SOMA VITABU TANZANIAπŸ“š
1.15K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.61K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
USHAHIDI KWAMBA KILA MTU ANAWEZA KUWA TAJIRI.

Kama atatenga shilingi elfu 1 kila siku na kuiwekeza, kwa riba ya asilimia 12 kwa mwaka, haya ndiyo matokeo yanayopatikana;

Mwaka 1 inakuwa Tsh 380,475.09

Miaka 5 inakuwa Tsh 2,450,090.10

Miaka 10 inakuwa Tsh 6,901,160.68

Miaka 20 inakuwa Tsh 29,677,660.96

Miaka 30 inakuwa Tsh 104,848,923.98

Miaka 40 inakuwa Tsh 352,943,175.31

Miaka 50 inakuwa Tsh 1,171,750,191.00

Unajionea mwenyewe hapo maajabu ya kuchukua hatua ndogo ndogo kwa msimamo na muda mrefu bila kuacha. Kinachohitajika zaidi ni muda kuliko hata kiasi kinachowekezwa.

Karibu uungane na sisi kwenye FAMILIA YA KISIMA CHA MAARIFA uweze kufanya haya kwa vitendo.

Ungana nasi sasa kwa kufungua; mhttps://chat.whatsapp.com/KHtzXfz8pR85ZTHtJ8ZmS4

Usikubali kufa masikini wakati kuna BUKU nyingi zinapita kwenye mikono yako.
Unalima kwanza, halafu ndiyo unavuna.
Wakati wa kulima kazi inakuwa kubwa kuliko wakati wa kuvuna.
Lakini huwezi kufikia kwenye kuvuna, kama kwanza hukulima.
Kabla hujafanikiwa, unalazimika kufanya mambo makubwa na magumu.
Ukishafanikiwa, ya kufanya yanabadilika.
Usijichanganye ukaishia kujipoteza.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
NGUVU YA BUKU - KILA MTU ANAWEZA KUWA TAJIRI.

Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,

Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.

Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,

Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita

Kipindi cha Jumatano tarehe 03/07/2024 tutakuwa na mada ya;

NGUVU YA BUKU - KILA MTU ANAWEZA KUWA TAJIRI.

Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
3471; Wakati wake bado.
https://amkamtanzania.com/2024/07/02/3471-wakati-wake-bado/

3471; Wakati wake bado. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Kuna mambo ni sahihi kabisa kuyafanya, lakini manufaa yake […]
24.7.2; Unajipoteza.
https://amkamtanzania.com/2024/07/02/24-7-2-unajipoteza/

Unalima kwanza, halafu ndiyo unavuna.Wakati wa kulima kazi inakuwa kubwa kuliko wakati wa kuvuna.Lakini huwezi kufikia kwenye kuvuna, kama kwanza […]
3472; Hamu na uwezo.
https://amkamtanzania.com/2024/07/03/3472-hamu-na-uwezo/

3472; Hamu na uwezo. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Mafanikio huwa ni jadi kwa mtu ambaye ana hamu […]
24.7.3; Viwango.
https://amkamtanzania.com/2024/07/03/24-7-3-viwango/

Kama unaweka kazi sana na bado hufanikiwi, unakosa tija.Kazi siyo mkusanyiko tu wa juhudi, bali ni juhudi zilizoelekezwa kwa usahihi.Anza […]
Kama unaweka kazi sana na bado hufanikiwi, unakosa tija.
Kazi siyo mkusanyiko tu wa juhudi, bali ni juhudi zilizoelekezwa kwa usahihi.
Anza na hamu kubwa ya matokeo unayotaka kufanya, kisha jua yale unayopaswa kufanya ili kupata matokeo hayo na fanya kwa tija kubwa.
Weka juhudi sahihi na kwa viwango vikubwa sana ili uzalishe matokeo yenye tija.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Mbinu Mbili Za Uhakika Za Ukamilishaji Wa Mauzo 53-54
https://amkamtanzania.com/2024/07/03/mbinu-mbili-za-uhakika-za-ukamilishaji-wa-mauzo-53-54/

Habari njema muuzaji bora kabisa kuwahi kutokea, Karibu sana kwenye mwendelezo wa makala zetu za ukamilishaji ambazo ni mwendelezo wa […]
UKITAKA KWENDA KASI, NENDA MWENYEWE, UKITAKA KWENDA MBALI, AMBATANA NA WENGINE.

Rafiki,
Ni ukweli wa maisha kwamba ukiwa peke yako unaweza kwenda kwa kasi kubwa kuliko ukiambatana na watu wengine.

Lakini kwa kwenda peke yako unachoka haraka na ni rahisi kwako kukata tamaa na kuishia njiani.

Unapoambatana na watu wengine unapata mchango wao kwenye safari yako na wanakutia moyo kuendelea na safari.

Inapokuja kwenye mafanikio, kwa sehemu kubwa uko kwenye safari ye peke yako.
Licha ya kuzungukwa na watu wengi, wengi hawana kiu ya mafanikio.

Hilo linakufanya uwe mpweke kwenye safari yako ya mafanikio na kuwa rahisi kwako kushindwa.

Habari njema ni kwamba kuna FAMILIA YA MAFANIKIO YA KISIMA CHA MAARIFA ambayo ni jamii sahihi kwako kuambatana nayo ili ufanikiwe.

Ukiwa ndani ya jamii hii, hakuna namna unaweza kushindwa. Watu unaoambatana nao wanakupambania mpaka uweze kufanikiwa.

Karibu uungane na watu sahihi kwako kwa ajili ya mafanikio makubwa.

Jiunge hapa; https://chat.whatsapp.com/KHtzXfz8pR85ZTHtJ8ZmS4
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
60/70; WASHANGAZE WATEJA UUZE ZAIDI.

Rafiki,
Huwezi kufanya mauzo makubwa kama mambo unayofanya kwa wateja wako ni ya kawaida.

Ili uuze zaidi, ni lazima uwashangaze sana wateja wako kwa kuwapa huduma bora sana ambayo hawakutegemea kupata.

Hivyo ndivyo wanavyofurahia na kutaka kununua kwako zaidi na zaidi.

Kwenye CHUO CHA MAUZO unajifunza mbinu bora kabisa za kuwashangaza wateja wako ili uwauzie kwa muda mrefu.

Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.

Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.

Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.

Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
#PovuLaPesa; KUBALI MABADILIKO UJENGE UTAJIRI.

Rafiki,
Kufanya jambo lile lile,
Kwa namna ile ile,
Halafu kutegemea matokeo ya tofauti,
Ndiyo maana halisi ya upumbavu.

Kwenye kujenga utajiri, usiwe mpumbavu.
Kwa namna umeishi kwa miaka yako mingi, umeishia hapo ulipo sasa.
Ukiendelea hivyo, utazidi kubaki ulivyo.

Kama hufurahishwi na pale ulipo sasa kifedha, unahitaji kubadilika.
Kitabu cha MTAALA WA UTAJIRI kinakuonyesha maeneo unayopaswa kubadilika ili ujenge utajiri.

*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
ISHI MIAKA 100 - YA AFYA NA MAFANIKIO MAKUBWA.

Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,

Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.

Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,

Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita

Kipindi cha Alhamisi tarehe 04/07/2024 tutakuwa na mada ya;

ISHI MIAKA 100 - YA AFYA NA MAFANIKIO MAKUBWA.

Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Kupenda unachofanya ili ufanikiwe ni ushauri wa kuwa na tahadhari nao sana.
Kwa sababu unachofanya kabla hujafanikiwa ni tofauti kabisa na unachokuja kufanya ukiwa umeshafanikiwa.

Mapenzi yako yanapaswa kuwa kwenye kuzalisha matokeo makubwa na ya tofauti kitu ambacho ndiyo kinakupa mafanikio makubwa.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
3473; Kupenda unachofanya.
https://amkamtanzania.com/2024/07/04/3473-kupenda-unachofanya/

3473; Kupenda unachofanya. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Kupenda unachofanya ni ushauri ambao umekuwa unatolewa sana kwenye safari ya […]
24.7.4; Kujikwamisha.
https://amkamtanzania.com/2024/07/04/24-7-4-kujikwamisha/

Kupenda unachofanya ili ufanikiwe ni ushauri wa kuwa na tahadhari nao sana.Kwa sababu unachofanya kabla hujafanikiwa ni tofauti kabisa na […]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
61/70; JINSI YA KUPATA USHINDI BAADA YA MAUZO.

Rafiki,
Wauzaji wasiofanikiwa ni wale wanaodhani ushindi ni pale mteja anapokuwa amenunua.
Hapo wanaona wameshamaliza kila kitu.

Wasichojua ni ushindi siyo pale mauzo yanapokamilika, bali ushindi ni mteja anafanya nini baada ya mauzo.

Ushindi ni mteja kuendelea kukumbuka biashara hata baada ya kununua.
CHUO CHA MAUZO kinakujengea misingi sahihi ya kupata ushindi baada ya mauzo.

Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.

Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.

Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.

Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
BILIONEA MAFUNZONI; JENGA BIASHARA INAYOJIENDESHA YENYEWE BILA KUKUTEGEMEA.

Rafiki,
Njia ya uhakika ya kujenga utajiri mkubwa kwenye maisha ni kujenga biashara.

Na siyo tu biashara, bali ambayo inaweza kujiendesha yenyewe bila kukutegemea moja kwa moja.

Kwenye programu ya BILIONEA MAFUNZONI ambayo ipo ndani ya FAMILIA YA KISIMA CHA MAARIFA unapata fursa ya kujifunza na kusimamiwa kwa karibu ili kujenga biashara ya aina hiyo.

Karihu sana kwenye KISIMA CHA MAARIFA ili uweze kunufaika na haya.

πŸ”₯FAMILIA YA KISIMA CHA MAARIFA - NYUMBANI PA MAFANIKIO.

Je una kiu ya kupata mafanikio makubwa kwenye maisha yako?

Karibu uungane na familia ya KISIMA CHA MAARIFA ambayo ndiyo nyumbani pa mafanikio.

Ndani ya familia hii utapata maarifa, miongozo, msukumo na usimamizi wa kujenga mafanikio makubwa.

Ungana nasi sasa kwa kutumia link hii; https://chat.whatsapp.com/KHtzXfz8pR85ZTHtJ8ZmS4

Usijicheleweshe kufanikiwa.
Karibu uungane nasi sasa.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
#PovuLaPesa; TAIFA LINAKUTEGEMEA WEWE UWE TAJIRI.

Rafiki,
Watu wengi huwa wanadhani taifa ndiyo litawafanya wao wawe matajiri.
Wakati taifa linawategemea wanachi wawe matajiri ndiyo na lenyewe liweze kuwa tajiri.

Unao wajibu wa kuwa tajiri ili taifa lako pia liweze kuwa tajiri.
Kwa sababu ni kupitia utajiri wako ndiyo taifa pia linatajirika.

Kwenye NGUVU YA BUKU tunaungana pamoja kujenga utajiri ambao utakuwa na manufaa kwa taifa zima.
Karibu uungane na sisi kwenye safari hii muhimu kwako na kwa taifa kwa ujumla.

*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.