SOMA VITABU TANZANIAπŸ“š
1.15K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.62K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
7/70; JUA TATIZO UNALOTATUA...

Rafiki,
Ukubwa wa mauzo unayofanya, unategemea sana ukubwa wa matatizo ya wateja unayotatua.

Ukitatua matatizo madogo unapata mauzo madogo na ukitatua matatizo madogo, mauzo yanakuwa kidogo pia.

Uzuri ni kwamba, matatizo makubwa ya kutatua ni mengi.
Ukikaa chini na kutafakari kwa kina kwa kuwaangalia wanaokuzunguka, utaona matatizo ambayo unaweza kuyatatua na ukafanya mauzo makubwa.

CHUO CHA MAUZO kinakuwezesha kuyaona matatizo makubwa yaliyopo hapo ulipo sasa na kuyageuza kuwa fedha.

Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.

Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.

Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.

Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
8/70; MJUE MTEJA WAKO WA MFANO.

Rafiki,
Kuuza kwa sababu una kitu cha kuuza ni njia rahisi ya kushindwa kwenye mauzo.

Lakini kuuza kwa sababu unawajua wateja wako kwa undani ndiyo itapelekea ufanye mauzo makubwa zaidi.

CHUO CHA MAUZO kinakuongoza kumjua mteja wako wa mfano na jinsi ya kumshawishi anunue kwako.

Hapo unamsoma mteja kama kitabu kitu kinachokuwezesha kujua njia bora za kumfikia na kumshawishi.

Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.

Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.

Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.

Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
9/70; SHERIA YA GIRARD YA 250...

Rafiki,
Mmoja wa wauzaji waliowahi kuvunja rekodi ya Guinness alikuwa anatumia sheria aliyoiita ya 250.

Sheria hiyo inasema kila mtu ana watu 250 wanaojuana naye.
Kitu unachofanya kwa mtu mmoja, kinafika kwa watu wasiopungua 250.

Ukitaka kukuza mauzo, unapaswa kuielewa sheria hiyo na kuitumia vizuri.

Kwenye CHUO CHA MAUZO utaweza kujua jinsi unavyoweza kutumia sheria ya 250 kwenye biashara yako.

Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.

Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.

Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.

Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
SERIKALI INAKUTEGEMEA WEWE NDIYO ITAJIRIKE...

Rafiki,
Wengi wamedanganywa na kuamini kwamba serikali ndiyo inapaswa kuwapa utajiri.

Lakini ukweli ni kwamba serikali inakutegemea wewe mwananchi ndiyo ijenge utajiri.

Unaposikia mataifa tajiri, ni kwa sababu yana wananchi wengi matajiri.

Hiyo ndiyo sababu nyingine kwa nini ni lazima sana wewe uwe tajiri, kwa sababu serikali inakutegemea.

Kama unataka serikali ilete maendeleo, ni wewe ndiye utakayeiwezesha kufanya hivyo.
Kwa kujenga utajiri na kuchangia kodi, utaiwezesha serikali kufanya makubwa.

Ni muhimu sana wewe uwe tajiri, ni wajibu wako na ndiyo uzalendo halisi.

*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
Jinsi Unavyowaruhusu Wengine Wakutumie Kwa Mafanikio Yao.
https://amkamtanzania.com/2024/06/14/jinsi-unavyowaruhusu-wengine-wakutumie-kwa-mafanikio-yao/

Rafiki yangu mpendwa, Kwenye haya maisha ni labda utajipanga ili uweze kupata kile unachotaka au utapagwa na wengine uwasaidie kupata […]
FALSAFA YA USTOA; SAMEHE KAMA MSTOA ILI KUWA NA MAISHA TULIVU NA YA MAFANIKIO.

Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,

Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.

Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,

Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita

Kipindi cha Jumamosi tarehe 15/06/2024 tutakuwa na mada ya;

FALSAFA YA USTOA; SAMEHE KAMA MSTOA ILI KUWA NA MAISHA TULIVU NA YA MAFANIKIO.

Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Jinsi Ya Kuwabadili Watu Bila Kuibua Hasira Au Chuki
https://amkamtanzania.com/2024/06/15/jinsi-ya-kuwabadili-watu-bila-kuibua-hasira-au-chuki/

Habari njema muuzaji bora  kuwahi kutokea, Hongera na karibu sana kwenye mwendelezo wa makala zetu za ushawishi kutoka kwenye programu […]
Kukimbizana na raha za haraka ni adui mkubwa wa mafanikio.
Kutaka kufanikiwa haraka bila kuweka kazi ni kuishia kushindwa.
Chelewesha raha na kuwa na subira.
Mambo makubwa na mazuri yanahitaji kazi na muda.
Fanya hayo mawili na mafanikio yanakuwa uhakika kwako.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
KUZA MAUZO MARA MBILI KWA UHAKIKA...

Rafiki,
Watu wanapofikiria kukuza mauzo kwenye biashara zao, huwa wanafikiria kwa asilimia, labda 20 au 30 kwa mwaka.

Lakini huo ni ukuaji mdogo sana ukilinganisha na na kasi ya ushindani sokoni.

Ili uweze kuvuka ushindani na biashara ikue, unapaswa kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.

Na hilo linawezekana kama utakuwa na mpango sahihi wa kukuza mauzo unaofanyiwa kazi.

CHUO CHA MAUZO kinao mpango kamili wa kukuza mauzo ambao unagusa maeneo sita muhimu sana.

Maeneo hayo sita yana nguvu ya kuleta mageuzi makubwa kwenye biashara na kufanya mauzo yawe makubwa zaidi.

CHUO CHA MAUZO ni kitabu ambacho kinaambatana na programu ya mafunzo ya live kila siku. Mafunzo hayo unaweza kushiriki ukiwa popote duniani.

Kama kweli uko makini na biashara yako na unataka kukuza mauzo yako, basi CHUO CHA MAUZO ndiyo mahali unapaswa kuwa.

Habari njema ni kwamba tunayo ofa kubwa sana ya CHUO CHA MAUZO kwa mwezi huu wa Juni 2024.

Kupata ofa hii wasiliana na 0717 101 505 sasa.
3452; Kujiamini na Unyenyekevu.
https://amkamtanzania.com/2024/06/15/3452-kujiamini-na-unyenyekevu/

3452; Kujiamini na Unyenyekevu. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Mafanikio makubwa huwa ni kitendawili ambacho wengi hawawezi kukitegua. Ili […]
3453; Upweke wa mafanikio.
https://amkamtanzania.com/2024/06/15/3453-upweke-wa-mafanikio/

3453; Upweke wa mafanikio. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Huwa kuna sababu za wazi zinazowazuia watu wengi kufanikiwa.Vitu kama […]
3454; Uhakika wa mafanikio.
https://amkamtanzania.com/2024/06/15/3454-uhakika-wa-mafanikio/

3454; Uhakika wa mafanikio. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Licha ya kuwepo kwa maarifa na miongozi mingi kuhusu mafanikio, […]
24.6.15; Subira.
https://amkamtanzania.com/2024/06/15/24-6-15-subira/

Kukimbizana na raha za haraka ni adui mkubwa wa mafanikio.Kutaka kufanikiwa haraka bila kuweka kazi ni kuishia kushindwa.Chelewesha raha na […]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
11/70; MAUZO DUNI...

Rafiki,
Kila biashara huwa inapitia vipindi vya mauzo duni.

Hali hiyo husababishwa na mambo mbalimbali, ya ndani na nje ya mtu.

Ili uweze kutoka kwenye hali hiyo duni kimauzo, unahitaji kujua sababu na njia sahihi ya kutoka.

CHUO CHA MAUZO kinakujengea uwezo wa kutoka kwenye mauzo duni ambayo upo na kukuzuia usiingie kwenye mauzo duni.

Karibu uwe sehemu ya CHUO CHA MAUZO ili uwe bora na ufanye mauzo makubwa.

Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.

Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.

Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.

Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
12/70; MSUKUMO WA KUAMUA.

Rafiki,
Kwenye kufanya maamuzi ya kununua, wateja huwa wanasukumwa na nguvu kubwa mbili.

Nguvu moja ni chanya na nyingine ni hasi. Nguvu hasi huwa ina nguvu zaidi, lakini ukiweza kutumia zote kwa pamoja nguvu yake inakuwa kubwa zaidi.

Kwa kuzijua nguvu hizo na kuzitumia vizuri, utaweza kuwashawishi wakubali kununua na hivyo kufanya mauzo makubwa zaidi.

Ndani ya CHUO CHA MAUZO unajifunza kuhusu nguvu hizi na jinsi ya kuzitumia kufanya mauzo makubwa zaidi.

Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.

Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.

Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.

Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
Hatua Tano (05) Za Kupata Pesa Ya Kutatua Dharura Za Maisha.
https://amkamtanzania.com/2024/06/15/hatua-tano-05-za-kupata-pesa-ya-kutatua-dharura-za-maisha/

Rafiki yangu mpendwa, Dharura huwa zinatokea kwenye maisha yetu na pale ambapo mtu anakuwa hajajipanga kwa dharura, huwa zinamrudisha nyuma […]
MJADALA; HATUA ULIZOCHUKUA KWENYE USIMAMIZI WA FEDHA BINAFSI WIKI HII.

Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,

Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.

Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,

Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita

Kipindi cha Jumapili tarehe 16/06/2024 tutakuwa na mada ya;

MJADALA; HATUA ULIZOCHUKUA KWENYE USIMAMIZI WA FEDHA BINAFSI WIKI HII.

Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
WANAWINDA PESA ZAKO....

Rafiki,
Usipozipenda sana pesa zako, kuna wengine watakusaidia kuzipenda kuliko wewe.

Watu wamejipanda sana kuwinda fedha zako na kuzifanya kuwa zao.

Unao wajibu wa kuzilinda fedha zako dhidi ya hao wenye hilarious mbaya na ukaweza kufanya makubwa.