SOMA VITABU TANZANIAπŸ“š
1.16K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.62K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
24.5.29; Usipojipanga.
https://amkamtanzania.com/2024/05/29/24-5-29-usipojipanga/

Usipojipanga kwenye maisha yako, wengine watakupanga kwenye maisha yao. Na usije ukajichanganya ukadhani watu wanapokupanga kwenye maisha yao wanawajibila kuyanufaisha […]
Pata BURE Uchambuzi na kitabu; EVERYDAY MILLIONAIRES.

Kumekuwa na imani nyingi potofu kwenye jamii zetu kuhusu utajiri na matajiri.
Imani hizo ndiyo zimekuwa kikwazo kikubwa kwa wengi kujenga utajiri kwenye maisha yao.

Mwandishi Chris Hogan, alifanya utafiti mkubwa sana ambao ulihusisha matajiri zaidi ya elfu 10.

Kwenye utafiti huo aliwauliza matajiri maswali mengi sana ambayo yalimwezesha kuwaelewa kwa kina.

Kwenye majibu ya utafiti huo, alihitimisha ili mtu ajenge utajiri mkubwa kwenye maisha yake, anapaswa kufanya vitu viwili tu;

Moja ni AVUNJE IMANI POTOFU alizonazo kuhusu utajiri. Ameainisha 6 za lazima kuvunja.

Mbili ni AJENGE TABIA ZA KITAJIRI. Ambapo ameainisha 5 za msingi.

Hayo yote ameyaeleza kwa kina kwenye kitabu EVERYDAY MILLIONAIRES

Tumekichambua vizuri kitabu hiki, kwa maandishi na sauti kwa lugha rahisi ya Kiswahili ili iwe rahisi kwako kujifunza.

Tunakupa Uchambuzi huo pamoja na kitabu chenyewe BURE KABISA.

Tuma ujumbe; ZAWADI YA UTAJIRI kwenda wasap namba +255 717 101 505 kuipata.
Usipojipanga kwenye maisha yako, wengine watakupanga kwenye maisha yao.

Na usije ukajichanganya ukadhani watu wanapokupanga kwenye maisha yao wanawajibila kuyanufaisha maisha yao.

Huo ni wajibu wako binafsi, kama utashindwa kuutekeleza, hakuna unayeweza kumlaumu.

Kuwa tayari kuwajibika kama unataka manufaa makubwa kwenye maisha yako.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
MAUZO SIYO NINI, BALI NANI..

Rafiki,
Wengi hudhani wanaweza kuuza zaidi kama wakiwa na bidhaa au huduma ya aina fulani.

Lakini ukweli ni utauza zaidi kama unajuana na watu wengi zaidi.
Kwa maneno mengine, MAUZO NI MAHUSIANO.

Kadiri unavyokuwa na mahusiano mazuri na wengi, ndivyo unavyouza zaidi.

Pamoja na kuwa na bidhaa au huduma nzuri, hiyo pekee haitoshi. Unapaswa kuhakikisha unawajua na kujuana na wengi ili uuze zaidi.

Kitabu cha MAUZO NI MAHUSIANO kimeelezea kwa kina nguvu ya mahusiano kwenye ushawishi na kukuza mauzo. Kitabu kinaeleza jinsi ya kujenga mahusiano imara na wateja wako ili kukuza mauzo yako mara mbili na zaidi.

Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usifanye tena mauzo ya kubahatisha, jenga mahusiano imara na uweze kukuza mauzo yako.
UNANIPA SABABU YA KUAMKA SAA 9 USIKU, KILA SIKU....

Rafiki,

Nikiendelea kutafakari kumbukizi ya siku yangu ya kuzaliwa (28 May) naendelea kujiuliza maswali mbalimbali.

Moja ya maswali hayo ni nini kinanifanya niamke asubuhi na mapema kila siku.
Nimekuwa naamka saa tisa kila siku bila kukosa.

Na yote hayo ni kuhakikisha nakuhudumia vizuri wewe.

Ninapoamka ratiba inakuwa hivi;
Saa 9 mpaka 10 alfajiri - naandika.
Saa 10 mpaka 11 alfajiri - kipindi cha live cha ONGEA NA KOCHA.
Saa 11 mpaka 12 asubuhi - kipindi cha live cha BILIONEA MAFUNZONI.
Saa 12 mpaka 1 asubuhi - kipindi cha live cha CHUO CHA MAUZO.

Unaona hapo rafiki, masaa manne ya kwanza kila siku nimeyatoa kwa ajili yako.
Je unanufaikaje na hayo masaa?

Kwenye kumbukizi ya kuzaliwa kwangu (28 May), nimekuandalia zawadi nzuri wewe rafiki yangu.
Nakushukuru sana kwa kuwa mfuatiliaji wa kazi ninazofanya. Umekuwa sababu ya mimi kuendelea kufanya ninachofanya.
Kupata zawadi, tuma ujumbe; ZAWADI YA KOCHA kwenda wasap namba 0717 101 505.

Kocha
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
TUMIA ZAWADI, KUUZA ZAIDI...

Rafiki,
Kwenye mahusiano ya aina yoyote ile, zawadi ni kitu ambacho kina nguvu sana.
Zawadi zinaimarisha sana mahusiano ya watu.

Na kwenye mauzo, zawadi zina nguvu sana kwenye kukuza mauzo.
Wewe kama muuzaji, unapaswa kujua jinsi ya kutumia zawadi kuboresha mahusiano na wateja wako na kuweza kukuza zaidi mauzo yako.

Kitabu cha MAUZO NI MAHUSIANO kimeelezea kwa kina nguvu ya mahusiano kwenye ushawishi na kukuza mauzo. Kitabu kinaeleza jinsi ya kujenga mahusiano imara na wateja wako ili kukuza mauzo yako mara mbili na zaidi.

Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usifanye tena mauzo ya kubahatisha, jenga mahusiano imara na uweze kukuza mauzo yako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
SHERIA 10 ZA KUISHI MIAKA 100...

2/10; USIWE NA CHUKI...

Kuwa na chuki ni kunywa sumu ili kumdhuru mtu mwingine.
Unaishia kujidhuru wewe mwenyewe.

Kama unataka kuishi miaka mingi, epuka sana kuwa na chuki.
Chuki inakuathiri sana wewe mwenyewe na kudhoofisha afya yako.

Bila kujali watu wamekufanyia nini, kamwe usiwe na chuki.
Samehe na sahau ili uwe na maisha bora.

Kwenye kumbukizi ya kuzaliwa kwangu (28 May), nimekuandalia zawadi nzuri wewe rafiki yangu.
Nakushukuru sana kwa kuwa mfuatiliaji wa kazi ninazofanya. Umekuwa sababu ya mimi kuendelea kufanya ninachofanya.
Kupata zawadi, tuma ujumbe; ZAWADI YA KOCHA kwenda wasap namba 0717 101 505.

Kutoka kwa rafiki yako anayekupenda na kukujali sana,
Kocha Dr. Makirita Amani
www.amkamtanzania.com
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
JIFUNZE KUUZA KWA WAUZA KARANGA...

Rafiki,
Wauza karanga huwa wana ujanja mdogo unaowafanya wauze sana.

Huwa wanawaonjesha wateja wao karanga kabla hata hawajanunua.
Mtu anapoonjeshwa karanga bure, anajiona akiwajibika kununua.

Hicho ni kitu unachoweza kukifanya kwenye biashara yako pia.
Kuwa na kitu unachowaonjesha wateja wako kabla hata hawajanunua na itawasukuma kununua.

Kitabu cha MAUZO NI MAHUSIANO kimeelezea kwa kina nguvu ya mahusiano kwenye ushawishi na kukuza mauzo. Kitabu kinaeleza jinsi ya kujenga mahusiano imara na wateja wako ili kukuza mauzo yako mara mbili na zaidi.

Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usifanye tena mauzo ya kubahatisha, jenga mahusiano imara na uweze kukuza mauzo yako.
Tumia Kanuni Ya Dakika Mbili Kuushinda Ughairishaji
https://amkamtanzania.com/2024/05/30/tumia-kanuni-ya-dakika-mbili-kuushinda-ughairishaji/

Kwenye maisha na utendaji wetu, kuna namna tumekuwa tunashindwa kukamilisha vitu, tukiamini tutavikamilisha baadaye. Baadaye hiyo inapofika, tunajikuta tuna mrundikano […]
Ukitegemea mambo yawe rahisi na yakawa magumu, inakuwa rahisi kwako kuacha kufanya.

Lakini ukitegemea mambo yawe magumu na yakawa magumu, utapambana kuyavuka.

Usijikwamishe na kutafuta urahisi, jua yoyote makubwa ni magumu na yapambanie mpaka upate matokeo unayoyataka bila kukata tamaa.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Pata BURE Uchambuzi na kitabu; EVERYDAY MILLIONAIRES.

Kumekuwa na imani nyingi potofu kwenye jamii zetu kuhusu utajiri na matajiri.
Imani hizo ndiyo zimekuwa kikwazo kikubwa kwa wengi kujenga utajiri kwenye maisha yao.

Mwandishi Chris Hogan, alifanya utafiti mkubwa sana ambao ulihusisha matajiri zaidi ya elfu 10.

Kwenye utafiti huo aliwauliza matajiri maswali mengi sana ambayo yalimwezesha kuwaelewa kwa kina.

Kwenye majibu ya utafiti huo, alihitimisha ili mtu ajenge utajiri mkubwa kwenye maisha yake, anapaswa kufanya vitu viwili tu;

Moja ni AVUNJE IMANI POTOFU alizonazo kuhusu utajiri. Ameainisha 6 za lazima kuvunja.

Mbili ni AJENGE TABIA ZA KITAJIRI. Ambapo ameainisha 5 za msingi.

Hayo yote ameyaeleza kwa kina kwenye kitabu EVERYDAY MILLIONAIRES

Tumekichambua vizuri kitabu hiki, kwa maandishi na sauti kwa lugha rahisi ya Kiswahili ili iwe rahisi kwako kujifunza.

Tunakupa Uchambuzi huo pamoja na kitabu chenyewe BURE KABISA.

Tuma ujumbe; ZAWADI YA UTAJIRI kwenda wasap namba +255 717 101 505 kuipata.
3438; Rahisi na ngumu.
https://amkamtanzania.com/2024/05/30/3438-rahisi-na-ngumu/

3438; Rahisi na ngumu. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Sehemu kubwa ya mafunzo na ushauri wa mafanikio imejikita […]
24.5.30; Usijikwamishe.
https://amkamtanzania.com/2024/05/30/24-5-30-usijikwamishe/

Ukitegemea mambo yawe rahisi na yakawa magumu, inakuwa rahisi kwako kuacha kufanya. Lakini ukitegemea mambo yawe magumu na yakawa magumu, […]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
JIUZE KABLA HUJAUZA ULICHONACHO...

Rafiki,
Kabla watu hawajakubali kununua kile unachouza, wanakununua kwanza wewe.

Hivyo kabla ya kuuza kile unachouza, anza kujiuza wewe mwenyewe kwanza.

Unajiuza wewe mwenyewe kwa kujenga mahusiano bora na watu wote unaotaka kuwashawishi.

Wengi hatujui jinsi ya kujenga mahusiano bora na hilo kuathiri mauzo.

Kitabu cha MAUZO NI MAHUSIANO kimeelezea kwa kina nguvu ya mahusiano kwenye ushawishi na kukuza mauzo. Kitabu kinaeleza jinsi ya kujenga mahusiano imara na wateja wako ili kukuza mauzo yako mara mbili na zaidi.

Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usifanye tena mauzo ya kubahatisha, jenga mahusiano imara na uweze kukuza mauzo yako.
Kumbukizi Ya Kuzaliwa; Sheria 10 Za Kuishi Miaka 100.
https://amkamtanzania.com/2024/05/30/kumbukizi-ya-kuzaliwa-sheria-10-za-kuishi-miaka-100/

Rafiki yangu mpendwa, Tarehe 28 Mei huwa ni siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwangu. Kwenye siku hiyo huwa napata nafasi […]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
WAFANYE WATEJA WANUNUE HARAKA.

Rafiki,
Wateja huwa wanakusubirisha sana kwenye kuchukua hatua ya kununua.

Unawaeleza vizuri kile unachouza, wanaonyesha kabisa wanataka, lakini wanakuambia 'nikiwa tayari nitakutafuta'.

Tunajua hapo wametukwepa tu, kwa sababu wateja hawajawahi kuwa tayari.

Kwa bahati nzuri sana, ipo silaha ya ushawishi ambayo inawafanya wateja kuchukua hatua ya kununua mara moja.

Kitabu cha MAUZO NI MAHUSIANO kinaieleza silaha hiyo ambayo itakuwezesha kuwasukuma wateja kuchukua hatua mara moja.

Kitabu cha MAUZO NI MAHUSIANO kimeelezea kwa kina nguvu ya mahusiano kwenye ushawishi na kukuza mauzo. Kitabu kinaeleza jinsi ya kujenga mahusiano imara na wateja wako ili kukuza mauzo yako mara mbili na zaidi.

Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usifanye tena mauzo ya kubahatisha, jenga mahusiano imara na uweze kukuza mauzo yako.
SHERIA 10 ZA KUISHI MIAKA 100...

Rafiki,
Iko ndani ya uwezo wako kuishi miaka mingi utakavyo.
Japo siyo rahisi, lakini ni kitu kinachowezekana kabisa.

Kama umedhamiria kuishi miaka mingi, unahitaji kuwa na nidhamu ya hali ya juu kwenye maeneo mengi ya maisha yako.

Hapa kuna sheria 10 za kufuata kama unataka kuishi miaka 100 na kuendelea.

Karibu uzijue sheria hizo hapa; https://youtu.be/BQgcpwqJJ88

*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
SHERIA 10 ZA KUISHI MIAKA 100

4/10; KUWA NA SHAUKU.

Rafiki,
Ubora wa maisha yako unategemea sana shauku unayokuwa nayo.

Unakuwa na shauku kubwa pale unapojikubali, unapokubali na kupenda kile unachofanya.

Ukiwa na shauku muda wote unajisikia vizuri na kutabasamu.
Hilo linawavutia wengine kuja kwako na kushirikiana vizuri na wewe.

Shauku ni kitu unachoweza kujijengea wewe mwenyewe na ukaishi miaka mingi.

Jijengee shauku sasa, kwa kujikubali na kukubali yote unayojihusisha nayo na uishi miaka mingi.

Kwenye kumbukizi ya kuzaliwa kwangu (28 May), nimekuandalia zawadi nzuri wewe rafiki yangu.
Nakushukuru sana kwa kuwa mfuatiliaji wa kazi ninazofanya. Umekuwa sababu ya mimi kuendelea kufanya ninachofanya.
Kupata zawadi, tuma ujumbe; ZAWADI YA KOCHA kwenda wasap namba 0717 101 505.

Kutoka kwa rafiki yako anayekupenda na kukujali sana,
Kocha Dr. Makirita Amani
www.amkamtanzania.com
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
LUGHA 12 ZA KUUZA ZAIDI.

Rafiki,
Huwa wanasema maneno mazuri huwa yanamtoa nyoka pangoni.

Hivyo pia ndivyo ilivyo kwenye mauzo, kuna maneno ukiyatoa, yanatoa pesa mifukoni kwa wateja.

Halafu sasa, maneno yenyewe yapo 12 tu.
Yaani ukiyakariri hayo, utauza mpaka ushangae.

Kitabu cha MAUZO NI MAHUSIANO kinafundisha maneno hayo 12 ya kuchomoa pesa kirahisi kutoka mifukoni kwa wateja.

Kitabu cha MAUZO NI MAHUSIANO kimeelezea kwa kina nguvu ya mahusiano kwenye ushawishi na kukuza mauzo. Kitabu kinaeleza jinsi ya kujenga mahusiano imara na wateja wako ili kukuza mauzo yako mara mbili na zaidi.

Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usifanye tena mauzo ya kubahatisha, jenga mahusiano imara na uweze kukuza mauzo yako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
USIPOTEZE WATEJA WA MBALI...

Rafiki,
Kwa dunia ya sasa,
Ambayo inaitwa ni kijiji kutokana na urahisi wa mawasiliano, hupaswi kupoteza mteja yeyote yule.

Zipo njia nyingi za kuweza kuwakumbatia wateja kwa muda mrefu ili kuendelea kuwauzia na wote mkanufaika.

Kitabu cha MAUZO NI MAHUSIANO unakwenda kujifunza jinsi ya kutokupoteza wateja wa mbali.