This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
#PovuLaPesa; MUDA NI ZAIDI YA PESA.
Rafiki,
Huwa kina usemi maarufu kwamba muda ni pesa.
Watu wamekuwa wanaona muda unalingana na pesa.
Lakini siyo kweli, muda ni zaidi ya pesa.
Ukipoteza pesa unaweza kupata nyingine.
Lakini ukipoteza muda huwezi kupata mwingine.
Ukiweza kusimamia na kutumia vizuri muda wako, utaweza kuingiza kipato kikubwa sana.
Hayo yameelezwa vyema kwenye kitabu cha MTAALA WA UTAJIRI.
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.

Wengi hawapendi kukosolewa au kurekebishwa pale wanapokosea.
Wakosoe wale wanaowajibika kwako au wanaokulipa uwasaidie kupiga hatua.
Wengine achana nao, maana wanajua wanachofanya au hawajali sana.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita

3478; Fanya kama unalipwa.
https://amkamtanzania.com/2024/07/09/3478-fanya-kama-unalipwa/
3478; Fanya kama unalipwa. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Kuna mambo mengi ambayo huwa tunapenda kuyafanya hata kama hakuna [β¦]

24.7.9; Kukosea.
https://amkamtanzania.com/2024/07/09/24-7-9-kukosea/
Wengi hawapendi kukosolewa au kurekebishwa pale wanapokosea. Wakosoe wale wanaowajibika kwako au wanaokulipa uwasaidie kupiga hatua. Wengine achana nao, maana [β¦]

3479; Makosa Mawili Kwenye Safari Ya Mafanikio.
https://amkamtanzania.com/2024/07/10/3479-makosa-mawili-kwenye-safari-ya-mafanikio/
3479; Makosa Mawili Kwenye Safari Ya Mafanikio. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Watu wanaoyataka mafanikio ni wengi.Lakini wanaoyapata [β¦]

24.7.10; Kuridhika
https://amkamtanzania.com/2024/07/10/24-7-10-kuridhika/
Ni pale unapoona umeshamaliza kila kitu ndiyo unagundua hakuna hata ulichofanya. Unapojiona umesharidhika na hatua uliyofikia ndiyo unaanguka kabisa. Popote [β¦]

Ni pale unapoona umeshamaliza kila kitu ndiyo unagundua hakuna hata ulichofanya.
Unapojiona umesharidhika na hatua uliyofikia ndiyo unaanguka kabisa.
Popote unapokuwa umefika, kuna hatua kubwa zaidi za kuendelea kupiga.
Kuridhika haraka ni adui mkubwa wa mafanikio makubwa.
Mara zote baki na njaa ya mafanikio na yapambanie mafanikio makubwa bila kuridhika.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Unapojiona umesharidhika na hatua uliyofikia ndiyo unaanguka kabisa.
Popote unapokuwa umefika, kuna hatua kubwa zaidi za kuendelea kupiga.
Kuridhika haraka ni adui mkubwa wa mafanikio makubwa.
Mara zote baki na njaa ya mafanikio na yapambanie mafanikio makubwa bila kuridhika.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
PATA UFUNGUO MKUU (MASTER KEY) WA UTAJIRI...
Rafiki,
Kuna ufunguo mkuu wa utajiri (Master Key) ambao ukiupata unaweza kufungua fursa nzuri kwako.
Ufunguo huo umefichwa kwa muda mrefu na watu kushindwa kunufaika nao.
Wewe unapata fursa ya kuwa na ufunguo huo na kunufaika nao.
Kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 unakwenda kuupata ufunguo mkuu wa kujenga utajiri na uhuru wa kifedha.
Semina hii ni ya kukutana ana kwa ana jijini Dar es salaam kwa siku tatu, tarehe 25, 26 na 27 oktoba 2024.
Hii siyo semina ya wewe kukosa, maana ushiriki wake umerahisishwa sana.
Kujihakikishia kushiriki semina, tuma ujumbe wenye majina yako na kwamba utashiriki semina kwenda namba 0717396253.
Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 upate ufunguo mkuu wa utajiri.

MAFANIKIO MAKUBWA YANATAKA WATU SAHIHI...
Rafiki,
Ili upate mafanikio makubwa, unahitaji sana kuwa na watu sahihi.
Watu ambao labda wameshafanikiwa au wanapambana kufanikiwa.
Wengi wanaokuzunguka hawana mafanikio na wala hawapambani kufanikiwa.
Familia ya KISIMA CHA MAARIFA inao watu sahihi unaowahitaji ili kufanikiwa.
π₯FAMILIA YA KISIMA CHA MAARIFA - NYUMBANI PA MAFANIKIO.
Je una kiu ya kupata mafanikio makubwa kwenye maisha yako?
Karibu uungane na familia ya KISIMA CHA MAARIFA ambayo ndiyo nyumbani pa mafanikio.
Ndani ya familia hii utapata maarifa, miongozo, msukumo na usimamizi wa kujenga mafanikio makubwa.
Ungana nasi sasa kwa kutumia link hii; https://chat.whatsapp.com/KHtzXfz8pR85ZTHtJ8ZmS4
Usijicheleweshe kufanikiwa.
Karibu uungane nasi sasa.

Mbinu Mbili Za Uhakika Za Ukamilishaji Wa Mauzo 55-56
https://amkamtanzania.com/2024/07/10/mbinu-mbili-za-uhakika-za-ukamilishaji-wa-mauzo-55-56/
Habari njema muuzaji bora kabisa kuwahi kutokea, Karibu sana kwenye mwendelezo wa makala zetu za ukamilishaji ambazo ni mwendelezo wa [β¦]
https://amkamtanzania.com/2024/07/10/mbinu-mbili-za-uhakika-za-ukamilishaji-wa-mauzo-55-56/
Habari njema muuzaji bora kabisa kuwahi kutokea, Karibu sana kwenye mwendelezo wa makala zetu za ukamilishaji ambazo ni mwendelezo wa [β¦]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
66/70; JENGA MAHUSIANO BORA NA WATEJA KUUZA ZAIDI.
Rafiki,
Ili uweze kuuza zaidi, unapaswa kujenga mahusiano mazuri na wateja wako.
Mahusiano na wateja yanajengwa kwa kujua na kujali maslahi yao.
Kwenye CHUO CHA MAUZO unapata fursa ya kujifunza jinsi ya kujenga na kuboresha mahusiano na wateja ili uuze zaidi.
Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.
Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.
Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Julai 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.
Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.

AFYA; ISHI MIAKA ZAIDI YA 100 YA AFYA NA MAFANIKIO MAKUBWA.
Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,
Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.
Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,
Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita
Kipindi cha Alhamisi tarehe 11/07/2024 tutakuwa na mada ya;

Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita

#ONK-192; Mauzo; Nini Kinakuzuia Kujiuza Wewe Mwenyewe Kwa Ukubwa?
https://podcasters.spotify.com/pod/show/dr-makirita-amani/episodes/ONK-192-Mauzo-Nini-Kinakuzuia-Kujiuza-Wewe-Mwenyewe-Kwa-Ukubwa-e2ls4nv

#ONK-191; Mafanikio; Ukinzani - Jinsi Unavyojikwamisha Kufanikiwa Na Kuondoka Kwenye Huo Mkwamo.
https://podcasters.spotify.com/pod/show/dr-makirita-amani/episodes/ONK-191-Mafanikio-Ukinzani---Jinsi-Unavyojikwamisha-Kufanikiwa-Na-Kuondoka-Kwenye-Huo-Mkwamo-e2lqgqt

Huwa wanatania kama kubakwa hakuepukiki, basi ni bora ukubali kuufurahia mchezo.
Kwenye maisha, mateso hayaepukiki, hivyo ni bora kuteseka kwa kufanya kwa uhakika yale yenye tija.
Kujiambia unasubiri au unajaribu ni kujikwamisha wewe mwenyewe kufanya makubwa ambayo tayari yapo ndani ya uwezo wako.
Yale yote unayopaswa kufanya, jitoe kuyafanya mazima na utaweza kuzalisha matokeo makubwa.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Kwenye maisha, mateso hayaepukiki, hivyo ni bora kuteseka kwa kufanya kwa uhakika yale yenye tija.
Kujiambia unasubiri au unajaribu ni kujikwamisha wewe mwenyewe kufanya makubwa ambayo tayari yapo ndani ya uwezo wako.
Yale yote unayopaswa kufanya, jitoe kuyafanya mazima na utaweza kuzalisha matokeo makubwa.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Kuza Mauzo Kupitia Kushirikiana Na Wenzako Katika Uhudumiaji
https://amkamtanzania.com/2024/07/11/kuza-mauzo-kupitia-kushirikiana-na-wenzako-katika-uhudumiaji/
Karibu Rafiki,Siku moja Jeff pamoja na marafiki zake watatu, walipanga kwenda kumtembelea JT ambaye waliohitimu wote chuo. Safari yao waliianza [β¦]

3480; Kujaribu na Kusubiri.
https://amkamtanzania.com/2024/07/11/3480-kujaribu-na-kusubiri/
3480; Kujaribu na Kusubiri. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Kujaribu na kusubiri ndiyo maneno pendwa ambayo wengi sana huwa [β¦]

24.7.11; Mazima.
https://amkamtanzania.com/2024/07/11/24-7-11-mazima/
Huwa wanatania kama kubakwa hakuepukiki, basi ni bora ukubali kuufurahia mchezo. Kwenye maisha, mateso hayaepukiki, hivyo ni bora kuteseka kwa [β¦]

SEMINA YA TISA (09) YA KISIMA CHA MAARIFA.
Rafiki,
Kila mwaka kwa miaka 8 tumekuwa na tukio moja kubwa sana la kukutana na kupata mafunzo bora ya mafanikio.
Tukio hilo ni SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA.
Ni semina inayokuwa na mafunzo, shuhuda na mikakati ya kufanyia kazi kwa mwaka mzima.
Kwa mwaka huu 2024, tunakwenda kuwa na semina ya 9.
Hii ya mwaka huu ni funga kazi, kwani ni tofauti kabisa na nyingine zote za nyuma.
Kila anayekwenda kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 ataondoka akiwa amezaliwa upya kabisa.
Ataondoka na mkakati kamili wa kwenda kufanyia kazi mwaka mzima na kuleta mapinduzi kabisa kwenye maisha yake.
Semina inafanyika kwa siku 3, kuanzia tarehe 25, 26 na 27 Oktoba 2024.
Mpango wa kushiriki ni rahisi kiasi kwamba kila mtu anaweza kumudu kushiriki.
Nafasi za ushiriki wa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 ni chache.
Kupata nafasi, thibitisha sasa ushiriki wako.
Thibitisha kwa kutuma ujumbe wenye maneno SEMINA 2024 kwenda namba 0717396253 sasa.
Karibu sana.

#IshiMiaka100; KULA, TEMBEA, LALA...
Rafiki,
Kama unataka kuishi miaka mingi, yenye afya na mafanikio makubwa, zingatia vitu vitatu;
1. Kula kwa usahihi, kuwa na uzito sahihi.
2. Fanya mazoezi.
3. Lala muda wa kutosha.
Unapata fursa ya kujifunza na kufanyia kazi yote matatu kwenye programu ya ISHI MIAKA π― iliyo ndani ya FAMILIA YA KISIMA CHA MAARIFA.