hicho na kwenda kwenye kingine, huwezi kufanikiwa. Kama unataka […]
Biashara Na Uwekezaji; Kwa Nini Uwekeze Wakati Unaweza Kuzalisha Faida Kubwa Zaidi Kupitia Biashara?
https://amkamtanzania.com/2024/07/12/biashara-na-uwekezaji-kwa-nini-uwekeze-wakati-unaweza-kuzalisha-faida-kubwa-zaidi-kupitia-biashara/

Habari njema Matajiri Wawekezaji, Hongereni wote kwa kuendelea kukaa kwenye mchakato wetu wa programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza […]
Jinsi Ya Kunufaika Na Mpango Mzuri Wa Ufuatiliaji Wa Wateja
https://amkamtanzania.com/2024/07/12/jinsi-ya-kunufaika-na-mpango-mzuri-wa-ufuatiliaji-wa-wateja/

Kila mtu katika maisha yake ya kila siku anao utaratibu unaomuongoza. Utaratibu huu upo β€œautomatic” na mwingine anauweka mwenyewe. Mfano: […]
Kama kukutana na changamoto kwenye kitu unachofanya kunapelekea ufikirie kuacha kitu hicho na kwenda kwenye kingine, huwezi kufanikiwa.

Kama unataka mafanikio makubwa, fanyia kazi kile ambacho una mapenzi makali na ya muda mrefu.
Ambacho utaendelea kukifanya licha ya kukutana na changamoto.

Uzuri tayari unacho kitu hicho, ni wewe tu ukifanyie kazi.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
KILA MTANZANIA ANAWEZA KUWA TAJIRI.

Rafiki,
Tumezoea kujiambia kwamba Tanzania ni nchi masikini na watu wake wengi ni masikini.

Lakini ukweli ni kwamba kila Mtanzania anaweza kuwa tajiri.
Kwa sababu kuna fursa nyingi za kujenga utajiri ambazo zipo wazi kwa watu wote.

Kwenye programu ya NGUVU YA BUKU tunajifunza na kuchukua hatua kwa uhakika ili kujenga utajiri.
Karibu uwe sehemu ya programu hii.

*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
68/70; USIOGOPE KUSHINDWA KAMA UNATAKA KUUZA ZAIDI.

Rafiki,
Mafanikio kwenye eneo lolote la maisha huwa yanaambatana na kushindwa.

Utashindwa sana kabla hujafanikiwa.
Hivyo kama unaogopa kushindwa, huwezi kufanikiwa.

Kama unataka kuuza zaidi, lazima uwe tayari kukataliwa na wateja wengi.
Ni kupitia kukataliwa sana ndiyo unakuwa imara na pia kuwapata wateja sahihi.

Ukiweza kuvuka hofu ya kushindwa, utaweza kufanya chochote na kupiga hatua kubwa sana.

Kwenye CHUO CHA MAUZO unajifunza jinsi ya kuwa jasiri wa kutoogopa kushindwa.

Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.

Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.

Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Julai 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.

Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
KUWA HURU, JENGA BIASHARA ISIYOKUTEGEMEA.

Rafiki,
Imekuwa inashauriwa watu wafanya biashara kama njia ya kuwa huru.

Lakini kama biashara inakutegemea kwenye uendeshaji wake, hakuna uhuru hapo.

Yanakuwa mateso makali sana kuendesha biashara inayokutegemea kwa kila kitu.

Kwa bahati nzuri sana, lipo suluhisho. Unaweza kujenga biashara yenye mafanikio makubwa na isiyokutegemea kabisa.

Kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 unakwenda kujifunza hilo kwa vitendo na kuondoka na mpango ambao unaenda kutekeleza tu.

Semina hii inafanyika kwa siku 3, tarehe 25, 26 na 27 Oktoba 2024 jijini Dar es salaam.

Kupata nafasi ya kushiriki semina, tuma ujumbe wenye maneno SEMINA 2024 kwenda namba 0717396253.

Kwa unyeti wa yale yanayoenda kufundishwa, nafasi za kushiriki ni chache.
Kujihakikishia nafasi yako tuma ujumbe sasa.

Karibu sana kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 uweze kujenga biashara isiyokutegemea.
KARIBU KWENYE SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

NINI; Semina ya kukutana ana kwa ana.

NANI; Watu wote wenye kiu ya mafanikio makubwa.

LINI; Tarehe 25, 26 na 27 Oktoba 2024.

WAPI; Dar es salaam.

KWA NINI;
1. Kujenga biashara isiyokutegemea.
2. Kukuza mauzo zaidi ya mara 2.
3. Kujenga utajiri na uhuru wa kifedha.
4. Kuishi maisha tulivu na ya mafanikio.
5. Kujenga mtandao wa kimafanikio.
VIPI; Kushiriki tuma ujumbe SEMINA 2024 kwenda namba 0717396253.

Chukua hatua sasa ili kupata nafasi yako ya kushiriki kwenye tukio hili kubwa linalotokea mara moja tu kwa mwaka.

Tuma ujumbe SEMINA 2024 kwenda 0717396253 sasa.
Karibu.
Jinsi Ya Kuwabadili Watu Bila Kuibua Hasira Au Chuki Kanuni Ya Tano
https://amkamtanzania.com/2024/07/13/jinsi-ya-kuwabadili-watu-bila-kuibua-hasira-au-chuki-kanuni-ya-tano/

Habari njema muuzaji bora  kuwahi kutokea, Hongera na karibu sana kwenye mwendelezo wa makala zetu za ushawishi kutoka kwenye programu […]
Kupenda unachofanya haimaanishi mafanikio yatakuwa rahisi kwako.
Bali inamaanisha utaweza kung'ang'ana kwa muda mrefu mpaka kupata unachotaka.

Fanya unachopenda au penda unachofanya ili ujiongezee uhakika wa kufanikiwa kupitia ufanyaji wa muda mrefu bila kuacha.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
HII NCHI INAHITAJI MTAALA WA UTAJIRI.

Rafiki,
Utajiri wa nchi unategemea sana utajiri wa wananchi wake.

Mimi na wewe tunao wajibu wa kuwa matajiri ili taifa liweze kuwa tajiri.

Lakini kwa kipindi kirefu elimu ya fedha na utajiri imekuwa haipatikani.

Habari njema ni kwamba kwa sasa kuna vitabu vya ELIMU YA MSINGI YA FEDHA na MTAALA WA UTAJIRI.

Hivi ni vitabu ambavyo kila Mtanzania anapaswa kuvisoma ili awe na mchango kwa nchi yake.

Kama bado hujavipata vitabu hivi, unajichelewesha kujenga utajiri na unalichelewesha taifa pia.

Chukua hatua ya kuvipata vitabu sasa kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007 na utaweza kuvipata popote ulipo Tanzania.

Habari njema zaidi ni ukiwa na kitabu cha MTAALA WA UTAJIRI unapata fursa ya kuingia kwenye programu ya NGUVU YA BUKU.

Kwenye NGUVU YA BUKU unajifunza na kufanya uwekezaji kwa vitendo ili kujenga utajiri.

Usikose fursa hizo nzuri, wasiliana sasa na 0678 977 007.
KUNA NGUVU KUBWA KUKUTANA PAMOJA.

Rafiki,
Unaweza kujifunza kwa kusoma vitabu, kusikiliza sauti na hata kuangalia video.

Lakini kukutana pamoja kwa ajili ya kujifunza huwa ina nguvu kubwa sana.

Kitendo cha kukaa mahali pamoja na kujifunza kinafungua fursa nyingi.

Fursa hiyo ya kukutana pamoja na kujifunza imewadia.

Ni SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 ambayo itafanyika tarehe 25, 26 na 27 Oktoba 2024.

Nafasi za kushiriki semina hii ni chache, hivyo chukua hatua sasa ili usikose nafasi.

Kujiwekea nafasi, tuma ujumbe SEMINA 2024 kwenda namba 0717396253.

Hakikisha hukosi fursa hii inayotokea mara moja tu kila mwaka.
Njoo tujifunze pamoja na kuweka mikakati ya kufanyia kazi mwaka mzima.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
69/70; JIFUNZE ENDELEVU UUZE ZAIDI.

Rafiki,
Unapokuwa kwenye biashara ni sawa na umejiandikisha kwenye darasa la milele.

Ili ufanikiwe, unatakiwa kujifunza kila siku bila kuchoka.
Haijalishi unajua kiasi gani, bado kuna mengi zaidi unayopaswa kujua.

Kuwa kwenye CHUO CHA MAUZO ni sehemu sahihi kwako kujifunza kwa uendelevu.

Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.

Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.

Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Julai 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.

Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.