Tahadhari; Ni Ngumu Na Utashindwa.
https://amkamtanzania.com/2024/06/09/tahadhari-ni-ngumu-na-utashindwa/
Rafiki yangu mpendwa, Tasnia ya elimu ya maendeleo binafsi imetawaliwa na maarifa chanya juu ya mafanikio. Imekuwa inafundishwa na kusisitizwa [β¦]

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
VITU VIDOGO NDIYO VINAFUKUZA WATEJA.
Rafiki,
Watu huwa wanahangaika na mambo makubwa kwenye biashara ili kukuza mauzo.
Lakini wanashangaa mauzo yanapokuwa yameganda pale pale bila kukua.
Wanachokuwa hawajui ni jinsi vitu vidogo wanavyopuuza vinavyokuwa vina athari kwa wateja.
Jifunze vitu vidogo ambavyo visipozingatiwa vinafukuza wateja kwenye biashara.
Kitabu cha MAUZO NI HUDUMA kimeelezea kwa kina jinsi unavyoweza kuwapa wateja wako HUDUMA BORA SANA na ukadumu nao milele.
Kitabu kinakupa mbinu na mikakati ya kuifanya biashara yako kuwa ya kipekee sana kwenye eneo la huduma kiasi cha wateja kuambiana na kuja kwa wingi.
Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usikubali kupoteza wateja ambao wameshanunua kwenye biashara yako, wahudumie vizuri na udumu nao milele.

Washindi huwa wameshindwa mara nyingi kukiko washindwa.
Washindi ni washindwa waliogoma kukubaliana na kushindwa.
Washindi waliendelea licha ya kushindwa.
Ni kuendelea kufanya licha ya kushindwa ndiyo kumewatofautisha washindi na washindwa.
Kama unataka ushindi, goma kushindwa.
Usikubali kushindwa kukukwamishe kwa namna yoyote ile.
Endelea kufanya mpaka upate kile unachotaka.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita

3449; Mashindi ni mshindwa aliyekataa kushindwa.
https://amkamtanzania.com/2024/06/10/3449-mashindi-ni-mshindwa-aliyekataa-kushindwa/
3449; Mashindi ni mshindwa aliyekataa kushindwa. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Tumekuwa tunawaangalia wale waliopata ushindi na mafanikio kama [β¦]

Epuka Mashindano Na Kufuata Mkumbo Ili Kuwa Muuzaji Bora Na Kufanya Mauzo Makubwa.
https://amkamtanzania.com/2024/06/10/epuka-mashindano-na-kufuata-mkumbo-ili-kuwa-muuzaji-bora-na-kufanya-mauzo-makubwa/
Habari njema wauzaji bora kabisa kuwahi kutokea, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya CHUO CHA MAUZO, kwenye eneo la [β¦]

Peleka Kipato Chote Cha Ziada Kwenye Uwekezaji Ili Kufikia Uhuru Wa Kifedha Mapema.
https://amkamtanzania.com/2024/06/10/peleka-kipato-chote-cha-ziada-kwenye-uwekezaji-ili-kufikia-uhuru-wa-kifedha-mapema/
Habari njema matajiri wawekezaji, Karibuni kwenye mfululizo wetu wa masomo ya programu ya NGUVU YA BUKU, programu inayoendeshwa kwa msingi [β¦]

24.6.10; Mshindwa.
https://amkamtanzania.com/2024/06/10/24-6-10-mshindwa/
Washindi huwa wameshindwa mara nyingi kukiko washindwa. Washindi ni washindwa waliogoma kukubaliana na kushindwa. Washindi waliendelea licha ya kushindwa. Ni [β¦]
https://amkamtanzania.com/2024/06/10/24-6-10-mshindwa/
Washindi huwa wameshindwa mara nyingi kukiko washindwa. Washindi ni washindwa waliogoma kukubaliana na kushindwa. Washindi waliendelea licha ya kushindwa. Ni [β¦]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
UPELE UMEPATA MKUNAJI...
Rafiki,
Nimekuwa nakupigia sana kelele za kuwa tajiri.
Naziita kelele kwa sababu wengi hamtaki kusikia licha ya kuwa ni vitu vyenye manufaa kwenu.
Habari njema ni kwamba nimeweza kuthibitishwa na Benki Kuu Ya Tanzania (BOT) kama mwelimishaji wa mambo ya fedha.
Hii ina maana kwamba kile tulichokuwa tunafanya, tunaenda kukiongeza zaidi.
Maarifa niliyokuwa nakupa, naonda kukupa makubwa zaidi.
Na kama nilikuwa nakukera kwa kuzungumzia mambo ya utajiri, jishikilie, maana nitakukera zaidi.
Una machaguo mawili hapa rafiki, kusikiliza na kufanyia kazi ili utajirike au kupuuza na kubaki pale ulipo sasa.
Kama umechagua utajiri, karibu twende pamoja.
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.

USIRUDIE MAKOSA HAYA KWA WATEJA...
Rafiki,
Kufanya kosa mara moja, ni kitu ambacho kinasameheka.
Lakini kurudia makosa yale yale kila mara ni kuonyesha kutokujali.
Kwenye biashara, wateja wakiona huwajali na wao hawatajali kuhusu biashara yako.
Hivyo anza kwa kuwajali wateja kwa kutokurudia rudia makosa na utaweza kuuza zaidi.
Kitabu cha MAUZO NI HUDUMA kimeelezea kwa kina jinsi unavyoweza kuwapa wateja wako HUDUMA BORA SANA na ukadumu nao milele.
Kitabu kinakupa mbinu na mikakati ya kuifanya biashara yako kuwa ya kipekee sana kwenye eneo la huduma kiasi cha wateja kuambiana na kuja kwa wingi.
Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usikubali kupoteza wateja ambao wameshanunua kwenye biashara yako, wahudumie vizuri na uduku nao milele.

NI RAHISI KUWATEKA WATEJA...
Rafiki,
Mauzo yamekuwa ni magumu kwa wengi kwa sababu kila wakati ni kama wanaanza upya biashara zao.
Mara zote wanakimbizana na wateja wapya na kuwasahau wateja wa zamani.
Kwa kuweka umakini wako na kuwafuatilia wateja wote ambao wamewahi kununua kwako, utaweza kufanya mauzo makubwa sana.
Kitabu cha MAUZO NI HUDUMA kinakupa mwongozo wa kuwateka wateja na kukaa nao kwa muda mrefu kwenye biashara.
Kitabu cha MAUZO NI HUDUMA kimeelezea kwa kina jinsi unavyoweza kuwapa wateja wako HUDUMA BORA SANA na ukadumu nao milele.
Kitabu kinakupa mbinu na mikakati ya kuifanya biashara yako kuwa ya kipekee sana kwenye eneo la huduma kiasi cha wateja kuambiana na kuja kwa wingi.
Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usikubali kupoteza wateja ambao wameshanunua kwenye biashara yako, wahudumie vizuri na udumu nao milele.
Rafiki,
Mauzo yamekuwa ni magumu kwa wengi kwa sababu kila wakati ni kama wanaanza upya biashara zao.
Mara zote wanakimbizana na wateja wapya na kuwasahau wateja wa zamani.
Kwa kuweka umakini wako na kuwafuatilia wateja wote ambao wamewahi kununua kwako, utaweza kufanya mauzo makubwa sana.
Kitabu cha MAUZO NI HUDUMA kinakupa mwongozo wa kuwateka wateja na kukaa nao kwa muda mrefu kwenye biashara.
Kitabu cha MAUZO NI HUDUMA kimeelezea kwa kina jinsi unavyoweza kuwapa wateja wako HUDUMA BORA SANA na ukadumu nao milele.
Kitabu kinakupa mbinu na mikakati ya kuifanya biashara yako kuwa ya kipekee sana kwenye eneo la huduma kiasi cha wateja kuambiana na kuja kwa wingi.
Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usikubali kupoteza wateja ambao wameshanunua kwenye biashara yako, wahudumie vizuri na udumu nao milele.
#HadithiZaKocha; Kisa Cha Mbwa Na Kivuli.
https://amkamtanzania.com/2024/06/10/hadithizakocha-kisa-cha-mbwa-na-kivuli/
Rafiki yangu mpendwa, Karibu kwenye kipengele cha #HadithiZaKocha ambapo tunapata hadithi fupi zenye masomo makubwa ya maisha. Kwenye hadithi ya [β¦]

3450; Kuwa, Fanya, Pata.
https://amkamtanzania.com/2024/06/11/3450-kuwa-fanya-pata/
3450; Kuwa, Fanya, Pata. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Kila mtu anataka kupata mafanikio makubwa kwenye maisha yake.Lakini ni [β¦]

24.6.11; Unachanganya.
https://amkamtanzania.com/2024/06/11/24-6-11-unachanganya/
Kupata mafanikio unayoyataka, fuata mtiririko sahihi wa KUWA, FANYA, PATA. Kukosea huo mpangilio kutapoteza muda wako na nguvu zako nyingi [β¦]

Kupata mafanikio unayoyataka, fuata mtiririko sahihi wa KUWA, FANYA, PATA.
Kukosea huo mpangilio kutapoteza muda wako na nguvu zako nyingi na hakuna utakachopata.
Usiwe kama wengi wanaohangaika na mengi na bado hawapigi hatua.
Wewe chagua vile unataka kuwa kisha fanya kwa uhakika na mafanikio kwako yatakuwa ni swala la muda tu.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita

Tumia Magazeti, Majarida Na Machapisho Kufikia Wateja Wengi Zaidi.
https://amkamtanzania.com/2024/06/11/tumia-magazeti-majarida-na-machapisho-kufikia-wateja-wengi-zaidi/
Habari njema wauzaji bora kuwahi kutokea. Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya CHUO CHA MAUZO, yenye lengo [β¦]
https://amkamtanzania.com/2024/06/11/tumia-magazeti-majarida-na-machapisho-kufikia-wateja-wengi-zaidi/
Habari njema wauzaji bora kuwahi kutokea. Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya CHUO CHA MAUZO, yenye lengo [β¦]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
KAMA HUJUI HESABU, HUWEZI KUWA TAJIRI.
Rafiki,
Watu huwa wanafikiri kwenye fedha hesabu pekee unazopaswa kujua ni MAGAZIJUTO.
Na hilo ndiyo linawafanya kuwa masikini.
Kama unataka kujenga utajiri mkubwa, unapaswa kujua hesabu zaidi ya MAGAZIJUTO.
Unatakiwa kujua jinsi ya kukokotoa riba mkusanyiko (compound interest).
Pia uweze kukokotoa vitu kama uchakavu (depreciation).
Hayo na mengine yanataka mtu ujue hesabu zaidi, ambazo siyo ngumu.
Habari njema ni kwamba mimi rafiki yako niko tayari kukufundisha hesabu hizo ili unufaike.
Karibu sana.
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
Rafiki,
Watu huwa wanafikiri kwenye fedha hesabu pekee unazopaswa kujua ni MAGAZIJUTO.
Na hilo ndiyo linawafanya kuwa masikini.
Kama unataka kujenga utajiri mkubwa, unapaswa kujua hesabu zaidi ya MAGAZIJUTO.
Unatakiwa kujua jinsi ya kukokotoa riba mkusanyiko (compound interest).
Pia uweze kukokotoa vitu kama uchakavu (depreciation).
Hayo na mengine yanataka mtu ujue hesabu zaidi, ambazo siyo ngumu.
Habari njema ni kwamba mimi rafiki yako niko tayari kukufundisha hesabu hizo ili unufaike.
Karibu sana.
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
TUMIA WATEJA ULIONAO, KUPATA WATEJA ZAIDI.
Rafiki,
Kama kuna wateja wanaonunua kwako kwa kujirudia, wanapaswa kukuletea wateja zaidi.
Tena wanataka sana kukupa wateja, sema wewe mwenyewe ndiye unayejikwamisha.
Kitabu cha MAUZO NI HUDUMA kinakuongoza vyema jinsi ya kuwatumia wateja ulionao sasa kupata wateja wengi zaidi.
Na uzuri ni kwamba kupata wateja kwa kutumia wateja huwa ni rahisi na bora zaidi.
Hutumii gharama kubwa na wateja wanakuwa wa uhakika zaidi.
Kitabu cha MAUZO NI HUDUMA kimeelezea kwa kina jinsi unavyoweza kuwapa wateja wako HUDUMA BORA SANA na ukadumu nao milele.
Kitabu kinakupa mbinu na mikakati ya kuifanya biashara yako kuwa ya kipekee sana kwenye eneo la huduma kiasi cha wateja kuambiana na kuja kwa wingi.
Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usikubali kupoteza wateja ambao wameshanunua kwenye biashara yako, wahudumie vizuri na uduku nao milele.
Rafiki,
Kama kuna wateja wanaonunua kwako kwa kujirudia, wanapaswa kukuletea wateja zaidi.
Tena wanataka sana kukupa wateja, sema wewe mwenyewe ndiye unayejikwamisha.
Kitabu cha MAUZO NI HUDUMA kinakuongoza vyema jinsi ya kuwatumia wateja ulionao sasa kupata wateja wengi zaidi.
Na uzuri ni kwamba kupata wateja kwa kutumia wateja huwa ni rahisi na bora zaidi.
Hutumii gharama kubwa na wateja wanakuwa wa uhakika zaidi.
Kitabu cha MAUZO NI HUDUMA kimeelezea kwa kina jinsi unavyoweza kuwapa wateja wako HUDUMA BORA SANA na ukadumu nao milele.
Kitabu kinakupa mbinu na mikakati ya kuifanya biashara yako kuwa ya kipekee sana kwenye eneo la huduma kiasi cha wateja kuambiana na kuja kwa wingi.
Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usikubali kupoteza wateja ambao wameshanunua kwenye biashara yako, wahudumie vizuri na uduku nao milele.
Fanya Hivi Kukuza Mauzo Yako Zaidi Ya Mara Mbili Kwa Uhakika.
https://amkamtanzania.com/2024/06/11/fanya-hivi-kukuza-mauzo-yako-zaidi-ya-mara-mbili-kwa-uhakika/
MAUZO NDIO MOYO WA BIASHARA Huwa napenda kufananisha biashara na mwili wa binadamu. Ambapo mzunguko wa fedha kwenye biashara huwa [β¦]
https://amkamtanzania.com/2024/06/11/fanya-hivi-kukuza-mauzo-yako-zaidi-ya-mara-mbili-kwa-uhakika/
MAUZO NDIO MOYO WA BIASHARA Huwa napenda kufananisha biashara na mwili wa binadamu. Ambapo mzunguko wa fedha kwenye biashara huwa [β¦]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
JINSI WAFANYAKAZI WANAVYOUA BIASHARA YAKO.
Rafiki yangu mpendwa,
Kama umeajiri wafanyakazi kwenye biashara yako na wewe haupo, unaumizwa sana.
Wafanyakazi wengi huwa wanatoa huduma mbovu sana kwa wateja na kutokujali kabisa.
Wewe unaweza kuwa unaingia gharama kubwa kuleta wateja kwenye biashara, halafu wafanyakazi wanawafukuza wateja hao kwa kutoa huduma mbovu.
Hakikisha kila mfanyakazi aliyepo kwenye biashara yako ana mafunzo sahihi ya kutoa huduma bora kwa wateja.
Na uzuri ni kwamba zana kuu ya kutoa huduma bora kwa wateja ipo.
Kitabu cha MAUZO NI HUDUMA kimeelezea kwa kina jinsi unavyoweza kuwapa wateja wako HUDUMA BORA SANA na ukadumu nao milele.
Kitabu kinakupa mbinu na mikakati ya kuifanya biashara yako kuwa ya kipekee sana kwenye eneo la huduma kiasi cha wateja kuambiana na kuja kwa wingi.
Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usikubali kupoteza wateja ambao wameshanunua kwenye biashara yako, wahudumie vizuri na uduku nao milele.
Rafiki yangu mpendwa,
Kama umeajiri wafanyakazi kwenye biashara yako na wewe haupo, unaumizwa sana.
Wafanyakazi wengi huwa wanatoa huduma mbovu sana kwa wateja na kutokujali kabisa.
Wewe unaweza kuwa unaingia gharama kubwa kuleta wateja kwenye biashara, halafu wafanyakazi wanawafukuza wateja hao kwa kutoa huduma mbovu.
Hakikisha kila mfanyakazi aliyepo kwenye biashara yako ana mafunzo sahihi ya kutoa huduma bora kwa wateja.
Na uzuri ni kwamba zana kuu ya kutoa huduma bora kwa wateja ipo.
Kitabu cha MAUZO NI HUDUMA kimeelezea kwa kina jinsi unavyoweza kuwapa wateja wako HUDUMA BORA SANA na ukadumu nao milele.
Kitabu kinakupa mbinu na mikakati ya kuifanya biashara yako kuwa ya kipekee sana kwenye eneo la huduma kiasi cha wateja kuambiana na kuja kwa wingi.
Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usikubali kupoteza wateja ambao wameshanunua kwenye biashara yako, wahudumie vizuri na uduku nao milele.
UNAWEZA KUKUZA MAUZO MARA MBILI...
Rafiki,
Hivi unajua ya kwamba unaweza kukuza mauzo mara mbili na zaidi ndani ya miezi 12 pekee?
Ndiyo, hilo linawezekana kabisa kwa kufuata misingi sahihi ya mauzo ambayo imekuwepo tangu enzi na enzi.
Kwa kuongeza wateja wapya unaowafikia kupitia masoko.
Kisha ukaongeza ushawishi wa kuwafanya wanunue kutoka kwenye mbinu za mauzo.
Na ukawafuatilia bila ya ukomo.
Kwa hakika utaweza kufanya mauzo makubwa sana.
Yote hayo yapo ndani ya uwezo wako kabisa, ni wewe ujue hatua za kuchukua na kuzichukua.
Kujifunza hatua hizo muhimu fungua hapa; https://youtu.be/AfRI0BoWvZg
Habari njema; KUZA MAUZO MARA 2.
Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.
Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.
Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.
Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.