SOMA VITABU TANZANIAπŸ“š
1.16K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.62K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
‼️MPAKA SASA BADO HUJAIPATA ZAWADI NZURI NILIYOKUANDALIA?

Rafiki yangu mpendwa,

Kwenye wiki hii ya kumbukizi ya kuzaliwa kwangu (28 May), nimetoa zawadi nzuri kwa marafiki zangu wote wanaofuatilia na kunufaika na kazi ninazofanya.

Kama bado hujapata zawadi hiyo, chukua hatua sasa.
Tunaelekea ukingoni kabisa wa kupatikana kwa zawadi hiyo.

Zawadi hii ni mimi kuthamini mchango wako kwenye huduma ninazotoa, maana bila wewe nisingeweza kufanya.

Nakupenda na kukuthamini sana, na nimejitoa tuendelee kuwa pamoja tukiongozwa na kanuni yetu ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

Nakupa MAARIFA sahihi na bora kabisa, ambayo huwezi kuyapata mahali pengine.

Unayaweka kwenye VITENDO kwa kuchukua hatua mara moja.

Unapata MAFANIKIO makubwa kwenye maisha yako.

Kupata zawadi hii, tuma ujumbe ZAWADI YA KOCHA kwenda namba 0717101505

Karibu sana rafiki.
Kocha Dr. Makirita Amani.
PENDWA UUZE ZAIDI...

Rafiki,
Ukitaka watu wanunue kwako kwa uhakika, wafanye wakupende kwanza.

Na kuwafanya wengine wakupende ni rahisi, anza kuwapenda wao kwanza.

Na kuwapenda watu ni rahisi, wakubali na kuwathamini na tumia kile ulichonacho kuyafanya maisha yao kuwa bora zaidi.

Kadiri unavyojenga mahusiano bora na wateja wako, ndivyo unavyoweza kuuza kwa wingi zaidi.
Na hilo lipo ndani ya uwezo wako.

Kitabu cha MAUZO NI MAHUSIANO kimeelezea kwa kina nguvu ya mahusiano kwenye ushawishi na kukuza mauzo. Kitabu kinaeleza jinsi ya kujenga mahusiano imara na wateja wako ili kukuza mauzo yako mara mbili na zaidi.

Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usifanye tena mauzo ya kubahatisha, jenga mahusiano imara na uweze kukuza mauzo yako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
WATEKE WATEJA MILELE...

Rafiki,
Kuna mambo matano ambayo ukiwafanyia wateja wa biashara yako, watakuwa wako milele.

Hata aje mtu wa aina gani, hataweza kuwahamisha wateja kutoka kwako.

Mambo hayo ni rahisi kabisa na unaweza kuanza kuyafanyia kazi hapo ulipo sasa.

Kitabu cha MAUZO NI MAHUSIANO kimeelezea kwa kina nguvu ya mahusiano kwenye ushawishi na kukuza mauzo. Kitabu kinaeleza jinsi ya kujenga mahusiano imara na wateja wako ili kukuza mauzo yako mara mbili na zaidi.

Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usifanye tena mauzo ya kubahatisha, jenga mahusiano imara na uweze kukuza mauzo yako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
SHERIA 10 ZA KUISHI MIAKA 100...

8/10; JUA NI WAPI UKIENDA UTAKUFA NA USIENDE HUKO...

Rafiki,
Kuishi miaka mingi kunaanza na wewe kuepuka hatari ambazo zinaweza kukatisha maisha yako haraka.

Kuna hatari nyingi ambazo watu wanaingia kila siku na kujikuta wanafupisha maisha yao.

Wewe usiwe hivyo, jua hatari zote zinazoweza kukudhuru na kisha ziepuke.

Hilo unaliweza kabisa, lifanyie kazi mara moja.

Kwenye kumbukizi ya kuzaliwa kwangu (28 May), nimekuandalia zawadi nzuri wewe rafiki yangu.
Nakushukuru sana kwa kuwa mfuatiliaji wa kazi ninazofanya. Umekuwa sababu ya mimi kuendelea kufanya ninachofanya.
Kupata zawadi, tuma ujumbe; ZAWADI YA KOCHA kwenda wasap namba 0717 101 505.

Kutoka kwa rafiki yako anayekupenda na kukujali sana,
Kocha Dr. Makirita Amani
www.amkamtanzania.com
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
WASHIKE MIKONO NA UTAUZA ZAIDI...

Rafiki,
Tunaposalimiana kwa kushikana mikono, siyo tu ni mazoea.
Bali ni kitu chenye nguvu sana.

Moja ya vitu vinavyoboresha sana mahusiano baina ya watu, ni kitendo cha kushikana.

Hivyo unaposalimiana na watu kwa kushikana mikono, unajenga mahusiano bora nao.

Kama unataka kuuza zaidi, unapaswa kujenga mahusiano bora na wateja wako.
Na ili ujenge mahusiano bora, washike watu mikono.

Kuanzia sasa, hakikisha unawasalimia wateja wako wote kwa kuwashika mikono.
Hilo litakuwezesha kuuza zaidi.

Kitabu cha MAUZO NI MAHUSIANO kimeelezea kwa kina nguvu ya mahusiano kwenye ushawishi na kukuza mauzo. Kitabu kinaeleza jinsi ya kujenga mahusiano imara na wateja wako ili kukuza mauzo yako mara mbili na zaidi.

Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usifanye tena mauzo ya kubahatisha, jenga mahusiano imara na uweze kukuza mauzo yako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
EPUKA AHADI HEWA ZA WATEJA...

Rafiki,
Ukiwa mgeni kwenye mauzo, unaamini sana ahadi za wateja.

Kwa jinsi wateja watakavyokupa ahadi nzuri, utaanza kuhesabu mamilioni kabla hata hujayashika.

Unakuja kupigwa na butwaa pale unapofuatilia ahadi hizo.
Wanakuwa hawashiki siku zako,
Ukikutana nao wanakukwepa.
Yaani unakuwa kama ugomvi.

Ukiona wateja wanakupiga kalenda, yaani wanakupa ahadi hewa, jua tatizo ni hujajenga nao mahusiano imara.

Mahusiano yakiwa mazuri kwenye mauzo, wateja hawakupi ahadi halafu wakazipuuza.
Badala yake wanatimiza kila ahadi wanayokupa.

Boresha mahusiano na wateja wako ili uweze kupata ahadi za uhakika.

Kitabu cha MAUZO NI MAHUSIANO kimeelezea kwa kina nguvu ya mahusiano kwenye ushawishi na kukuza mauzo. Kitabu kinaeleza jinsi ya kujenga mahusiano imara na wateja wako ili kukuza mauzo yako mara mbili na zaidi.

Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usifanye tena mauzo ya kubahatisha, jenga mahusiano imara na uweze kukuza mauzo yako.
NI KAZI NGUMU ZAIDI KUWA MASIKINI KULIKO KUWA TAJIRI...

Rafiki,
Watu wengi wamekuwa wanachukulia kuwa tajiri ni kitu kigumu sana.

Na hilo ndiyo limekuwa linasababisha wanabaki kwenye umasikini.

Ukweli ambao unaweza usiukubali ni kwamba ni rahisi kuwa tajiri kuliko kuwa masikini.

Yaani inabidi ufanye kazi kubwa sana kubaki kwenye umasikini kuliko kwenda kwenye utajiri.

Na kama huamini hilo, fungua hapa; https://youtu.be/WHwfBrzs7jY

*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
HUWEZI KUJENGA UTAJIRI UKIWA NA MADENI...

Rafiki,
Madeni ndiyo kaburi la umasikini.
Huwezi kujenga utajiri ukiwa na madeni.

Hiyo ni kwa sababu madeni yanalipwa na riba ambayo ni gharama kubwa.

Hatua muhimu kwenye kujenga utajiri ni kuondoka kwenye madeni uliyopo.
Na ukishaondoka unahakikisha hurudi tena.

Zipo hatua 5 za uhakika za kuondoka kwenye madeni.
Ukizifuata hatua hizo utaweza kuondokana na kila aina ya madeni.

Kuzijua hatua hizo, fungua hapa; https://youtu.be/cqJd5JS8uHY

*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
MJADALA WA ONGEA NA KOCHA DR. MAKIRITA AMANI.

Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,

Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.

Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,

Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita

Kipindi cha Jumapili tarehe 02/06/2024 tutakuwa na mada ya;

MJADALA WA ONGEA NA KOCHA DR. MAKIRITA AMANI.

Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Pata BURE Uchambuzi na kitabu; EVERYDAY MILLIONAIRES.

Kumekuwa na imani nyingi potofu kwenye jamii zetu kuhusu utajiri na matajiri.
Imani hizo ndiyo zimekuwa kikwazo kikubwa kwa wengi kujenga utajiri kwenye maisha yao.

Mwandishi Chris Hogan, alifanya utafiti mkubwa sana ambao ulihusisha matajiri zaidi ya elfu 10.

Kwenye utafiti huo aliwauliza matajiri maswali mengi sana ambayo yalimwezesha kuwaelewa kwa kina.

Kwenye majibu ya utafiti huo, alihitimisha ili mtu ajenge utajiri mkubwa kwenye maisha yake, anapaswa kufanya vitu viwili tu;

Moja ni AVUNJE IMANI POTOFU alizonazo kuhusu utajiri. Ameainisha 6 za lazima kuvunja.

Mbili ni AJENGE TABIA ZA KITAJIRI. Ambapo ameainisha 5 za msingi.

Hayo yote ameyaeleza kwa kina kwenye kitabu EVERYDAY MILLIONAIRES

Tumekichambua vizuri kitabu hiki, kwa maandishi na sauti kwa lugha rahisi ya Kiswahili ili iwe rahisi kwako kujifunza.

Tunakupa Uchambuzi huo pamoja na kitabu chenyewe BURE KABISA.

Tuma ujumbe; ZAWADI YA UTAJIRI kwenda wasap namba +255 717 101 505 kuipata.
Chochote ambacho mtu anakipata kwenye maisha yake, ndicho hasa ambacho amekuwa anakitaka.

Kama unataka kupata matokeo ya tofauti na unavyopata sasa, anza kwa kubadili mtazamo wako wa ndani wa nini hasa unachotaka kwenye maisha yako.

Kwa bahati mbaya sana, hayupo anayeweza kukubadilisha isipokuwa wewe mwenyewe.

Pia epuka kujipa kazi ngumu za kuwabadili wengine, hilo halipo ndani ya uwezo wako.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
3441; Unapata unachotaka.
https://amkamtanzania.com/2024/06/02/3441-unapata-unachotaka/

3441; Unapata unachotaka. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Kitu kimoja kuhusu maisha ni kwamba, kila mtu huwa anaishia kupata […]
24.6.2; Sahihi.
https://amkamtanzania.com/2024/06/02/24-6-2-sahihi/

Chochote ambacho mtu anakipata kwenye maisha yake, ndicho hasa ambacho amekuwa anakitaka. Kama unataka kupata matokeo ya tofauti na unavyopata […]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
SHERIA 10 ZA KUISHI MIAKA 100

9/10; USIWE MPUMBAVU...

Rafiki,
Ili kufanikiwa na kuishi miaka mingi hapa duniani, huhitaji kuwa na akili nyingi sana.

Bali unajitaji usiwe tu mpumbavu.
Na upumbavu ni kurudia makosa yako mwenyewe au ya wengine.

Kukosea ni kujifunza, lakini kurudia makosa ni upumbavu.
Epuka upumbavu na utakuwa na maisha bora.

Kwenye kumbukizi ya kuzaliwa kwangu (28 May), nimekuandalia zawadi nzuri wewe rafiki yangu.
Nakushukuru sana kwa kuwa mfuatiliaji wa kazi ninazofanya. Umekuwa sababu ya mimi kuendelea kufanya ninachofanya.
Kupata zawadi, tuma ujumbe; ZAWADI YA KOCHA kwenda wasap namba 0717 101 505.

Kutoka kwa rafiki yako anayekupenda na kukujali sana,
Kocha Dr. Makirita Amani
www.amkamtanzania.com
❗LEO NDIYO MWISHO WA ZAWADI YA KOCHA.

Rafiki,

Kwenye kumbukizi ya kuzaliwa kwangu (28 May), nimekuandalia zawadi nzuri wewe rafiki yangu.

Nakushukuru sana kwa kuwa mfuatiliaji wa kazi ninazofanya. Umekuwa sababu ya mimi kuendelea kufanya ninachofanya.

Kupata zawadi, tuma ujumbe; ZAWADI YA KOCHA kwenda wasap namba 0717 101 505.

Muhimu; leo ndiyo siku ya kupata ZAWADI YA KOCHA. Kama bado hujachukua hatua ya kupata zawadi hiyo, tuma sasa ujumbe kwenda namba 0717 101 505

Kutoka kwa rafiki yako anayekupenda na kukujali sana,
Kocha Dr. Makirita Amani
www.amkamtanzania.com
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
BORESHA MAHUSIANO YALIYODORORA...

Rafiki,
Unapokaa kwenye biashara kwa muda, huwa kuna wateja ambao mahusiano yenu yanadorora.

Kudorora huko huwa kunatokana na changamoto mbalimbali zinazokuwa zimejitokeza.

Ni wajibu wako kuhakikisha unaboresha mahusiano na wateja wako wote ili kukuza zaidi mauzo.

Kitabu cha MAUZO NI MAHUSIANO kimeelezea kwa kina nguvu ya mahusiano kwenye ushawishi na kukuza mauzo. Kitabu kinaeleza jinsi ya kujenga mahusiano imara na wateja wako ili kukuza mauzo yako mara mbili na zaidi.

Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usifanye tena mauzo ya kubahatisha, jenga mahusiano imara na uweze kukuza mauzo yako.
KAMA MAUZO YANAKUWA MAGUMU KWAKO, SHIDA NI MAHUSIANO.

Kitabu cha MAUZO NI MAHUSIANO kimeelezea kwa kina nguvu ya mahusiano kwenye ushawishi na kukuza mauzo.

Kitabu kinaeleza jinsi ya kujenga mahusiano imara na wateja wako ili kukuza mauzo yako mara mbili na zaidi.

Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007.

Usifanye tena mauzo ya kubahatisha, jenga mahusiano imara na uweze kukuza mauzo yako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
SHERIA 10 ZA KUISHI MIAKA 100

10/10; ENEO LA UBOBEZI.

Rafiki,
Ili kufanikiwa na kuishi miaka mingi, tambua eneo lako la ubobezi na usifanye maamuzi nje ya eneo hilo.

Kamwe usijifanye mjuaji.
Tambua kwamba kufanikiwa eneo moja haikufanyi uwe umejua kila eneo.

Epuka kuwa na maoni kwenye kila kitu.
Komaa na eneo lako ambalo uko vizuri na hayo maeneo mengine waachie wengine.

Kama huna eneo ambalo umebobea, chagua sasa na ufanye hivyo.

Kwenye kumbukizi ya kuzaliwa kwangu (28 May), nimekuandalia zawadi nzuri wewe rafiki yangu.
Nakushukuru sana kwa kuwa mfuatiliaji wa kazi ninazofanya. Umekuwa sababu ya mimi kuendelea kufanya ninachofanya.
Kupata zawadi, tuma ujumbe; ZAWADI YA KOCHA kwenda wasap namba 0717 101 505.

Kutoka kwa rafiki yako anayekupenda na kukujali sana,
Kocha Dr. Makirita Amani
www.amkamtanzania.com
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
BIASHARA YAKO KUU NI KUJIUZA.

Rafiki,
Kabla wateja hawajanunua unachouza, wanakununua wewe kwanza.

Hivyo hakikisha unajiuza vizuri ili watu wakukubali na kununua kile unachouza.

Utaweza kujiuza vizuri kama utaweza kujenga mahusiano bora na watu wengine.

Kitabu cha MAUZO NI MAHUSIANO kimeelezea kwa kina nguvu ya mahusiano kwenye ushawishi na kukuza mauzo. Kitabu kinaeleza jinsi ya kujenga mahusiano imara na wateja wako ili kukuza mauzo yako mara mbili na zaidi.

Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usifanye tena mauzo ya kubahatisha, jenga mahusiano imara na uweze kukuza mauzo yako.
#MiferejiYaKipato; MILIMA 3 YA UTAJIRI, MIFEREJI 10 YA KIPATO NA BWAWA LA UTAJIRI.

Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,

Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.

Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,

Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita

Kipindi cha Jumatatu tarehe 03/06/2024 tutakuwa na mada ya;

MILIMA 3 YA UTAJIRI, MIFEREJI 10 YA KIPATO NA BWAWA LA UTAJIRI

Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita