SOMA VITABU TANZANIAπŸ“š
1.15K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.61K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
3476; Kuwa aliyeshindikana ili ufanikiwe.
https://amkamtanzania.com/2024/07/07/3476-kuwa-aliyeshindikana-ili-ufanikiwe/

3476; Kuwa aliyeshindikana ili ufanikiwe. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Sehemu kubwa ya ugumu wa mafanikio huwa inatokana na […]
Kama hujashindikana, ushindani utakuondoa kabisa kwenye safari ya mafanikio.
Hakikisha unafanya vitu ambavyo wengi hawawezi au hawataki kufanya.
Hapo ndipo kujitofautisha kunapoanzia.
Na ukiweza kuwa tofauti kabisa na wengine, hasa kwenye muda na kazi, hakuna anayeweza kukusumbua.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
24.7.7; Shindikana.
https://amkamtanzania.com/2024/07/07/24-7-7-shindikana/

Kama hujashindikana, ushindani utakuondoa kabisa kwenye safari ya mafanikio.Hakikisha unafanya vitu ambavyo wengi hawawezi au hawataki kufanya.Hapo ndipo kujitofautisha kunapoanzia.Na […]
HERI YA SABASABA; TUIAMSHE NCHI KWA BIASHARA.

Rafiki,
Heri Ya sikukuu ya Saba Saba.
Hii ni siku maalumu kwa wafanyabiashara.

Kwa miaka mingi nchi yetu imekuwa inasimamia kilimo kama uti wa mgongo wa taifa.
Na hilo ni sahihi kwa sababu kilimo ndiyo kinatupa chakula, hitaji muhimu sana kwa maisha.

Sasa umefika wakati wa taifa kuweka mkazo kwenye biashara, kwa sababu hiyo ndiyo injini ya uchumi wa taifa.

Na pia kwa changamoto ya ajira iliyopo sasa, ni kuweka nguvu kwenye biashara ndiyo kutatatua.

Ni wajibu wa kila mmoja wetu kushiriki kikamilifu kwenye hili.
Mimi na wewe tunawajibika kujenga biashara zenye mafanikio ili kuleta maendeleo kwenye nchi yetu.

Kitabu cha ELIMU YA MSINGI YA BIASHARA nilichoandika ni mwongozo mzuri kwa kila mtu kuweza kuanzisha na kukuza biashara yenye mafanikio makubwa.

Katika kuadhimisha sikukuu hii ya wafanyabiashara, atakayekipata kitabu cha ELIMU YA MSINGI YA BIASHARA leo siku ya SABASABA, atapata zawadi nzuri.

Karibu sasa ujipatie kitabu na zawadi ujenge biashara imara.
KITABU; Put Your Ass Where Your Heart Wants to Be.
Mafanikio kupitia kujitoa kwa unachofanya

Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,

Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.

Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,

Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita

Kipindi cha Jumatatu tarehe 08/07/2024 tutakuwa na mada ya;

KITABU; Put Your Ass Where Your Heart Wants to Be.
Mafanikio kupitia kujitoa kwa unachofanya

Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Ushauri wa bure huwa una gharama pale unapoanza kuufanyia kazi.
Kwa sababu huwa ni ushauri usiokufaa wala kuweza kukufikisha unakotaka kufika.
Epuka sana ushauri wa bure ambao wengi wanakazana kukupa, kwa sababu hauna mchango wowote kwako kupata unachotaka.

Kama watu hawana aina ya maisha unayotaka kuwa nayo wewe, puuza chochote wanachokushauri.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
3477; Usichukue ushauri wao.
https://amkamtanzania.com/2024/07/08/3477-usichukue-ushauri-wao/

3477; Usichukue ushauri wao. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Watu huwa wanajitolea kukupa ushauri hata kama hujawaomba ushauri.Yaani wewe […]
24.7.8; Ushauri.
https://amkamtanzania.com/2024/07/08/24-7-8-ushauri/

Ushauri wa bure huwa una gharama pale unapoanza kuufanyia kazi.Kwa sababu huwa ni ushauri usiokufaa wala kuweza kukufikisha unakotaka kufika.Epuka […]
Jenga Mtandao Wako Ili Kuwa Muuzaji Bora Na Kufanya Mauzo Makubwa.
https://amkamtanzania.com/2024/07/08/jenga-mtandao-wako-ili-kuwa-muuzaji-bora-na-kufanya-mauzo-makubwa/

Habari njema wauzaji bora kabisa kuwahi kutokea, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya CHUO CHA MAUZO, kwenye eneo la […]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
64/70; UWEKEZAJI UNAOPASWA KUFANYA ILI KUKUZA MAUZO.

Rafiki,
Matokeo yoyoye mazuri yanayohitajika, huwa yanataka uwekezaji ufanyike.

Na kwenye kukuza mauzo, ambalo ndiyo hitaji la wengi, kuna uwekezaji wa aina mbili unapaswa kufanyika.

Moja ni uwekezaji wa muda wa kujifunza, lazima mtu utenge muda na kujifunza.

Mbili ni uwekezaji wa fedha kwenye kulipa gharama za kuwafikia wateja wengi.

Kwenye CHUO CHA MAUZO unapata fursa ya kujifunza haya kwa kina na kuchukua hatua.

Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.

Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.

Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.

Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
UKUBWA WA UTAJIRI WAKO = UKUBWA WA MTANDAO WAKO (NETWORTH = NETWORK).

Rafiki,
Dhana kwamba unaweza kufanikiwa peke yako siyo sahihi.

Mafanikio yako yanahitaji sana watu wengi wa kushirikiana na wewe.

Ndiyo maana unapaswa kujenga mtandao mkubwa sana wa kimafanikio.

Siyo kila mtandao unaojenga utakupa mafanikio.
Kwani unachohitaji siyo tu mradi watu, bali watu sahihi.

Kwenye FAMILIA YA KISIMA CHA MAARIFA tunazo Klabu ambazo ni mtandao sahihi kwako kufanikiwa.

Klabu hizi zina ukaribu mkubwa wa kushirikiana na kuwajibishana ili kufanikiwa.

Karibu sana uwe sehemu ya jamii hii ya kipekee kwenye mafanikio, usukumwe kufanikiwa zaidi ya hapo ulipo sasa.

Karibu uungane nasi kwenye FAMILIA YA KISIMA CHA MAARIFA kwa kufungua hapa; https://chat.whatsapp.com/KHtzXfz8pR85ZTHtJ8ZmS4

Karibu uambatane na watu sahihi ili kufanikiwa.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
#PovuLaPesa; KUJENGA UTAJIRI, EPUKA NJIA ZA MKATO.

Rafiki,
Kwenye kujenga utajiri, huwa zinajitokeza njia nyingi sana za mkato.

Lakini njia hizo huwa zinaishia kuwapotezea watu muda, fedha na hata heshima.

Hakuna njia ya mkato ambayo imewahi kumletea mtu utajiri wa kudumu.

Baadhi wanaozitumia hupata utajiri, lakini huwa ni wa kudumu kwa muda mfupi tu.

Kitabu cha MTAALA WA UTAJIRI kinakupa njia za uhakika kwako kujenga utajiri ambao utadumu kwa muda mrefu.

*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Rafiki,
Kile kipindi pendwa kabisa cha mwaka kimewadia.

Ni kipindi ambacho wanamafanikio kutoka kila kona ya Tanzania na nje ya Tanzania tunakutana pamoja.

Ni tukio kubwa la semina ya kukutana ana kwa ana kwa watu wenye kiu ya mafanikio makubwa.

Mwaka huu 2024 inakuwa ni mara ya 9 kufanya semina hizi, kila mwaka bila kuacha.

Na semina ya mwaka huu, inakwenda kuwa kabambe kabisa.

Inakwenda kukupa UFUNGUO MKUU wa kujijengea UTAJIRI NA UHURU WA KIFEDHA.

Semina ina mpango mzuri wa kila mtu kuweza kushiriki.

Semina ni siku tatu, tarehe 25, 26 na 28 Oktoba 2024.

Ada Ya kushiriki ni Tsh 50,000/= kwa kifurushi cha UTAJIRI. Kuna vifurushi vingine viwili vya MAUZO na BILIONEA.

Nafasi za kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 ni chache.
Kujihakikishia nafasi yako tuma ujumbe sasa wenye jina lako na kwamba utashiriki semina kwenda namba 0717396253.

Rafiki, usikubali kukosa fursa hii ya kukutana ana kwa ana kwa mafunzo bora kabisa ya mafanikio.

Karibu utume ujumbe sasa.
Karibu Kwenye Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024; Ufunguo Wa Utajiri Na Uhuru Wa Kifedha.
https://amkamtanzania.com/2024/07/08/karibu-kwenye-semina-ya-kisima-cha-maarifa-2024-ufunguo-wa-utajiri-na-uhuru-wa-kifedha/

Utangulizi. Rafiki yangu mpendwa, Ninayo furaha kubwa sana ya kukupa taarifa muhimu juu ya tukio ambalo hutokea mara moja kila […]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
FAIDA YA UWEKEZAJI NI MUDA.

Rafiki,
Watu wengi wamekuwa wanasita kufanya uwekezaji kwa sababu ya faida ndogo inayopatikana ndani ya muda mfupi.

Kwa mfano ukiwekeza Tsh milioni 1 mahali pa uhakika, utapata elfu 10 tu kwa mwezi.

Wakati ukiizungusha hiyo milioni 1, unaweza kupata zaidi ya laki 1 kwa mwezi.

Hesabu hizo huwafanya watu waone kuwekeza ni kupoteza pesa.

Ambacho wengi hawajui ni faida ya uwekezaji haipo tu kwenye riba, bali pia kwenye muda.

Unapofanya uwekezaji kwa muda mrefu, kila faida unayopata nayo pia inazalisha.

Matokeo yake ni mtu kuweza kujenga utajiri mkubwa sana.

Kwenye FAMILIA YA KISIMA CHA MAARIFA kuna programu ya NGUVU YA BUKU ambayo inakupa mafunzo na usimamizi wa kuwekeza kwa vitendo ili kujenga utajiri.

Karibu sasa uungane nasi upate kujifunza na kuchukua hatua ili ufanikiwe.
Kujiunga fungua hapa; https://chat.whatsapp.com/KHtzXfz8pR85ZTHtJ8ZmS4

Karibu kwenye FAMILIA YA KISIMA CHA MAARIFA, Nyumbani Pa Mafanikio.
MAFANIKIO; UKINZANI - JINSI UNAVYOJIKWAMISHA WEWE MWENYEWE KUFANIKIWA NA HATUA ZA KUCHUKUA ILI USIWE KIKWAZO KWAKO MWENYEWE.

Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,

Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.

Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,

Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita

Kipindi cha Jumanne tarehe 09/07/2024 tutakuwa na mada ya;

MAFANIKIO; UKINZANI - JINSI UNAVYOJIKWAMISHA WEWE MWENYEWE KUFANIKIWA NA HATUA ZA KUCHUKUA ILI USIWE KIKWAZO KWAKO MWENYEWE.

Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Tumia Matukio Maalumu Kufikia Wateja Wengi Zaidi.
https://amkamtanzania.com/2024/07/09/tumia-matukio-maalumu-kufikia-wateja-wengi-zaidi/

Habari njema wauzaji bora kuwahi kutokea. Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya CHUO CHA MAUZO, yenye lengo […]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Rafiki,
Ninayo furaha kubwa kukujulisha kwamba tukio letu kubwa la kila mwaka la SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA limewadia.

Hili ni tukio la kimafanikio, ambalo limekuwa na historia kubwa kwenye maisha ya wengi.

Watu wengi wameweza kupata mabadiliko makubwa sana kwenye maisha yao baada ya kushiriki semina hizi.

Na mwaka huu 2024, fursa ya kushiriki ni kubwa na wazi kwa watu wote.

Gharama za kushiriki zipo chini sana kiasi kwamba kila mtu anaweza kumudu kushiriki.

Karibu upate taarifa zaidi za SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kwa kuwasiliana na namba 0717396253.

Usikose nafasi hii yenye fursa ya kuleta mapinduzi makubwa kwenye maisha yako.