This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
UNACHOFANYA BAADA YA KUKATALIWA...
Rafiki,
Kwa wanaume, unapomtongoza mwanamke kwa mara ya kwanza na akakukatalia, huwa unafanya nini?
Iko wazi, unazidi kumfuatilia mpaka akubali.
Kadiri anavyokuwa mgumu, ndiyo unavyozidi kumtaka.
Na ukimfuatilia bila kuchoka, unampata. Hata kama alikuambia ana MTU WAKE ππ
Hivyo pia ndivyo ilivyo kwenye mauzo.
Utakapomwambia mteja anunue kwa mara ya kwanza, atakukatalia.
Hupaswi kuchukulia hilo kama ndiyo jibu la mwisho la mteja na lisilobadilika.
Badala yake unapaswa kuendelea kumfuatilia mteja bila ya kuchoka.
Unamfuatilia mteja mpaka anunue.
Hata kama itachukua muda mrefu kiasi gani, hakuna kumkatia mteja tamaa.
Kitabu cha MAUZO NI MCHEZO WA NAMBA kimeelezea kwa kina namba 10 za kukuza mauzo na jinsi ya kuzifanyia kazi ili kukuza mauzo yako mara mbili na zaidi.
Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usifanye tena mauzo ya kubahatisha, cheza na namba sahihi na uweze kukuza mauzo yako.

CHEZA HII KAMARI YA UHAKIKA...
Rafiki,
Kwa upande mwingine, mauzo ni kama kamari.
Kadiri unavyocheza zaidi, ndivyo unavyoongeza nafasi ya kushinda.
Kwenye kamari, ukicheza kwa wingi, unaongeza nafasi ya kushinda. Japo changamoto ya kamari ni kutokuwepo kwa uhakika.
Uzuri wa mauzo ni kuwepo kwa uhakika.
Unapowafikia wateja wengi zaidi, ndivyo pia unavyouza ziadi.
Na huo ni uhakika.
Kama ukipiga simu kwa wateja 10 wananunua 2, ukipiga kwa wateja 100, watanunua 20, huo ni uhakika.
Sasa ya nini ukacheze kamari ambazo huna uhakika nazo wakati tayari una kamari ya uhakika unayoweza kunufaika nayo?

HAWATARUDI WENYEWE, WARUDISHE WEWE.
Rafiki,
Mteja kununua mara moja tu kwenye biashara yako na asirudi tena ni kosa kubwa sana.
Usipoliondoa utaua kabisa biashara yako.
Lakini pia wateja hawawezi kurudi tu wao wenyewe.
Hata kama uliwapa huduma na bei nzuri, bado wana mambo mengi yamewatinga.
Hivyo jukumu la kuwarudisha wateja kwenye biashara ni lako wewe mwenyewe.
Na utekelezaji wa jukumu hilo ni kupitia ufuatiliaji endelevu wa wateja wote ambao wameshawahi kununua kwenye biashara yako.
Kitabu cha MAUZO NI MCHEZO WA NAMBA kinakupa mpango mzuri wa kufuatilia wateja wote wa biashara yako kuhakikisha wanarudi tena na tena kununua.

AIBU YAKO NDIYO UMASIKINI WAKO...
Rafiki,
Hebu pata picha,
Ungekuwa hujali kabisa wengine wanakuchukuliaje.
Yaani ungekuwa huru kufanya kila unachotaka kufanya,
Ungekuwa wapi leo?
Kwa hakika ni mbali sana.
Maana kuna nyakati nyingi za maisha yako ambazo ulikuwa na mawazo mazuri.
Lakini kwa kuhofia wengine watakuchukuliaje, ukaachana nayo.
Halafu ukaja kukutana na mtu ambaye hakuwa anajali kabisa kuhusu wengine.
Akayafanyia kazi mawazo hayo, na licha ya kupingwa na kusemwa vibaya, akaweza kufanikiwa sana.
Bado hujachelewa rafiki, unaweza kuyaanza maisha yako upya sasa hivi kwa kufuta kabisa aibu.
Wewe amua nini unataka kufanya kisha fanya bila ya kuzuiwa na kitu chochote kile.
Kwa namna hiyo utaweza kupata mafanikio makubwa sana.
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.

UBAHILI SIYO KUJITESA, BALI KUFURAHIA MAISHA...
Rafiki,
Msimgi mkuu wa kujenga utajiri ni ubahili.
Lakini ukisikia tu neno ubahili, unapata picha ya maisha ya mateso na kutokutumia kabisa pesa yako.
Hiyo siyo maana halisi ya ubahili.
Ubahili ni kuhakikisha matumizi yako hayazidi kipato chako.
Hivyo kama unataka kutumia zaidi, hakuna anayekuzuia, wewe hakikisha tu unaongeza kwanza kipato chako ili hata utumie kiasi gani, bado matumizi yako hayazidi kipato chako.
Njia bora ya kuhakikisha huwi mtumwa wa matumizi ni kuchagua matumizi unayotapenda na kufanya hayo na kuachana na mengine yote.
Yaani unatumia fedha kwenye mambo yanayokupa raha na kuachana na mengine ambayo hayakupi raha yoyote.
Kujifunza jinsi ya kujua ni mambo yapi uyape matumizi na yapi utapotezee, fungua hapa; https://youtu.be/lvq-_Dg4hJY
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu.

KUTAJIRIKA, FANYA KWA KUSUDI NA ONGOZWA NA MALENGO...
Rafiki,
Utajiri huwa haukotwi kama dodo chini ya mti.
Bali ni kitu ambacho kinapaswa kudhamiriwa kweli ili kiweze kutokea kwa uhakika.
Unapaswa kuweka malengo ambayo yatakuongoza na kufanya kwa makusudi yale yote unayofanya.
Yaani kila unalofanya unajiuliza linachangiaje wewe kujenga utajiri.
Kama halina mchango unaachana nalo mapema.
Kujifunza kuhusu kufanya kwa kusudi na kuongozwa kwa lengo kunavyoweza kukupa utajiri mkubwa, fungua hapa; https://youtu.be/FwxhUpFDObA
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
Rafiki,
Utajiri huwa haukotwi kama dodo chini ya mti.
Bali ni kitu ambacho kinapaswa kudhamiriwa kweli ili kiweze kutokea kwa uhakika.
Unapaswa kuweka malengo ambayo yatakuongoza na kufanya kwa makusudi yale yote unayofanya.
Yaani kila unalofanya unajiuliza linachangiaje wewe kujenga utajiri.
Kama halina mchango unaachana nalo mapema.
Kujifunza kuhusu kufanya kwa kusudi na kuongozwa kwa lengo kunavyoweza kukupa utajiri mkubwa, fungua hapa; https://youtu.be/FwxhUpFDObA
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
Fanya Kwa Kusudi Na Ongozwa Na Malengo Ili Kujenga Utajiri Mkubwa.
https://amkamtanzania.com/2024/05/23/fanya-kwa-kusudi-na-ongozwa-na-malengo-ili-kujenga-utajiri-mkubwa/
Rafiki yangu mpendwa, Hadithi za kulala masikini na kuamka tajiri zimekuwa zinapendwa sana na watu wengi. Wengi hudhani kuna njia [β¦]

Maana Halisi Ya Ubahili Kwenye Kujenga Utajiri.
https://amkamtanzania.com/2024/05/23/maana-halisi-ya-ubahili-kwenye-kujenga-utajiri/
Rafiki yangu mpendwa, Siri kuu ya kujenga utajiri ni ubahili. Lakini ubahili ni neno ambalo watu wengi huwa hawapendi kulisikia. [β¦]

#MatajiriWaKawaida; HATUA ZA KUJIJENGEA UHURU KAMILI WA KIFEDHA.
Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,
Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.
Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,
Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita
Kipindi cha Ijumaa tarehe 24/05/2024 tutakuwa na mada ya;
HATUA ZA KUJIJENGEA UHURU KAMILI WA KIFEDHA.
Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita

Pata BURE Uchambuzi na kitabu; THE TEN ROADS TO RICHES.
Kuna njia nyingi sana za kujenga utajiri kwenye maisha.
Baadhi ya njia ni za kweli na zimenufaisha watu.
Na nyingi sana ni za uongo na zimewapoteza wengi.
Njia sahihi na za uhakika za kujenga utajiri zipo, lakini kwa bahati mbaya sana, wengi hawazijui wala kuzitumia.
Matokeo yake ni wengi wamejikuta wanahangaika na njia ambazo siyo sahihi kujenga utajiri na kujikuta wanaishia kupoteza muda, fedha na hata maisha.
Bilionea Ken Fisher kwenye kitabu alichoandika kinachoitwa THE TEN ROADS TO RICHES, ameainisha njia 10 za uhakika kujenga utajiri.
Njia hizo 10 ndiyo zimetumiwa na matajiri wote duniani.
Na uzuri ni kwamba, hata wewe unaweza kutumia njia hizo na ukajenga utajiri mkubwa kwa uhakika.
Tumekichambua vizuri kitabu hiki, kwa maandishi na sauti kwa lugha rahisi ya Kiswahili ili iwe rahisi kwako kujifunza.
Tunakupa Uchambuzi huo pamoja na kitabu chenyewe, BURE KABISA.
Tuma ujumbe; ZAWADI YA UTAJIRI kwenda wasap namba +255 717 101 505 kuipata.

Ukiweza kuweka juhudi kwenye kitu chochote kwa muda mrefu zaidi, mafanikio ni uhakika.
Wengi hatufanikiwi kwa sababu hatuweki muda wa kutosha.
Anzia hapo kwenye muda na utaweza kufanya makubwa sana.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Wengi hatufanikiwi kwa sababu hatuweki muda wa kutosha.
Anzia hapo kwenye muda na utaweza kufanya makubwa sana.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
3432; Hakuna kushindwa.
https://amkamtanzania.com/2024/05/24/3432-hakuna-kushindwa/
3432; Hakuna kushindwa. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Kwenye safari ya mafanikio kwenye maisha, huwa kuna juhudi ambazo mtu [β¦]

24.5.24; Muda
https://amkamtanzania.com/2024/05/24/24-5-24-muda/

Ngazi Ya Juu Ya Usimamizi Wa Kujenga Utajiri; Staafu Na Uhuru Wa Kifedha.
https://amkamtanzania.com/2024/05/24/ngazi-ya-juu-ya-usimamizi-wa-kujenga-utajiri-staafu-na-uhuru-wa-kifedha/
Habari njema Matajiri Wawekezaji, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya NGUVU YA BUKU, inayotuwezesha kujenga utajiri kupitia [β¦]

Tumia Falsafa Ya Moja Zaidi Kuwauzia Wateja Wengi Sana
https://amkamtanzania.com/2024/05/24/tumia-falsafa-ya-moja-zaidi-kuwauzia-wateja-wengi-sana/
Anaitwa Jeb Blount ni mwandishi na muuzaji bora wa kipindi kirefu, moja ya andiko lake katika kitabu cha βFanatical Prospectingβ [β¦]
https://amkamtanzania.com/2024/05/24/tumia-falsafa-ya-moja-zaidi-kuwauzia-wateja-wengi-sana/
Anaitwa Jeb Blount ni mwandishi na muuzaji bora wa kipindi kirefu, moja ya andiko lake katika kitabu cha βFanatical Prospectingβ [β¦]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
KUWEKA AKIBA NI UMASIKINI...
Rafiki,
Watu wengi wanapata elimu za fedha nusu nusu na zinakuwa hatari kwao.
Mfano mzuri ni swala la kuweka akiba.
Limekuwa linashauriwa sana kwa wengi.
Lakini kuweka akiba peke yake ni kujenga umasikini.
Hiyo ni kwa sababu fedha huwa inapoteza thamani yake kwa mfumuko wa bei.
Hivyo fedha zikikaa tu, zinashuka thamani na kukufanya kuwa masikini.
Elimu iliyokamilika kwenye eneo la fedha ni kufanya uwekezaji baada ya kuweka akiba.
Hupaswi kuishia tu kwenye kuweka akiba, bali unapaswa kuwekeza.
Ni kupitia uwekezaji ndiyo thamani ya fedha inakua zaidi.
Je wewe unawekeza wapi rafiki?
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
Rafiki,
Watu wengi wanapata elimu za fedha nusu nusu na zinakuwa hatari kwao.
Mfano mzuri ni swala la kuweka akiba.
Limekuwa linashauriwa sana kwa wengi.
Lakini kuweka akiba peke yake ni kujenga umasikini.
Hiyo ni kwa sababu fedha huwa inapoteza thamani yake kwa mfumuko wa bei.
Hivyo fedha zikikaa tu, zinashuka thamani na kukufanya kuwa masikini.
Elimu iliyokamilika kwenye eneo la fedha ni kufanya uwekezaji baada ya kuweka akiba.
Hupaswi kuishia tu kwenye kuweka akiba, bali unapaswa kuwekeza.
Ni kupitia uwekezaji ndiyo thamani ya fedha inakua zaidi.
Je wewe unawekeza wapi rafiki?
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
KUUZA ZAIDI, JUA NA CHEZA NA HIZI NAMBA..
Rafiki
Kila mtu anayefanya kazi ya mauzo, anajua jinsi kukuza mauzo kulivyo muhimu.
Wengi wamekuwa wanatamani kukuza mauzo, lakini hilo halitokei kwa uhalisia.
Na hiyo ni kwa sababu wanakuwa hawajui hatua sahihi wanazopaswa kuchukua ili kukuza mauzo.
Kuna namba 10 ambazo zikifanyiwa kazi, mauzo yanakua kwa uhakika.
Hizo ni namba 10 ambazo ukizipa kipaumbele kikubwa utaleta mapinduzi makubwa kwenye mauzo yako.
Kitabu cha MAUZO NI MCHEZO WA NAMBA kimeelezea kwa kina namba 10 za kukuza mauzo na jinsi ya kuzifanyia kazi ili kukuza mauzo yako mara mbili na zaidi.
Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usifanye tena mauzo ya kubahatisha, cheza na namba sahihi na uweze kukuza mauzo yako.
Rafiki
Kila mtu anayefanya kazi ya mauzo, anajua jinsi kukuza mauzo kulivyo muhimu.
Wengi wamekuwa wanatamani kukuza mauzo, lakini hilo halitokei kwa uhalisia.
Na hiyo ni kwa sababu wanakuwa hawajui hatua sahihi wanazopaswa kuchukua ili kukuza mauzo.
Kuna namba 10 ambazo zikifanyiwa kazi, mauzo yanakua kwa uhakika.
Hizo ni namba 10 ambazo ukizipa kipaumbele kikubwa utaleta mapinduzi makubwa kwenye mauzo yako.
Kitabu cha MAUZO NI MCHEZO WA NAMBA kimeelezea kwa kina namba 10 za kukuza mauzo na jinsi ya kuzifanyia kazi ili kukuza mauzo yako mara mbili na zaidi.
Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usifanye tena mauzo ya kubahatisha, cheza na namba sahihi na uweze kukuza mauzo yako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ONGEZA WATEJA WANAONUNUA...
Rafiki,
Kupata wateja wanaonunua kwa wingi ni ndoto ya kila biashara.
Lakini uhalisia umekuwa ni tofauti, biashara nyingi zimekuwa hazina wateja wa uhakika.
Zinafanya mauzo kwa kubahatisha tu na hilo linakwamisha ukuaji wake.
Kuongeza wateja wanaonunua kwenye biashara ni kitu kinachoweza kufanyika kwa uhakika.
Kwenye kitabu cha MAUZO NI MCHEZO WA NAMBA hilo limeelezwa vizuri.

TUMIA HII SUMAKU KUNASA WATEJA...
Rafiki,
Hebu fikiria jinsi inavyochosha na kukatisha tamaa kila wakati kuwa unakimbizana na wateja ndiyo wanunue.
Vipi kama wateja wangekuwa wanakuja kwako na kukuomba wewe ndiyo uwauzie.
Unadhani hiyo ni ndoto?
La hasha, ni ukweli kabisa.
Kuna namba za mauzo ambazo ukizifanyia kazi vizuri, utaacha kukimbizana na wateja na wao wakawa wanakukimbiza wewe.
Ni jambo linalowezekana kwa muuzaji yeyote na biashara yoyote.

KAMA SIYO WA 'KISHUA' HII HAIKUHUSU...
Rafiki,
Hapa nataka niongee kidogo na wa kishua,
Yaani wale waliozaliwa kwenye familia zinazojiweza kifedha.
Ambao walienda shule na skuli basi na hawakubeba vidumu wala mifagio.
Kama upo kwenye kundi hilo, una bahati nzuri na bahati mbaya.
Bahati nzuri ni unaanzia pazuri kuliko wengine wengi ambao hawajapata fursa uliyopata wewe.
Na bahati mbaya ni unaweza usijenge mafanikio makubwa kama ya wazazi wako.
Hiyo ni kwa sababu wazazi wako, kwa nia njema wanakupa karibu kila kitu na hivyo hukabiliani sana na magumu.
Hilo linakuacha ukiwa dhaifu na kushindwa kujenga mafanikio makubwa.
Kama umezaliwa kwenye familia zinazojiweza na unataka kujenga mafanikio makubwa bila ya kuzuiwa na nafasi hiyo uliyoipata, fungua hapa; https://youtu.be/248fwpeSAVk