Tumia Redio Na Sauti Kufikia Wateja Wengi Zaidi.
https://amkamtanzania.com/2024/06/18/tumia-redio-na-sauti-kufikia-wateja-wengi-zaidi/
Habari njema wauzaji bora kuwahi kutokea. Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya CHUO CHA MAUZO, yenye lengo [β¦]

3457; Unaogopa mafanikio.
https://amkamtanzania.com/2024/06/18/3457-unaogopa-mafanikio/
3457; Unaogopa mafanikio. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Kadiri ya unavyotaka sana kufanikiwa, vipi kama nikikuambia kinachokukwamisha usifanikiwe ni [β¦]

24.6.18; Unaogopa.
https://amkamtanzania.com/2024/06/18/24-6-18-unaogopa/
Hufanikiwi kwa sababu unajidanganya,Mdomoni unasema unayataka mafanikio,Wakati moyoni unaogopa uwajibikaji unaokuja na mafanikio.Matokeo yake moyo unashindwa na wewe kuishia kughairisha [β¦]

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
19/70; KUSANYA TAARIFA ZA WATEJA.
Rafiki,
Kama unataka kukuza mauzo ya biashara yako, unapaswa kuwa na taarifa nyingi za wateja wako.
Kadiri unavyojua mengi kuhusu wateja, ndivyo unavyoweza kuwashawishi zaidi.
CHUO CHA MAUZO kinakupa mkakati wa jinsi ya kukusanya taarifa nyingi za wateja wako na kuzitumia kukuza mauzo yako.
Karibu kwenye CHUO CHA MAUZO uweze kukuza mauzo yako mara mbili.
Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.
Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.
Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.
Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.

20/70; TUMIA WATEJA ULIONAO KUPATA WATEJA ZAIDI...
Rafiki,
Kuna njia nyingi za kupata wateja kwenye biashara.
Njia zote zinatofautiana kwa nguvu na gharama.
Lakini njia ya kutumia wateja ulionao sasa kupata wateja wengine ndiyo yenye nguvu zaidi.
Njia hii ina gharama ndogo na wateja wanaopatikana wanakuwa wa uhakika zaidi.
Kwenye CHUO CHA MAUZO unajifunza jinsi ya kutumia wateja ulionao sasa kupata wateja wengi zaidi.
Karibu kwenye CHUO CHA MAUZO uweze kukuza mauzo yako kwa kuongeza wateja wako.

Mafanikio makubwa ni matokeo ya kuchukua hatua ndogo ndogo kila siku kwa msimamo bila kuacha.
Pangilia yale utakayofanya kila siku, kisha tokomeza siku za sifuri.
Usikubali siku yoyote ile ipite hujafanya kile ulichopanga kufanya kila siku.
Ukiweza hilo unakuwa umejijengea nidhamu kali na itakayokupa mafanikio makubwa.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita

3458; Tokomeza siku za sifuri.
https://amkamtanzania.com/2024/06/19/3458-tokomeza-siku-za-sifuri/
3458; Tokomeza siku za sifuri. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Pale unapotaka kuleta mabadiliko makubwa kwenye maisha yako, [β¦]

24.6.19; Sifuri.
https://amkamtanzania.com/2024/06/19/24-6-19-sifuri/
Mafanikio makubwa ni matokeo ya kuchukua hatua ndogo ndogo kila siku kwa msimamo bila kuacha.Pangilia yale utakayofanya kila siku, kisha [β¦]

Mbinu Mbili Za Uhakika Za Ukamilishaji Wa Mauzo 49-50
https://amkamtanzania.com/2024/06/19/mbinu-mbili-za-uhakika-za-ukamilishaji-wa-mauzo-49-50/
Habari njema muuzaji bora kabisa kuwahi kutokea, Karibu sana kwenye mwendelezo wa makala zetu za ukamilishaji ambazo ni mwendelezo wa [β¦]
https://amkamtanzania.com/2024/06/19/mbinu-mbili-za-uhakika-za-ukamilishaji-wa-mauzo-49-50/
Habari njema muuzaji bora kabisa kuwahi kutokea, Karibu sana kwenye mwendelezo wa makala zetu za ukamilishaji ambazo ni mwendelezo wa [β¦]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
22/70; WASILIANA NA WATEJA KWA SIMU...
Rafiki,
Simu za mkononi tunazotumia ni zana muhimu sana ya mauzo.
Simu hizo tunaweza kuzitumia kuwasiliana na wateja kwa mazungumzo, jumbe na hata mitandao ya kijamii.
Kwa kutumia vizuri simu uliyonayo, unaweza kufanya mauzo makubwa sana kwenye biashara yako.
Kwenye CHUO CHA MAUZO, simu ndiyo zana kuu ya mauzo.
Unapata fursa ya kujifunza jinsi ya kutumia simu yako vizuri na kukuza mauzo.
Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.
Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.
Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.
Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
Rafiki,
Simu za mkononi tunazotumia ni zana muhimu sana ya mauzo.
Simu hizo tunaweza kuzitumia kuwasiliana na wateja kwa mazungumzo, jumbe na hata mitandao ya kijamii.
Kwa kutumia vizuri simu uliyonayo, unaweza kufanya mauzo makubwa sana kwenye biashara yako.
Kwenye CHUO CHA MAUZO, simu ndiyo zana kuu ya mauzo.
Unapata fursa ya kujifunza jinsi ya kutumia simu yako vizuri na kukuza mauzo.
Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.
Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.
Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.
Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
23/70; TUMIA MTANDAO WA INTANETI KUKUZA MAUZO.
Rafiki,
Mtandao wa intaneti umeifanya dunia kuwa kijiji.
Mtandao huo umetuwezesha kuwasiliana na kushirikiana na watu waliopo popote duniani.
Mtandao huo pia umefungua fursa kubwa ya mtu kuweza kukuza mauzo kwenye biashara yako.
Kuna vitu vitatu vya kutumia vizuri kwenye mtandao wa intaneti ili uweze kukuza mauzo.
1. Tovuti
2. Blog
3. Email
Kwenye CHUO CHA MAUZO unapata nafasi ya kujifunza jinsi ya kutumia vyote hivyo kuuza zaidi.

24/70; TUMIA MITANDAO YA KIJAMII KUKUZA MAUZO.
Rafiki,
Mitandao ya kijamii imekuwa sehemu ya maisha yetu ya kila siku.
Tunatumia mitandao hii kuwasiliana, kupashana habari na kufuatilia yale yanayoendelea.
Uwepo wa watu wengi wanaotumia mitandao ya kijamii kunatoa fursa kubwa ya kukuza mauzo.
Kuna mitandao ya kijamii yenye wafumiaji wengi ambayo ukiweza kuitumia vizuri, utakuza sana mauzo yako.
Mitandao kama Facebook, Instagram, WhatsApp na mingine inakupa nafasi ya kukuza mauzo.
Kwenye CHUO CHA MAUZO unapata fursa ya kujifunza jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii kukuza mauzo.

MTOA ELIMU YA FEDHA ALIYETHIBITISHWA NA BOT.
Rafiki,
Nimekuwa napenda kujifunza na kufundisha eneo la USIMAMIZI WA FEDHA BINAFSI kwa zaidi ya miaka 10.
Katika kipindi hicho nimekuwa mchango kwa watu kuweza kuongeza vipato vyao, kujenga biashara zao na kufanya uwekezaji.
Sasa Benki Kuu Ya Tanzania (BOT) imenithibitisha kuwa mtoa elimu ya fedha (CERTIFIED FINANCIAL EDUCATOR - CFE).
Hizi ni habari njema sana kwangu na kwako rafiki yangu, kwani tunakwenda kufanya kwa ukubwa zaidi.
Tunakwenda kufanyia kazi kwa ukubwa maeneo matano;
1. KUONGEZA KIPATO
2. KUDHIBITI MATUMIZI
3. KUONDOKA KWENYE MADENI
4. KUWEKA AKIBA
5. KUFANYA UWEKEZAJI
Karibu tuambatane pamoja na uweze kujenga UTAJIRI na UHURU WA KIFEDHA.
Rafiki yako, Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.

#Amri12ZaUtajiri; MTU TAJIRI ZAIDI MJINI - PENDA KUUZA, JIFUNZE KUTOKA KWA WENGINE NA USISTAAFU.
Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,
Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.
Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,
Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita
Kipindi cha Alhamisi tarehe 20/06/2024 tutakuwa na mada ya;
MTU TAJIRI ZAIDI MJINI - PENDA KUUZA, JIFUNZE KUTOKA KWA WENGINE NA USISTAAFU.
Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita

Jinsi Ya Kumtia Moyo Mteja Aliyeshindwa Bei Wakati Wa Uhudumiaji
https://amkamtanzania.com/2024/06/20/jinsi-ya-kumtia-moyo-mteja-aliyeshindwa-bei-wakati-wa-uhudumiaji/
Rafiki, Kwenye mauzo kuna wakati unaona kabisa mteja wako amevutiwa na bidhaa fulani, lakini ulipomtajia bei unagundua kuwa pesa aliyonayo [β¦]

Wewe ni muuzaji,
Ukitaka kufanikiwa, uza mafanikio.
Kila mtu anataka kuwa bora zaidi ya alivyo sasa.
Kupitia unachofanya, angalia jinsi unavyoweza kufanya maisha ya wengine kuwa bora zaidi.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Ukitaka kufanikiwa, uza mafanikio.
Kila mtu anataka kuwa bora zaidi ya alivyo sasa.
Kupitia unachofanya, angalia jinsi unavyoweza kufanya maisha ya wengine kuwa bora zaidi.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
3459; Uza Mafanikio.
https://amkamtanzania.com/2024/06/20/3459-uza-mafanikio/
3459; Uza Mafanikio. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Kila mmoja wetu ni muuzaji.Kwenye yale tunayofanya kila siku, yakishawahusisha tu [β¦]

24.6.20; Uza.
https://amkamtanzania.com/2024/06/20/24-6-20-uza/
Wewe ni muuzaji,Ukitaka kufanikiwa, uza mafanikio.Kila mtu anataka kuwa bora zaidi ya alivyo sasa.Kupitia unachofanya, angalia jinsi unavyoweza kufanya maisha [β¦]
https://amkamtanzania.com/2024/06/20/24-6-20-uza/
Wewe ni muuzaji,Ukitaka kufanikiwa, uza mafanikio.Kila mtu anataka kuwa bora zaidi ya alivyo sasa.Kupitia unachofanya, angalia jinsi unavyoweza kufanya maisha [β¦]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
25/70; TUMIA GOOGLE KUUZA ZAIDI.
Rafiki,
Mtandao wa Google una zana nzuri sana ambayo ukiweza kuitumia vizuri utakuza mauzo.
Zana hiyo ni ukurasa wa biashara wa Google, yaani Google My Business.
Kila biashara inapaswa kuwa na ukurasa Google ambao unatoa maelekezo yote kuhusu biashara na kuelekeza watu jinsi ya kufika kwenye biashara.
Kwenye CHUO CHA MAUZO unapata fursa ya kujifunza jinsi ya kutumia ukurasa wa Google kukuza mauzo yako.
Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.
Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.
Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.
Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
Rafiki,
Mtandao wa Google una zana nzuri sana ambayo ukiweza kuitumia vizuri utakuza mauzo.
Zana hiyo ni ukurasa wa biashara wa Google, yaani Google My Business.
Kila biashara inapaswa kuwa na ukurasa Google ambao unatoa maelekezo yote kuhusu biashara na kuelekeza watu jinsi ya kufika kwenye biashara.
Kwenye CHUO CHA MAUZO unapata fursa ya kujifunza jinsi ya kutumia ukurasa wa Google kukuza mauzo yako.
Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.
Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.
Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.
Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
26/70; TOA MAUDHUI UUZE ZAIDI.
Rafiki,
Watu wengi huwa wanapiga kelele za mauzo kulenga wale ambao ndiyo wananunua kwa wakati huo, ambao huwa ni asilimia 3 tu.
Kuna kundi jingine kubwa la watu ambao hawapo kwenye wakati wa kununua.
Lakini wakiweza kufikiwa kwa masomo mazuri, wanakuja kuwa wateja wazuri wanapokuwa na uhitaji.
Hivyo kama unataka kukuza mauzo, andaa na toa maudhui kwa wingi.
Watu wanapojifunza kupitia yale unayofundisha, wanakuamini na kuwa tayari kununua kwako.
CHUO CHA MAUZO kinakupa mwongozo wa jinsi ya kuandaa na kutoa maudhui kuhusu biashara yako ili uweze kuuza zaidi.
Karibu kwenye CHUO CHA MAUZO uweze kuandaa na kutumia maudhui kuuza zaidi.
Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.
Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.
Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO
Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo