SOMA VITABU TANZANIAπŸ“š
1.15K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.61K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
Kwani Hizo Fedha Ndogo Ndogo Unazookoa Ziko Wapi?
https://amkamtanzania.com/2024/06/25/kwani-hizo-fedha-ndogo-ndogo-unazookoa-ziko-wapi/

Rafiki yangu mpendwa, Kuna watu huwa wanabana sana matumizi, wanakuwa na ubahili mkubwa kwenye fedha zao, lakini bado wanashindwa kujenga […]
Tenga Muda Kwa Ajili Yako Ili Kuwa Muuzaji Bora Na Kufanya Mauzo Makubwa.
https://amkamtanzania.com/2024/06/26/tenga-muda-kwa-ajili-yako-ili-kuwa-muuzaji-bora-na-kufanya-mauzo-makubwa/

Habari njema wauzaji bora kabisa kuwahi kutokea, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya CHUO CHA MAUZO, kwenye eneo la […]
Maneno 24 Ya Ushawishi Yenye Nguvu Ya Kukupa Chochote Unachotaka.
https://amkamtanzania.com/2024/06/26/maneno-24-ya-ushawishi-yenye-nguvu-ya-kukupa-chochote-unachotaka/

Rafiki yangu mpendwa, Ili upate kile unachotaka kwenye maisha yako, lazima kwanza uwape wengine kile wanachotaka. Utaweza kuwapa wengine kile […]
Hakuna kitu ambacho washindani wako wanacho ambacho wewe huwezi kuwa nacho.
Jua sifa zote ambazo ushindani unaweza kuwa nazo, kisha jijengee sifa hizo kwa ukubwa zaidi.
Utakuwa mshindani hatari zaidi na utaweza kuvuka yote kwenye safari yako ya mafanikio.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
43/70; FANYA INTELIJENSIA KUUZA ZAIDI.

Rafiki,
Kadiri unavyokuwa na taarifa nyingi za wateja, ndivyo unavyoweza kuwashawishi na kuwauzia zaidi.

Ili kupata taarifa nyinyi za wateja, unapaswa kufanya intelijensia.
Uzuri ni kwamba tayari watu wanaweka wazi taarifa zao nyingi, hivyo huhitaji kazi sana kuzipata.

Watu wanaweka taarifa zao nyingi mtandaoni. Hivyo ukiwa mfuatiliaji utaweza kupata taarifa nyingi za wateja.

Kwenye CHUO CHA MAUZO unapata nafasi ya kujifunza jinsi ya kufanya inteijensia na kuuza zaidi.

Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.

Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.

Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.

Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
44/70 TOA THAMANI KWANZA UUZE ZAIDI.

Rafiki,
Kabla hujachukua hela ya mteja, hakikisha unampa thamani kubwa kwanza.

Watu huwa wanahofia kutoa fedha zao kama hawana uhakika.
Lakini unapotoa thamani kwanza, unawapa watu uhakika wa kulipia ili wapate unachouza.

Kuna vitu vingi unavyoweza kutoa kama thamani kwa mteja kabla hata ya kuchukua fedha yake.

Kwenye CHUO CHA MAUZO unapata nafasi ya kujifunza thamani unazoweza kutoa na ukauza zaidi.

Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.

Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.

Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.

Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
45/70; MCHAKATO WA KUKUZA MAUZO.

Rafiki,
Kukuza mauzo siyo kitu kinachotokea kwa bahati.
Bali ni kitu kinachopaswa kupangiliwa na kuwa na mchakato wa uhakika.

CHUO CHA MAUZO kina mchakato wa kukuza mauzo ambao unahusisha vitu vitatu;
1. Kuwasaka wateja wapya ambao hawajawahi kununua kwenye biashara.
2. Kuwashawishi wateja hao wakubali kununua.
3. Kuwahudumia vizuri wateja hao ili waendelee kudumu kwenye biashara.
Kwa kufanyia kazi hayo matatu kwa uhakika, utaweza kukuza sana mauzo ya biashara yako.

Karibu kwenye CHUO CHA MAUZO upate usimamizi mzuri kwenye kufanyia kazi mchakato huu na ukuze mauzo.

Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.

Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.

Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.

Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
3465; Mshindani atajayekusumbua sana.
https://amkamtanzania.com/2024/06/26/3465-mshindani-atajayekusumbua-sana/

3465; Mshindani atajayekusumbua sana. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Hebu fikiria mshindani ambaye anaweza kukusumbua sana kwenye eneo unalopambana […]
24.6.26; Ushindani.
https://amkamtanzania.com/2024/06/26/24-6-26-ushindani/

Hakuna kitu ambacho washindani wako wanacho ambacho wewe huwezi kuwa nacho.Jua sifa zote ambazo ushindani unaweza kuwa nazo, kisha jijengee […]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
UKO MAHALI SAHIHI KUJENGA UTAJIRI.

Rafiki,
Hapo ulipo sasa ndiyo mahali sahihi kabisa kwako kuanza safari ya kujenga utajiri.

Usijiambie unasubiri mpaka vitu gani vitokee, badala yake anzia hapo ulipo sasa na jenga utajiri wako.

Kila ulichonacho sasa ni rasilimali muhimu unayoihitaji ili uweze kujenga utajiri.
Ukiweza kufunguka na kutumia vizuri kila kinachokuzunguka utafanya makubwa sana.

Kitabu Cha MTAALA WA UTAJIRI ni mwongozo sahihi kwako kuanzia hapo ulipo na kujenga utajiri mkubwa.
Jipatie nakala yako ya kitabu uweze kutoka hapo ulipo na ufanye makubwa.

*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
3466; Ni rahisi.
https://amkamtanzania.com/2024/06/27/3466-ni-rahisi/

3466; Ni rahisi. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Watu wamekuwa wanaona hatua za kujenga biashara zinazowapa mafanikio na utajiri […]
Tumia Televisheni Na Video Kufikia Wateja Wengi Zaidi.
https://amkamtanzania.com/2024/06/27/tumia-televisheni-na-video-kufikia-wateja-wengi-zaidi/

Habari njema wauzaji bora kuwahi kutokea. Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya CHUO CHA MAUZO, yenye lengo […]
24.6.27; Urahisi.
https://amkamtanzania.com/2024/06/27/24-6-27-urahisi/

Kujenga mafanikio na utajiri ni kitu rahisi sana.1. Jua tatizo ambalo watu wengi wanalo na wapo tayari kulipia kulitatua.2. Tatua […]
Kujenga mafanikio na utajiri ni kitu rahisi sana.
1. Jua tatizo ambalo watu wengi wanalo na wapo tayari kulipia kulitatua.
2. Tatua tatizo hilo kwa uhakika kiasi cha kila mwenye nalo kutaka suluhisho lako.
3. Weka kazi hiyo kwa muda mrefu na msimamo bila kuacha.
Nenda hivyo na kwa uhakika utaweza kupata chochote unachotaka.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
46/70; KAA KWENYE MCHAKATO UUZE ZAIDI.

Rafiki,
Ukishaujua mchakato ambao unakuza mauzo, kinachofuata ni kukaa kwenye mchakato huo kwa msimamo bila kuacha.

Tatizo moja ambalo watu tunalo ni kukosa msimamo. Tunajua kabisa kilicho sahihi kufanya, lakini hatuwezi kukifanya kwa mwendelezo.

Kwenye CHUO CHA MAUZO unapata usimamizi wa karibu ambao unakuwezesha kufanya kwa msimamo bila kuacha.

Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.

Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.

Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.

Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
47/70; SAKA WATEJA WAPYA...

Rafiki,
Kutegemea wateja ulionao pekee huwezi kufanya mauzo makubwa.

Na kusubiri wateja waje kwenye biashara ndiyo chanzo cha biashara nyingi kuwa na mauzo duni.

Kwenye CHUO CHA MAUZO, mkakati tunaofanyia kazi ni kuwafuata wateja kule waliko na kuwashawishi kununua.

Kwa njia hiyo, kukuza mauzo ni kitu cha uhakika kabisa.
Karibu kwenye CHUO CHA MAUZO ujifunze kusaka wateja na kukuza mauzo.

Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.

Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.

Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.

Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
GONGA MILANGO MINGI, UUZE ZAIDI...

Rafiki,
Kusubiri wateja waje kwenye biashara ni kitu ambacho kilishapitwa na wakati.

Kwa sasa watu wana mambo mengi ya kufanya na muda wao ni mchache.

Hivyo kutegemea waje kwenye biashara yako, ni kujichelewesha.

Ili uuze zaidi, unapaswa kuwafuata wateja kule walipo.
Na moja ya njia za kufanya hivyo ni kubisha milango mingi zaidi.

Kama ilivyoandikwa, bisheni nanyi mtafunguliwa.
Ukigonga milango mingi zaidi, lazima utauza zaidi.

Kwenye CHUO CHA MAUZO unajifunza njia bora ya kuwafikia watu ambao huwajui na hawakujui ila ukaweza kuwashawishi wanunue unachouza.