SOMA VITABU TANZANIAπŸ“š
1.15K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.61K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
INGIZA PESA UKIWA UMELALA.

Rafiki,
Bilionea Mwekezaji Warren Buffet amewahi kusema; "Kama huwezi kuingiza fedha ukiwa umelala, utafanya kazi kwa mateso mpaka siku unakufa."

Ni kauli kali lakini iliyobeba ujumbe mzito kuhusu umuhimu wa kufanya uwekezaji.

Uwekezaji ni muhimu sana kwenye maisha, lakini wengi hawawekezi.

Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 ujifunze jinsi ya kuingiza kipato ukiwa umelala, kupitia uwekezaji.

Semina itafanyika tarehe 27/10/2024 DSM, MBEZI GARDEN HOTEL.

Ada Ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/=.
Kupata nafasi ya kushiriki semina, tuma taarifa zako sasa kwenda namba 0717396253.

Karibu sana uende kupindua meza kwenye eneo la fedha na uwekezaji.
Shiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.
EPUKA MADENI KWA KUTHIBITI FEDHA ZAKO.

Rafiki,
Kumeibuka taasisi nyingi na kampuni nyingi za kutoa mikopo siku za karibuni. Kila taasisi au kampuni inasema tunalenga kupunguza madeni.

Usidanganyike ndugu, madeni hayaishi kwa kukopa pesa nyingine, bali ni kulipa kama wahenga walivyowahi kusema, "dawa ya deni ni kulipa".

Unalipaje pesa usiyonayo? Njia rahisi ni kuthibiti kwanza pesa unayopata. Bila kujali ni ndogo au kubwa kiasi gani, pungunza matumizi yasiyomuhimu.

Watu wengi wametapeliwa na kupoteza fedha nyingi kutokana na mikopo, kuwa na deni ukakopa Tena ni sawa na kuongeza udongo kwenye kichuguu.

Lipa deni anza kuwekeza.

*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na +255713604101kupata kupata kitabu na huduma.
24.7.25; Uwajibikaji.
https://amkamtanzania.com/2024/07/25/24-7-25-uwajibikaji/

Hakuna mtu ambaye ni rahisi wewe kumdanganya kama wewe mwenyewe. Ndiyo maana licha ya kujua kila unachopaswa kufanya, bado hufanyi, […]
3494; Kubali Kuwajibishwa Ili Ufanikiwe.
https://amkamtanzania.com/2024/07/25/3494-kubali-kuwajibishwa-ili-ufanikiwe/

3494; Kubali Kuwajibishwa Ili Ufanikiwe. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Sababu mbili zinazowazuia watu kufanikiwa ni KUJUA NA KUFANYA.Ni […]
HUWEZI KUTOBOA KWENYE BIASHARA BILA DAWA HII...

Rafiki,
Haya ni mawasiliano halisi kabisa yaliyofanyika;

Paul; "Nduguu Wana familia katika kisimaa Cha maarifaa napata changamoto katikaa biashara yanguu ndogo ndogo ktoka kwa jamii unasema hadii upate mafanikio lazma uwe na dawa . Kama wanafamiliaa mna usaidiz gan apo."

Kocha; "Ndiyo, lazima uwe na dawa ndiyo ufanikiwe kwenye biashara.
Na dawa yenyewe ni maarifa sahihi.
Pata kitabu cha ELIMU YA MSINGI YA BIASHARA na utapata mwongozo sahihi wa kuendesha biashara yako na kuvuka changamoto mbalimbali unazokabiliana nazo.
Wasiliana na 0678 977 007 kupata nakala yako ya kitabu cha ELIMU YA MSINGI YA BIASHARA."

Rafiki, usifanye tena biashara kwa kubahatisha. Pata maarifa sahihi na uyafanyie kazi, utaweza kuvuka kila kikwazo.

Kitabu cha ELIMU YA MSINGI YA BIASHARA ni dawa yako ya uhakika.
Kipate sasa kwa 0678 977 007.
Tumia Nguvu Ya Shauku Kunasa Umakini Wa Wateja Wakati Wa Ufuatiliaji
https://amkamtanzania.com/2024/07/26/tumia-nguvu-ya-shauku-kunasa-umakini-wa-wateja-wakati-wa-ufuatiliaji/

Rafiki, Karibu katika mwendelezo wa masomo yetu hapa kwenye program ya Chuo Cha Mauzo yenye kutufanya kuwa wauzaji Bora kuwahi […]
Kama Ndiyo Unaanza Uwekezaji, Anzia Hapa.
https://amkamtanzania.com/2024/07/26/kama-ndiyo-unaanza-uwekezaji-anzia-hapa/

Habari njema Matajiri Wawekezaji, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya […]
#KITAKACHOJENGA AU KUVUNJA BIASHARA YAKO.

Rafiki,
Biashara ina mambo mengi sana.
Kuanzia kutafuta wateja, kuwashawishi wanunue na kuwabakisha kwenye biashara.

Lakini kuna kitu kimoja chenye nguvu ya kujenga au kuvunja biashara yoyote ile.

Kitu hicho ni huduma ambayo wateja wanaipata.

Kama wateja watapata huduma nzuri, biashara itakua na kama wateja watapata huduma mbovu, biashara itakufa.

Unapaswa kusimamia sana eneo la huduma ili uweze kujenga biashara yenye ukuaji nzuri.

Habari njema ni kwenye program ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo, usimamizi wa kukuza mauzo na jinsi unavyoweza kuwapa wateja wako HUDUMA BORA SANA kiasi cha kuongeza MAUZO.

Wasiliana na namba 0717101505 ili upate program ya CHUO CHA MAUZO na kitabu chake ujifunze kuhusu UHUDUMIAJI.

Kitu kimoja zaidi, ukinunua kitabu cha CHUO CHA MAUZO mwezi huu, unapata ofa ya kujiunga na CHUO CHA MAUZO bure kabisa wahi ofa haijaisha, 0717101505.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
UZA HISIA...

Rafiki,
Sisi binadamu ni viumbe wa kihisia zaidi kuliko mantiki.
Huwa tunafanya maamuzi yetu kwa hisia kabla ya mantiki.

Ukitaka watu wanunue unachouza, gusa hisia zao.
Na njia bora ya kugusa hisia ni kuwafanya wateja wajisikie vizuri.

Watu wanapojisikia vizuri, wananunua kwa wingi.

Ndani ya CHUO CHA MAUZO unapata nafasi ya kujifunza kuwaelewa wateja wako, kuwafanya wajisikie vizuri na kuuza zaidi.

Karibu uambatane nasi sasa kwenye CHUO CHA MAUZO kwa kuwasiliana na 0717 101 505.

Unaweza kuuza zaidi kwa sababu unaweza kuwafanya watu wajisikie vizuri kwa chochote unachofanya.
Rafiki,

Umeshathibitisha kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024?

Kama bado tuma sasa ujumbe; SEMINA 2024 kwenda namba 0717396253.

Thibitisha sasa ili ujihakikishie nafasi yako, malipo utafanya kwa awamu.

Karibu sana.

Rafiki yako,

Kocha Dr. Makirita Amani.
24.7.25; Haujui.
https://amkamtanzania.com/2024/07/26/24-7-25-haujui/

Ulizaliwa ukiwa unajua vitu viwili tu; kulia na kunyonya.Huo ndiyo ujuzi ambao kila mtu alizaliwa nao.Vitu vingine vyote unavyoona watu […]
3495; Ni Ujuzi.
https://amkamtanzania.com/2024/07/26/3495-ni-ujuzi/

3495; Ni Ujuzi. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Uzuri mmoja kuhusu mafanikio ni kwamba, yapo wazi kwa watu […]
Jinsi Ya Kuwabadili Watu Bila Kuibua Hasira Au Chuki Kanuni Ya Saba
https://amkamtanzania.com/2024/07/27/jinsi-ya-kuwabadili-watu-bila-kuibua-hasira-au-chuki-kanuni-ya-saba/

Habari njema muuzaji bora  kuwahi kutokea, Hongera na karibu sana kwenye mwendelezo wa makala zetu za ushawishi kutoka kwenye programu […]
KAMA HUONI FAIDA YA BIASHARA, FANYA HIVI.

Rafiki,
Huu ni mjadala mfupi uliotokea kwenye kundi la KISIMA CHA MAARIFA.

Stella; "Jamani naomba msaada nafanya biashara na faida yangu ni elfu 40000 Kwa siku lakini haiwekeki naomba ushaur wa kutunza faida."

Krispa; "Kasome mjasiliamali mjanja kuna namna kocha kaeleza vizuri namna ya kuiona faida unayopata.

Jitaidi katika faida unayopata kuweka kwanza akiba kabla hujaitumia.

Unaweza kutenga asilimia flani na ukafungua akaunti ambayo utakuwa unaweka akiba kwa kipindi flani labda miezi mitatu, sita au mwaka na usiitoe mpaka muda ule uliojipangia utakapofika.

Pia chunguza matumizi yako, inawezekana faida yako inamezwa na matumizi.

Kwa maarifa zaidi tafuta kitabu cha kocha MJASILIAMALI MJANJA"

Je umekuwa unafanya biashara lakini huioni faida?

Pata leo na usome kitabu cha MJASIRIAMALI MJANJA na uweze kutatua hilo.
Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu.
Jipatie nakala yako ya kitabu cha MJASIRIAMALI MJANJA uweze kufanyia kazi kanuni ya FAIDA KWANZA na kuiona faida halisi ya biashara yako.

Wasiliana na 0678 977 007 kujipatia nakala ya kitabu sasa.
OKTOBA, SIYO YA KUKOSA.

Rafiki,
Huwa kuna matukio yanatokea mara moja na kuacha alama kubwa sana kwenye maisha ya mtu.

Una bahati kwa sababu oktoba linaenda kutokea tukio hilo, ambalo litaacha alama kubwa sana kwenye maisha yako.

Litayafungua macho yako na utauona ulimwengu mpya ambao hukuwahi kudhani kama upo.

Utaona jinsi ilivyo ndani ya uwezo wako kabisa kujenga UTAJIRI na MAFANIKIO makubwa.

Tukio hilo ni SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024, ambayo itafanyika Mbezi Garden Hotel tarehe 27/10/2024.

Kwa kiingilio cha Tsh 65,000/= ambacho kinagharamia kila kitu mpaka chakula, unakwenda kupata mapinduzi makubwa sana kwenye maisha yako.

Ili kuhakikisha hukosi semina hii, nimekuandalia mpango wa kulipa kidogo kidogo, kuanzia buku.

Karibu ujiwekee nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 leo kwa kutuma ujumbe SEMINA 2024 kwenda namba 0717 396 253.

Njoo upindue meza 2024, shiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.
#PESA IMEJIFICHA KWENYE UFUATILIAJI
Rafiki,

Wauzaji wengi wanazikosesha biashara mauzo.
Na biashara ikikosa mauzo haiwezi kujiendesha kabisa.
Mauzo ndiyo moyo wa biashara na fedha ndiyo damu ya biashara. Bila mauzo, hakuna biashara.

Na biashara nyingi zinakosa mauzo ni kwa sababu ya kukosa ufuatiliaji.
Wateja wamezoea kuwapa ahadi wauzaji, kama vile nitakufuta nikiwa tayari, nitafute siku fulani. Licha ya kuwa wateja wanatoa AHADI hizo, lakini chakushangaza hawafuatiliwi.

Hivyo wauzaji wanaishia KUUZIWA sababu badala ya KUUZA.

Kwa jinsi biashara nyingi zinavyopoteza mauzo, habari njema ni kwamba CHUO CHA MAUZO kila ijumaa tunajifunza somo la ufuatiliaji. Na kauli mbiu yetu inasema PESA IMEJIFICHA KWENYE UFUATILIAJI.

Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.

Habari njema zaidi ni kwamba mwezi huu wa Julai 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.
Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Rafiki,

Nakuamini sana wewe.

Ndiyo, wewe hapo, NAKUAMINI SANA.

Una uwezo mkubwa sana ndani yako,

Ambao bado hujaanza kuutumia.

Unaweza kwenda mbali zaidi ya hapo ulipo sasa.

Unaweza kufanya makubwa zaidi ya unavyofanya sasa.

Lakini umekwama,
Kwa sababu hajawahi kutokea mtu,
Kwenye maisha yako, ambaye anakuamini sana na kuwa tayari kukusukuma ufikie huo uwezo wako.

Umepata fursa nzuri,
Ya kukutana na mimi,
Ninayekusukuma ufikie uwezo mkubwa ulionao.

Mahali pekee tunapokutana kwa ajili ya kukamilisha hilo ni kwenye FAMILIA YA KISIMA CHA MAARIFA.

Na ni bure kwako kuwa kwenye familia hii.
Ungana nasi hapa; https://chat.whatsapp.com/KHtzXfz8pR85ZTHtJ8ZmS4

Usihangaike tena rafiki, njoo tuyajenge.

Rafiki yako, Kocha Dr Makirita Amani, MD, CFE | 0678 977 007 | www.amkamtanzania.com
NDIYO HII ALFU MOJA INAYOKUPELEKA KWENYE UTAJIRI MKUBWA

Rafiki,
Kama ndiyo kwanza unaanza uwekezaji hujachelewa, sio usubiri pesa ziwe nyingi anza na elfu moja.

Mshiriki mwenzetu kwenye program ya Nguvu Ya Buku, ameanza kuwekeza na anaona manufaa makubwa ndiyo maana anatushauri tuanze leo.

Huku kwenye programu tunafundisha njia rafiki za kutengeneza kipato na kuanza kujenga utarajiri taratibu hata kwa kiasi kidogo cha fedha.

Karibu

*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na +255713604101 kupata kupata kitabu na huduma.