SOMA VITABU TANZANIAπŸ“š
1.16K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.62K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
MAIGIZO YANAYOWAPOTEZA WENGI...

Rafiki,
Jambo moja linaloshangaza sana kuhusu maisha ni kila mmoja wetu anaigiza ambacho ni kinyume na alivyo.

Masikini huwa wanaigiza kama ni matajiri. Wananunua vitu vya bei kubwa na kuingia kwenye madeni ili tu waonekane na wao wapo.

Matajiri huwa wanaigiza kama ni masikini. Wanakuwa na maisha ya chini na kwa nje hawaonekani kama wana utajiri mkubwa.

Matajiri kuigiza umasikini kunawafanya wajenge utajiri zaidi, kwa sababu gharama zao zinakuwa chini.

Masikini kuigiza utajiri inawazamisha kwenye umasikini zaidi, kwa sababu wanaongeza gharama zao.

Wewe unachagua kuigiza upande upi? Kama unataka kujenga utajiri mkubwa huku ukiendesha maisha ya kawaida, karibu ujifunze hapa; https://youtu.be/pqMkmiaCpxA

*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
Mjadala Wa Matajiri Wa Kawaida Kutoka Kitabu Everyday Millionaires.
https://amkamtanzania.com/2024/05/27/mjadala-wa-matajiri-wa-kawaida-kutoka-kitabu-everyday-millionaires/

Rafiki yangu mpendwa, Maisha huwa ni maigizo na yale ambayo kila mmoja wetu anaigiza, yana madhara chanya au hasi kwenye […]
Tengeneza Pesa Kwa Kutumia Mahusiano.
https://amkamtanzania.com/2024/05/27/tengeneza-pesa-kwa-kutumia-mahusiano/

Rafiki yangu mpendwa, Kiasili  sisi binadamu ni viumbe vya mahusiano kadiri ya vinasaba yaani DNA. Tunahusiana na watu wetu wa […]
#NjiaYaUtajiri; TUMIA SOKO LA HISA KUJENGA UTAJIRI MKUBWA - SEHEMU I.

Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,

Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.

Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,

Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita

Kipindi cha Jumanne tarehe 28/05/2024 tutakuwa na mada ya;

TUMIA SOKO LA HISA KUJENGA UTAJIRI MKUBWA - SEHEMU I

Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Pata BURE Uchambuzi na kitabu; EVERYDAY MILLIONAIRES.

Kumekuwa na imani nyingi potofu kwenye jamii zetu kuhusu utajiri na matajiri.
Imani hizo ndiyo zimekuwa kikwazo kikubwa kwa wengi kujenga utajiri kwenye maisha yao.

Mwandishi Chris Hogan, alifanya utafiti mkubwa sana ambao ulihusisha matajiri zaidi ya elfu 10.

Kwenye utafiti huo aliwauliza matajiri maswali mengi sana ambayo yalimwezesha kuwaelewa kwa kina.

Kwenye majibu ya utafiti huo, alihitimisha ili mtu ajenge utajiri mkubwa kwenye maisha yake, anapaswa kufanya vitu viwili tu;

Moja ni AVUNJE IMANI POTOFU alizonazo kuhusu utajiri. Ameainisha 6 za lazima kuvunja.

Mbili ni AJENGE TABIA ZA KITAJIRI. Ambapo ameainisha 5 za msingi.

Hayo yote ameyaeleza kwa kina kwenye kitabu EVERYDAY MILLIONAIRES

Tumekichambua vizuri kitabu hiki, kwa maandishi na sauti kwa lugha rahisi ya Kiswahili ili iwe rahisi kwako kujifunza.

Tunakupa Uchambuzi huo pamoja na kitabu chenyewe BURE KABISA.

Tuma ujumbe; ZAWADI YA UTAJIRI kwenda wasap namba +255 717 101 505 kuipata.
3436; Ya Msingi Kwanza.
https://amkamtanzania.com/2024/05/28/3436-ya-msingi-kwanza/

3436; Ya Msingi Kwanza. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Watu wanapenda kuhangaika na mambo makubwa na magumu, ambayo […]
24.5.28; Msingi.
https://amkamtanzania.com/2024/05/28/24-5-28-msingi/

Kanuni ya uhakika ya kujenga utajiri kwenye maisha yako ni rahisi na inayoeleweka; MATUMIZI YASIZIDI KIPATO CHAKO, WEKEZA MAENEO UNAYOYAELEWA […]
Tumia Vyombo Vya Usafiri Kufikia Wateja Wengi Zaidi.
https://amkamtanzania.com/2024/05/28/tumia-vyombo-vya-usafiri-kufikia-wateja-wengi-zaidi/

Habari njema wauzaji bora kuwahi kutokea. Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya CHUO CHA MAUZO, yenye lengo […]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
PATA PESA WAKUHESHIMU...

Rafiki,
Kama unaona watu wanakudharau kwa sababu huna pesa, ni jambo zuri sana hilo.
Sasa chukua hatua ya kuhakikisha unapata pesa ili wakuheshimu.

Kama unadharauliwa na watu uliowazidi umri kwa sababu wamekuzidi pesa, si na wewe upambane uwazidi pesa?

Kama umeachwa kimapenzi na mpenzi wako kwenda kwa mwenye pesa kuliko wewe, kwanza mshukuru sana, maana amekuamsha kwenye usingizi wa umasikini.
Sasa wajibu wako ni upate pesa.

Ujue rafiki yangu, umasikini siyo kilema kusema kwamba hakiwezi kutibika, ni wewe tu uwe na hasira za kutosha kuutokomeza kabisa kwenye maisha yako.

*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
KAMA UMEWEZA KUWA NA MPENZI/MWENZA UNAWEZA KUUZA...

Rafiki,
Kuna watu wamekuwa wanajiambia kwamba wao hawako vizuri kwenye mauzo.

Kama wewe ni mmoja wa watu hao, nakukatalia.
Nakukatalia kwa sababu kama unasoma hapa, nina uhakika una mpenzi/mwenza au umewahi kuwa naye.

Kama umeweza kukaa kwenye mapenzi, maana yake una ushawishi fulani uliomfanya mtu kuwa kwenye mapenzi na wewe.

Na huo ushawishi sasa, ndiyo mauzo yenyewe.
Mauzo ni mahusiano kama yalivyo mahusiano mengine.

Na kwa kuwa umeshaweza kuwa na mahusiano kwenye maisha yako, unaweza pia kuuza sana.

Kitabu cha MAUZO NI MAHUSIANO kimeelezea kwa kina nguvu ya mahusiano kwenye ushawishi na kukuza mauzo. Kitabu kinaeleza jinsi ya kujenga mahusiano imara na wateja wako ili kukuza mauzo yako mara mbili na zaidi.

Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usifanye tena mauzo ya kubahatisha, jenga mahusiano imara na uweze kukuza mauzo yako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
KUWA CHAWA, UUZE ZAIDI...

Rafiki,
Huenda ukiwaona wale wanaoitwa machawa unajiambia huwezi kuwa kama wao.

Lakini kwa wanachofanya, wananufaika kuliko wewe.
Na pale mtu anaponufaika kuliko wewe, unapaswa kujifunza kwake.

Kwa asili sisi binadamu tunapenda kusifiwa.
Na machawa wanalitumia hilo vizuri, wanasifia na wananufaika.

Sasa nakushauri wewe uwe chawa, lakini wa tofauti.

Unachopaswa kufanya wewe ni kuwasifia wateja wako.
Na unawasifia kwenye mambo ambayo ni ya kweli.
Hilo linafanya wakukubali zaidi na kununua kwako.

Kitabu cha MAUZO NI MAHUSIANO kimeelezea kwa kina nguvu ya mahusiano kwenye ushawishi na kukuza mauzo. Kitabu kinaeleza jinsi ya kujenga mahusiano imara na wateja wako ili kukuza mauzo yako mara mbili na zaidi.

Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usifanye tena mauzo ya kubahatisha, jenga mahusiano imara na uweze kukuza mauzo yako.
πŸŽ‚ KIJANA DAIMA (FOREVER YOUNG).

Rafiki yangu mpendwa,

Nichukue nafasi hii kukushukuru kwa dhati kwenye siku hii ya kumbukuzi ya kuzaliwa kwangu (28 May).

Nakushukuru wewe kwa sababu umekuwa sababu ya kila juhudi ninazoweka kila siku.

Miaka mingi iliyopita nilichagua falsafa ya maisha yangu kuwa; NAWEZA KUPATA CHOCHOTE NINACHOTAKA, KAMA NITAWAWEZESHA WATU WENGI ZAIDI KUPATA WANACHOTAKA.

Na mimi ninachotaka ni UTAJIRI MKUBWA (UBILIONEA) na nitaupata kwa kuwawezesha wengi zaidi nao kupata UTAJIRI MKUBWA.

Nakushukuru sana wewe ambaye umekuwa mpokeaji wa kazi zangu ninazofanya.

Bila wewe ningekuwa napiga kelele na upepo tu.
Niseme tena asante sana.

Ahadi yangu kwako ni nitaendelea kukupa MAARIFA, NYENZO NA KUKUSIMAMIA kwenye kujenga utajiri mkubwa kwenye maisha yako.

Katika kumbukizi hii ya kuzaliwa kwangu, nimekuandalia zawadi maalumu. Kupata zawadi hiyo tuma ujumbe ZAWADI YA KOCHA kwenda namba 0717 101 505.

Kutoka kwa rafiki yako akupendaye,
Kocha Dr. Makirita Amani
www.amkamtanzania.com
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
USIKUBALI KUIBIWA WATEJA WAKO KIRAHISI....

Rafiki,
Moja ya sababu za mahusiano mengi ya kimapenzi na ndoa kuvunjika ni umbali baina ya watu.

Watu wakishakuwa mbalimbali, mahusiano yanakuwa dhaifu na baadaye rahisi kuvunjika.

Kwenye mauzo pia umbali na wateja unapelekea kuwapoteza.
Unapokaa mbali na wateja wako, inakuwa rahisi kwao kuchukuliwa na wauzaji wengine.

Weka juhudi za kuwa na ukaribu na wateja wako ili kuimarisha mahusiano na kudumu nao kwa muda mrefu.

Kitabu cha MAUZO NI MAHUSIANO kimeelezea kwa kina nguvu ya mahusiano kwenye ushawishi na kukuza mauzo. Kitabu kinaeleza jinsi ya kujenga mahusiano imara na wateja wako ili kukuza mauzo yako mara mbili na zaidi.

Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usifanye tena mauzo ya kubahatisha, jenga mahusiano imara na uweze kukuza mauzo yako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
MAWASILIANO BORA NA WATEJA WAKO...

Rafiki,
Tunasema dunia ya sasa ni kama kijiji, kwa sababu ya urahisi wa mawasiliano ambao upo.

Lakini wauzaji wengi wamekuwa hawajui namna bora ya kuwasiliana na wateja wao.

Kwa njia nyingi na bora za mawasiliano zilizopo, unapaswa kuwa karibu na wateja wako.

Kupitia mawasiliano utaweza kuimarisha mahusiano na wateja wako na ukauza sana.

Kitabu cha MAUZO NI MAHUSIANO kimeelezea kwa kina nguvu ya mahusiano kwenye ushawishi na kukuza mauzo. Kitabu kinaeleza jinsi ya kujenga mahusiano imara na wateja wako ili kukuza mauzo yako mara mbili na zaidi.

Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usifanye tena mauzo ya kubahatisha, jenga mahusiano imara na uweze kukuza mauzo yako.
#NjiaYaUtajiri; Pata Pesa Ya β€˜Kafie Mbali’ Na Fikiri Sahihi Kifedha.
https://amkamtanzania.com/2024/05/28/njiayautajiri-pata-pesa-ya-kafie-mbali-na-fikiri-sahihi-kifedha/

Rafiki yangu mpendwa, Ukitoa hewa ambayo tunapumua bure, kila kitu kwenye maisha yetu tunakipata kwa kutumia fedha. Na hata pale […]
#HadithiZaKocha; Kisa Cha Mbwa Mwitu Na Mwanakondoo.
https://amkamtanzania.com/2024/05/28/hadithizakocha-kisa-cha-mbwa-mwitu-na-mwanakondoo/

Rafiki yangu mpendwa, Karibu kwenye kipengele hiki cha #HadithiZaKocha ambapo nakushirikisha hadithi fupi za kale ambazo zina mafunzo mazuri sana […]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ASANTE KWA KUNIPA FURSA YA KUISHI KUSUDI LA MAISHA YANGU.

Rafiki,
Kwenye kumbukizi ya siku yangu ya kuzaliwa, napenda kukushukuru sana wewe kwa kunipa nafasi ya kuliishi kusudi la maisha yangu.

Kusudi la maisha yangu ni kuyafanya maisha ya wengine kuwa bora zaidi kupitia yale ninayofanya.
Na wewe ni sehemu kubwa ya mimi kuweza kuishi kusudi langu.

Nimejitoa kuhakikisha maisha yako yanakuwa bora kabisa kupitia kukupa MAARIFA BORA na KUKUSIMAMIA uyaweke kwenye VITENDO na uyabadili maisha yako.

Kwenye siku hii muhimu sana kwetu, nimekuandalia zawadi nzuri sana kwako.

Kupata zawadi hiyo tuma ujumbe; ZAWADI YA KOCHA kwenda wasap namba 0717 101 505

Karibu sana rafiki yangu tuendelee kuwa pamoja.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255 678 977 007 | www.amkamtanzania.com
#NjiaYaUtajiri; TUMIA SOKO LA HISA KUJENGA UTAJIRI MKUBWA - SEHEMU II.

Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,

Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.

Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,

Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita

Kipindi cha Jumatano tarehe 29/05/2024 tutakuwa na mada ya;

TUMIA SOKO LA HISA KUJENGA UTAJIRI MKUBWA - SEHEMU II

Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Mbinu Mbili Za Uhakika Za Ukamilishaji Wa Mauzo 43-44
https://amkamtanzania.com/2024/05/29/mbinu-mbili-za-uhakika-za-ukamilishaji-wa-mauzo-43-44/

Habari njema muuzaji bora kabisa kuwahi kutokea, Karibu sana kwenye mwendelezo wa makala zetu za ukamilishaji ambazo ni mwendelezo wa […]
3437; Kuna mtu atakufanyia.
https://amkamtanzania.com/2024/05/29/3437-kuna-mtu-atakufanyia/

3437; Kuna mtu atakufanyia. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Kwa uvivu wako, kuna baadhi ya vitu unaweza kuamua kutokufanya […]