This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
USILE MBEGU YA KUJENGA UTAJIRI...
Rafiki,
Mkulima mwenye akili kamwe huwa hali mbegu, hata njaa iwe kali kiasi gani.
Kwa sababu anajua kushibisha njaa mara moja kwa kula mbegu ni kutengeneza njaa ya milele.
Lakini inapokuja kwenye fedha, watu wamekuwa wanakula mbegu bila ya kufikiria hata mara mbili.
Watu wamekuwa wanatumia kipato chote wanachoingiza bila ya kuweka akiba kabisa.
Kutokuweka akiba ndiyo kitu kinachowafanya wengi kubaki kwenye umasikini kwa maisha yao yote.
Kama unataka kutoka kwenye umasikini, kuweka akiba ndiyo mahali unapopaswa kuanzia.
Kitabu cha MTAALA WA UTAJIRI na programu ya NGUVU YA BUKU vipo kwa ajili yako, kukuwezesha kuweka akiba na kujenga utajiri.
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.

Hakuna kitu watu wanaweza kufanya kwako kama wewe mwenyewe hujawafundisha au kuwaruhusu kufanya.
Kama kuna ambayo wengine wanakufanyia na hupendezwi nayo, anza kuangalia ni kwa namna gani umewafundisha na kuwaruhusu kufanya hivyo.
Jiheshimu wewe mwenyewe na wengine watakuheshimu. Jidharau na wengine watakudharau. Ni hivyo tu.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita

3467; Umewafundisha wewe mwenyewe.
https://amkamtanzania.com/2024/06/28/3467-umewafundisha-wewe-mwenyewe/
3467; Umewafundisha wewe mwenyewe. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Chochote ambacho watu wanakufanyia, ni wewe mwenyewe umewafundisha wafanye [β¦]

24.6.28; Wanakuiga.
https://amkamtanzania.com/2024/06/28/24-6-28-wanakuiga/
Hakuna kitu watu wanaweza kufanya kwako kama wewe mwenyewe hujawafundisha au kuwaruhusu kufanya. Kama kuna ambayo wengine wanakufanyia na hupendezwi [β¦]

Jenga Mahusiano Mazuri Kwa Wateja Ili Kulainisha Ufuatiliaji Wa Wako
https://amkamtanzania.com/2024/06/28/jenga-mahusiano-mazuri-kwa-wateja-ili-kulainisha-ufuatiliaji-wa-wako/
Mtaji wa kwanza unaohitaji ili kukuza mauzo yako ni wateja. Iliuweze kuishi nao vizuri, unahitaji kujenga mahusiano mazuri. Hii ni [β¦]

Usilipe Ada Mara Mbili; Jifunze Kutokana Na Makosa Na Uwekeze Kwa Usahihi.
https://amkamtanzania.com/2024/06/28/usilipe-ada-mara-mbili-jifunze-kutokana-na-makosa-na-uwekeze-kwa-usahihi/
Habari njema Matajiri Wawekezaji,Karibuni kwenye mfululizo wa masomo ya uwekezaji kwenye programu yetu ya NGUVU YA BUKU.Hii ni programu ya [β¦]

#ONK-180; Mjadala Wa Fursa Za Uwekezaji Tanzania β Mifuko Ya Pamoja Na Soko La Hisa.
https://podcasters.spotify.com/pod/show/dr-makirita-amani/episodes/ONK-180-Mjadala-Wa-Fursa-Za-Uwekezaji-Tanzania--Mifuko-Ya-Pamoja-Na-Soko-La-Hisa-e2ldbu3
https://podcasters.spotify.com/pod/show/dr-makirita-amani/episodes/ONK-180-Mjadala-Wa-Fursa-Za-Uwekezaji-Tanzania--Mifuko-Ya-Pamoja-Na-Soko-La-Hisa-e2ldbu3
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
49/70; FANYA MAONYESHO UUZE ZAIDI.
Rafiki,
Watu wanaweza wasikuamini kwa maelezo unayowapa.
Lakini ukiwaonyesha kwa vitendo, huwa wanaamini zaidi.
Na pale unapowahusisha wao wenyewe kwenye kufanya, huwa wanajishawishi wenyewe.
Hapo kazi yako ya mauzo inakuwa rahisi sana.
Kwenye CHUO CHA MAUZO unajifunza jinsi ya kufanya maonyesho wakati wa mauzo ili kuwa na ushawishi mkubwa kwa wateja.
Karibu uwe sehemu ya CHUO CHA MAUZO uweze kukuza mauzo zaidi ya mara mbili.
Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.
Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.
Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.
Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.

NJIA BORA YA KUWAUZIA WATEJA WAGUMU...
Rafiki,
Kwenye mauzo huwa unakutana na wateja ambao ni wagumu sana kuwauzia.
Hao ni wateja ambao wanakuwa na mapingamizi mengi na wasioamini chochote unachowaambia.
Wauzaji wengi huwa wanawakwepa wateja wa aina hiyo.
Ila huwa wanakuwa wateja wazuri sana kama ukiweza kwenda nao vizuri.
Ili kuwauzia wateja wagumu, anza kwa kuwajua kwa undani.
Vaa viatu vyao, jiweke kwenye nafasi zao na uone mambo jinsi wanavyoyaona wao.
Ni kwa njia hiyo ndiyo utaweza kujua ni nini hasa wanachotaka na namna bora ya kuwapatia hicho wanachotaka.
Ukiwapa wanachotaka, wanaridhika na kudumu na wewe milele.

50/70; TUMIA MASHUHUDA KUUZA ZAIDI.
Rafiki,
Ukieleza sifa zako wewe mwenyewe, unaonekana unajigamba.
Lakini wengine wakieleza sifa zako, unakuwa ni ushuhuda.
Watu wanaamini zaidi pale wanaposikia sifa zako zikitolewa na watu wengine kuliko ukizitoa wewe mwenyewe.
Kwa kuwa tayari unao watu wanaokuamini na kukukubali, waombe watoe ushuhuda wao ili uweze kuutumia kuwashawishi wengine nao wanunue.
Kwenye CHUO CHA MAUZO unajifunza jinsi ya kupata, kuandaa na kutumia ushuhuda kufanya mauzo makubwa zaidi.

MJUE ADUI YAKO MKUU WA UTAJIRI.
Rafiki,
Adui namba moja kwako kujenga utajiri ni matumizi.
Kama matumizi yako yanazidi kipato, kamwe huwezi kujenga utajiri.
Wajibu wako mkubwa kwenye safari ya kujenga utajiri ni kuhakikisha matumizi yako ni madogo kuliko kipato chako.
Kama hilo limekuwa linakushinda, yaani kama una madeni yoyote yale, karibu mahali sahihi kwako kutatua hilo.
Programu ya NGUVU YA BUKU inakupa mwongozo sahihi wa kujenga utajiri na kufikia UHURU WA KIFEDHA.
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
Rafiki,
Adui namba moja kwako kujenga utajiri ni matumizi.
Kama matumizi yako yanazidi kipato, kamwe huwezi kujenga utajiri.
Wajibu wako mkubwa kwenye safari ya kujenga utajiri ni kuhakikisha matumizi yako ni madogo kuliko kipato chako.
Kama hilo limekuwa linakushinda, yaani kama una madeni yoyote yale, karibu mahali sahihi kwako kutatua hilo.
Programu ya NGUVU YA BUKU inakupa mwongozo sahihi wa kujenga utajiri na kufikia UHURU WA KIFEDHA.
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
Mambo yanapokuwa rahisi, kila mtu anaonekana yupo vizuri.
Ni pale mambo yanapokuwa magumu ndiyo walio vizuri halisi wanaonekana, ambao ni wachache na wengi ambao hawapo vizuri wanadhihirika.
Kuwa vizuri kwa kuwa tayari kuyakabili magumu yote yanayokuja kwako na utafanikiwa sana.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Ni pale mambo yanapokuwa magumu ndiyo walio vizuri halisi wanaonekana, ambao ni wachache na wengi ambao hawapo vizuri wanadhihirika.
Kuwa vizuri kwa kuwa tayari kuyakabili magumu yote yanayokuja kwako na utafanikiwa sana.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
3468; Maamuzi Magumu.
https://amkamtanzania.com/2024/06/29/3468-maamuzi-magumu/
3468; Maamuzi Magumu. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Kinachowatofautisha wanaofanikiwa na wanaoshindwa ni ugumu.Pale mambo yanapokuwa rahisi, kila mtu [β¦]

24.6.29; Uchi.
https://amkamtanzania.com/2024/06/29/24-6-29-uchi/
Mambo yanapokuwa rahisi, kila mtu anaonekana yupo vizuri. Ni pale mambo yanapokuwa magumu ndiyo walio vizuri halisi wanaonekana, ambao ni [β¦]
https://amkamtanzania.com/2024/06/29/24-6-29-uchi/
Mambo yanapokuwa rahisi, kila mtu anaonekana yupo vizuri. Ni pale mambo yanapokuwa magumu ndiyo walio vizuri halisi wanaonekana, ambao ni [β¦]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
52/70; WAONDOLEE WATEJA HATARI UUZE ZAIDI.
Rafiki,
Unaweza kuwaeleza wateja vizuri kabisa kuhusu kile unachouza, lakini bado wakasita kununua.
Hiyo ni kwa sababu bado wanakuwa na wasiwasi juu ya hicho unachouza.
Wanafikiria kama hakitawasaidia watakuwa wamepoteza fedha zao.
Ili kuvuka hilo, unapaswa kuwaondolea wateja hatari.
Unatakiwa kuwahakikishia kwamba wanachonunua kitawafaa.
Na kama hakitawafaa basi hakuna watakachopoteza.
Kwenye CHUO CHA MAUZO unajifunza jinsi ya kuwapa wateja uhakika na kuwaondolea hatari ili kuuza zaidi.
Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.
Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.
Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.
Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
Rafiki,
Unaweza kuwaeleza wateja vizuri kabisa kuhusu kile unachouza, lakini bado wakasita kununua.
Hiyo ni kwa sababu bado wanakuwa na wasiwasi juu ya hicho unachouza.
Wanafikiria kama hakitawasaidia watakuwa wamepoteza fedha zao.
Ili kuvuka hilo, unapaswa kuwaondolea wateja hatari.
Unatakiwa kuwahakikishia kwamba wanachonunua kitawafaa.
Na kama hakitawafaa basi hakuna watakachopoteza.
Kwenye CHUO CHA MAUZO unajifunza jinsi ya kuwapa wateja uhakika na kuwaondolea hatari ili kuuza zaidi.
Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.
Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.
Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.
Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
53/70; WAZUIE WATEJA WASIKUTOROKE ILI UUZE ZAIDI.
Rafiki,
Umekuwa unaelewana vizuri kabisa na wateja wako na wanakubali kununua.
Lakini inapofika kwenye kulipia, wanakuambia wanaenda halafu watarudi.
Unajua wazi kabisa wakishaenda huwa ni nadra sana wakarudi kama wanavyosema.
Yaani ukimruhusu mteja aondoke bila kukulipa, huwa harudi tena.
Kwenye CHUO CHA MAUZO unajifunza jinsi ya kuwafungia wateja kwenye mauzo ili hata kama wanaondoka, lazima warudi.
Usikubali tena kutorokwa na wateja kwa ahadi zao hewa. Kuwa sehemu ya CHUO CHA MAUZO ili uweze kuuza kwa uhakika.

#ONK-181; Falsafa Ya Ustoa; Jinsi Ya Kupata Mazuri Unayoyataka Kwenye Maisha Yako Leo.
https://podcasters.spotify.com/pod/show/dr-makirita-amani/episodes/ONK-181-Falsafa-Ya-Ustoa-Jinsi-Ya-Kupata-Mazuri-Unayoyataka-Kwenye-Maisha-Yako-Leo-e2leprq

Watu huwa hawafanyi kitu kama hakina manufaa binafsi kwao.
Kama unataka kuwashawishi watu wakubaliane na wewe, waonyeshe jinsi wanavyoenda kunufaika zaidi wao binafsi kwenye hicho unachowataka wafanye.
Na iwe ni kweli kwamba watanufaika, hapo watakuamini na kusambaza taarifa zako kwa watu wengine.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Kama unataka kuwashawishi watu wakubaliane na wewe, waonyeshe jinsi wanavyoenda kunufaika zaidi wao binafsi kwenye hicho unachowataka wafanye.
Na iwe ni kweli kwamba watanufaika, hapo watakuamini na kusambaza taarifa zako kwa watu wengine.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
55/70; KAMILISHA MAUZO.
Rafiki,
Kuongea na wateja pekee haitoshi kukuza mauzo.
Lazima uweze kuwaambia wakupe pesa zao, kitu ambacho ni kigumu sana.
Wauzaji wengi wamekuwa wanaongea vizuri sana na wateja, lakini inapofikia kwenye kukamilisha mauzo, kuwaambia wateja walipie, wanashindwa.
Mauzo hayajakamilika kama mteja hajalipia. Hata kama ameahidi anaenda kisha atarudi, mauzo hayajakamilika.
Kwenye CHUO CHA MAUZO unajifunza mbinu bora za kukamilisha mauzo ili uweze kuuza zaidi.
Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.
Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.
Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.
Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
Rafiki,
Kuongea na wateja pekee haitoshi kukuza mauzo.
Lazima uweze kuwaambia wakupe pesa zao, kitu ambacho ni kigumu sana.
Wauzaji wengi wamekuwa wanaongea vizuri sana na wateja, lakini inapofikia kwenye kukamilisha mauzo, kuwaambia wateja walipie, wanashindwa.
Mauzo hayajakamilika kama mteja hajalipia. Hata kama ameahidi anaenda kisha atarudi, mauzo hayajakamilika.
Kwenye CHUO CHA MAUZO unajifunza mbinu bora za kukamilisha mauzo ili uweze kuuza zaidi.
Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.
Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.
Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.
Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
#ONK-182; Mjadala Wa Uwekezaji Kwenye Mifuko Ya Pamoja Na Soko La Hisa.
https://podcasters.spotify.com/pod/show/dr-makirita-amani/episodes/ONK-182-Mjadala-Wa-Uwekezaji-Kwenye-Mifuko-Ya-Pamoja-Na-Soko-La-Hisa-e2lfevt