JIUZE KABLA HUJAUZA ULICHONACHO...
Rafiki,
Kabla watu hawajakubali kununua kile unachouza, wanakununua kwanza wewe.
Hivyo kabla ya kuuza kile unachouza, anza kujiuza wewe mwenyewe kwanza.
Unajiuza wewe mwenyewe kwa kujenga mahusiano bora na watu wote unaotaka kuwashawishi.
Wengi hatujui jinsi ya kujenga mahusiano bora na hilo kuathiri mauzo.
Kitabu cha MAUZO NI MAHUSIANO kimeelezea kwa kina nguvu ya mahusiano kwenye ushawishi na kukuza mauzo. Kitabu kinaeleza jinsi ya kujenga mahusiano imara na wateja wako ili kukuza mauzo yako mara mbili na zaidi.
Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usifanye tena mauzo ya kubahatisha, jenga mahusiano imara na uweze kukuza mauzo yako.

3439; Umeshaweza magumu zaidi
https://amkamtanzania.com/2024/05/31/3439-umeshaweza-magumu-zaidi/
3439; Umeshaweza magumu zaidi Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Mambo ambayo umeshajifunza na kuweza kufanya kwenye maisha yako ni [β¦]

24.5.31; Unaweza.
https://amkamtanzania.com/2024/05/31/24-5-31-unaweza/
Kila kitu unachofanya sasa, ulijifunza.Hukuwa unajua kabisa jinsi ya kufanya.Kabla ya kujifunza ilionekana ni vigumu na huenda hutaweza.Lakini sasa umejifunza [β¦]

Pata BURE Uchambuzi na kitabu; EVERYDAY MILLIONAIRES.
Kumekuwa na imani nyingi potofu kwenye jamii zetu kuhusu utajiri na matajiri.
Imani hizo ndiyo zimekuwa kikwazo kikubwa kwa wengi kujenga utajiri kwenye maisha yao.
Mwandishi Chris Hogan, alifanya utafiti mkubwa sana ambao ulihusisha matajiri zaidi ya elfu 10.
Kwenye utafiti huo aliwauliza matajiri maswali mengi sana ambayo yalimwezesha kuwaelewa kwa kina.
Kwenye majibu ya utafiti huo, alihitimisha ili mtu ajenge utajiri mkubwa kwenye maisha yake, anapaswa kufanya vitu viwili tu;
Moja ni AVUNJE IMANI POTOFU alizonazo kuhusu utajiri. Ameainisha 6 za lazima kuvunja.
Mbili ni AJENGE TABIA ZA KITAJIRI. Ambapo ameainisha 5 za msingi.
Hayo yote ameyaeleza kwa kina kwenye kitabu EVERYDAY MILLIONAIRES
Tumekichambua vizuri kitabu hiki, kwa maandishi na sauti kwa lugha rahisi ya Kiswahili ili iwe rahisi kwako kujifunza.
Tunakupa Uchambuzi huo pamoja na kitabu chenyewe BURE KABISA.
Tuma ujumbe; ZAWADI YA UTAJIRI kwenda wasap namba +255 717 101 505 kuipata.

Kila kitu unachofanya sasa, ulijifunza.
Hukuwa unajua kabisa jinsi ya kufanya.
Kabla ya kujifunza ilionekana ni vigumu na huenda hutaweza.
Lakini sasa umejifunza na unafanya kwa urahisi.
Hivyo pia ndivyo ilivyo kwenye mafanikio kwenye kila eneo mfano biashara, fedha na mauzo kwa ujumla.
Unaweza kujifunza na ukazalisha matokeo bora zaidi ya unayopata sasa.
Kuwa tayari kujifunza na kuchukua hatua, utaweza kufanya makubwa zaidi kwenye maisha yako.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita

Wauzie Wateja Wako Kutumia Bei Za Msimu
https://amkamtanzania.com/2024/05/31/wauzie-wateja-wako-kutumia-bei-za-msimu/
Mafanikio katika mauzo yanategemea sana uwezo wa kucheza na saikolojia za wateja, kuangalia mazingira, pamoja na matukio yanayojitokeza. Wauzaji wenye [β¦]

Kipato Unachopaswa Kuongeza Ili Kufikia Uhuru Wa Kifedha Ndani Ya Miaka 15.
https://amkamtanzania.com/2024/05/31/kipato-unachopaswa-kuongeza-ili-kufikia-uhuru-wa-kifedha-ndani-ya-miaka-15/
Habari njema Matajiri Wawekezaji, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo ya uwekezaji kwenye programu yetu ya NGUVU YA BUKU. Hii ni [β¦]

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
SHERIA 10 ZA KUISHI MIAKA 100
5/10; JIHUSISHE NA WATU WANAOAMINIKA...
Rafiki,
Moja ya vitu vinavyoweza kukupa msongo kwenye maisha yako ni kujihusisha na watu ambao hawaaminiki.
Watu ambao wanaahidi mambo lakini hawatekelezi,
Watu wanaokwepa wajibu wao.
Na watu ambao muda wote ni walalamikaji.
Hao ni watu ambao unapaswa kuwaepuka kama ukoma ili uweze kuishi miaka mingi.
Usiruhusu mtu yeyote yule akuvuruge.
Shirikiana na watu wanaokupa utulivu wa akili ili uwe na maisha bora.
Kwenye kumbukizi ya kuzaliwa kwangu (28 May), nimekuandalia zawadi nzuri wewe rafiki yangu.
Nakushukuru sana kwa kuwa mfuatiliaji wa kazi ninazofanya. Umekuwa sababu ya mimi kuendelea kufanya ninachofanya.
Kupata zawadi, tuma ujumbe; ZAWADI YA KOCHA kwenda wasap namba 0717 101 505.
Kutoka kwa rafiki yako anayekupenda na kukujali sana,
Kocha Dr. Makirita Amani
www.amkamtanzania.com

TUMIA FALSAFA YA UFAGIO KUUZA ZAIDI.
Rafiki,
Kuna falsafa nyingi ambazo ukizifangia kazi utaweza kuuza sana.
Lakini kuna hii falsafa ya ufagio ambayo ukiielewa na kuitumia vizuri, utauza sana.
Falsafa hiyo imeelezewa vizuri sana kwenye kitabu cha MAUZO NI MAHUSIANO.
Kitabu cha MAUZO NI MAHUSIANO kimeelezea kwa kina nguvu ya mahusiano kwenye ushawishi na kukuza mauzo. Kitabu kinaeleza jinsi ya kujenga mahusiano imara na wateja wako ili kukuza mauzo yako mara mbili na zaidi.
Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usifanye tena mauzo ya kubahatisha, jenga mahusiano imara na uweze kukuza mauzo yako.
Rafiki,
Kuna falsafa nyingi ambazo ukizifangia kazi utaweza kuuza sana.
Lakini kuna hii falsafa ya ufagio ambayo ukiielewa na kuitumia vizuri, utauza sana.
Falsafa hiyo imeelezewa vizuri sana kwenye kitabu cha MAUZO NI MAHUSIANO.
Kitabu cha MAUZO NI MAHUSIANO kimeelezea kwa kina nguvu ya mahusiano kwenye ushawishi na kukuza mauzo. Kitabu kinaeleza jinsi ya kujenga mahusiano imara na wateja wako ili kukuza mauzo yako mara mbili na zaidi.
Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usifanye tena mauzo ya kubahatisha, jenga mahusiano imara na uweze kukuza mauzo yako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
UTATONGOZWA SANA KWENYE MAUZO...
Rafiki,
Kwenye mauzo, utatongozwa sana.
Kama ni mwanamke, wateja wanaume watakutongoza.
Na kama ni mwanaume, wateja wanawake watajitongozesha kwako.
Njia rahisi ya kupoteza mauzo na kuharibu biashara yako ni kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wateja wako.
Tunaposema MAUZO NI MAHUSIANO, hatumaanishi ni mahusiano ya kimapenzi.
Na ili uwe muuzaji bora unapaswa kujua jinsi ya kuepuka hayo mazingira ya kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi na wateja wako.

#NjiaYaUtajiri; Tumia Mifuko Ya Pamoja Ya Uwekezaji Kujenga Utajiri Mkubwa.
https://amkamtanzania.com/2024/05/31/njiayautajiri-tumia-mifuko-ya-pamoja-ya-uwekezaji-kujenga-utajiri-mkubwa/
Rafiki yangu mpendwa, Watu wengi wanaposikia kujenga utajiri kupitia uwekezaji, huwa wanaona haiwahusu. Hiyo ni kwa sababu wanakuwa na vipato [β¦]

Kujenga Utajiri Ni Kazi Iliyokamilika, Jifunze Hapa Jinsi Ya Kuifanya Vizuri.
https://amkamtanzania.com/2024/05/31/kujenga-utajiri-ni-kazi-iliyokamilika-jifunze-hapa-jinsi-ya-kuifanya-vizuri/
Rafiki yangu mpendwa, Kila mtu anapenda utajiri kwenye maisha yake. Japo kuna wanafiki ambao huwa wanasema hawataki utajiri, kinachowakosesha usingizi [β¦]
https://amkamtanzania.com/2024/05/31/kujenga-utajiri-ni-kazi-iliyokamilika-jifunze-hapa-jinsi-ya-kuifanya-vizuri/
Rafiki yangu mpendwa, Kila mtu anapenda utajiri kwenye maisha yake. Japo kuna wanafiki ambao huwa wanasema hawataki utajiri, kinachowakosesha usingizi [β¦]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
MDOMO WAKO NDIYO MAUZO YAKO...
Rafiki,
Kama hupendi kuongea na watu,
Kama unaona aibu,
Kama unahofia kuongea mbele ya watu,
Kama unajiona huwezi kushoboka,
Basi jua kazi ya mauzo itakuwa ngumu sana kwako.
Lakini kuna habari njema hapa ya fursa kwako kujifunza na kuwa vizuri kwenye kuongea na watu ili uuze zaidi.
Kitabu cha MAUZO NI MAHUSIANO kimeelezea kwa kina nguvu ya mahusiano kwenye ushawishi na kukuza mauzo. Kitabu kinaeleza jinsi ya kujenga mahusiano imara na wateja wako ili kukuza mauzo yako mara mbili na zaidi.
Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usifanye tena mauzo ya kubahatisha, jenga mahusiano imara na uweze kukuza mauzo yako.
Rafiki,
Kama hupendi kuongea na watu,
Kama unaona aibu,
Kama unahofia kuongea mbele ya watu,
Kama unajiona huwezi kushoboka,
Basi jua kazi ya mauzo itakuwa ngumu sana kwako.
Lakini kuna habari njema hapa ya fursa kwako kujifunza na kuwa vizuri kwenye kuongea na watu ili uuze zaidi.
Kitabu cha MAUZO NI MAHUSIANO kimeelezea kwa kina nguvu ya mahusiano kwenye ushawishi na kukuza mauzo. Kitabu kinaeleza jinsi ya kujenga mahusiano imara na wateja wako ili kukuza mauzo yako mara mbili na zaidi.
Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usifanye tena mauzo ya kubahatisha, jenga mahusiano imara na uweze kukuza mauzo yako.
KIPATO PEKEE HAKITOSHI KUJENGA UTAJIRI.
Rafiki,
Watu wengi hudhani wakiwa na kipato kikubwa ndiyo utajiri.
Hivyo wanakazana kuweka sana kazi ili kukuza kipato.
Na pale wanapofanikiwa kukuza kipato, wanajikuta kujenga utajiri bado inakuwa vigumu sana kwao.
Wengi wasichojua ni kwamba kujenga utajiri ni kazi iliyokamilika.
Kazi ambayo inataka mtu aweke juhudi kubwa ndiyo aweze kupata matokeo.
Kujua kwa uhakika juhudi unazopaswa kuweka ili kujenga utajiri, fungua hapa; https://youtu.be/VHs5GqzUNrk
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.

FALSAFA YA USTOA; TABIA ZA AKILI YENYE BUSARA.
Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,
Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.
Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,
Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita
Kipindi cha Jumamosi tarehe 01/06/2024 tutakuwa na mada ya;
TABIA ZA AKILI YENYE BUSARA.
Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,
Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.
Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,
Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita
Kipindi cha Jumamosi tarehe 01/06/2024 tutakuwa na mada ya;
TABIA ZA AKILI YENYE BUSARA.
Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Pata BURE Uchambuzi na kitabu; EVERYDAY MILLIONAIRES.
Kumekuwa na imani nyingi potofu kwenye jamii zetu kuhusu utajiri na matajiri.
Imani hizo ndiyo zimekuwa kikwazo kikubwa kwa wengi kujenga utajiri kwenye maisha yao.
Mwandishi Chris Hogan, alifanya utafiti mkubwa sana ambao ulihusisha matajiri zaidi ya elfu 10.
Kwenye utafiti huo aliwauliza matajiri maswali mengi sana ambayo yalimwezesha kuwaelewa kwa kina.
Kwenye majibu ya utafiti huo, alihitimisha ili mtu ajenge utajiri mkubwa kwenye maisha yake, anapaswa kufanya vitu viwili tu;
Moja ni AVUNJE IMANI POTOFU alizonazo kuhusu utajiri. Ameainisha 6 za lazima kuvunja.
Mbili ni AJENGE TABIA ZA KITAJIRI. Ambapo ameainisha 5 za msingi.
Hayo yote ameyaeleza kwa kina kwenye kitabu EVERYDAY MILLIONAIRES
Tumekichambua vizuri kitabu hiki, kwa maandishi na sauti kwa lugha rahisi ya Kiswahili ili iwe rahisi kwako kujifunza.
Tunakupa Uchambuzi huo pamoja na kitabu chenyewe BURE KABISA.
Tuma ujumbe; ZAWADI YA UTAJIRI kwenda wasap namba +255 717 101 505 kuipata.
Kumekuwa na imani nyingi potofu kwenye jamii zetu kuhusu utajiri na matajiri.
Imani hizo ndiyo zimekuwa kikwazo kikubwa kwa wengi kujenga utajiri kwenye maisha yao.
Mwandishi Chris Hogan, alifanya utafiti mkubwa sana ambao ulihusisha matajiri zaidi ya elfu 10.
Kwenye utafiti huo aliwauliza matajiri maswali mengi sana ambayo yalimwezesha kuwaelewa kwa kina.
Kwenye majibu ya utafiti huo, alihitimisha ili mtu ajenge utajiri mkubwa kwenye maisha yake, anapaswa kufanya vitu viwili tu;
Moja ni AVUNJE IMANI POTOFU alizonazo kuhusu utajiri. Ameainisha 6 za lazima kuvunja.
Mbili ni AJENGE TABIA ZA KITAJIRI. Ambapo ameainisha 5 za msingi.
Hayo yote ameyaeleza kwa kina kwenye kitabu EVERYDAY MILLIONAIRES
Tumekichambua vizuri kitabu hiki, kwa maandishi na sauti kwa lugha rahisi ya Kiswahili ili iwe rahisi kwako kujifunza.
Tunakupa Uchambuzi huo pamoja na kitabu chenyewe BURE KABISA.
Tuma ujumbe; ZAWADI YA UTAJIRI kwenda wasap namba +255 717 101 505 kuipata.
Jinsi Ya Kuwafanya Watu Wakubaliane Na Mawazo Yako Kanuni Ya Kumi Na Moja
https://amkamtanzania.com/2024/06/01/jinsi-ya-kuwafanya-watu-wakubaliane-na-mawazo-yako-kanuni-ya-kumi-na-moja/
Habari njema muuzaji bora kuwahi kutokea, Hongera na karibu sana kwenye mwendelezo wa makala zetu za ushawishi kutoka kwenye programu [β¦]

3440; Kufanya hata kama hujisikii kufanya.
https://amkamtanzania.com/2024/06/01/3440-kufanya-hata-kama-hujisikii-kufanya/
3440; Kufanya hata kama hujisikii kufanya. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Kitu kimoja kitakachokuhakikishia matokeo bora ni kuweza [β¦]

24.6.1; Kufanya.
https://amkamtanzania.com/2024/06/01/24-6-1-kufanya/
Kama unafanya pale tu unapojisikia kufanya, utajikwamisha kufanya makubwa zaidi. Jijengee nidhamu ya kufanya kwa msimamo bila kuacha, iwe unajisikia [β¦]
https://amkamtanzania.com/2024/06/01/24-6-1-kufanya/
Kama unafanya pale tu unapojisikia kufanya, utajikwamisha kufanya makubwa zaidi. Jijengee nidhamu ya kufanya kwa msimamo bila kuacha, iwe unajisikia [β¦]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
SHERIA 10 ZA KUISHI MIAKA 100
7/10; KUWA BORA ZAIDI KILA SIKU...
Rafiki,
Kuzeeka na kufa huwa kunaanzia kwenye akili na kwenda kwenye mwili.
Pale akili yako inapokuwa haipati vitu vipya, inadumaa, kudhoofu na kufa.
Kama unataka kuishi miaka mingi, ilishe akili yako maarifa mapya kila siku.
Imalize kila siku ukiwa bora kuliko ulivyoianza, usikubali siku zako 2 zifanane.
Jifunze kila siku na utaweza kuishi miaka mingi.