SOMA VITABU TANZANIAπŸ“š
1.15K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.62K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
3451; Kujipata Kwenye Maisha.
https://amkamtanzania.com/2024/06/12/3451-kujipata-kwenye-maisha/

3451; Kujipata Kwenye Maisha. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Watu wengi hudhani kujipata kwenye maisha ni kupata kila […]
24.6.12; Kujipata.
https://amkamtanzania.com/2024/06/12/24-6-12-kujipata/

Kujipata kwenye maisha yako ni hatua muhimu ambayo hupaswi kuiruka kama unataka kufanikiwa. Mafanikio hayatokani na juhudi unazoweka pekee, bali […]
Mbinu Mbili Za Uhakika Za Ukamilishaji Wa Mauzo 47-48
https://amkamtanzania.com/2024/06/12/mbinu-mbili-za-uhakika-za-ukamilishaji-wa-mauzo-47-48/

Habari njema muuzaji bora kabisa kuwahi kutokea, Karibu sana kwenye mwendelezo wa makala zetu za ukamilishaji ambazo ni mwendelezo wa […]
Kujipata kwenye maisha yako ni hatua muhimu ambayo hupaswi kuiruka kama unataka kufanikiwa.

Mafanikio hayatokani na juhudi unazoweka pekee, bali yanategemea juhudi hizo unaziweka eneo gani.

Kwa kuweka juhudi kubwa kwenye eneo sahihi, utaweza kupata mafanikio makubwa poa.

Jipate kisha jikite hapo, utafanya makubwa.

Na kama bado hujajipata, hilo ndiyo linapaswa kuwa kipaumbele cha kwanza kwako.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
1/70; MAUZO NI MOYO WA BIASHARA..

Rafiki,
Uhai wa binadamu unapimwa kwa mapigo ya moyo, kama hayapo mtu anakuwa amekufa.

Biashara pia huwa ina moyo wake anbao ni mauzo.
Njia kuu inayoleta fedha kwenye biashara ni mauzo.
Kama hakuna mauzo, hakuna biashara.

Kwa umuhimu huu wa mauzo, unapaswa kuyapa namba moja.
Karibu kwenye CHUO CHA MAUZO ili uweze kufanya mauzo makubwa.

Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.

Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.

Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.

Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
KUZA MAUZO MARA MBILI KWA UHAKIKA...

Rafiki,

Kukuza mauzo ya biashara mara mbili na zaidi ni kitu ambacho kinawezekana kwa kila biashara.

Kinachohitajika ni kufanyia kazi maeneo muhimu ambayo yanapimika kabisa kwa namba.

Kufikia wateja wapya, kuwashawishi wanunue na kuwafuatilia ili wabaki kwenye biashara, ni vitu ambavyo vikifanyiwa kazi vina matokeo mazuri.

Pata kitabu cha CHUO CHA MAUZO uweze kujifunza na kukuza mauzo yako mara mbili na zaidi.

Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.

Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.

Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.

Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
2/70; KILA MTU NI MUUZAJI.

Rafiki,
Kwenye maisha kila mtu ni muuzaji.

Kama umeajiriwa unauza muda wako na ujuzi/uzoefu wako kwa mwajiri.

Kama unafundisha unauza elimu yako kwa wanaojifunza.

Kama unatibu unauza huduma yako ya tiba kwa wagonjwa.

Kuongeza kipato chako, unapaswa kuwa muuzaji bora.

Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.

Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.

Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.

Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
3/70; FALSAFA NA MTAZAMO SAHIHI WA MAUZO.

Rafiki,
Mauzo unayofanya yanaathiriwa sana na falsafa na mitazamo uliyonayo.

Kama huridhishwi na mauzo unayofanya sasa, unapaswa kuanza kwa kubadili falsafa na mitazamo uliyonayo.

Kitabu cha CHUO CHA MAUZO kina falsafa na mitazamo mitano sahihi unayopaswa kujijengea ili uuze zaidi.

Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.

Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.

Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.

Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
KUTAJIRIKA, UELEWE MFUMO MZIMA WA FEDHA.

Rafiki,
Mfumo mzima wa fedha ni mpana sana kuliko wengi wanavyoelewa.

Wengi wanajua tu kupata fedha na kutumia.
Lakini kuna fursa nyingi kwenye mfumo mzima wa fedha ambazo ukizijua na kuzitumia utajenga utajiri.

Baadhi ya fursa zilizopo kwenye mfuko wa fedha unazoweza kutumia kujenga utajiri ni...

.... soko la hisa.

.... hatifungani.

.... mifuko ya pamoja ya uwekezaji.

.... bima ya maisha.

Jifunze na uujue mfumo mzima wa fedha ili uweze kutumia fursa nyingi zilizo ndani yake.

*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
MJADALA; MBINU ZA KUWEKA AKIBA KWA MAFANIKIO BILA KUACHA AU KUTUMIA.

Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,

Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.

Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,

Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita

Kipindi cha Alhamisi tarehe 13/06/2024 tutakuwa na mada ya;

MJADALA; MBINU ZA KUWEKA AKIBA KWA MAFANIKIO BILA KUACHA AU KUTUMIA.

Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Tumia Hisia Za Mteja Kumshawishi Kununua Bidhaa Yako
https://amkamtanzania.com/2024/06/13/tumia-hisia-za-mteja-kumshawishi-kununua-bidhaa-yako/

Hisia ni mimemko ambayo binadamu hupata kutokana na mazingira au hali tofauti kulingana na mahitaji yao. Asilimia zaidi ya 80% […]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
4/70; IJUE KANUNI YA SOKO KUBWA UWEZE KUUZA ZAIDI.

Rafiki,
Kuna mgawanyiko wa soko ambao usipouelewa hutaweza kufanya mauzo makubwa.

3% ya watu ndiyo wapo kwenye hali ya kununua.

17% wanakusanya taarifa ili wanunue.

20% wana uhitaji ila hawana mpango wa kununua.

60% hawajui hata kama wana tatizo.

Wengi hawauzi kwa sababu wanalenga 3% pekee.
Wewe ukiweza kulenga 40%, utauza zaidi.

Somo la 4 kwenye CHUO CHA MAUZO ni kujua hiyo kanuni na kuifanyia kazi.

Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.

Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.

Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.

Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
5/70; UNAJUA KWA NINI WATEJA WANANUNUA?

Rafiki,
Sababu kubwa ya watu kushindwa kuuza ni kutokujua kwa nini wateja wananunua.

Wateja hawanunui kwa sababu wewe unauza, bali wananunua kwa sababu zao binafsi.

Tunajua sisi binadamu ni wabinafsi na tunafanya mambo pale yanapokuwa na manufaa kwetu.

Angalia maslahi ya wateja wako ni yapi, yatimize hayo kupitia mauzo na utauza kwa wingi zaidi.

Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.

Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.

Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.

Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
SIMAMIA VIZURI FEDHA ZAKO ILI UTAJIRIKE.

Rafiki,
Kila mtu huwa anaingiza fedha kwenye maisha yake.
Ila swala la kujenga utajiri huwa linategemea sana usimamizi ambao mtu anakuwa nao kwenye fedha zake.

Usimamizi wa fedha binafsi ni elimu muhimu sana ambayo watu wengi sana hawajaipata.

Matokeo yake ni watu wenye uwezo wa kujenga utajiri wanashindwa kutanya hivyo.

Tunayo bahati ya kipekee sasa kwa sababu utoaji wa elimu ya fedha umerasimishwa.

Zingatia elimu hiyo ili iwe na manufaa kwako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
6/70; MSINGI MUHIMU WA KUSIMAMIA ILI KUUZA ZAIDI.

Rafiki,
Kuna misingi muhimu ya kuzingatia ili kujenga biashara na kukuza mauzo.

Lakini UBORA ndiyo msingi mkuu zaidi.
Kama huna bidhaa au huduma bora, mengine yote hayawezi kuwa na maana.

Hakikisha ulichonacho ni bora kabisa ili uweze kuuza kwa ukubwa.

CHUO CHA MAUZO kinakuwezesha kuwa na kitu bora unachouza ili mauzo yawe rahisi kwako.

Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.

Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.

Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.

Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
Tahadhari! Nyumba Ya Kuishi Siyo Uwekezaji.
https://amkamtanzania.com/2024/06/13/tahadhari-nyumba-ya-kuishi-siyo-uwekezaji/

Rafiki yangu mpendwa, Kwenye safari ya kujenga utajiri, uwekezaji ni kiungo muhimu sana. Watu wengi wamekuwa wanachanganya kipato kikubwa (rich) […]
MJADALA; MBINU ZA KUFANYA UWEKEZAJI KWA MSIMAMO BILA KUACHA.

Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,

Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.

Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,

Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita

Kipindi cha Ijumaa tarehe 14/06/2024 tutakuwa na mada ya;

MJADALA; MBINU ZA KUFANYA UWEKEZAJI KWA MSIMAMO BILA KUACHA.

Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Maeneo Matatu Kufanyia Kazi Kwa Msimamo Wakati Wa Ufuatiliaji
https://amkamtanzania.com/2024/06/14/maeneo-matatu-kufanyia-kazi-kwa-msimamo-wakati-wa-ufuatiliaji/

Ipo wazi kwamba, hakuna bidhaa  inayokosa wateja au wateja hawapo kabisa. Mtu yeyote anayekwambia wateja hawapo huo ni uongo wa […]
Kama unaweka juhudi kubwa lakini bado hufanikiwi,
Kuna namna unajikwamisha na kujihujumu wewe mwenyewe.
Na hilo linasababishwa na aina ya watu wanaokuzunguka.
Kabla hujakazana kuweka juhudi ili ufanikiwe, hakikisha kwanza wanaokuzunguka wamefanikiwa au wanapambana kufanikiwa.
Tofauti na hapo utajidanganya mwenyewe.

Kocha Dr. Makirita Amani,MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
KAMA UNAPENDA PESA, PENDA MAUZO...

Rafiki,
Watu wengi wanapenda kupata pesa, lakini hawapendi zile njia za kutumia ili kupata hizo pesa.

Zipo njia nyingi za kupata pesa, lakini moja ya uhakika ni MAUZO.

Ukiwa muuzaji mzuri, kamwe hutakosa pesa.
Kwa sababu vitu vya kuuza ni vingi na wenye uhitaji ni wengi.

CHUO CHA MAUZO kinakujenga wewe kuwa muuzaji bora kabisa kuwahi kutokea.

Karibu uwe sehemu ya chuo hiki na unufaike.