Mafanikio makubwa yanataka uwe na ngozi ngumu sana.
Utaambiwa huwezi,
Ukikaidi na kufanya, utashindwa na hapo utaambiwa tulikuambia.
Kitakachokuvusha hapo uweze kuendelea ni ngozi ngumu.
Tofauti na hapo utashindwa na kuacha.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
13/70; TENGENEZA SKRIPTI ZA MAUZO...
Rafiki,
Waigizaji na waimbaji huwa wanaandaa kabisa skripti wanazozifuata wakati wa kufanya kazi zao.
Hivyo ndivyo pia inavyopaswa kuwa kwenye mauzo. Hupaswi kuongea na mteja vile tu unavyojisikia, bali unapaswa kupangilia kila unachokwenda kuongea.
Mpangilio wa nini utaongea na mteja kabla hata hujakutana naye ndiyo skripti.
Na wauzaji wenye skripti huwa wanafanya mauzo makubwa kuliko wale wanaojiendea tu bila skripti.
Kwenye CHUO CHA MAUZO unapata mwongozo wa jinsi ya kuandaa skripti zenye ushawishi mkubwa kwa wateja wako kununua.
Karibu ujifunze na kuwa muuzaji bora.
Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.
Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.
Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.
Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.

3455; Ngozi Ngumu Ya Mafanikio.
https://amkamtanzania.com/2024/06/16/3455-ngozi-ngumu-ya-mafanikio/
3455; Ngozi Ngumu Ya Mafanikio. Kutoka Mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Kitu kinachofanya mafanikio yawashinde wengi ni ngozi ngumu inayohitajika [β¦]

24.6.16; Tulikuambia.
https://amkamtanzania.com/2024/06/16/24-6-16-tulikuambia/
Mafanikio makubwa yanataka uwe na ngozi ngumu sana.Utaambiwa huwezi,Ukikaidi na kufanya, utashindwa na hapo utaambiwa tulikuambia.Kitakachokuvusha hapo uweze kuendelea ni [β¦]

KUUZA NI KUJIAMINI...
Rafiki,
Kabla watu hawajanunua kile unachouza, wanaanza kukununua wewe muuzaji.
Kadiri unavyojiamini, ndivyo wengine wanavyokuamini na kununua unachouza.
Kama muuzaji, unapaswa kujijengea kujiamini ili uweze kuwashawishi wengi na kufanya mauzo makubwa.
Kwenye CHUO CHA MAUZO unapata masomo yanayokujengea kujiamini ambako kunakuwezesha kukuza sana mauzo yako.
Karibu uwe sehemu ya CHUO CHA MAUZO ili uwe muuzaji bora na kufanya mauzo makubwa.
Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.
Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.
Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.
Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
Rafiki,
Kabla watu hawajanunua kile unachouza, wanaanza kukununua wewe muuzaji.
Kadiri unavyojiamini, ndivyo wengine wanavyokuamini na kununua unachouza.
Kama muuzaji, unapaswa kujijengea kujiamini ili uweze kuwashawishi wengi na kufanya mauzo makubwa.
Kwenye CHUO CHA MAUZO unapata masomo yanayokujengea kujiamini ambako kunakuwezesha kukuza sana mauzo yako.
Karibu uwe sehemu ya CHUO CHA MAUZO ili uwe muuzaji bora na kufanya mauzo makubwa.
Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.
Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.
Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.
Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
14/70; JENGA TIMU BORA YA MAUZO...
Rafiki,
Biashara na mauzo ni mchezo wa timu.
Timu bora ndiyo inayopata ushindi kwa kuuza zaidi.
Ili kufanya mauzo makubwa, timu ya mauzo inapaswa kuwa na sehemu kubwa tatu; USAKAJI, UKAMILISHAJI na UHUDUMIAJI.
Kwenye CHUO CHA MAUZO unapata nafasi ya kujifunza kuhusu kila sehemu ya timu, watu wanaohitajika, sifa zao na jinsi ya kupima ufanisi wao.
Karibu uwe sehemu ya CHUO CHA MAUZO na kuwa muuzaji bora.

MAMBO 5 MUHIMU KWENYE USIMAMIZI WA FEDHA BINAFSI.
Rafiki,
Usimamizi wa fedha binafsi (Personal Finance Management) ni kitu muhimu kwenye maisha ya kila mtu.
Pamoja na umuhimu wake, wengi wamekuwa hawajui nini hasa wanachopaswa kufanya.
Nimekurahisishia hilo kwa kukupa vitu vitano tu vya kufanyia kazi ili kuwa na usimamizi mzuri wa fedha zako na kujenga utajiri.
Vitu hivyo ni KIPATO, MATUMIZI, MADENI, AKIBA NA UWEKEZAJI.
Ukiweza kuzingatia maeneo hayo matano, utajiri ni uhakika kabisa kwako.
Karibu kwenye programu ya NGUVU YA BUKU uweze kufanyia kazi maeneo hayo matano kwa uhakika.
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.

15/70; PANGILIA VIZURI KILA KITU.
Rafiki,
Kwenye mauzo kuna mambo mengi ya kufanya.
Ni rahisi kusahau baadhi ya mambo kama mtu utakosa mipango sahihi.
Pia muda huwa ni mdogo kuliko mambo yanayopaswa kufanyika.
Kwa kupangilia vizuri kila kitu, muda unasimamiwa na kutumika vizuri.
Kwenye CHUO CHA MAUZO unapata miongozo ya kuwa na mipango ya kila kitu ili kuweza kufanya mauzo makubwa zaidi.
Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.
Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.
Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.
Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
Rafiki,
Kwenye mauzo kuna mambo mengi ya kufanya.
Ni rahisi kusahau baadhi ya mambo kama mtu utakosa mipango sahihi.
Pia muda huwa ni mdogo kuliko mambo yanayopaswa kufanyika.
Kwa kupangilia vizuri kila kitu, muda unasimamiwa na kutumika vizuri.
Kwenye CHUO CHA MAUZO unapata miongozo ya kuwa na mipango ya kila kitu ili kuweza kufanya mauzo makubwa zaidi.
Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.
Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.
Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.
Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
#Amri12ZaUtajiri; MTU TAJIRI ZAIDI MJINI - KUJITAMBUA NA KUWA BOSI WAKO MWENYEWE.
Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,
Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.
Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,
Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita
Kipindi cha Jumatatu tarehe 17/06/2024 tutakuwa na mada ya;
MTU TAJIRI ZAIDI MJINI - KUJITAMBUA NA KUWA BOSI WAKO MWENYEWE.
Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita

Hii Ndiyo Njia Yako Ya Uhakika Ya Kutokea.
https://amkamtanzania.com/2024/06/16/hii-ndiyo-njia-yako-ya-uhakika-ya-kutokea/
Rafiki yangu mpendwa, Kila mtu hapa duniani huwa ana njia yake ya uhakika ya kutokea, njia ambayo inamfikisha kwenye mafanikio [β¦]

Mafanikio yana pande mbili; KIPAJI na KAZI.
Kipaji unazaliwa nacho na huwezi kubadili.
Kazi ni kitu unachojenga mwenyewe na unaweza kubadili.
Haijalishi kama una kipaji au la, ukiweka kazi kubwa, mafanikio ni uhakika.
Weka juhudi kubwa upande wa kazi na utaweza kupata mafanikio makubwa unayoyataka.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Kipaji unazaliwa nacho na huwezi kubadili.
Kazi ni kitu unachojenga mwenyewe na unaweza kubadili.
Haijalishi kama una kipaji au la, ukiweka kazi kubwa, mafanikio ni uhakika.
Weka juhudi kubwa upande wa kazi na utaweza kupata mafanikio makubwa unayoyataka.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
3456; Kipaji na kazi.
https://amkamtanzania.com/2024/06/17/3456-kipaji-na-kazi/
3456; Kipaji na kazi. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Mafanikio yana mchango kutoka pande kuu mbili. Upande wa kwanza [β¦]

24.6.17; Kazi.
https://amkamtanzania.com/2024/06/17/24-6-17-kazi/
Mafanikio yana pande mbili; KIPAJI na KAZI.Kipaji unazaliwa nacho na huwezi kubadili.Kazi ni kitu unachojenga mwenyewe na unaweza kubadili.Haijalishi kama [β¦]

Sukumwa Na Matumizi Kufanya Uwekezaji Mkubwa Ili Kufikia Uhuru Wa Kifedha.
https://amkamtanzania.com/2024/06/17/sukumwa-na-matumizi-kufanya-uwekezaji-mkubwa-ili-kufikia-uhuru-wa-kifedha/
Habari njema matajiri wawekezaji, Karibuni kwenye mfululizo wetu wa masomo ya programu ya NGUVU YA BUKU, programu inayoendeshwa kwa msingi [β¦]
https://amkamtanzania.com/2024/06/17/sukumwa-na-matumizi-kufanya-uwekezaji-mkubwa-ili-kufikia-uhuru-wa-kifedha/
Habari njema matajiri wawekezaji, Karibuni kwenye mfululizo wetu wa masomo ya programu ya NGUVU YA BUKU, programu inayoendeshwa kwa msingi [β¦]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
16/70; NAMBA ZA KUJIPIMA MAUZO.
Rafiki,
Ukuaji wa kitu chochote kile huwa unapimwa kwa namba.
Hivyo pia ndivyo mauzo yanavyopimwa.
Utajua kama mauzo yanakua kama utakuwa na namba unazopima.
Kwenye CHUO CHA MAUZO kuna namba za mauzo ambazo huwa tunazipima na kuzifuatilia ili kuweza kukuza mauzo.
Zijue namba hizo na kuzizingatia ili kuweza kukuza mauzo yako.
Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.
Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.
Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.
Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
Rafiki,
Ukuaji wa kitu chochote kile huwa unapimwa kwa namba.
Hivyo pia ndivyo mauzo yanavyopimwa.
Utajua kama mauzo yanakua kama utakuwa na namba unazopima.
Kwenye CHUO CHA MAUZO kuna namba za mauzo ambazo huwa tunazipima na kuzifuatilia ili kuweza kukuza mauzo.
Zijue namba hizo na kuzizingatia ili kuweza kukuza mauzo yako.
Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.
Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.
Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.
Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
17/70; ZANA ZA MAUZO.
Rafiki,
Kwenye kukuza mauzo, kuna zana ambazo unapaswa kuwa nazo na kuzifanyia kazi kwa uhakika.
Watu wengi huwa hawajui wala kutumia zana sahihi kwenye kukuza mauzo.
Wanafanya mauzo kwa mazoea kitu ambacho kinafanya mauzo yasikue.
Kwenye CHUO CHA MAUZO unapata nafasi ya kujifunza na kuzijua zana muhimu za mauzo na jinsi ya kuzitumia kukuza mauzo yako.
Karibu kwenye CHUO CHA MAUZO uweze kutumia vizuri zana za mauzo kukuza mauzo yako.

#HadithiZaKocha; Kisa Cha Mtego Wa Nyani.
https://amkamtanzania.com/2024/06/17/hadithizakocha-kisa-cha-mtego-wa-nyani/
Rafiki yangu mpendwa, Karibu kwenye kipengele hiki cha #HadithiZaKocha ujifunze kutoka kwenye kisa cha mtego wa nyani. Mkulima wa shamba [β¦]

Ijue Haiba Yako Ili Kuwa Muuzaji Bora Na Kufanya Mauzo Makubwa.
https://amkamtanzania.com/2024/06/17/ijue-haiba-yako-ili-kuwa-muuzaji-bora-na-kufanya-mauzo-makubwa/
Habari njema wauzaji bora kabisa kuwahi kutokea, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya CHUO CHA MAUZO, kwenye eneo la [β¦]

#Amri12ZaUtajiri; MTU TAJIRI ZAIDI MJINI - KUWA NA MATAMANIO MAKUBWA, KUAMKA MAPEMA NA KUTEKELEZA.
Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,
Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.
Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,
Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita
Kipindi cha Jumanne tarehe 18/06/2024 tutakuwa na mada ya;
MTU TAJIRI ZAIDI MJINI - KUWA NA MATAMANIO MAKUBWA, KUAMKA MAPEMA NA KUTEKELEZA..
Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,
Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.
Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,
Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita
Kipindi cha Jumanne tarehe 18/06/2024 tutakuwa na mada ya;
MTU TAJIRI ZAIDI MJINI - KUWA NA MATAMANIO MAKUBWA, KUAMKA MAPEMA NA KUTEKELEZA..
Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
NJIA MBILI ZA UHAKIKA KUJENGA UTAJIRI.
Rafiki,
Kwenye programu ya NGUVU YA BUKU, tunaongozwa na kauli mbiu ya *KILA MTU ANAWEZA KUWA TAJIRI.*
Na hilo hatusemi tu, bali tunakupa njia ya uhakika kabisa ya kutekeleza hilo.
Yaani zipo njia za uhakika ambazo mtu yeyote akifanyia kazi anajenga utajiri.
Na njia hizo ni mbili;
Moja ni MWENDOPOLE, hii inachukua muda mrefu.
Mbili ni MWENDOKASI, hii inachukua muda mfupi.
Kama umedhamiria kweli kujenga utajiri, karibu uambatane nasi kwenye programu ya NGUVU YA BUKU ili ukamilishe hilo.