SOMA VITABU TANZANIAπŸ“š
1.15K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.61K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
Jinsi Ya Kuwabadili Watu Bila Kuibua Hasira Au Chuki Kanuni Ya Tatu
https://amkamtanzania.com/2024/06/29/jinsi-ya-kuwabadili-watu-bila-kuibua-hasira-au-chuki-kanuni-ya-tatu/

Habari njema muuzaji bora  kuwahi kutokea, Hongera na karibu sana kwenye mwendelezo wa makala zetu za ushawishi kutoka kwenye programu […]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
56/70; WASILISHA VIZURI, UUZE ZAIDI.

Rafiki,
Mauzo yako yanategemea sana jinsi unavyowasilisha kile unachouza.

Uwasilishaji mzuri unampa mteja taarifa zote anazohitaji, kujibu maswali yake na kuvuka mapingamizi yake.

Uwasilishaji mbovu unawachanganya wateja, unaibua maswali magumu na mapingamizi makali.

Kwenye CHUO CHA MAUZO unajifunza uwasilishaji sahihi ambao utakuza sana mauzo yako.

Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.

Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.

Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.

Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
HII NDIYO NJIA YA UHAKIKA KWAKO KUJENGA UTAJIRI.

Rafiki,
Zipo njia nyingi za kuingiza kipato.
Njia kama ajira, kujiajiri na biashara, zote zinaingiza kipato.

Lakini inapokuja kwenye kujenga utajiri mkubwa kwenye maisha yako, ipo njia moja tu ya uhakika.
Njia hiyo ni kujenga biashara.

Na siyo tu biashara, bali biashara inayoweza kujiendesha yenyewe bila ya kukutegemea wewe mwanzilishi.

Kitabu cha MTAALA WA UTAJIRI kinakupa mwongozo wa kuanzisha na kujenga biashara inayokupa utajiri mkubwa.

*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
57/70; UZA KAMA DAKTARI UUZE ZAIDI.

Rafiki,
Unapoenda kwa daktari na kueleza kile unachoumwa, daktari hakimbilii kukuandikia dawa.

Badala yake anakuhoji maswali, kukusikiliza kwa makini, kufanya uchunguzi na vipimo.
Ni baada ya hatua hizo ndiyo anajua unaumwa nini na kukuandikia dawa inayokuponya.

Hivyo pia ndivyo unavyopaswa kufanya mauzo yako kama unataka kuuza zaidi.
Usikimbilie kuwapa wateja kile tu wanachotaka, bali waulize maswali na sikiliza kwa makini.
Ni kwa njia hiyo ndiyo utajua mahitaji yao hasa na kuweza kuwauzia kwa uhakika.

Kwenye CHUO CHA MAUZO unajifunza jinsi ya kuuza kama daktari ili ukuze mauzo yako.

Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.

Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.

Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.

Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
FAMILIA YA KISIMA CHA MAARIFA - NYUMBANI PA MAFANIKIO.

Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,

Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.

Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,

Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita

Kipindi cha Jumatatu tarehe 01/07/2024 tutakuwa na mada ya;

FAMILIA YA KISIMA CHA MAARIFA - NYUMBANI PA MAFANIKIO.

Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Kuwa Jasiri Ili Kuwa Muuzaji Bora Na Kufanya Mauzo Makubwa.
https://amkamtanzania.com/2024/07/01/kuwa-jasiri-ili-kuwa-muuzaji-bora-na-kufanya-mauzo-makubwa/

Habari njema wauzaji bora kabisa kuwahi kutokea, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya CHUO CHA MAUZO, kwenye eneo la […]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
58/70; UZA JUU, KATI NA CHINI.

Rafiki,
Kwa chochote unachouza, kuwa na matoleo matatu.
Toleo la juu ambalo ni bora na gharama kubwa.
Kati ambalo ubora na bei ni kawaida.
Na chini ambalo ubora na bei ni chini.

Kwa njia hiyo, unaweza kuwauzia wateja wa aina zote na kuvuka mapingamizi mengi.

Kwenye CHUO CHA MAUZO unajifunza jinsi ya kutumia matoleo hayo ya tofauti kuuza zaidi.

Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.

Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.

Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.

Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
Ukijifunza kukaza,
Utaweza kufanya makubwa sana.
Kushindwa huwa kunaanza na kulegeza msimamo.
Unapanga kabisa nini utafanya, lakini wakati wa kufanya unatafuta sababu za kuacha.
Ukisharuhusu sababu kuingilia ufanyaji wako, huwezi kufanya kwa ukubwa.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
3470; Tabia ya kulegeza msimamo.
https://amkamtanzania.com/2024/07/01/3470-tabia-ya-kulegeza-msimamo/

3470; Tabia ya kulegeza msimamo. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Msimamo ni kiungo muhimu kwenye kujenga mafanikio makubwa unayoyataka. […]
24.7.1; Kaza.
https://amkamtanzania.com/2024/07/01/24-7-1-kaza/

Ukijifunza kukaza,Utaweza kufanya makubwa sana.Kushindwa huwa kunaanza na kulegeza msimamo.Unapanga kabisa nini utafanya, lakini wakati wa kufanya unatafuta sababu za […]
Tathmini Ya Nusu Mwaka Wa Uwekezaji Kwa Msimamo Bila Kuacha.
https://amkamtanzania.com/2024/07/01/tathmini-ya-nusu-mwaka-wa-uwekezaji-kwa-msimamo-bila-kuacha/

Habari njema Matajiri Wawekezaji, Hongereni wote kwa kuendelea kukaa kwenye mchakato wetu wa programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza […]
KARIBU KWENYE JAMII YA TOFAUTI ITAKAYOKUSUKUMA UFANIKIWE.

Rafiki,
Wale wanaotuzunguka huwa wana ushawishi mkubwa sana kwetu.

Kama unataka kupata mafanikio makubwa, unapaswa kuzungukwa na watu ambao tayari wana mafanikio hayo makubwa au wanayapambania.

Sehemu kubwa ya jamii zetu siyo watu wenye mafanikio makubwa au wanaopambana kuyafikia.
Hivyo tunapokuwa na matamanio makubwa, tunaishia kukatishwa tamaa.

Rafiki, ipo jamii ya tofauti kabisa ya mafanikio inayoitwa KISIMA CHA MAARIFA.
Karibu uwe sehemu ya jamii hiyo na uweze kufanikiwa.

πŸ”₯FAMILIA YA KISIMA CHA MAARIFA - NYUMBANI PA MAFANIKIO.

Je una kiu ya kupata mafanikio makubwa kwenye maisha yako?

Karibu uungane na familia ya KISIMA CHA MAARIFA ambayo ndiyo nyumbani pa mafanikio.

Ndani ya familia hii utapata maarifa, miongozo, msukumo na usimamizi wa kujenga mafanikio makubwa.

Ungana nasi sasa kwa kutumia link hii; https://chat.whatsapp.com/KHtzXfz8pR85ZTHtJ8ZmS4

Usijicheleweshe kufanikiwa.
Karibu uungane nasi sasa.
#Ishi100; ISHI MIAKA 100 YA AFYA NA MAFANIKIO.

Rafiki,
Unao uwezo wa kuishi miaka 100 na zaidi.
Lakini hiyo ni kama utaanza maandalizi mapema.

Kama utajenga na kutunza vizuri afya yako, utaweza kuishi miaka mingi utakavyo.

Na ili uyafurahie maisha hayo marefu, unapaswa kuwa na mafanikio na uhuru wa kifedha.

Karibu kwenye FAMILIA YA KISIMA CHA MAARIFA uweze kujenga afya, mafanikio na utajiri kisha uishi miaka zaidi ya 100.

πŸ”₯FAMILIA YA KISIMA CHA MAARIFA - NYUMBANI PA MAFANIKIO.

Je una kiu ya kupata mafanikio makubwa kwenye maisha yako?

Karibu uungane na familia ya KISIMA CHA MAARIFA ambayo ndiyo nyumbani pa mafanikio.

Ndani ya familia hii utapata maarifa, miongozo, msukumo na usimamizi wa kujenga mafanikio makubwa.

Ungana nasi sasa kwa kutumia link hii; https://chat.whatsapp.com/KHtzXfz8pR85ZTHtJ8ZmS4

Usijicheleweshe kufanikiwa.
Karibu uungane nasi sasa.
Kurasa10; NJIA YA UHAKIKA YA KUSOMA VITABU.

Rafiki,
Mambo yote mazuri yamefichwa kwenye vitabu.
Lakini wengi hawasomi vitanu, kwa sababu hawana muda.

Ipo njia ya uhakika ya kukuwezesha kusoma vitabu.
Njia hiyo ni kusoma kurasa 10 za kitabu kila siku.

Na kurasa hizo 10 unazigawa mara 3,
Kurasa 4 asubuhi kabla ya chai.
Kurasa 3 mchaka wakati wa chakula.
Kurasa 3 usiku kabla ya kulala.

Ukienda na mpango huo, utaweza kukamilisha kusoma kitabu kimoja kila mwezi.
Na hilo litakuweka mbele sana ya wengine.

Karibu kwenye FAMILIA YA KISIMA CHA MAARIFA ambapo ndani yake kuba programu ya KURASA 10 KILA SIKU.
Karibu sana.

πŸ”₯FAMILIA YA KISIMA CHA MAARIFA - NYUMBANI PA MAFANIKIO.

Je una kiu ya kupata mafanikio makubwa kwenye maisha yako?

Karibu uungane na familia ya KISIMA CHA MAARIFA ambayo ndiyo nyumbani pa mafanikio.

Ndani ya familia hii utapata maarifa, miongozo, msukumo na usimamizi wa kujenga mafanikio makubwa.

Ungana nasi sasa kwa kutumia link hii; https://chat.whatsapp.com/KHtzXfz8pR85ZTHtJ8ZmS4

Karibu
Tumia Sikukuu Na Siku Maalumu Kufikia Wateja Wengi Zaidi.
https://amkamtanzania.com/2024/07/02/tumia-sikukuu-na-siku-maalumu-kufikia-wateja-wengi-zaidi/

Habari njema wauzaji bora kuwahi kutokea. Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya CHUO CHA MAUZO, yenye lengo […]
SIMBA NA UKALI WAKE, HATOBOI KWENYE KUNDI LA FISI.

Rafiki,
Tunajua kwamba Simba ni mnyama mkali sana na anayeogopwa na wanyama karibu wote.

Lakini Simba huyo akiwa peke yake na akakutana na kundi la fisi, anakimbia.
Hiyo ni kwa sababu fisi walio kwenye kundi wanakuwa na nguvu kuliko Simba aliye peke yake.

Kwenye safari ya mafanikio, kama unapambana peke yako, utaangushwa na kundi la wengi waliokata tamaa.

Ndiyo maana ni muhimu sana kama unataka kufanikiwa uungane na watu sahihi ili uweze kuwashinda wasio sahihi.

Watu sahihi watakaokuunga mkono kwenye mafanikio ni KLABU ZA KISIMA CHA MAARIFA ambazo zipo mikoa mbalimbali ya Tanzania.

Klabu hizo zimejengwa na watu wenye kiu kubwa ya mafanikio na wanapambana kuyafikia.

Karibu sasa uungane na jamii hii sahihi kwa mafanikio yako.

Kuungana nasi, fungua kiungo hiki; https://chat.whatsapp.com/KHtzXfz8pR85ZTHtJ8ZmS4

Usiwe mnyonge tena kimafanikio, njoo upate nguvu kutoka kwa watu sahihi.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
59/70; WAUZIE WATEJA MILELE...

Rafiki,
Kama unataka kuwa na mauzo ya uhakika kwenye biashara yako, hakikisha mteja akishanunua mara moja, anaendelea kununua milele.

Hilo linawezekana kama utawapa wateja wako huduma bora kabisa ambayo hawawezi kuipata mahali pengine.

Kwenye CHUO CHA MAUZO unajifunza jinsi ya kuwapa wateja wako huduma ya kipekee sana na wasiwe na sababu ya kwenda kununua mahali pengine.

Karibu kwenye CHUO CHA MAUZO uweze kuuza kwa uhakika.

Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.

Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.

Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.

Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
#PovuLaPesa; TUMIA NYENZO KUJENGA UTAJIRI.

Rafiki,
Ili kujenga utajiri ni lazima utumie rasilimali za wengine.

Muda wako pekee haukutoshi, lazima utumie na muda wa wengine.

Fedha zako pekee hazitoshi, lazima utumie fedha za wengine.

Ujuzi wako pekee hautoshi, lazima utumie ujuzi wa wengine.

Kadiri unavyokuwa vizuri kwenye kutumia nyenzo za wengine, ndivyo unavyoweza kujenga utajiri mkubwa.

Pata kitabu cha MTAALA WA UTAJIRI ujifunze jinsi ya kutumia nyenzo kujenga utajiri.