This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
KUWASHAWISHI WATEJA, SHIKA UMAKINI WAO...
Rafiki,
Huwezi kuuza bila kuwashawishi wateja.
Na huwezi kuwashawishi wateja bila kunasa umakini wao.
Hivyo basi, wajibu wako namba moja kama muuzaji ni kunasa umakini wa wateja.
Ukishanasa umakini, kinachobaki ni wewe kuwakamilishia kile wanachotaka.
Kutoa HUDUMA BORA kwa wateja ni moja ya njia za kuwanasa wateja na kuwashawishi kununua.
Ukiweza kutoa huduma bora kwa wateja, utafanya mauzo makubwa sana.
Kitabu cha MAUZO NI HUDUMA kimeelezea kwa kina jinsi unavyoweza kuwapa wateja wako HUDUMA BORA SANA na ukadumu nao milele.
Kitabu kinakupa mbinu na mikakati ya kuifanya biashara yako kuwa ya kipekee sana kwenye eneo la huduma kiasi cha wateja kuambiana na kuja kwa wingi.
Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usikubali kupoteza wateja ambao wameshanunua kwenye biashara yako, wahudumie vizuri na uduku nao milele.

NIMEIDHINISHWA NA BENKI KUU KUKUELIMISHA KUHUSU FEDHA.
Rafiki,
Nimekuwa napiga sana kelele kuhusu fedha na utajiri.
Benki kuu ya Tanzania (BOT) imenitunuku cheti na kuniidhinisha kuwa mwelimishaji wa mambo ya fedha (Certified Financial Educator - CFE).
Rafiki, hapa sasa kazi ndiyo imeanza.
Kelele za utajiri na uhuru wa kifedha zimeongezewa kasi kubwa sana.
Lengo langu ni mimi na wewe tuwe matajiri na kuwa huru kifedha.
Karibu tuambatane pamoja kwenye hii safari ya kujenga utajiri kwa uhakika.
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.

Ushindani Wako Mkubwa Ni Huu, Ukiweza Kuuvuka, Umefanikiwa.
https://amkamtanzania.com/2024/06/07/ushindani-wako-mkubwa-ni-huu-ukiweza-kuuvuka-umefanikiwa/
Rafiki yangu mpendwa, Watu wamekuwa wanaonyesha kwamba wana kiu kubwa ya mafanikio, lakini hawayapati mafanikio wanayokuwa wanayataka. Na moja ya [β¦]

Jinsi Ya Kuwafanya Watu Wakubaliane Na Mawazo Yako Kanuni Ya Kumi Na Mbili
https://amkamtanzania.com/2024/06/08/jinsi-ya-kuwafanya-watu-wakubaliane-na-mawazo-yako-kanuni-ya-kumi-na-mbili/
Habari njema muuzaji bora kuwahi kutokea, Hongera na karibu sana kwenye mwendelezo wa makala zetu za ushawishi kutoka kwenye programu [β¦]

Kukwamishwa kupata kile unachotaka, ni mpaka wewe mwenyewe utoe ruhusa.
Wewe ndiye mdhibiti na mwamuzi mkuu wa maisha yako.
Tumia vizuri hayo mamlaka kuhakikisha unapata kila unachotaka kwenye maisha yako.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita

3447; Usiwape nguvu ya kukukwamisha.
https://amkamtanzania.com/2024/06/08/3447-usiwape-nguvu-ya-kukukwamisha/
3447; Usiwape nguvu ya kukukwamisha. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Hakuna mtu yeyote anayeweza kukukwamisha kwenye maisha yako, kama [β¦]

24.6.8; Uhai
https://amkamtanzania.com/2024/06/08/24-6-8-uhai/
Kukwamishwa kupata kile unachotaka, ni mpaka wewe mwenyewe utoe ruhusa. Wewe ndiye mdhibiti na mwamuzi mkuu wa maisha yako.Tumia vizuri [β¦]
https://amkamtanzania.com/2024/06/08/24-6-8-uhai/
Kukwamishwa kupata kile unachotaka, ni mpaka wewe mwenyewe utoe ruhusa. Wewe ndiye mdhibiti na mwamuzi mkuu wa maisha yako.Tumia vizuri [β¦]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
MPONGEZE NA KUMSIFIA...
Rafiki,
Moja ya kitu wateja wanapenda ni kuthaminiwa, kusifiwa au kutiwa moyo kwenye kile wanachofanya.
Hilo likifanyika kweli ukweli kabisa kutoka moyoni mteja anashawishika kununua.
Kufanikiwa kwenye mauzo na biashara kunaaanza na kuwapongeza na kuwasifia wateja wako.
Kama upo kwenye mauzo au biashara na hujui jinsi ya kumsifia mteja wako, usiwe na wasiwasi.
Kitabu cha MAUZO NI HUDUMA kinakupa mbinu na mikakati ya kufanya ili huweze kuwasifia wateja wako.
Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usikubali kupoteza wateja ambao wameshanunua kwenye biashara yako, wahudumie vizuri na udumu nao milele.

KAZI YAKO NI KUWAFURAHISHA WATEJA...
Rafiki,
Ugumu wa kazi ya mauzo ni mmoja, unatakiwa uwafurahishe wateja.
Hilo ni zoezi gumu sana kwa sababu wateja wanatofautiana sana.
Watu wengi wamevurugwa na maisha yao binafsi, halafu wewe ndiye unayetakiwa kuwafurahisha.
Wanafanya makosa wao lakini wewe ndiye wa kuwafurahisha.
Usipokuwa na miongozo sahihi, kazi ya mauzo itakushinda, maana hutaweza kuwa na uvumilivu.
Ndiyo maana kitabu cha MAUZO NI HUDUMA ni mwongozo sahihi wa kuwa nao kwa kila muuzaji ili uweze kuwafurahisha hata waliovurugwa.
Kitabu cha MAUZO NI HUDUMA kimeelezea kwa kina jinsi unavyoweza kuwapa wateja wako HUDUMA BORA SANA na ukadumu nao milele.
Kitabu kinakupa mbinu na mikakati ya kuifanya biashara yako kuwa ya kipekee sana kwenye eneo la huduma kiasi cha wateja kuambiana na kuja kwa wingi.
Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usikubali kupoteza wateja ambao wameshanunua kwenye biashara yako, wahudumie vizuri na udumu nao milele.
Rafiki,
Ugumu wa kazi ya mauzo ni mmoja, unatakiwa uwafurahishe wateja.
Hilo ni zoezi gumu sana kwa sababu wateja wanatofautiana sana.
Watu wengi wamevurugwa na maisha yao binafsi, halafu wewe ndiye unayetakiwa kuwafurahisha.
Wanafanya makosa wao lakini wewe ndiye wa kuwafurahisha.
Usipokuwa na miongozo sahihi, kazi ya mauzo itakushinda, maana hutaweza kuwa na uvumilivu.
Ndiyo maana kitabu cha MAUZO NI HUDUMA ni mwongozo sahihi wa kuwa nao kwa kila muuzaji ili uweze kuwafurahisha hata waliovurugwa.
Kitabu cha MAUZO NI HUDUMA kimeelezea kwa kina jinsi unavyoweza kuwapa wateja wako HUDUMA BORA SANA na ukadumu nao milele.
Kitabu kinakupa mbinu na mikakati ya kuifanya biashara yako kuwa ya kipekee sana kwenye eneo la huduma kiasi cha wateja kuambiana na kuja kwa wingi.
Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usikubali kupoteza wateja ambao wameshanunua kwenye biashara yako, wahudumie vizuri na udumu nao milele.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
WAGEUZE WATEJA KUWA MARAFIKI NA UTAUZA ZAIDI...
Rafiki,
Mpaka mtu awe tayari kukupa fedha ambazo amezipata kwa taabu, lazima awe amekuamini sana.
Maana mteja akishakupa fedha alizonazo, hawezi kuzitumia kwa mahitaji mengine.
Njia bora ya kuwafanya wateja wawe tayari na wajisikie vizuri kukupa fedha zao, ni kuwafanya wawe marafiki wako.
Na hilo litawezekana kama utawajali wateja wako badala tu ya kuangalia faida unayopata kutoka kwao.
Wajali zaidi wateja wako na wao wataijali zaidi biashara yako.
Kitabu cha MAUZO NI HUDUMA kimeelezea kwa kina jinsi unavyoweza kuwapa wateja wako HUDUMA BORA SANA na ukadumu nao milele.
Kitabu kinakupa mbinu na mikakati ya kuifanya biashara yako kuwa ya kipekee sana kwenye eneo la huduma kiasi cha wateja kuambiana na kuja kwa wingi.
Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usikubali kupoteza wateja ambao wameshanunua kwenye biashara yako, wahudumie vizuri na uduku nao milele.
Rafiki,
Mpaka mtu awe tayari kukupa fedha ambazo amezipata kwa taabu, lazima awe amekuamini sana.
Maana mteja akishakupa fedha alizonazo, hawezi kuzitumia kwa mahitaji mengine.
Njia bora ya kuwafanya wateja wawe tayari na wajisikie vizuri kukupa fedha zao, ni kuwafanya wawe marafiki wako.
Na hilo litawezekana kama utawajali wateja wako badala tu ya kuangalia faida unayopata kutoka kwao.
Wajali zaidi wateja wako na wao wataijali zaidi biashara yako.
Kitabu cha MAUZO NI HUDUMA kimeelezea kwa kina jinsi unavyoweza kuwapa wateja wako HUDUMA BORA SANA na ukadumu nao milele.
Kitabu kinakupa mbinu na mikakati ya kuifanya biashara yako kuwa ya kipekee sana kwenye eneo la huduma kiasi cha wateja kuambiana na kuja kwa wingi.
Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usikubali kupoteza wateja ambao wameshanunua kwenye biashara yako, wahudumie vizuri na uduku nao milele.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
NGAZI SITA ZA KUWAPANDISHA WATEJA ILI KUUZA ZAIDI.
Rafiki,
Wateja kwenye biashara yako hawalingani.
Kuna ambao wanainufaisha biashara kuliko wengine.
Ili uweze kuwahudumia wateja vizuri na biashara kunufaika, unapaswa kuwagawa wateja kwenye ngazi mbalimbali.
Huwa kuna ngazi sita za wateja kwenye biashara. Kadiri wateja wanavyokuwa kwenye ngazi za juu zaidi, ndivyo biashara inavyonufaika.
Kwenye kitabu cha MAUZO NI HUDUMA, unapata nafasi ya kuzijua ngazi hizo 6 na jinsi ya kuwapandisha wateja kwenye kila ngazi.

UNAWEZA KUKUZA MAUZO BILA HATA KUONGEZA WATEJA...
Rafiki,
Watu wengi hudhani kukuza mauzo ni mpaka uongeze wateja wapya kwenye biashara.
Lakini kuongeza wateja wapya kwenye biashara ni kazi kubwa na matokeo yake huchukua muda kuonekana.
Uzuri ni kwamba kwa kutumia wateja hao hao ulionao sasa unaweza kukuza mauzo yako kwa kiwango kikubwa.
Zipo hatua za kuchukua ili kuwafanya wateja ulionao sasa wanunue zaidi. Kwenye kitabu cha MAUZO NI HUDUMA zimeelezwa kwa kina.

MJADALA; UTHIBITISHO WA BOT WA KUTOA ELIMU YA FEDHA.
Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,
Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.
Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,
Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita
Kipindi cha Jumapili tarehe 09/06/2024 tutakuwa na mada ya;

Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,
Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.
Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,
Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita
Kipindi cha Jumapili tarehe 09/06/2024 tutakuwa na mada ya;
MJADALA; UTHIBITISHO WA BOT WA KUTOA ELIMU YA FEDHA.
Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Habari Njema; Nimeidhinishwa Na Benki Kuu Ya Tanzania (BOT) Kutoa Elimu Ya Fedha.
https://amkamtanzania.com/2024/06/08/habari-njema-nimeidhinishwa-na-benki-kuu-ya-tanzania-bot-kutoa-elimu-ya-fedha/
Rafiki yangu mpendwa, Nimekuwa napenda utajiri tangu nikiwa mtoto mdogo. Nakumbuka niliwahi kumwambia mama yangu kwamba kwenye maisha yangu lazima [β¦]

Njia ya wengi huwa inaridhisha kufuata, lakini haijawahi kuwa njia sahihi na rahisi.
Kuisikiliza nafsi yako mwenyewe ni rahisi na sahihi zaidi.
Acha kufuata mkumbo na jisikilize mwenyewe, utaweza kufanya makubwa na kuridhika zaidi kuliko njia nyingine yoyote.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Kuisikiliza nafsi yako mwenyewe ni rahisi na sahihi zaidi.
Acha kufuata mkumbo na jisikilize mwenyewe, utaweza kufanya makubwa na kuridhika zaidi kuliko njia nyingine yoyote.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
3448; Kilicho rahisi zaidi.
https://amkamtanzania.com/2024/06/09/3448-kilicho-rahisi-zaidi/
3448; Kilicho rahisi zaidi. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Sisi binadamu huwa tunapenda urahisi kwenye mambo mengi.Pale kunapokuwa [β¦]

24.6.9; Rahisi.
https://amkamtanzania.com/2024/06/09/24-6-9-rahisi/
Njia ya wengi huwa inaridhisha kufuata, lakini haijawahi kuwa njia sahihi na rahisi. Kuisikiliza nafsi yako mwenyewe ni rahisi na [β¦]
https://amkamtanzania.com/2024/06/09/24-6-9-rahisi/
Njia ya wengi huwa inaridhisha kufuata, lakini haijawahi kuwa njia sahihi na rahisi. Kuisikiliza nafsi yako mwenyewe ni rahisi na [β¦]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
WAFUATILIE WATEJA MPAKA KIFO...
Rafiki,
Wateja wakishaingia kwenye biashara yako, inapaswa kuwa ni kama wameingia kifungo cha maisha jela.
Yaani hawapaswi kuachiliwa kabisa.
Wanatakiwa wafuatiliwe kwa maisha yao yote.
Iwe wamenunua au hawakununua, wafuatiliwe kwa msimamo bila kuacha.
Na hata mteja akifa, mtu mwingine wa karibu yake anapaswa kuchukua nafasi yake.
Kitabu cha MAUZO NI HUDUMA kinakusaidia kuweza kuwafuatilia wateja bila ukomo.
Kitabu cha MAUZO NI HUDUMA kimeelezea kwa kina jinsi unavyoweza kuwapa wateja wako HUDUMA BORA SANA na ukadumu nao milele.
Kitabu kinakupa mbinu na mikakati ya kuifanya biashara yako kuwa ya kipekee sana kwenye eneo la huduma kiasi cha wateja kuambiana na kuja kwa wingi.
Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usikubali kupoteza wateja ambao wameshanunua kwenye biashara yako, wahudumie vizuri na udumu nao milele.
Rafiki,
Wateja wakishaingia kwenye biashara yako, inapaswa kuwa ni kama wameingia kifungo cha maisha jela.
Yaani hawapaswi kuachiliwa kabisa.
Wanatakiwa wafuatiliwe kwa maisha yao yote.
Iwe wamenunua au hawakununua, wafuatiliwe kwa msimamo bila kuacha.
Na hata mteja akifa, mtu mwingine wa karibu yake anapaswa kuchukua nafasi yake.
Kitabu cha MAUZO NI HUDUMA kinakusaidia kuweza kuwafuatilia wateja bila ukomo.
Kitabu cha MAUZO NI HUDUMA kimeelezea kwa kina jinsi unavyoweza kuwapa wateja wako HUDUMA BORA SANA na ukadumu nao milele.
Kitabu kinakupa mbinu na mikakati ya kuifanya biashara yako kuwa ya kipekee sana kwenye eneo la huduma kiasi cha wateja kuambiana na kuja kwa wingi.
Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usikubali kupoteza wateja ambao wameshanunua kwenye biashara yako, wahudumie vizuri na udumu nao milele.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
KAMA HUUZI, TATIZO NI WEWE...
Rafiki,
Najua huwa inaumiza sana pale ambapo...
Wateja wanaahidi kununua lakini hawanunui.
Wateja wanakuambia wakiwa tayari watakutafuta lakini hawakutafuti.
Wateja wanakuambia wanaenda halafu watarudi na hawarudi tena.
Chochote ambacho mteja anakuahidi na asitimize, tatizo siyo mteja, bali tatizo ni wewe.
Kama muuzaji unatakiwa kujua wateja kukuahidi na wasitimize ni kwa sababu hawajapata huduma nzuri kwenye biashara yako.
Wajibu wako ni kuwapa wateja huduma ambayo hawajawahi kupata mahali pengine na hawatakupa ahadi hewa.

NGUVU YA VITU VIDOGO KWENYE KUUZA ZAIDI...
Rafiki,
Kila hatua unayochukua ili kukuza mauzo kwenye biashara yako, huwa inaleta mchango fulani.
Watu wengi huwa wanaanza kuchukua hatua na pale matokeo yanapochelewa, wanaacha kuchukua hatua hizo.
Matokeo yake ni kushindwa kupata matokeo sahihi.
Yale yaliyo sahihi unapaswa kuendelea kuyafanya bila kuacha hata kama huoni matokeo.
Kwa sababu matokeo yanajikusanya na kuwa makubwa zaidi.