#IshiMiaka100; KUISHI MIAKA MINGI, USILE MASAA 16 KILA SIKU.
Rafiki,
Moja ya vitu vinavyowaua watu mapema ni ulaji kupitiliza.
Maisha yetu wanadamu yamebadilika sana. Kazi za kutumia nguvu zimepungua, ila watu bado wanakula vyakula vingi.
Matokeo yake ni vyakula kuhifadhiwa kwa wingi mwilini kitu kinachosababisha mtu kupata uzito mkubwa.
Uzito mkubwa unaleta magonjwa sugu kama presha na kisukari.
Na hayo hupelekea mtu kufa mapema.
Kwenye programu ya ISHI MIAKA 100 iliyo kwenye familia ya KISIMA CHA MAARIFA unajifunza mfumo bora wa kufunga kwa masaa 16 kila siku na kuzuia uzito usipitilize.
🔥FAMILIA YA KISIMA CHA MAARIFA - NYUMBANI PA MAFANIKIO.
Je una kiu ya kupata mafanikio makubwa kwenye maisha yako?
Karibu uungane na familia ya KISIMA CHA MAARIFA ambayo ndiyo nyumbani pa mafanikio.
Ndani ya familia hii utapata maarifa, miongozo, msukumo na usimamizi wa kujenga mafanikio makubwa.
Ungana nasi sasa kwa kutumia link hii; https://chat.whatsapp.com/KHtzXfz8pR85ZTHtJ8ZmS4
Usijicheleweshe kufanikiwa.

#IshiMiaka100; KULA, TEMBEA, LALA...
Rafiki,
Kama unataka kuishi miaka mingi, yenye afya na mafanikio makubwa, zingatia vitu vitatu;
1. Kula kwa usahihi, kuwa na uzito sahihi.
2. Fanya mazoezi.
3. Lala muda wa kutosha.
Unapata fursa ya kujifunza na kufanyia kazi yote matatu kwenye programu ya ISHI MIAKA 💯 iliyo ndani ya FAMILIA YA KISIMA CHA MAARIFA.

Karibu uungane nasi sasa.