SOMA VITABU TANZANIAπŸ“š
1.15K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.62K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
HADITHI NYINGI ZA MAFANIKIO SIYO KWELI...

Rafiki,
Umewahi kusikia au kusoma hadithi ya mtu aliyeanzia chini kabisa, akapambana na kujenga mafanikio makubwa.

Ukatoka hapo ukiwa na shauku ya kwenda kufanya makubwa na wewe ufanikiwe.

Ukaanza kuchukua hatua, lakini haikuchukua muda ukaanza kukutana na magumu na vikwazo.
Hamasa uliyokuwa nayo ikaisha na safari ya mafanikio ikawa ndiyo mwisho.

Hili ni jambo ambalo limekuwa linawatokea watu wengi sana.

Na siyo kwa sababu mafanikio makubwa hayawezekani.
Bali ni kwa sababu hadithi nyingi za mafanikio siyo za kweli.

Siyo za kweli kwa sababu hazielezi ule ugumu na mateso makali ambayo mtu anapotia kabla ya kufanikiwa.

Hivyo anayesukumwa na hadithi hizo anapokutana na uhalisia ambao haukuwepo kwenye hadithi, anaona yeye ndiye aliyekosea.
Wakati huo ndiyo uhalisia.

Haijalishi umesikia hadithi gani, tambua mafanikio ni magumu kulilo unavyotarajia.
Na jitoe kupambana mpaka kuyapata mafanikio kwa uhakika.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 |
FALSAFA YA USTOA; MAISHA MAZURI YAPO KILA MAHALI.

Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,

Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.

Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,

Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita

Kipindi cha Jumamosi tarehe 25/05/2024 tutakuwa na mada ya;

MAISHA MAZURI YAPO KILA MAHALI.

Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Weka Kazi Na Kuwa Na Msimamo Kujenga Utajiri Mkubwa.
https://amkamtanzania.com/2024/05/24/weka-kazi-na-kuwa-na-msimamo-kujenga-utajiri-mkubwa/

Rafiki yangu mpendwa, Kwenye maisha, kile kinachoitwa ni mafanikio ya haraka, huwa ni kazi iliyofanyika kwa muda mrefu bila ya […]
Bahati Mbaya Na Nzuri Ya Kuzaliwa Kwenye Familia Tajiri.
https://amkamtanzania.com/2024/05/24/bahati-mbaya-na-nzuri-ya-kuzaliwa-kwenye-familia-tajiri/

Rafiki yangu mpendwa, Kuzaliwa kwenye familia tajiri au inayojiweza kifedha huwa ni bahati nzuri na bahati mbaya kwa wakati mmoja. […]
Kabla hujasumbuka na maoni ambayo wengine wanayatoa,
Angalia kwanza wao wenyewe wako wapi.
Kama wako chini ya maoni hayo, watakatisha tamaa.
Na kama wapo juu, watatia moyo.
Usiwasikilize watu bila kujua maoni yao yanatokea chini au juu.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Jinsi Ya Kuwafanya Watu Wakubaliane Na Mawazo Yako Kanuni Ya Kumi
https://amkamtanzania.com/2024/05/25/jinsi-ya-kuwafanya-watu-wakubaliane-na-mawazo-yako-kanuni-ya-kumi/

Habari njema muuzaji bora  kuwahi kutokea, Hongera na karibu sana kwenye mwendelezo wa makala zetu za ushawishi kutoka kwenye programu […]
Pata BURE Uchambuzi na kitabu; EVERYDAY MILLIONAIRES.

Kumekuwa na imani nyingi potofu kwenye jamii zetu kuhusu utajiri na matajiri.
Imani hizo ndiyo zimekuwa kikwazo kikubwa kwa wengi kujenga utajiri kwenye maisha yao.

Mwandishi Chris Hogan, alifanya utafiti mkubwa sana ambao ulihusisha matajiri zaidi ya elfu 10.

Kwenye utafiti huo aliwauliza matajiri maswali mengi sana ambayo yalimwezesha kuwaelewa kwa kina.

Kwenye majibu ya utafiti huo, alihitimisha ili mtu ajenge utajiri mkubwa kwenye maisha yake, anapaswa kufanya vitu viwili tu;

Moja ni AVUNJE IMANI POTOFU alizonazo kuhusu utajiri. Ameainisha 6 za lazima kuvunja.

Mbili ni AJENGE TABIA ZA KITAJIRI. Ambapo ameainisha 5 za msingi.

Hayo yote ameyaeleza kwa kina kwenye kitabu EVERYDAY MILLIONAIRES

Tumekichambua vizuri kitabu hiki, kwa maandishi na sauti kwa lugha rahisi ya Kiswahili ili iwe rahisi kwako kujifunza.

Tunakupa Uchambuzi huo pamoja na kitabu chenyewe BURE KABISA.

Tuma ujumbe; ZAWADI YA UTAJIRI kwenda wasap namba +255 717 101 505 kuipata.
JINSI YA KUZUIA 'CHUMA ULETE' KWENYE BIASHARA YAKO...

Rafiki,
Kumekuwa na imani kwamba wapo watu wenye uwezo wa kuchukua fedha kwenye biashara kwa imani za kishirikina, maarufu kama CHUMA ULETE.

Rafiki, mambo yasiwe mengi hapa, iko hivi, HAKUNA CHUMA ULETE.
Ndiyo, kile ambacho watu wanaita chuma ulete ni kushindwa kudhibiti mzunguko wa fedha kwenye biashara zao.

Wanajiona wakiuza sana, lakini biashara inakufa.
Wanadhani kuuza ni kupokea tu pesa.
Mauzo ni zaidi ya hapo.

Na kama unataka biashara yako ikue, basi unapaswa kufuatilia namba nyingi zaidi za biashara yako kuliko mauzo pekee.

Ndiyo maana nimekuandalia dawa mahususi ya chuma ulete ambayo ni kitabu cha MAUZO NI MCHEZO WA NAMBA.

Kitabu cha MAUZO NI MCHEZO WA NAMBA kimeelezea kwa kina namba 10 za kukuza mauzo na jinsi ya kuzifanyia kazi ili kukuza mauzo yako mara mbili na zaidi.

Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usifanye tena mauzo ya kubahatisha, cheza na namba sahihi na uweze kukuza mauzo yako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
MUUZIE MTEJA ZAIDI YA ALIVYOPANGA...

Rafiki,
Kwenye mauzo ni kosa kubwa sana kumuuzia mteja kile ambacho anakitaka tu.
Unakuwa humtendei haki.

Mteja anapokubali kununua kitu kimoja, anakuwa tayari kununua vitu vingine pia.
Ni wewe tu uweze kumwambia ili anunue.

Hivyo basi, kila mteja unayemuuzia kile alichotaka, mwonyeshe kingine cha ziada anachoweza kununua.
Kama ameshakubali cha kwanza, ni rahisi kukubali cha pili.

Hayo yote yatawezekana kama utakuwa na mpango sahihi wa kufanya mauzo ya ziada kwa kila mteja anayenunua.

Kitabu cha MAUZO NI MCHEZO WA NAMBA kimeelezea kwa kina namba 10 za kukuza mauzo na jinsi ya kuzifanyia kazi ili kukuza mauzo yako mara mbili na zaidi.

Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usifanye tena mauzo ya kubahatisha, cheza na namba sahihi na uweze kukuza mauzo yako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
NJIA RAHISI NA YA UHAKIKA YA KUPATA WATEJA KWENYE BIASHARA...

Rafiki,
Kuna njia nyingi za kupata wateja kwenye biashara.
Lakini nyingi ya njia hizo zina gharama kubwa na hazileti wateja wengi.

Ipo njia moja ya uhakika ya kupata wateja kwenye biashara, ambayo haina gharama na inaleta wateja wengi.

Njia hiyo ni kutumia wateja ulionao sasa kupata wateja wapya.
Kwa sababu wateja ulionao sasa tayari wanakukubali, ukiwaomba wakupe wateja wengine watakuwa tayari kukupa.

Kwa wateja ulionao sasa, unaweza kupata wateja wengine wengi zaidi kwa urahisi.
Na hilo litawezekana kama utakuwa na mwongozo sahihi wa kitabu cha MAUZO NI MCHEZO WA NAMBA.

Kitabu cha MAUZO NI MCHEZO WA NAMBA kimeelezea kwa kina namba 10 za kukuza mauzo na jinsi ya kuzifanyia kazi ili kukuza mauzo yako mara mbili na zaidi.

Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usifanye tena mauzo ya kubahatisha, cheza na namba sahihi na uweze kukuza mauzo yako.
FUATA HATUA HIZI KUFIKIA UHURU WA KIFEDHA.

Rafiki,
Watu wengi huwa wanahangaika na fedha maisha yao yote na bado hawawezi kuishi maisha wanayokuwa wanayataka.

Wanaishi kipindi cha maisha yao yote wakipata pesa na kutumia pesa. Wanashindwa kujijengea uhuru wa kifedha ambao ndiyo msingi muhimu zaidi.

Kila mtu ambaye anaingiza kipato, hata kama ni kidogo kiasi gani, anaweza kujijengea utajiri.
Wengi wanashindwa hilo kwa sababu hawana mwongozo sahihi.

Kitabu cha EVERYDAY MILLIONAIRES kinakupa hatua za kuchukua ili kujijengea uhuru wa kifedha.

Fungua hapa kupata uchambuzi wa kitabu hicho; https://youtu.be/K-Qlw3QAKsE

*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
Hatua Za Kujijengea Uhuru Wa Kifedha.
https://amkamtanzania.com/2024/05/25/hatua-za-kujijengea-uhuru-wa-kifedha/

Rafiki yangu mpendwa, Watu wengi wamekuwa wanasumbuka na fedha kwa maisha yao yote. Tangu wanaingia kwenye umri wa kufanya kazi, […]
Unahitaji Hii Zawadi Ili Kujenga Biashara Yenye Mafanikio Makubwa.
https://amkamtanzania.com/2024/05/25/unahitaji-hii-zawadi-ili-kujenga-biashara-yenye-mafanikio-makubwa/

Rafiki yangu mpendwa, Safari ya mafanikio kwenye maisha, haijawahi kuwa rahisi kwa mtu yeyote yule. Kila ambaye amefanikiwa, amepitia magumu […]
HII NI ZAWADI MUHIMU UNAYOHITAJI ILI KUFANIKIWA KWENYE BIASHARA.

Rafiki,
Pale unapokuwa unapitia magumu kwenye biashara, ni zawadi muhimu sana ambayo inakufanya uwe imara zaidi.

Kwenye biashara, mambo yakiwa rahisi sana, huwi imara.
Ukipata mtaji kirahisi, unaishia kuupoteza.
Ukipata wateja kirahisi, hukui haraka.

Kama unapitia magumu kwenye biashara yako, usikate tamaa, upo kwenye njia sahihi.

Karibu ujifunze jinsi ya kuvuka nyakati ngumu kibiashara na kuwa imara zaidi. Fungua hapa kujifunza; https://youtu.be/QdFGzLFW75g

*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
MJADALA; MATAJIRI WA KAWAIDA

Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,

Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.

Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,

Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita

Kipindi cha Jumapili tarehe 26/05/2024 tutakuwa na mada ya;

MJADALA WA MATAJIRI WA KAWAIDA KUTOKA KITABU EVERYDAY MILLIONAIRES.

Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Ogopa sana neno bure,
Hakuna kitu cha bure kwenye maisha.
Kila kitu kina gharama,
Ambazo hakuna namna unaweza kuzikwepa.
Utazilipa tu, iwe ni sasa au baadaye.
Au utazilipa bila kujua, kwa kuingia gharama kubwa zaidi.
Kufanikiwa, jua gharama ya mafanikio na ilipe mapema na kamili.
Chochote utakachofanya kukwepa hizo gharama, utaishia kuziongeza zaidi.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
3434; Gharama hazikwepeki.
https://amkamtanzania.com/2024/05/26/3434-gharama-hazikwepeki/

3434; Gharama hazikwepeki. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Mafanikio ya aina yoyote ile huwa yana gharama ambayo lazima mtu […]
24.5.26; Utalipa.
https://amkamtanzania.com/2024/05/26/24-5-26-utalipa/

Ogopa sana neno bure, Hakuna kitu cha bure kwenye maisha.Kila kitu kina gharama,Ambazo hakuna namna unaweza kuzikwepa.Utazilipa tu, iwe ni […]
Pata BURE Uchambuzi na kitabu; EVERYDAY MILLIONAIRES.

Kumekuwa na imani nyingi potofu kwenye jamii zetu kuhusu utajiri na matajiri.
Imani hizo ndiyo zimekuwa kikwazo kikubwa kwa wengi kujenga utajiri kwenye maisha yao.

Mwandishi Chris Hogan, alifanya utafiti mkubwa sana ambao ulihusisha matajiri zaidi ya elfu 10.

Kwenye utafiti huo aliwauliza matajiri maswali mengi sana ambayo yalimwezesha kuwaelewa kwa kina.

Kwenye majibu ya utafiti huo, alihitimisha ili mtu ajenge utajiri mkubwa kwenye maisha yake, anapaswa kufanya vitu viwili tu;

Moja ni AVUNJE IMANI POTOFU alizonazo kuhusu utajiri. Ameainisha 6 za lazima kuvunja.

Mbili ni AJENGE TABIA ZA KITAJIRI. Ambapo ameainisha 5 za msingi.

Hayo yote ameyaeleza kwa kina kwenye kitabu EVERYDAY MILLIONAIRES

Tumekichambua vizuri kitabu hiki, kwa maandishi na sauti kwa lugha rahisi ya Kiswahili ili iwe rahisi kwako kujifunza.

Tunakupa Uchambuzi huo pamoja na kitabu chenyewe BURE KABISA.

Tuma ujumbe; ZAWADI YA UTAJIRI kwenda wasap namba +255 717 101 505 kuipata.
ZINGATIA NAMBA HIZI 10 KUKUZA MAUZO...

Rafiki,
Kama unataka kukuza mauzo mara mbili na zaidi kwenye biashara yako, kuna namba 10 tu za kufanyia kazi.

Namba hizo zina nguvu ya kuleta wateja wapya kwenye biashara yako, kuwafanya washawishike kununua, kuwabakisha kwenye biashara kwa muda mrefu na kuwatumia kupata wateja wengine wengi.

Namba hizo 10 ni za uhakika kabisa na zilizo ndani ya uwezo wa kila mwenye kiu ya mafanikio kuzifanyia kazi.