SOMA VITABU TANZANIAπŸ“š
1.15K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.61K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
#IshiMiaka100; KUISHI MIAKA MINGI, USILE MASAA 16 KILA SIKU.

Rafiki,
Moja ya vitu vinavyowaua watu mapema ni ulaji kupitiliza.

Maisha yetu wanadamu yamebadilika sana. Kazi za kutumia nguvu zimepungua, ila watu bado wanakula vyakula vingi.

Matokeo yake ni vyakula kuhifadhiwa kwa wingi mwilini kitu kinachosababisha mtu kupata uzito mkubwa.

Uzito mkubwa unaleta magonjwa sugu kama presha na kisukari.
Na hayo hupelekea mtu kufa mapema.

Kwenye programu ya ISHI MIAKA 100 iliyo kwenye familia ya KISIMA CHA MAARIFA unajifunza mfumo bora wa kufunga kwa masaa 16 kila siku na kuzuia uzito usipitilize.

πŸ”₯FAMILIA YA KISIMA CHA MAARIFA - NYUMBANI PA MAFANIKIO.

Je una kiu ya kupata mafanikio makubwa kwenye maisha yako?

Karibu uungane na familia ya KISIMA CHA MAARIFA ambayo ndiyo nyumbani pa mafanikio.

Ndani ya familia hii utapata maarifa, miongozo, msukumo na usimamizi wa kujenga mafanikio makubwa.

Ungana nasi sasa kwa kutumia link hii; https://chat.whatsapp.com/KHtzXfz8pR85ZTHtJ8ZmS4

Usijicheleweshe kufanikiwa.
SEMINA ZA KISIMA CHA MAARIFA - TUKIO LA WANAMAFANIKIO KUKUTANA ANA KWA ANA.

Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,

Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.

Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,

Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita

Kipindi cha Ijumaa tarehe 05/07/2024 tutakuwa na mada ya;

SEMINA ZA KISIMA CHA MAARIFA - TUKIO LA WANAMAFANIKIO KUKUTANA ANA KWA ANA.

Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
3474; Nini kinachokuzuia?
https://amkamtanzania.com/2024/07/05/3474-nini-kinachokuzuia/

3474; Nini kinachokuzuia? Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Tayari unajua ni mafanikio gani unayoyataka kwenye maisha yako.Na tayari […]
24.7.5; Wengi.
https://amkamtanzania.com/2024/07/05/24-7-5-wengi/

Utakuwa sahihi sana kimafanikio kwa kwenda kinyume na wengi kuliko kufuata mkumbo wa wengi. Kuna amani kufanya yale yanayofanywa na […]
Utakuwa sahihi sana kimafanikio kwa kwenda kinyume na wengi kuliko kufuata mkumbo wa wengi.

Kuna amani kufanya yale yanayofanywa na wengi, lakini unaishia kupata matokeo ya kawaida.

Kupata matokeo makubwa, lazima ufanye tofauti na wanavyofanya wengi.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Tumia mitando ya kijamii kuwafuatilia wateja
https://amkamtanzania.com/2024/07/05/tumia-mitando-ya-kijamii-kuwafuatilia-wateja/

Mitandao ya kijamii ni wavuti au huduma inayotumika kuwaleta watu pamoja kujenga urafiki na kupeana taarifa mbalimbali ikiwemo elimu au […]
Kipaumbele Chetu Kikuu Kwenye Uwekezaji Wa Programu Ya NGUVU YA BUKU.
https://amkamtanzania.com/2024/07/05/kipaumbele-chetu-kikuu-kwenye-uwekezaji-wa-programu-ya-nguvu-ya-buku/

Habari njema Matajiri Wawekezaji, Hongereni wote kwa kuendelea kukaa kwenye mchakato wetu wa programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza […]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
62/70; USIWASAU WATEJA NA USIWARUHUSU WAKUSAHAU.

Rafiki,
Moja ya sababu zinazopelekea mauzo kuwa hafifu ni wauzaji kuwasahau wateja na wateja kuwasahau wauzaji.

Na kinachopelekea kusahauliana ni kukosekana kwa ufuatiliaji.

Ili usisahaulike na wateja au wewe kuwasahau, kuwa na ufuatiliaji mzuri wa wateja wote.

Kwenye CHUO CHA MAUZO unajifunza njia bora za kuwafuatilia wateja bila ya kuonekana ni msumbufu.

Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.

Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.

Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.

Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
SOMA VITABU UACHE MAKASIRIKO...

Rafiki,
Kama una makasiriko mengi na ni rahisi kuvurugwa na wengine, kuna tiba ya uhakika kwako.

Tiba hiyo ni kujaza ubongo wako vitabu kiasi kwamba makasiriko hayapati nafasi.

Na hata watu wakufanye nini, unakuwa na utulivu mkubwa sana.

Kwenye FAMILIA YA KISIMA CHA MAARIFA tunayo programu ya KURASA 10 KWA SIKU.
Hii ni programu ya kusoma kurasa 10 za kitabu kila siku.
Ukienda hivyo kila mwezi utamaliza kusoma kitabu kimoja na kila mwaka vitabu zaidi ya 10.

Kwa mpango huo utakuwa mbele sana kuliko wengi wanaokuzunguka.

Karibu kwenye FAMILIA YA KISIMA CHA MAARIFA uweze kuwa na utulivu mkubwa.

Ungana nasi hapa; https://chat.whatsapp.com/KHtzXfz8pR85ZTHtJ8ZmS4

Usikubali tena kuvurugwa kizembe, njoo uambatane nasi kwenye usomaji vitabu uwe bora.
FALSAFA YA USTOA - FALSAFA BORA KWENYE KUKABILIANA NA CHOCHOTE KWENYE MAISHA.

Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,

Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.

Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,

Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita

Kipindi cha Jumamosi tarehe 06/07/2024 tutakuwa na mada ya;

FALSAFA YA USTOA - FALSAFA BORA KWENYE KUKABILIANA NA CHOCHOTE KWENYE MAISHA.

Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
3475; Ugumu siyo ugumu.
https://amkamtanzania.com/2024/07/06/3475-ugumu-siyo-ugumu/

3475; Ugumu siyo ugumu. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Kila mtu aliye makini na mafanikio anajua kabisa kwamba […]
24.7.6; Ngumu.
https://amkamtanzania.com/2024/07/06/24-7-6-ngumu/

Ukikimbizwa na mbwa mkali, unaweza kupanda ukuta mkubwa.Ukiambiwa urudie kupanda ukuta huo bila ya uwepo wa mbwa anayekufukuza, unashindwa. Hivyo […]
Ukikimbizwa na mbwa mkali, unaweza kupanda ukuta mkubwa.
Ukiambiwa urudie kupanda ukuta huo bila ya uwepo wa mbwa anayekufukuza, unashindwa.

Hivyo ndivyo mafanikio yalivyo, siyo tu kufanya jambo gumu mara moja ndiyo kutakupa mafanikio.
Bali kufanya kwa kurudia rudia kwa muda mrefu bila kuacha.

Jijengee uwezo wa kufanya mambo magumu kwa mwendelezo na utaweza kupata mafanikio makubwa kadiri ya unavyotaka.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
63/70; TUMIA WAPAMBE KUPATA WATEJA ZAIDI.

Rafiki,
Kuna watu ambao wanajulikana na kuaminika na wateja unaowalenga.
Watu hao wakiwaambia watu waje kununua kwako, wanafanya hivyo.

Wajibu wako kama muuzaji ni kuwajua watu hao na kuwapa sababu ya kuwaleta watu kwako.
Sababu unayoweza kuwapa ni zawadi, ofa au kamisheni kutokana na mauzo unayofanya kwa wale waliowaleta.

Kwenye CHUO CHA MAUZO unajifunza jinsi ya kuwapata na kuwatumia wapambe kukuza mauzo kwenye biashara.

Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.

Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.

Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.

Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
JINSI YA KUPATA UTAJIRI WA FREEMASON.

Rafiki,
Kumekuwa na imani nyingi juu ya fedha na utajiri.
Watu wametoa kafara mbalimbali ili waupate huo utajiri.

Lakini ukweli ni kwamba, kila kitu kinaanzia kwenye akili yako na mtazamo ulionao.

Kwa kuboresha fikra na mtazamo ulionao, unaweza kuvuta kwako chochote unachotaka kwenye maisha yako.

Kitabu cha MTAALA WA UTAJIRI kinakupa mwongozo sahihi wa jinsi ya kujijengea mtazamo unaokupa utajiri.

*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
Shilingi elfu moja, unaweza...

... kunywa soda ambayo haina manufaa yoyote kwenye mwili wako.

... kupanda boda boda mahali ambapo ungeweza kutembea kwa miguu.

... kununua mb 490 za intaneti na kufuatilia umbeya kwenye mitandao.

... kubet na ukapoteza kwa uhakika kabisa kwa sababu nafasi za kushinda ni ndogo sana.

... kuiwekeza mahali ambapo itazalisha utajiri mkubwa kwa muda mrefu.

Elfu moja unayo, kila siku.
Unaitumiaje ni maamuzi yako.

Kama unataka kuitumia elfu moja kujenga utajiri, karibu uungane nasi kwenye programu ya NGUVU YA BUKU iliyo ndani ya FAMILIA YA KISIMA CHA MAARIFA.

Huduma hii haina gharama yoyote kwako kushiriki.
Ni utayari wako wa kujenga utajiri ndiyo unaohitajika.

Kama upo tayari kuungana nasi kujenga utajiri kwa elfu moja, karibia hapa; https://chat.whatsapp.com/KHtzXfz8pR85ZTHtJ8ZmS4

Usikubali kuendelea kuwa na maisha duni wakati ukombozi upo.
Chukua hatua sasa.
KUJITATHMINI - MFUMO WA KUPIMA UNAVYOKWENDA NA MABORESHO YA KUFANYA.

Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,

Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.

Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,

Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita

Kipindi cha Jumapili tarehe 07/07/2024 tutakuwa na mada ya;