SOMA VITABU TANZANIA📚
1.15K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.61K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
#FursaZaUwekezajiTZ; UWEKEZAJI KWENYE SOKO LA HISA LA DAR ES SALAAM - DSE.

Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,

Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.

Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,

Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita

Kipindi cha Jumatano tarehe 26/06/2024 tutakuwa na mada ya;

UWEKEZAJI KWENYE SOKO LA HISA LA DAR ES SALAAM - DSE.

Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita