This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
KOMAA NA NAMBA HIZI 10 TU NA UTAUZA ZAIDI.
1. Piga simu kwa wateja.
2. Kutana na wateja ana kwa ana.
3. Tengeneza wateja wapya mara zote.
4. Washawishi wateja kununua kwa mara ya kwanza.
5. Wafuatilie wateja ambao bado hawajanunua.
6. Wafuatilie wateja ambao walishanunua.
7. Hesabu idadi ya wateja wanaonunua.
8. Hesabu kiasi cha mauzo kinachofanyika.
9. Washawishi wateja wanunue zaidi ya walivyopanga.
10. Waombe wateja ulionao wakupe wateja zaidi.
Kujua jinsi ya kuzifanyia kazi namba hizo 10, pata nakala ya kitabu cha MAUZO NI MCHEZO WA NAMBA.
WAsiliana na namba 0678 977 007 kupata kitabu.
Usiuze kwa mazoea, fanyia kazi namba 10 za uhakika na ukuze mauzo yako.

INJILI YA UTAJIRI LAZIMA IMFIKIE KILA MWENYE MACHO NA MASIKIO.
Rafiki,
Ninaamini, bila ya shaka yoyote kwamba kupata ELIMU YA MSINGI YA FEDHA ni haki ya kikatiba ya kila mtu.
Kukosa elimu hii ya msingi kabisa ndiyo kumepelekea watu wengi kuishi maisha ya mateso.
Wanapata fedha, lakini matumizi ya fedha hizo yanawaacha kwenye umasikini.
Nimejipa wajibu wa kuhubiri injili hii ya USIMAMIZI WA FEDHA BINAFSI kwa kila mtu.
Kwa kifupi kila siku nitakuambia kitu kuhusu FEDHA NA UTAJIRI.
Nitafanya hivyo mpaka siku nakufa. Hilo nakuahidi kabisa.
Kuna watu wamekuwa hawapendezwi na mimi kuongelea sana utajiri.
Na niseme tu nawaonea huruma, maana hata shughuli yenyewe haijaanza.
Hizo zilikuwa shamra shamra tu, shughuli bado haijaanza.
Nawashukuru @CHIMBO chini ya Harris Kapiga na @SNS kwa fursa ya kuwafikia watu wengi zaidi.
Maana yake kelele zangu za fedha na utajiri zitazidi kuwafikia wengi.
Hivyo amua leo 'kuokoka' kutoka kwenye umasikini, maana nitakupigia hizi kelele sana.
0678 977 007 kupata vitabu.

TUMIA HIVI VIUNGO VYAKO VIWILI NA UTAUZA SANA...
Rafiki,
Una viungo vingi kwenye mwili wako, lakini viwili vina nguvu ya kukuza sana mauzo yako.
Cha kwanza ni macho ambayo muda wote yanatakiwa kuwa kwenye namba za biashara.
Cha pili ni masikio ambayo muda wote yanapaswa kuwasikiliza wateja.
Ukifanyia kazi viungo hivyo viwili kwa uhakika, lazima utauza sana na kukuza biashara yako.
MACHO KWENYE NAMBA, MASIKIO KWA WATEJA.
Kuna namba 10 ambazo unapaswa kuzifuatilia kwa karibu kwenye biashara yako.
Kitabu cha MAUZO NI MCHEZO WA NAMBA kinazielezea namba hizo 10 na hatua unazopaswa kuchukua kwenye kila namba ili kuuza zaidi.
Wasiliana na namba 0678 977 007 uweze kujipatia nakala yako ya kitabu sasa.
Usiendelee kuuza kwa mazoea, fanyia kazi namba 10 na uuze zaidi.

TUMIA VIGEZO HIVI VIWILI KUFANYA MAANUZI YA KUINGIA KWENYE BIASHARA.
Rafiki,
Kama unajikuta njia panda ya kama uingie kwenye biashara au la, kuna vigezo viwili ambavyo vinaweza kukusaidia vizuri sana kuamua.
Vigezo hivyo ni HATARI na UHURU.
Ukiweza kuvitathmini hivyo vizuri, kama ambavyo unakwenda kujifunza hapa, utaweza kufanya maamuzi bora kabisa kwenye hilo.
Utaona jinsi ambavyo biashara ikipangiliwa vizuri inapunguza sana HATARI huku ikikuongezea UHURU.
Wakati ajira ikiwa na HATARI kubwa na UHURU kidogo.
Fungua hapa kujifunza; https://youtu.be/QIu5Oou7QDs
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.

Falsafa Ya Ustoa; Maisha Mazuri Yapo Kila Mahali.
https://amkamtanzania.com/2024/05/26/falsafa-ya-ustoa-maisha-mazuri-yapo-kila-mahali/
Rafiki yangu mpendwa, Watu huwa tunahangaika kwenye mambo tunayofanya na maeneo tunayoenda tukitafuta maisha mazuri. Mtu unaona kwa shughuli unazofanya [β¦]

Vigezo Viwili Vya Kufanya Maamuzi Ya Kuingia Kwenye Biashara.
https://amkamtanzania.com/2024/05/26/vigezo-viwili-vya-kufanya-maamuzi-ya-kuingia-kwenye-biashara/
Rafiki yangu mpendwa, Inapokuja kwenye kuingia kwenye biashara, watu wengi huwa wanakuwa na hofu kubwa. Hofu hiyo inatokana na ukweli [β¦]

MAISHA MAZURI YAPO HAPO ULIPO SASA...
Rafiki,
Huwa ni rahisi kudharau pale tulipo sasa na kuona maisha mazuri yapo pengine.
Tunazikimbia changamoto tunazokuwa nazo kwenye maeneo fulani, lakini hata tukienda pengine, bado tunakutana na changamoto hizo hizo.
Falsafa ya Ustoa inatuonyesha jinsi ambavyo tunaweza kujijengea maisha mazuri popote pale tulipo.
Huhitaji kusubiri chochote ndiyo uanze kuyaishi maisha yako.
Unaweza kuanzia hapo hapo ulipo sasa.
Kama unajiuliza hilo linawezekanaje, fungua hapa; https://youtu.be/ceurhRlz2kQ
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
Rafiki,
Huwa ni rahisi kudharau pale tulipo sasa na kuona maisha mazuri yapo pengine.
Tunazikimbia changamoto tunazokuwa nazo kwenye maeneo fulani, lakini hata tukienda pengine, bado tunakutana na changamoto hizo hizo.
Falsafa ya Ustoa inatuonyesha jinsi ambavyo tunaweza kujijengea maisha mazuri popote pale tulipo.
Huhitaji kusubiri chochote ndiyo uanze kuyaishi maisha yako.
Unaweza kuanzia hapo hapo ulipo sasa.
Kama unajiuliza hilo linawezekanaje, fungua hapa; https://youtu.be/ceurhRlz2kQ
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
#NjiaYaUtajiri; PATA PESA YA 'KAFIE MBALI' NA FIKIRI SAHIHI KIFEDHA.
Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,
Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.
Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,
Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita
Kipindi cha Jumatatu tarehe 27/05/2024 tutakuwa na mada ya;
PATA PESA YA 'KAFIE MBALI' NA FIKIRI SAHIHI KIFEDHA.
Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita

Shimo lolote ambalo upo, umechimba wewe mwenyewe.
Gereza lolote ambalo upo, umejifungia wewe mwenyewe.
Chochote unachoona kinakukwamisha, ni wewe mwenyewe umekitengeneza.
Upo huru kuendesha maisha ambayo unayataka mwenyewe.
Acha kulalamika na tumia vizuri uhuru ulionao.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Gereza lolote ambalo upo, umejifungia wewe mwenyewe.
Chochote unachoona kinakukwamisha, ni wewe mwenyewe umekitengeneza.
Upo huru kuendesha maisha ambayo unayataka mwenyewe.
Acha kulalamika na tumia vizuri uhuru ulionao.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
3435; Ni kujitakia mwenyewe.
https://amkamtanzania.com/2024/05/27/3435-ni-kujitakia-mwenyewe/
3435; Ni kujitakia mwenyewe. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Changamoto na vikwazo vingi ambavyo watu wanakutana navyo kwenye [β¦]

24.5.27; Kujitakia.
https://amkamtanzania.com/2024/05/27/24-5-27-kujitakia/
Shimo lolote ambalo upo, umechimba wewe mwenyewe.Gereza lolote ambalo upo, umejifungia wewe mwenyewe. Chochote unachoona kinakukwamisha, ni wewe mwenyewe umekitengeneza.Upo [β¦]

Tumia Mawasiliano Kuwa Muuzaji Bora Na Kufanya Mauzo Makubwa.
https://amkamtanzania.com/2024/05/27/tumia-mawasiliano-kuwa-muuzaji-bora-na-kufanya-mauzo-makubwa/
Habari njema wauzaji bora kabisa kuwahi kutokea, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya CHUO CHA MAUZO, kwenye eneo la [β¦]

Jinsi Ya Kufikia Uhuru Wa Kifedha Ndani Ya Miaka 15 Kwa Uwekezaji Mdogo.
https://amkamtanzania.com/2024/05/27/jinsi-ya-kufikia-uhuru-wa-kifedha-ndani-ya-miaka-15-kwa-uwekezaji-mdogo/
Habari njema Matajiri Wawekezaji, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo ya uwekezaji kwenye programu yetu ya NGUVU YA BUKU. Hii ni [β¦]

Pata BURE Uchambuzi na kitabu; EVERYDAY MILLIONAIRES.
Kumekuwa na imani nyingi potofu kwenye jamii zetu kuhusu utajiri na matajiri.
Imani hizo ndiyo zimekuwa kikwazo kikubwa kwa wengi kujenga utajiri kwenye maisha yao.
Mwandishi Chris Hogan, alifanya utafiti mkubwa sana ambao ulihusisha matajiri zaidi ya elfu 10.
Kwenye utafiti huo aliwauliza matajiri maswali mengi sana ambayo yalimwezesha kuwaelewa kwa kina.
Kwenye majibu ya utafiti huo, alihitimisha ili mtu ajenge utajiri mkubwa kwenye maisha yake, anapaswa kufanya vitu viwili tu;
Moja ni AVUNJE IMANI POTOFU alizonazo kuhusu utajiri. Ameainisha 6 za lazima kuvunja.
Mbili ni AJENGE TABIA ZA KITAJIRI. Ambapo ameainisha 5 za msingi.
Hayo yote ameyaeleza kwa kina kwenye kitabu EVERYDAY MILLIONAIRES
Tumekichambua vizuri kitabu hiki, kwa maandishi na sauti kwa lugha rahisi ya Kiswahili ili iwe rahisi kwako kujifunza.
Tunakupa Uchambuzi huo pamoja na kitabu chenyewe BURE KABISA.
Tuma ujumbe; ZAWADI YA UTAJIRI kwenda wasap namba +255 717 101 505 kuipata.

TUMIA MAHUSIANO KUUZA ZAIDI.
Rafiki,
Sisi binadamu ni viumbe wa mahusiano.
Huwa tunajali zaidi kuhusu watu wa karibu yetu kama tunavyojijali sisi wenyewe.
Pamoja na kwamba binadamu huwa tunakuwa na ubinafsi, inapokuja kwenye kupata vitu tunavyotaka, lazima tuwe na mahusiano mazuri na wengine.
Kwenye biashara na mauzo, mahusiano ni kitu muhimu sana.
Japo wengi huona biashara na mauzo ni miamala tu, mahusiano yana mchango mkubwa.
Watu wanapenda kununua kwa wale wanaowajua na kuwaamini.
Hivyo kwa kujenga mahusiano ya kujulikana na kuaminika, utaweza kuuza zaidi.
Kitabu cha MAUZO NI MAHUSIANO kimeelezea kwa kina nguvu ya mahusiano kwenye ushawishi na kukuza mauzo. Kitabu kinaeleza jinsi ya kujenga mahusiano imara na wateja wako ili kukuza mauzo yako mara mbili na zaidi.
Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usifanye tena mauzo ya kubahatisha, jenga mahusiano imara na uweze kukuza mauzo yako.

UKERE UMASIKINI...
Rafiki
Ianze kila siku yako kwa kuukera umasikini ili usikuletee mazoea.
Useme vibaya, ukatae, udhalilishe na unyanyapae umasikini.
Hakuna chochote kizuri kwenye umasikini.
Ni mateso na kudhalilika.
Inabidi wewe uwahi kuukera umasikini kila siku, la sivyo wenyewe utakukera siku nzima.
Anza kila siku yako kishujaa kwa kuukataa kabisa umasikini.
Halafu tumia siku yako nzima kuupasua pasua kabisa umasikini, kwa kuweka juhudi kujenga utajiri.
Usidanganyike wala kujidanganya kwamba utajiri ni mbaya.
Utajiri ni mzuri sana, upate ili uyafurahie maisha yako.
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
Rafiki
Ianze kila siku yako kwa kuukera umasikini ili usikuletee mazoea.
Useme vibaya, ukatae, udhalilishe na unyanyapae umasikini.
Hakuna chochote kizuri kwenye umasikini.
Ni mateso na kudhalilika.
Inabidi wewe uwahi kuukera umasikini kila siku, la sivyo wenyewe utakukera siku nzima.
Anza kila siku yako kishujaa kwa kuukataa kabisa umasikini.
Halafu tumia siku yako nzima kuupasua pasua kabisa umasikini, kwa kuweka juhudi kujenga utajiri.
Usidanganyike wala kujidanganya kwamba utajiri ni mbaya.
Utajiri ni mzuri sana, upate ili uyafurahie maisha yako.
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
NANI ANAKUJUA?
Rafiki,
Kabla hujalalamikia mauzo kidogo unayofanya, jiulize ni nani anakujua?
Kwa sababu watu huwa wananunua kwa wale wanaowajua.
Ukiona mauzo yanakuwa magumu kwako, tatizo la kwanza ni wateja unaowalenga hawakujui.
Hivyo badala ya kuhangaika na mauzo, hebu hangaika kwanza na mahusiano.
Kwa kujenga na kuboresha mahusiano na wateja, utaweza kufanya mauzo makubwa na ya uhakika.
Kitabu cha MAUZO NI MAHUSIANO kimeelezea kwa kina nguvu ya mahusiano kwenye ushawishi na kukuza mauzo. Kitabu kinaeleza jinsi ya kujenga mahusiano imara na wateja wako ili kukuza mauzo yako mara mbili na zaidi.
Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usifanye tena mauzo ya kubahatisha, jenga mahusiano imara na uweze kukuza mauzo yako.
Rafiki,
Kabla hujalalamikia mauzo kidogo unayofanya, jiulize ni nani anakujua?
Kwa sababu watu huwa wananunua kwa wale wanaowajua.
Ukiona mauzo yanakuwa magumu kwako, tatizo la kwanza ni wateja unaowalenga hawakujui.
Hivyo badala ya kuhangaika na mauzo, hebu hangaika kwanza na mahusiano.
Kwa kujenga na kuboresha mahusiano na wateja, utaweza kufanya mauzo makubwa na ya uhakika.
Kitabu cha MAUZO NI MAHUSIANO kimeelezea kwa kina nguvu ya mahusiano kwenye ushawishi na kukuza mauzo. Kitabu kinaeleza jinsi ya kujenga mahusiano imara na wateja wako ili kukuza mauzo yako mara mbili na zaidi.
Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usifanye tena mauzo ya kubahatisha, jenga mahusiano imara na uweze kukuza mauzo yako.
MAHUSIANO YANALIPA...
Rafiki,
Kila pesa tunayoingiza kwenye maisha yetu, inatokana na mahusiano ambayo tunayo.
Watu wa karibu wanakupa pesa kwa sababu ya ukaribu wenu.
Kama umeajiriwa, mwajiri anakulipa mshahara kwa sababu ya mahusiano yenu ya kikazi.
Kadhalika kwenye biashara, wateja wanakupa fedha kwa sababu ya mahusiano yenu ya kibiashara.
Hiyo ina maana kwamba kama unataka kuongeza kipato chako, kuza na boresha mahusiano yako.
Jifunze hapa jinsi ya kulipwa zaidi kupitia mahusiano; https://youtu.be/wTdN728Cw3g

USIWE NA WATEJA, KUWA NA MARAFIKI...
Rafiki,
Ukikazana kutafuta wateja, yaani wakupe tu pesa na wewe uwape unachouza, mauzo yatakuwa magumu sana.
Unachopaswa kufanya ni kujenga marafiki, ambao mnaenda zaidi ya mauzo.
Urafiki ni kujali, unajali zaidi kuhusu mtu mwingine.
Pale unapojali zaidi kuhusu wateja na wao watajali kuhusu wewe na biashara yako.
Wateja wakijua huangalii tu faida unayotaka kutoka kwao, bali unataka maisha yao yawe bora, hawataenda mahali pengine.
Iko ndani ya uwezo wako kujenga urafiki na wateja wako.
Na wala huhitaji kuwaomba urafiki, bali unachopaswa ni kuweka mbele maslahi yao.
Jali hasa kuhusu wateja wako na kazana kuwapa thamani kubwa, ambayo hawawezi kuipata mahali pengine popote.
Kitabu cha MAUZO NI MAHUSIANO kimeelezea kwa kina nguvu ya mahusiano kwenye ushawishi na kukuza mauzo. Kitabu kinaeleza jinsi ya kujenga mahusiano imara na wateja wako ili kukuza mauzo yako mara mbili na zaidi.
Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007.

'WA KISHUA' NJOONI HAPA TUYAJENGE...
Rafiki,
Kuzaliwa kwenye familia inayojiweza ni faida kwa kutopitia changamoto.
Lakini ni hasara kwa sababu ni rahisi kubweteka na mali za wazazi.
Imekuwa ni hadithi maarufu ya wazazi wanaoanzia kwenye umasikini, wanapambana sana kujenga utajiri, halafu watoto wanakuja kupoteza utajiri huo.
Wewe badili hiyo hadithi kwa KUWA NA NJAA KALI ya mafanikio na kuweka lengo la kufanikiwa kuliko wazazi wako.
Angalia pale wazazi wako wamefika, kisha dhamiria kwenda zaidi ya hapo. Hilo ndiyo litakuwezesha kubadili hadithi ya maisha yako.
Usikubali kufunikwa na mafanikio ya wazazi wako, wao walianzia chini kuliko wewe, hakikisha wewe unamalizia juu kuliko wao.