This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
27/70; TUMIA KADI, VIPEPERUSHI NA MABANGO KUKUZA MAUZO.
Rafiki,
Pamoja na maendeleo ya teknolojia ambayo yanafanya dijitali iwe na nguvu, bado analojia ina nguvu kwenye mauzo.
Analojia inahusisha machapisho kama ya kadi za biashara (business cards), vipeperushi na mabango.
Kwenye CHUO CHA MAUZO unapata nafasi ya kujifunza jinsi ya kutumia machapisho kukuza mauzo yako.
Karibu kwenye CHUO CHA MAUZO ukuze mauzo yako kwa uhakika.
Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.
Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.
Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.
Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.

#Amri12ZaUtajiri; MTU TAJIRI ZAIDI MJINI - MITINDO KUMI (10) YA MAISHA YA MATAJIRI UNAYOPASWA KUIISHI ILI KUTAJIRIKA.
Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,
Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.
Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,
Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita
Kipindi cha Ijumaa tarehe 21/06/2024 tutakuwa na mada ya;
MTU TAJIRI ZAIDI MJINI - MITINDO KUMI (10) YA MAISHA YA MATAJIRI UNAYOPASWA KUIISHI ILI KUTAJIRIKA.
Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita

Wafuatilie Wateja Katika Maeneo Wanayoenda, Ili Uwashawishi Kununua
https://amkamtanzania.com/2024/06/21/wafuatilie-wateja-katika-maeneo-wanayoenda-ili-uwashawishi-kununua/
Rafiki,Ipo wazi kwamba, kila mmoja kuna eneo pendwa analoenda mara nyingi zaidi kwa ajili ya mapumziko au sehemu ya burudani. [β¦]

Kiburi hutangulia anguko,
Kiburi ni kuamini kwamba huwezi kushindwa.
Unapoamini huwezi kushindwa, hujifunzi na unafanya yanayokuzidi.
Jiamini kwamba utafanikiwa, lakini usiwe na kiburi kwamba huwezi kushindwa.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita

3460; Kujiamini na Kiburi.
https://amkamtanzania.com/2024/06/21/3460-kujiamini-na-kiburi/
3460; Kujiamini na Kiburi. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Mafanikio yanataka mtu ujiamini kupitiliza. Yaani ujiamini sana, kwa [β¦]

24.6.21; Kiburi.
https://amkamtanzania.com/2024/06/21/24-6-21-kiburi/
Kiburi hutangulia anguko,Kiburi ni kuamini kwamba huwezi kushindwa.Unapoamini huwezi kushindwa, hujifunzi na unafanya yanayokuzidi.Jiamini kwamba utafanikiwa, lakini usiwe na kiburi [β¦]

Nufaika Na Mapinduzi Ya Kifedha Yanayoendelea Tanzania.
https://amkamtanzania.com/2024/06/21/nufaika-na-mapinduzi-ya-kifedha-yanayoendelea-tanzania/
USIKUBALI KUACHWA NYUMA NA MAPINDUZI HAYA YA KIFEDHA YANAYOKUJA TANZANIA. Habari njema Matajiri wawekezaji, Ni nafasi nyingine nzuri kwetu kuendelea [β¦]
https://amkamtanzania.com/2024/06/21/nufaika-na-mapinduzi-ya-kifedha-yanayoendelea-tanzania/
USIKUBALI KUACHWA NYUMA NA MAPINDUZI HAYA YA KIFEDHA YANAYOKUJA TANZANIA. Habari njema Matajiri wawekezaji, Ni nafasi nyingine nzuri kwetu kuendelea [β¦]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
28/70; TUMA SALAMU KWA WATEJA.
Rafiki,
Kutumiana salamu ni swala ambalo limekuwa linaimarisha mahusiano baina ya watu.
Unaweza kutumia nguvu hiyo hiyo ya salamu kwenye kukuza mauzo yako zaidi.
Unachopaswa kufanya ni kutumia fursa mbalimbali kutuma salamu kwa wateja wako.
CHUO CHA MAUZO kinakupa mwongozo wa jinsi ya kutumia sikukuu mbalimbali kuwatumia wateja wako salamu na kuboresha mahusiano.
Mahusiano bora na wateja wako yanakuza zaidi mauzo.
Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.
Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.
Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.
Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
Rafiki,
Kutumiana salamu ni swala ambalo limekuwa linaimarisha mahusiano baina ya watu.
Unaweza kutumia nguvu hiyo hiyo ya salamu kwenye kukuza mauzo yako zaidi.
Unachopaswa kufanya ni kutumia fursa mbalimbali kutuma salamu kwa wateja wako.
CHUO CHA MAUZO kinakupa mwongozo wa jinsi ya kutumia sikukuu mbalimbali kuwatumia wateja wako salamu na kuboresha mahusiano.
Mahusiano bora na wateja wako yanakuza zaidi mauzo.
Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.
Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.
Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.
Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
29/30; TOA ZAWADI KUUZA ZAIDI...
Rafiki,
Watu huwa wanapenda sana zawadi.
Na pale kunapokuwa na mashindano ambayo mtu anashiriki ili kupata zawadi hiyo, inakuwa na nguvu zaidi.
Kila biashara inaweza kutumia mashindano na zawadi kukuza mauzo zaidi.
Kwenye CHUO CHA MAUZO unapata nafasi ya kujifunza jinsi ya kuendesha mashindano na kutoa zawadi kwa wateja ili kukuza zaidi mauzo.
Karibu uwe kwenye CHUO CHA MAUZO ili uweze kukuza mauzo yako kwa uhakika.

30/70; KUPATA MIADI YA WATEJA...
Rafiki,
Kabla mteja hajakubali kununua kile unachouza, lazima kwanza akubali kukutana au kuwasiliana na wewe.
Na hilo limekuwa kikwazo kwa wengi kukuza mauzo, kwa sababu wamekuwa wanashindwa kupata miadi na watu sahihi.
CHUO CHA MAUZO kinatoa mafunzo ya jinsi ya kupata miadi kwa uhakika na wateja sahihi kwako.
Wateja wakikubali kukupa miadi, ni rahisi kukubali kununua.
Njoo kwenye CHUO CHA MAUZO uweze kupata miadi na kukuza mauzo yako.

FALSAFA YA USTOA; ILINDE AKILI DHIDI YA TAMAA MBAYA ILI UPATE UTULIVU MZURI.
Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,
Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.
Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,
Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita
Kipindi cha Jumamosi tarehe 22/06/2024 tutakuwa na mada ya;
FALSAFA YA USTOA; ILINDE AKILI DHIDI YA TAMAA MBAYA ILI UPATE UTULIVU MZURI.
Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,
Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.
Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,
Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita
Kipindi cha Jumamosi tarehe 22/06/2024 tutakuwa na mada ya;
FALSAFA YA USTOA; ILINDE AKILI DHIDI YA TAMAA MBAYA ILI UPATE UTULIVU MZURI.
Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Jinsi Ya Kuwabadili Watu Bila Kuibua Hasira Au Chuki Kanuni Ya Pili
https://amkamtanzania.com/2024/06/22/jinsi-ya-kuwabadili-watu-bila-kuibua-hasira-au-chuki-kanuni-ya-pili/
Habari njema muuzaji bora kuwahi kutokea, Hongera na karibu sana kwenye mwendelezo wa makala zetu za ushawishi kutoka kwenye programu [β¦]

https://amkamtanzania.com/2024/06/22/jinsi-ya-kuwabadili-watu-bila-kuibua-hasira-au-chuki-kanuni-ya-pili-2/

Kila mtu ana maslahi binafsi,
Lakini ili uweze kutimiza maslahi yako binafsi,
Lazima uwape kwanza wengine maslahi yao.
Wakati mwingine utajali maslahi ya wengine na maslahi yako yasitimie.
Lakini pale unapojali maslahi ya wengi na yako pia yanatimia.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Lakini ili uweze kutimiza maslahi yako binafsi,
Lazima uwape kwanza wengine maslahi yao.
Wakati mwingine utajali maslahi ya wengine na maslahi yako yasitimie.
Lakini pale unapojali maslahi ya wengi na yako pia yanatimia.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
3461; Deni Lisilolipika.
https://amkamtanzania.com/2024/06/22/3461-deni-lisilolipika/
3461; Deni Lisilolipika. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Huwa kuna kauli inasema hujaishi kama hujawahi kumfanyia mtu kitu ambacho [β¦]

24.6.22; Isiyolipika.
https://amkamtanzania.com/2024/06/22/24-6-22-isiyolipika/
https://amkamtanzania.com/2024/06/22/24-6-22-isiyolipika/
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
31/70; WAFIKIE WAFANYA MAAMUZI.
Mauzo yamekuwa magumu kwa wengi kwa sababu watu wanaowafikia siyo wenye nguvu ya kufanya maamuzi.
Unahangaika kumshawishi mtu anunue unachouza, mwisho anakuambia ngoja nikaongee na bosi, mwenza au mmiliki.
Hapo unakuwa umepoteza muda na juhudi zako, kwa sababu yeye hawezi kwenda kushawishi kama unavyoshawishi wewe.
Hivyo kukuza mauzo kwa uhakika, wafikie wafanya maamuzi ili uwashawishi na wachukue hatua.
Karibu kwenye CHUO CHA MAUZO ili ujifunze jinsi ya kuwafikia wafanya maamuzi na kuuza zaidi.
Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.
Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.
Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.
Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
Mauzo yamekuwa magumu kwa wengi kwa sababu watu wanaowafikia siyo wenye nguvu ya kufanya maamuzi.
Unahangaika kumshawishi mtu anunue unachouza, mwisho anakuambia ngoja nikaongee na bosi, mwenza au mmiliki.
Hapo unakuwa umepoteza muda na juhudi zako, kwa sababu yeye hawezi kwenda kushawishi kama unavyoshawishi wewe.
Hivyo kukuza mauzo kwa uhakika, wafikie wafanya maamuzi ili uwashawishi na wachukue hatua.
Karibu kwenye CHUO CHA MAUZO ili ujifunze jinsi ya kuwafikia wafanya maamuzi na kuuza zaidi.
Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.
Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.
Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.
Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
EPUKA HUU UTAPELI KWENYE FEDHA ZAKO.
Rafiki,
Uhalifu wa kifedha umekuwa mkubwa sana kwenye zama hizi.
Kumekuwa kunakuja fursa nyingi zinazoonekana kuwa na faida, ila zinaishia kuwa utapeli.
Watu wengi wametapeliwa na kupoteza fedha nyingi kutokana na kukosa elimu sahihi ya fedha.
Nimethibitishwa na Benki Kuu Ya Tanzania (BOT) kutoa elimu sahihi ya kifedha itakayokuepusha na utapeli.
Karibu ushiriki kwenye mafunzo bora ya kifedha ninayoyatoa ili uepuke kutapeliwa.
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.

32/70; NJIA BORA YA KUWAKABILI WATEJA ILI KUKUZA MAUZO.
Rafiki,
Watu wengi wanashindwa kukuza mauzo kwa sababu wanawakabili wateja kwa njia zisizokuwa sahihi.
Kuna namna bora ya kuwakabili wateja ambayo inakuwa na ushawishi kwao kununua.
Kwenye CHUO CHA MAUZO unajifunza namna hiyo na kuweza kuitumia vizuri ili kukuza mauzo.
Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.
Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.
Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.
Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
Rafiki,
Watu wengi wanashindwa kukuza mauzo kwa sababu wanawakabili wateja kwa njia zisizokuwa sahihi.
Kuna namna bora ya kuwakabili wateja ambayo inakuwa na ushawishi kwao kununua.
Kwenye CHUO CHA MAUZO unajifunza namna hiyo na kuweza kuitumia vizuri ili kukuza mauzo.
Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.
Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.
Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.
Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
33/70; TUMIA MAJINA YA WATU KUUZA ZAIDI.
Rafiki,
Sauti ambayo watu wanapenda kuisikia zaidi ni majina yao.
Unapowaita watu kwa majina yao, wanaweka umakini mkubwa kwako.
Kwenye mauzo, unapotumia majina ya watu, unanasa umakini wao na kuwa na ushawishi mkubwa kwao.
Kwa kuwa na ushawishi mkubwa kwa watu, unaweza kufanya mauzo makubwa zaidi.
Kwenye CHUO CHA MAUZO unajifunza jinsi ya kujua na kukumbuka majina ya wateja na kufanya mauzo makubwa.
Karibu uwe sehemu ya CHUO CHA MAUZO uweze kukuza mauzo kwa kutumia majina.