3445; Usipunguze, bali ongeza.
https://amkamtanzania.com/2024/06/06/3445-usipunguze-bali-ongeza/
3445; Usipunguze, bali ongeza. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Kufanikiwa na kushindwa kwenye maisha ni vitu vya mpito [β¦]

24.6.6; Zidisha.
https://amkamtanzania.com/2024/06/06/24-6-6-zidisha/
Kufanikiwa na kushindwa kote kunahitaji kazi.Kuna vitu ambavyo ni lazima ufanye, au usifanye ndiyo upate matokeo yanayotokea. Kwa kuwa haya [β¦]

MBELE YA MTEJA UNA NAFASI MOJA TU..
Rafiki,
Kabla hujamdanganya mteja jua una nafasi moja tu ya kufanya hivyo na baada ya hapo unakuwa umeipoteza milele.
Kabla sijakwambia nafasi hiyo, ningependa tu kujua je, upo tayari kuendesha biashara kwa njia ya kupoteza wateja?
Jibu ni hapana si ndiyo?
Kufanikiwa kwenye mauzo na biashara kunaanza na kuwa muaminifu kwako mwenyewe.
Kama upo kwenye mauzo au biashara na hujui jinsi ya kuwa mwaminifu kwako na wateja wako chukua hatua sasa.
Kitabu cha MAUZO NI HUDUMA kinakupa mbinu na mikakati ya kuifanya biashara yako kuwa ya kipekee na kuaminiwa na wateja kiasi cha kuambiana na kuja kwa wingi.
Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usikubali kupoteza wateja ambao wameshanunua kwenye biashara yako, wahudumie vizuri na udumu nao milele.

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
KULA KIAPO CHA KUUKATAA UMASIKINI...
Rafiki,
Kwa jinsi ambavyo umasikini unatesa, kuumiza na kudhalilisha, sote tunapaswa kula kiapo cha kuukataa kabisa.
Hatupaswi kuwa na mazoea yoyote yale na umasikini.
Weka mkono wako kifuani na jiambie haya kwa sauti;
"Nauchukia umasikini na nimekataa kata kata kujihusisha nao. Umasikini ndiye adui yangu namba moja na nitamwangamiza kwenye maisha yangu."
Ishi kwa kiapo hicho na utautokomeza umasikini.
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.

WAFUATE WATEJA KULE WALIPO.
Rafiki,
Kama unasema mauzo ni magumu na unasubiri wateja wakufuate kwenye biashara yako, unajitakia.
Kwa zama tulizopo sasa, wateja wana mambo mengi, kuja kwenye biashara siyo kipaumbele sana kwao.
Wajibu wako kama muuzaji ni kuwafuata wateja kule walipo na kuwapa kile chenye manufaa kwao.
Unapaswa kuwa na mikakati mizuri ya kuwafikia wateja wako kule walipo.
Kitabu cha MAUZO NI HUDUMA kimeelezea kwa kina jinsi unavyoweza kuwapa wateja wako HUDUMA BORA SANA na ukadumu nao milele.
Kitabu kinakupa mbinu na mikakati ya kuifanya biashara yako kuwa ya kipekee sana kwenye eneo la huduma kiasi cha wateja kuambiana na kuja kwa wingi.
Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usikubali kupoteza wateja ambao wameshanunua kwenye biashara yako, wahudumie vizuri na uduku nao milele.

USIKUBALI WATEJA WAKUSAHAU...
Rafiki,
Kwa zama tunazoishi sasa, ambapo watu wana mambo mengi, kusahaulika ni rahisi sana.
Ni wajibu wako kama muuzaji kuhakikisha wateja wako hawakusahau.
Na unaweza kufanya hilo kwa kutumia njia mbalimbali za kukutana na mawasiliano na wateja.
Kukutana na wateja,
Kuwapigia simu
Kuwatujia ujumbe
Kuungana nao kwenye mitandao
Hizo ni baadhi ya njia za kuwafikia wateja ili wasikusahau.

SIKILIZA ZAIDI YA UNAVYOONGEA....
Rafiki,
Kama unafikiria kuongea sana ndiyo kuuza, jua wazi unajidanganya.
Wewe tayari unajua bidhaa yako, ruhusu nafasi ya kujifunza na kuelewa hitaji la mteja.
Kufanikiwa kwenye mauzo na biashara kunaaanza na kuwa msikilizaji kuliko kuongea sana.
Kama upo kwenye mauzo au biashara na hujui jinsi ya kuwa msikilizaji mzuri kwa wateja wako chukua hatua sasa
Kitabu cha MAUZO NI HUDUMA kinakupa mbinu na mikakati ya kufanya ili iwe msikilizaji mzuri na kuaminiwa na wateja kiasi cha kuambiana na kuja kwa wingi.
Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usikubali kupoteza wateja ambao wameshanunua kwenye biashara yako, wahudumie vizuri na udumu nao milele.
Rafiki,
Kama unafikiria kuongea sana ndiyo kuuza, jua wazi unajidanganya.
Wewe tayari unajua bidhaa yako, ruhusu nafasi ya kujifunza na kuelewa hitaji la mteja.
Kufanikiwa kwenye mauzo na biashara kunaaanza na kuwa msikilizaji kuliko kuongea sana.
Kama upo kwenye mauzo au biashara na hujui jinsi ya kuwa msikilizaji mzuri kwa wateja wako chukua hatua sasa
Kitabu cha MAUZO NI HUDUMA kinakupa mbinu na mikakati ya kufanya ili iwe msikilizaji mzuri na kuaminiwa na wateja kiasi cha kuambiana na kuja kwa wingi.
Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usikubali kupoteza wateja ambao wameshanunua kwenye biashara yako, wahudumie vizuri na udumu nao milele.
UNAVYOJIKWAMISHA KUJENGA UTAJIRI KUPITIA UWEKEZAJI.
Rafiki,
Uwekezaji ndiyo njia ya kujenga na kutunza utajiri.
Lakini wengi wamekuwa wanashindwa kutumia njia hiyo.
Hiyo ni kwa sababu huwa wanauza uwekezaji wao katika kipindi ambacho siyo sahihi.
Kuna nyakati tatu tu za kuuza uwekezaji wako.
Zijue na uzitumie kwa usahihi.
Fungua hapa kujifunza; https://youtu.be/gJzO3BhKxAg
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
Rafiki,
Uwekezaji ndiyo njia ya kujenga na kutunza utajiri.
Lakini wengi wamekuwa wanashindwa kutumia njia hiyo.
Hiyo ni kwa sababu huwa wanauza uwekezaji wao katika kipindi ambacho siyo sahihi.
Kuna nyakati tatu tu za kuuza uwekezaji wako.
Zijue na uzitumie kwa usahihi.
Fungua hapa kujifunza; https://youtu.be/gJzO3BhKxAg
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
MJADALA; NINI KINAKUKWAMISHA KUWEKEZA KWENYE MASOKO YA MITAJI?
Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,
Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.
Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,
Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita
Kipindi cha Ijumaa tarehe 07/06/2024 tutakuwa na mada ya;

Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita

Jinsi Ya Kujenga Utajiri Wa Mwendokasi.
https://amkamtanzania.com/2024/06/06/jinsi-ya-kujenga-utajiri-wa-mwendokasi/
Rafiki yangu mpendwa, Utajiri ni kitu kizuri sana kwenye maisha. Hiyo ni kwa sababu utajiri unatuweka huru, kwa kutuwezesha kuyaishi [β¦]

Pata BURE Uchambuzi na kitabu; EVERYDAY MILLIONAIRES.
Kumekuwa na imani nyingi potofu kwenye jamii zetu kuhusu utajiri na matajiri.
Imani hizo ndiyo zimekuwa kikwazo kikubwa kwa wengi kujenga utajiri kwenye maisha yao.
Mwandishi Chris Hogan, alifanya utafiti mkubwa sana ambao ulihusisha matajiri zaidi ya elfu 10.
Kwenye utafiti huo aliwauliza matajiri maswali mengi sana ambayo yalimwezesha kuwaelewa kwa kina.
Kwenye majibu ya utafiti huo, alihitimisha ili mtu ajenge utajiri mkubwa kwenye maisha yake, anapaswa kufanya vitu viwili tu;
Moja ni AVUNJE IMANI POTOFU alizonazo kuhusu utajiri. Ameainisha 6 za lazima kuvunja.
Mbili ni AJENGE TABIA ZA KITAJIRI. Ambapo ameainisha 5 za msingi.
Hayo yote ameyaeleza kwa kina kwenye kitabu EVERYDAY MILLIONAIRES
Tumekichambua vizuri kitabu hiki, kwa maandishi na sauti kwa lugha rahisi ya Kiswahili ili iwe rahisi kwako kujifunza.
Tunakupa Uchambuzi huo pamoja na kitabu chenyewe BURE KABISA.
Tuma ujumbe; ZAWADI YA UTAJIRI kwenda wasap namba +255 717 101 505 kuipata.

Muda ni mwalimu sahihi,
Muda ni tiba iliyo bora,
Muda ni hakimu mwenye haki.
Weka muda wa kutosha kwenye jambo lolote na matokeo yatakuja vizuri.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Muda ni tiba iliyo bora,
Muda ni hakimu mwenye haki.
Weka muda wa kutosha kwenye jambo lolote na matokeo yatakuja vizuri.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Jua Hitaji La Mteja Ili Umshawishi Kununua
https://amkamtanzania.com/2024/06/07/jua-hitaji-la-mteja-ili-ushawishi-kununua/
Rafiki,Umewahi kuona mtu anayeumwa, lakini kila mkimwambia aende hospitali kupata matibabu anakataa. Anaanza kusema; Oh! nitakuwa sawa ngoja nisikilizie kesho [β¦]

3446; Ni yale yale.
https://amkamtanzania.com/2024/06/07/3446-ni-yale-yale/
3446; Ni yale yale. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Mchezo wa mpira wa miguu ndiyo sehemu ambayo matokeo mabovu [β¦]

24.6.7; Muda.
https://amkamtanzania.com/2024/06/07/24-6-7-muda/
Muda ni mwalimu sahihi,Muda ni tiba iliyo bora,Muda ni hakimu mwenye haki.Weka muda wa kutosha kwenye jambo lolote na matokeo [β¦]

Sheria Tano (05) Za Fedha Zitakazokusaidia Uwekeze Na Usipoteze Uwekezaji Wako Kwa Tamaa.
https://amkamtanzania.com/2024/06/07/sheria-tano-05-za-fedha-zitakazokusaidia-uwekeze-na-usipoteze-uwekezaji-wako-kwa-tamaa/
Habari njema matajiri wawekezaji, Karibuni kwenye mfululizo wetu wa masomo ya programu ya NGUVU YA BUKU, programu inayoendeshwa kwa msingi [β¦]

ANGALIA UPANDE CHANYA WA MTEJA
Rafiki,
Natumaini unaijua sarafu?
Sarafu ina pande mbili. Upande mmoja unaweza usione upande wa pili.
Kama ilivyo sarafu ndivyo ilivyo kwenye fikra na mitazamo tulionao kuhusu wateja.
Kufanikiwa kwenye mauzo na biashara kunaaanza na kuwa mtazamo chanya kwa mteja wako.
Kama upo kwenye mauzo au biashara na hujui jinsi ya kuwa mtazamo chanya kwa wateja wako chukua hatua sasa
Kitabu cha MAUZO NI HUDUMA kinakupa mbinu na mikakati ya kufanya ili iwe na mtazamo chanya.
Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usikubali kupoteza wateja ambao wameshanunua kwenye biashara yako, wahudumie vizuri na udumu nao milele.
Rafiki,
Natumaini unaijua sarafu?
Sarafu ina pande mbili. Upande mmoja unaweza usione upande wa pili.
Kama ilivyo sarafu ndivyo ilivyo kwenye fikra na mitazamo tulionao kuhusu wateja.
Kufanikiwa kwenye mauzo na biashara kunaaanza na kuwa mtazamo chanya kwa mteja wako.
Kama upo kwenye mauzo au biashara na hujui jinsi ya kuwa mtazamo chanya kwa wateja wako chukua hatua sasa
Kitabu cha MAUZO NI HUDUMA kinakupa mbinu na mikakati ya kufanya ili iwe na mtazamo chanya.
Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usikubali kupoteza wateja ambao wameshanunua kwenye biashara yako, wahudumie vizuri na udumu nao milele.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
MAKASIRIKO HAYATAONDOA UMASIKINI WAKO...
Rafiki,
Kumekuwa na kasumba ya watu kupata makasiriko pale wanaposikia mambo yanayohusu fedha na utajiri.
Utadhani kama vile makasiriko hayo yanataondoa umasikini ambao wanao.
Rafiki, nataka nikuambie tu, makasiriko yako hayatatatua umasikini unaokuwa nao.
Na umasikini hautakuonea huruma kwa sababu unaupa upendeleo.
Umasikini utaendelea kukuadhibu mpaka pale utakapoukataa kwa kila namna.
Ushauri wangu kwako wewe rafiki yangu ni uukatae umasikini na uupende utajiri.
Kama unataka makasiriko sahihi, kasirikia umasikini.
Huo ndiyo umekuwa unakutesa sana.
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
Rafiki,
Kumekuwa na kasumba ya watu kupata makasiriko pale wanaposikia mambo yanayohusu fedha na utajiri.
Utadhani kama vile makasiriko hayo yanataondoa umasikini ambao wanao.
Rafiki, nataka nikuambie tu, makasiriko yako hayatatatua umasikini unaokuwa nao.
Na umasikini hautakuonea huruma kwa sababu unaupa upendeleo.
Umasikini utaendelea kukuadhibu mpaka pale utakapoukataa kwa kila namna.
Ushauri wangu kwako wewe rafiki yangu ni uukatae umasikini na uupende utajiri.
Kama unataka makasiriko sahihi, kasirikia umasikini.
Huo ndiyo umekuwa unakutesa sana.
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
UKIONGEA SANA HUUZI...
Rafiki,
Wengi hudhani kwamba ili uuze, inabidi uongee sana.
Kwamba umpampe mteja kwa maneno mengi ndiyo akuelewe.
Lakini ukweli ni kinyume chake.
Ukiongea sana, huuzi.
Yaani kadiri unavyoongea zaidi kwenye mauzo, ndivyo unavyouza kidogo.
Ukitaka kuuza sana, kuwa msikilizaji zaidi kuliko mwongeaji.
Unaposikiliza kwa makini, wateja wanakuambia kila unachotaka kujua na inakuwa rahisi kwako kuuza kwa wingi zaidi.
Kuwa msikilizaji mzuri, wahudumie vizuri wateja wako na utauza zaidi.
Kitabu cha MAUZO NI HUDUMA kimeelezea kwa kina jinsi unavyoweza kuwapa wateja wako HUDUMA BORA SANA na ukadumu nao milele.
Kitabu kinakupa mbinu na mikakati ya kuifanya biashara yako kuwa ya kipekee sana kwenye eneo la huduma kiasi cha wateja kuambiana na kuja kwa wingi.
Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usikubali kupoteza wateja ambao wameshanunua kwenye biashara yako, wahudumie vizuri na uduku nao milele.
Rafiki,
Wengi hudhani kwamba ili uuze, inabidi uongee sana.
Kwamba umpampe mteja kwa maneno mengi ndiyo akuelewe.
Lakini ukweli ni kinyume chake.
Ukiongea sana, huuzi.
Yaani kadiri unavyoongea zaidi kwenye mauzo, ndivyo unavyouza kidogo.
Ukitaka kuuza sana, kuwa msikilizaji zaidi kuliko mwongeaji.
Unaposikiliza kwa makini, wateja wanakuambia kila unachotaka kujua na inakuwa rahisi kwako kuuza kwa wingi zaidi.
Kuwa msikilizaji mzuri, wahudumie vizuri wateja wako na utauza zaidi.
Kitabu cha MAUZO NI HUDUMA kimeelezea kwa kina jinsi unavyoweza kuwapa wateja wako HUDUMA BORA SANA na ukadumu nao milele.
Kitabu kinakupa mbinu na mikakati ya kuifanya biashara yako kuwa ya kipekee sana kwenye eneo la huduma kiasi cha wateja kuambiana na kuja kwa wingi.
Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usikubali kupoteza wateja ambao wameshanunua kwenye biashara yako, wahudumie vizuri na uduku nao milele.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
MPONGEZE NA KUMSIFIA MTEJA...
Rafiki,
Moja ya kitu wateja wanapenda ni kuthaminiwa, kusifiwa au kutiwa moyo kwenye kile wanachofanya.
Hilo likifanyika kweli ukweli kabisa kutoka moyoni mteja anashawishika kununua.
Kufanikiwa kwenye mauzo na biashara kunaaanza na kuwapongeza na kuwasifia wateja wako.
Kama upo kwenye mauzo au biashara na hujui jinsi ya kumsifia mteja wako, usiwe na wasiwasi.
Kitabu cha MAUZO NI HUDUMA kinakupa mbinu na mikakati ya kufanya ili huweze kuwasifia wateja wako.