Muda hausimami kukusubiri wewe,
Unaendelea kwenda kama ambavyo unaenda.
Ni wewe ukimbizane na muda ili uweze kupata kile unachotaka.
Kaa kwenye mapambano ya mafanikio kwa muda wako wote uliobaki hapa duniani.
Utaweza kufanya makubwa zaidi ya ambayo umeshafanya.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE| +255678977007 | https://bit.ly/makirita

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
34/70; KUWA NA SHAUKU KUBWA UUZE ZAIDI.
Rafiki,
Uwezo wako wa kuwashawishi watu wakubaliane na wewe unategemea sana shauku unayokuwa nayo.
Unapokuwa na shauku kubwa, unawaambukiza wengine shauku hiyo na kuwashawishi.
Shauku ni kupenda, kukubali na kuamini sana kile unachofanya.
Shauku ni kitu ambacho unaweza kujijengea na kukitumia kwa manufaa makubwa.
Kwenye CHUO CHA MAUZO unapata fursa ya kujifunza na kujijengea shauku kubwa itakayokuwezesha kuuza zaidi.
Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.
Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.
Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.
Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.

35/70; JALI MASLAHI YA WATEJA KUUZA ZAIDI.
Rafiki,
Kila mtu huwa anafanya mambo kwa maslahi yake binafsi.
Wateja hawanunui kwa sababu wewe unauza, bali wananunua kwa sababu wanaona watanufaika kwa kufanya hivyo.
Kama unataka kuuza zaidi, wajibu wako mkubwa nikuwaonyesha wateja ni kwa namna gani watanufaika na kile unachowauzia.
Kwenye CHUO CHA MAUZO unapata nafasi ya kujifunza jinsi ya kujua na kujali maslahi ya wateja wako ili uweze kuwauzia zaidi.
Karibu uwe sehemu ya CHUO CHA MAUZO na uweze kuwashawishi wateja kununua.

36/70; GUSA MAUMIVU KUUZA ZAIDI.
Rafiki,
Watu huwa hawachukui hatua kama hawana maumivu.
Kwenye mauzo, watu huwa wananunua pale wanapokuwa na maumivu.
Maumivu ni ile hali ambayo mtu anakuwa nayo na hawezi kuivumilia.
Analazimika kuchukua hatua ili kutatua hali hiyo.
Ukiweza kuyajua na kuyagusa maumivu ya wateja, utaweza kufanya mauzo makubwa zaidi.
Kwenye CHUO CHA MAUZO unapata nafasi ya kujifunza jinsi ya kujua na kutumia maumivu ya wateja kuuza zaidi.

FAIDA KUBWA YA UWEKEZAJI IPO KWENYE MUDA...
Rafiki,
Watu wengi huwa wanadhani faida kubwa ya uwekezaji inatokana na kiasi kikubwa kinachowekezwa.
Lakini hilo siyo sahihi, faida kubwa ya uwekezaji inatokana na muda ambao uwekezaji umefanyika.
Kadiri unavyowekeza kwa muda mrefu zaidi, ndivyo unavyotengeneza faida kubwa zaidi.
Anayeanza kuwekeza mapema na akawekeza kwa muda mrefu bila kuacha au kutoa, anapata faida kubwa kuliko anayechelewa au kutoa uwekezaji wake.
Kwenye programu ya NGUVU YA BUKU ambapo tunajifunza na kufanya uwekezaji kwa vitendo, tunatumia nguvu ya muda kupata faida kubwa kwenye uwekezaji.
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.

Mbinu Mbili Za Uhakika Za Ukamilishaji Wa Mauzo 51-52
https://amkamtanzania.com/2024/06/24/mbinu-mbili-za-uhakika-za-ukamilishaji-wa-mauzo-51-52/
Habari njema muuzaji bora kabisa kuwahi kutokea, Karibu sana kwenye mwendelezo wa makala zetu za ukamilishaji ambazo ni mwendelezo wa [β¦]
https://amkamtanzania.com/2024/06/24/mbinu-mbili-za-uhakika-za-ukamilishaji-wa-mauzo-51-52/
Habari njema muuzaji bora kabisa kuwahi kutokea, Karibu sana kwenye mwendelezo wa makala zetu za ukamilishaji ambazo ni mwendelezo wa [β¦]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
37/70; ULIZA MASWALI KUUZA ZAIDI.
Rafiki,
Ili uweze kuwashawishi watu wanunue, unapaswa kuwajua kwa undani.
Na ili uweze kuwajua watu kwa undani, unapaswa kuwauliza maswali na kuwaacha wajieleze.
Maswali hayaulizwi tu vile unavyojisikia.
Kuna namna sahihi ya kuuliza maswali inayowafanya watu wawe tayari kujieleza, uwajue na uweze kuwashawishi kununua.
CHUO CHA MAUZO kinakufundisha jinsi ya kuuliza maswali kwa usahihi na kuuza zaidi.
Karibu kwenye CHUO CHA MAUZO uwe muuzaji bora kupitia kuuliza maswali.
Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.
Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.
Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.
Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
Rafiki,
Ili uweze kuwashawishi watu wanunue, unapaswa kuwajua kwa undani.
Na ili uweze kuwajua watu kwa undani, unapaswa kuwauliza maswali na kuwaacha wajieleze.
Maswali hayaulizwi tu vile unavyojisikia.
Kuna namna sahihi ya kuuliza maswali inayowafanya watu wawe tayari kujieleza, uwajue na uweze kuwashawishi kununua.
CHUO CHA MAUZO kinakufundisha jinsi ya kuuliza maswali kwa usahihi na kuuza zaidi.
Karibu kwenye CHUO CHA MAUZO uwe muuzaji bora kupitia kuuliza maswali.
Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.
Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.
Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.
Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
38/70; SIKILIZA UUZE ZAIDI...
Rafiki,
Wauzaji wasiofanikiwa hudhani kuuza unatakiwa kuongea sana.
Lakini ukweli ni kama unataka kuuza sana, unapaswa kuwa msikilizaji zaidi kuliko kuwa mwongeaji.
Ni kupitia kusikiliza ndiyo utawaelewa watu vizuri na kuweza kuwashawishi.
Lakini pia unapokuwa msikilizaji mzuri, unawafanya watu wawe tayari kujieleza zaidi kwako.
Watu wakijieleza wenyewe kwako, ni rahisi kuwashawishi.
Kwenye CHUO CHA MAUZO unapata fursa ya kujifunza jinsi ya kuwa mkimya na msikilizaji ili uuze zaidi.

3463; Kupoteana.
https://amkamtanzania.com/2024/06/24/3463-kupoteana/
3463; Kupoteana. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Licha ya mazingira ya mafanikio kuwa rahisi kwenye zama hizi kuliko kipindi [β¦]

24.6.24; Kujipoteza.
https://amkamtanzania.com/2024/06/24/24-6-24-kujipoteza/
Huwezi kufanikiwa kama hujui mafanikio yana maana gani kwako.Huwezi kufanikiwa kama huna misingi unayoisimamia mara zote.Acha kuifanya safari ya mafanikio [β¦]

Huwezi kufanikiwa kama hujui mafanikio yana maana gani kwako.
Huwezi kufanikiwa kama huna misingi unayoisimamia mara zote.
Acha kuifanya safari ya mafanikio kuwa ngumu kwako kwa kufuata mkumbo na kutumiwa na wengine.
Jitambue wewe mwenyewe na uweze kufanya makubwa.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Huwezi kufanikiwa kama huna misingi unayoisimamia mara zote.
Acha kuifanya safari ya mafanikio kuwa ngumu kwako kwa kufuata mkumbo na kutumiwa na wengine.
Jitambue wewe mwenyewe na uweze kufanya makubwa.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
39/70; KUWA MWAMINIFU UUZE ZAIDI...
Rafiki,
Watu wengi wanashindwa kuuza kwa ukubwa kwa sababu ya kukosa uaminifu.
Kuwaahidi wateja vitu ambavyo hawawezi kutimiza kumefanya wauzaji wengi kupoteza wateja.
Ili kufanikiwa kwenye mauzo, unapaswa kuwa mwaminifu mara zote.
Tekeleza yote unayoahidi, sema ukweli mara zote na fanya kilicho sahihi.
Kwenye CHUO CHA MAUZO unajifunza jinsi ya kutumia uaminifu kuuza zaidi.
Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.
Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.
Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.
Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
Rafiki,
Watu wengi wanashindwa kuuza kwa ukubwa kwa sababu ya kukosa uaminifu.
Kuwaahidi wateja vitu ambavyo hawawezi kutimiza kumefanya wauzaji wengi kupoteza wateja.
Ili kufanikiwa kwenye mauzo, unapaswa kuwa mwaminifu mara zote.
Tekeleza yote unayoahidi, sema ukweli mara zote na fanya kilicho sahihi.
Kwenye CHUO CHA MAUZO unajifunza jinsi ya kutumia uaminifu kuuza zaidi.
Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.
Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.
Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.
Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
#PovuLaPesa; NGUVU YA MTAZAMO KWENYE UTAJIRI.
Rafiki,
Kile unachoona na kusikia siyo uhalisia, bali ni kutokana na mtazamo unaokuwa nao.
Kama unaona umasikini ni kwa sababu una mtazamo wa kimasikini.
Ukibadili mtazamo huo na ukawa wa kitajiri, unaanza kuona fursa mbalimbali za kujijengea utajiri.
Kitabu cha MTAALA WA UTAJIRI kinakuwezesha kujijengea mtazamo sahihi wa kitajiri ambao utakuwezesha kuona na kutumia fursa zinazokuzunguka kujenga utajiri mkubwa.
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
Rafiki,
Kile unachoona na kusikia siyo uhalisia, bali ni kutokana na mtazamo unaokuwa nao.
Kama unaona umasikini ni kwa sababu una mtazamo wa kimasikini.
Ukibadili mtazamo huo na ukawa wa kitajiri, unaanza kuona fursa mbalimbali za kujijengea utajiri.
Kitabu cha MTAALA WA UTAJIRI kinakuwezesha kujijengea mtazamo sahihi wa kitajiri ambao utakuwezesha kuona na kutumia fursa zinazokuzunguka kujenga utajiri mkubwa.
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
Maneno Ya Kufanya Ufanikiwe Mbele Ya Mteja
https://amkamtanzania.com/2024/06/25/maneno-ya-kufanya-ufanikiwe-mbele-ya-mteja/
Neno shukurani ni dogo sana, lakini lenye maana kubwa kwenye maisha ya binadamu, hasa pale linapotolewa na mtu akalisoma au [β¦]
https://amkamtanzania.com/2024/06/25/maneno-ya-kufanya-ufanikiwe-mbele-ya-mteja/
Neno shukurani ni dogo sana, lakini lenye maana kubwa kwenye maisha ya binadamu, hasa pale linapotolewa na mtu akalisoma au [β¦]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
40/70; IJUE BIASHARA KWA KINA ILI UUZE ZAIDI.
Rafiki,
Kadiri mtu unavyokijua kitu kwa undani, ndivyo unavyoweza kukielezea vizuri.
Na unapoelezea kitu vizuri, unakuwa na ushawishi mkubwa zaidi.
Ili kufanya mauzo makubwa, unapaswa kuijua biashara yako kwa kina.
Ukiijua biashara yako, hata mteja akikuuliza swali unakuwa tayari kumjibu vizuri.
Kwenye CHUO CHA MAUZO unapata nafasi ya kujifunza na kuijua biashara yako kwa kina ili kuuza zaidi.
Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.
Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.
Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.
Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
Rafiki,
Kadiri mtu unavyokijua kitu kwa undani, ndivyo unavyoweza kukielezea vizuri.
Na unapoelezea kitu vizuri, unakuwa na ushawishi mkubwa zaidi.
Ili kufanya mauzo makubwa, unapaswa kuijua biashara yako kwa kina.
Ukiijua biashara yako, hata mteja akikuuliza swali unakuwa tayari kumjibu vizuri.
Kwenye CHUO CHA MAUZO unapata nafasi ya kujifunza na kuijua biashara yako kwa kina ili kuuza zaidi.
Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.
Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.
Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.
Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
KAMA HUNA SHAUKU KUBWA, USIJISUMBUE KUUZA...
Rafiki,
Mauzo ni shauku, kama huna shauku, huwezi kufanya mauzo makubwa.
Uzuri ni shauku ni kitu ambacho unaweza kujijengea na kukitumia kwa manufaa makubwa kwako.
Unajenga shauku kwa...
1. Kujipenda na kujikubali wewe mwenyewe.
2. Kukubali na kupenda kile unachofanya.
3. Kuwa na tabasamu muda wote.
4. Kuwa na matamanio ya kufanya makubwa.
5. Kutamani sana wengine wanufaike.
Hayo yote unaweza kujijengea wewe mwenyewe.
Kwenye CHUO CHA MAUZO unapata nafasi ya kujifunza kujijengea shauku na kuitumia kufanya mauzo makubwa.
CHUO CHA MAUZO ni mahali ambapo kila mtu anayetaka kukuza kipato chake anapaswa kuwa.
Kwa sababu unajifunza ushawishi ambao utawafanya wengine wakupe unachotaka.
Uzuri ni kwamba kuna ofa ya kipekee ya kujiunga na CHUO CHA MAUZO kwa sasa.
Karibu uchukue hatua kunufaika na ofa hiyo sasa.
Wasiliana na 0717 101 505 kuipata ofa.

41/70; WASIFIE WATEJA UUZE ZAIDI.
Rafiki,
Njaa kubwa ambayo watu wanayo kwenye zama hizi ni kusifiwa.
Watu wanapenda sana kusifiwa, lakini ni kitu ambacho kimekuwa adimu.
Ukiwa ni mtu unayewathamini na kuwasifia wateja, utakuwa na ushawishi mkubwa kwao na kuweza kufanya mauzo makubwa.
Uzuri ni kwamba kuna vitu vingi vya kusifia kwa kila mtu, hivyo kuwa na fursa ya kuweza kumshawishi kila mtu.
Kwenye CHUO CHA MAUZO unapata nafasi ya kujitunza jinsi ya kuwasifia wateja kwa usahihi na kukuza mauzo yako.
Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.
Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.
Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.
Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
Rafiki,
Njaa kubwa ambayo watu wanayo kwenye zama hizi ni kusifiwa.
Watu wanapenda sana kusifiwa, lakini ni kitu ambacho kimekuwa adimu.
Ukiwa ni mtu unayewathamini na kuwasifia wateja, utakuwa na ushawishi mkubwa kwao na kuweza kufanya mauzo makubwa.
Uzuri ni kwamba kuna vitu vingi vya kusifia kwa kila mtu, hivyo kuwa na fursa ya kuweza kumshawishi kila mtu.
Kwenye CHUO CHA MAUZO unapata nafasi ya kujitunza jinsi ya kuwasifia wateja kwa usahihi na kukuza mauzo yako.
Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.
Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.
Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.
Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
#PovuLaPesa; MUDA NI ZAIDI YA PESA...
Rafiki,
Watu huwa wanasema muda ni pesa.
Lakini huo siyo ukweli, muda ni zaidi ya pesa.
Ukipoteza pesa, unaweza kutafuta na kupata nyingine.
Lakini ukipoteza hata dakika moja tu, huwezi kupata nyingine.
Kwenye kujenga UTAJIRI na UHURU WA KIFEDHA, unapaswa kujali sana muda wako.
Unapaswa kuwa na usimamizi na udhibiti mzuri wa muda wako ili uweze kuutumia kufanya makubwa.
Uzuri ni wote tuna muda sawa, hivyo tuna fursa sawa za kufanikiwa.
Jifunze jinsi ya kutumia vizuri muda wako ili upate mafanikio.
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
Rafiki,
Watu huwa wanasema muda ni pesa.
Lakini huo siyo ukweli, muda ni zaidi ya pesa.
Ukipoteza pesa, unaweza kutafuta na kupata nyingine.
Lakini ukipoteza hata dakika moja tu, huwezi kupata nyingine.
Kwenye kujenga UTAJIRI na UHURU WA KIFEDHA, unapaswa kujali sana muda wako.
Unapaswa kuwa na usimamizi na udhibiti mzuri wa muda wako ili uweze kuutumia kufanya makubwa.
Uzuri ni wote tuna muda sawa, hivyo tuna fursa sawa za kufanikiwa.
Jifunze jinsi ya kutumia vizuri muda wako ili upate mafanikio.
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
42/70; TABASAMU MARA ZOTE UUZE ZAIDI.
Rafiki,
Kabla watu hawajanunua unachouza, wanakununua wewe kwanza.
Watu wanakununua kwa kukukubali.
Kuwa na uso wa tabasamu ni kitu cha kwanza unachoweza kukiuza kwa watu wengine na ukakubalika kwa haraka.
Kama unataka kufanya mauzo makubwa, mara zote vaa uso wa tabasamu.
Usikubali mtu yeyote akuone ukiwa hujatabasamu.
Hata kama unapitia changamoto binafsi, mara zote vaa uso wa tabasamu.
Kwenye CHUO CHA MAUZO unapata fursa ya kujifunza kuwa mtu wa kutabasamu muda wote.
Hata kama kwa mazoea yako wewe siyo mtu wa kutabasamu, utajifunza na kuwa mtu wa kutabasamu.
Usipoteze mauzo kwa kushindwa tu kutabasamu. Tabasamu mara zote na uuze zaidi.
Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.
Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.
Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.
Wasiliana 0717 101 505

#FursaZaUwekezajiTZ; UWEKEZAJI KWENYE SOKO LA HISA LA DAR ES SALAAM - DSE.
Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,
Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.
Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,
Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita
Kipindi cha Jumatano tarehe 26/06/2024 tutakuwa na mada ya;
UWEKEZAJI KWENYE SOKO LA HISA LA DAR ES SALAAM - DSE.
Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita