SOMA VITABU TANZANIA📚
1.19K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.64K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
‎Ukiwaachia Watoto HELA, Bila Kuwapa Akili Ya HELA… Watazitapanya TU!…
https://amkamtanzania.com/2025/06/05/ukiwaachia-watoto-hela-bila-kuwapa-akili-ya-hela-watazitapanya-tu/

‎Rafiki Yangu Mpendwa,‌‎Watoto wa siku hizi wanajua kutumia pesa.‎Lakini hawajui kuitunza.‎Kila pesa wanaipata, wananunua pipi, vinywaji, data, na michezo.‌‎Lakini nani amewafundisha?‎Nani kawapa misingi ya kuweka akiba?‎Kuwaza uwekezaji?‎Au hata kujua maana ya kuvumilia hadi malengo yatimie?‌‎Hakuna.‎Na hapo ndo tunaharibu kizazi.‎Tunaandaa watoto wa kulalamikia umasikini baadae.‌‎Kama mtoto wako hawezi kutunza shilingi mia tano…‎Ataweza vipi kuendesha biashara ya […]
‎Karibu Kwenye Uzinduzi Wa Program Ya Nguvu Ya Buku Toto…
https://amkamtanzania.com/2025/06/06/karibu-kwenye-uzinduzi-wa-program-ya-nguvu-ya-buku-toto/

‎Rafiki Yangu…‎Hebu ngoja nikuulize swali moja dogo tu…‌‎Ulishawahi kujiuliza kwanini watoto wa matajiri wanajua kuzungumza kuhusu pesa wakiwa na miaka 7 tu…‌‎Wakati watoto wetu wengi hawajui hata hela inafanyiwa nini zaidi ya kuomba pipi au chips?‌‎Sio kosa la mtoto.‎Na ukweli ni huu:‎Shule hazifundishi elimu ya pesa.‌‎Leo nataka nikuoneshe kitu cha kipekee kabisa…‌‎Program mpya.‎Program ya nguvu.‎Program […]
Nguvu Ya Buku Toto.
https://amkamtanzania.com/2025/06/09/nguvu-ya-buku-toto/

‌‌‌‎NGUVU YA BUKU TOTO‌‎Watoto wengi wanapewa pesa, lakini hawafundishwi kuitumia. ‎Wanajifunza matumizi, si utajiri. ‎Hapo ndipo hatari inapoanzia.‌‎NGUVU YA BUKU TOTO* ni kitabu kipya kinachomfundisha mtoto wako kutumia hela kwa akili. ‎Anafundishwa kuokoa, kuwekeza, na kuanzisha biashara ndogo kwa kutumia buku tu. ‎Ni msingi wa mafanikio ya kifedha mapema.‌‎Uzinduzi rasmi ni tarehe 14/06/2025. ‎Usikubali mtoto […]
‎Utajiri Unaorithishwa…
https://amkamtanzania.com/2025/06/10/utajiri-unaorithishwa/

‌‎Mpendwa Rafiki,‌‎Babu yangu alituachia mifupa na hadithi.‎Baba yangu akarithi madeni na majuto.‎Je, mimi nitaacha nini kwa wanangu?‌‎Hili ndilo swali lililonikosesha usingizi mpaka nikagundua ukweli mchungu:‎ Utajiri wa vizazi hauji kwa bahati, hujengwa kwa maarifa.‌‎Kupitia mwongozo huu, utajifunza jinsi ya kujenga utajiri imara unaodumu vizazi vingi,‌‎Utajiri usioishia kwa jina, bali unaorithishwa kama urithi halali wa heshima, […]
🔥  Watoto Wengi Wanaenda Shule, Lakini Hawajui Pesa Inapatikanaje…
https://amkamtanzania.com/2025/06/11/%F0%9F%94%A5-watoto-wengi-wanaenda-shule-lakini-hawajui-pesa-inapatikanaje/

‎Hii Program Inawafumbua Macho!‌‎Rafiki Yangu Mpendwa,‌‎Watoto wetu wanajifunza hesabu, kingereza, na historia…‎Lakini hawafundishwi kitu kimoja cha muhimu sana:‌‎Namna ya kupata, kutumia na kuongeza pesa.‎Wanakua, wanahitimu, halafu wanashangaa kwa nini maisha ni magumu!‎Sasa basi hilo linaisha tarehe 14 Juni 2025.‌‎Tunaizindua rasmi Program ya NGUVU YA BUKU TOTO.‎Ni mafunzo maalum ya fedha na uwekezaji kwa watoto wenye […]
‎Usipomfundisha Mtoto Wako Kuhusu Pesa, Dunia Itamfundisha Kwa Machozi….
https://amkamtanzania.com/2025/06/12/usipomfundisha-mtoto-wako-kuhusu-pesa-dunia-itamfundisha-kwa-machozi/

‎Rafiki Yangu….‌‎Alichopenda zaidi ilikuwa pipi. Kila aliponunuliwa pipi, alikuwa na furaha.‎Lakini alipokua, pipi zikageuka kuwa simu, viatu vya bei, na maisha ya kuigiza kwenye mitandao.‌‎Kitu kimoja hakikubadilika alikuwa bado hajui thamani ya pesa.‎Mama yake alimsomesha shule nzuri.‎Lakini hakumfundisha elimu ya fedha.‌‎Makala hii itakuonyesha kwa nini ni muhimu kuanza kufundisha watoto elimu ya fedha wakiwa bado […]
🔥 Ukikosa Hii Utajilaumu!…
https://amkamtanzania.com/2025/06/16/%F0%9F%94%A5-ukikosa-hii-utajilaumu/

🔥Ofa ya NGUVU YA BUKU TOTO Kwa Tshs 50,000 Tu Badala Ya Tshs 100,000 Nzima, Mwisho ni Tarehe 30 June! 🔥‌‎Rafiki Yangu Mpendwa,‌‎Je, umewahi kujuta kwa kuchelewa kuchukua hatua ndogo iliyogeuza maisha ya wengine kuwa miujiza?‌‎Fikiria mtoto wa miaka 12 anayeanza kujifunza kuwekeza. Na baada ya miaka 5, ana fedha zake benki.‌‎Sasa fikiria mtoto wako […]
Elimu Ya Msingi Ya Fedha Kwa Watoto…
https://amkamtanzania.com/2025/06/17/elimu-ya-msingi-ya-fedha-kwa-watoto/

Elimu Ya Msingi Ya Fedha Kwa Watoto.‌‎Rafiki Yangu,‌‎Tunaandaa watoto kwa mitihani ya darasani,‎Lakini hatuwaandai kwa mitihani ya maisha!‎Wanajua kujumlisha, lakini hawajui kuweka akiba.‎Wanajua kusoma sentensi, lakini hawajui kusoma matumizi yao.‌‎Sasa basi!‎Vitabu viwili vipya vimewasili ,vipo tayari kubadilisha kizazi chetu!‌‌‎Leo nataka nikufungue macho:‎Kuna elimu ya msingi ya fedha ambayo mtoto wako anaweza kuipata leo,‎Kwa lugha rahisi.‎Kwa […]
Kama Watoto Wanaweza Kuzalisha Buku, Wewe Je? Siri Hii Itakuacha Umepigwa Butwaa!…
https://amkamtanzania.com/2025/06/18/kama-watoto-wanaweza-kuzalisha-buku-wewe-je-siri-hii-itakuacha-umepigwa-butwaa/

‎Hebu waza kidogo kaka…‎Mtoto wa miaka 9, ananunua chipsi na pesa alizozalisha mwenyewe!‎Si hela ya mzazi.‎Si sadaka ya shangazi.‎Ni buku lake mwenyewe.‎Sasa jiulize, mtoto wako anazalisha nini?‌‎Leo nakufundisha kitu ambacho wengi hawajawahi kufikiria:‎Jinsi ya kumfundisha mtoto wako kuanza kuzalisha pesa kuanzia buku hadi laki!‎Na wala huhitaji mtaji wa milioni.‎Unahitaji kitabu tu ,Cha Nguvu Ya Buku […]
🔴 Mtoto Anayepewa Simu Badala Ya Nidhamu Ya Fedha, Kesho Atakudai Kila Kitu
https://amkamtanzania.com/2025/06/19/%F0%9F%94%B4-mtoto-anayepewa-simu-badala-ya-nidhamu-ya-fedha-kesho-atakudai-kila-kitu/

📍Kama Hutawafundisha, Dunia Itawafundisha Vibaya‌‎Wewe ni mzazi. Mlezi. Mshauri.‎Lakini unaacha mtoto wako anajifunza pesa kutoka TikTok?‎Anaona “kuvisha mbwa viatu vya Gucci” kama mafanikio?‌‎🧠 Kumfundisha mtoto wako nidhamu ya pesa, ni sawa na kumpa kinga ya maisha.‎Sio tu kitabu darasani. Ni silaha ya kuishi kesho bila kuwa tegemezi.‌‎👕 Na usidhani ni kazi ya shule. Hapana! Huko […]
‎Mtoto Wako Anaweza Kuwa Milionea Au Ombaomba…
https://amkamtanzania.com/2025/06/20/mtoto-wako-anaweza-kuwa-milionea-au-ombaomba/

‎Kutegemea Na Kitu Kimoja Unachofanya Leo!‌‎Rafiki Yangu Mpendwa,‌‎Leo mtoto wako ana miaka 7.‌‎Anaomba hela ya soda, ya juice, ya chipsi, ya kubet, ya kununua skin za game.‌‎Kila siku ni kuomba.‌‎Anajua akilia kidogo tu, anapewa Hela.‌‎Sasa swali ni moja:‌‎Unamfundisha matumizi au nidhamu ya matumizi?‌‎Watoto wengi wanalelewa kama mizunguko ya matumizi.‌‎Wanazoea pesa ni ya kutumia tu.‌‎Hawajui maana […]
🔥 Buku Linaweza Kumfundisha Mtoto Wako Kitu Ambacho Shule Haifundishi Milele! 🔥….
https://amkamtanzania.com/2025/06/21/%F0%9F%94%A5-buku-linaweza-kumfundisha-mtoto-wako-kitu-ambacho-shule-haifundishi-milele-%F0%9F%94%A5/

‌‎Rafiki,‌‎Leo mtoto wako ana miaka 9.‌‎Anajua kuitumia simu kuliko kujua hela inatengenezwa vipi.‌‎Anajua kubet kuliko kuweka akiba.‌‎Kila siku ni kuomba tu: “Mama/ Baba nipe elfu moja.”‌‎Swali ni moja tu… Hii hali itaisha lini?‌‎Sasa sikia kaka, dada…‌‎Kuna mbinu 100 kali, zinazoonyesha jinsi mtoto anaweza kuzalisha Buku, kuokoa Buku, na hata kuwekeza Buku kwa vitendo.‌‎Na sio za […]
Ukikosa Hii Ofa Utajuta Mbele Ya Safari….
https://amkamtanzania.com/2025/06/24/ukikosa-hii-ofa-utajuta-mbele-ya-safari/

‎Rafiki Yangu Mpendwa,‌‎Kuna vitu havirudi tena.‎Na hii ofa ya NGUVU YA BUKU TOTO ni moja wapo!‌‎Leo unapata package nzima kwa Tshs 50,000 tu (badala ya 100,000).‎Kesho, bei inarudi juu.‎Na mtoto wako ataendelea kukaa tu bila elimu ya pesa.‌‎Fikiria Hili Kwa Sekunde Moja…‌‎Unampa mtoto simu, chakula, nguo mpya…‎Lakini hajui hata buku linaweza kugeuka kuwa mtaji.‌‎Anajua kucheza […]
🔥 Unamsubiri Akue Ili Aanze Kuwekeza? Utachelewa Sana…
https://amkamtanzania.com/2025/06/26/%F0%9F%94%A5-unamsubiri-akue-ili-aanze-kuwekeza-utachelewa-sana/

‎Mzazi/Mlezi….‌‎Watoto wa siku hizi si wa jana.‎Wana akili, wana ndoto, lakini… hawana maarifa ya fedha.‌‎💔 Wengi wanapewa pesa kila siku…‎Lakini hawajui kuiokoa.‎Hawajui kuitunza.‎Na mbaya zaidi—hawajui kuiwekeza.‌‎💣 Na hapo ndipo wazazi wengi wanachemka.‎Wanasubiri mtoto akue ndo aanze kuwekeza.‎Ukweli ni huu – Ukichelewa, mtoto atakuwa mzigo badala ya kuwa mkombozi.‌‎👊🏽 Lakini sikiliza…‎Kama mtoto anaweza kutumia simu, kucheza […]
Safari Ya Ajabu Ya Amani! 🔥‎….
https://amkamtanzania.com/2025/06/27/safari-ya-ajabu-ya-amani-%F0%9F%94%A5/

🔥 Kutoka Kwa Mtoto Wa Kawaida Hadi Kuwa Mwekezaji Mdogo, Amani alikuwa mtoto wa kawaida kabisa.‌‎Kama watoto wengine, alipenda pipi, michezo, na video za TikTok. Kila mara alipokuwa akipewa pesa na mama yake, ilikuwa ni ya kutumia leo pipi, kesho chipsi.‌‎Mpaka siku moja…‌‎Mama yake alipogundua kitu kilichomgusa sana:‌‎Mtoto wangu anajua kutumia pesa… lakini hajui kuitengeneza!‌‎Alijua […]
🔥Mtoto Wako Anaweza Kuwa Mwekezaji Kabla Hajamaliza Shule! 🔥
https://amkamtanzania.com/2025/06/28/%F0%9F%94%A5mtoto-wako-anaweza-kuwa-mwekezaji-kabla-hajamaliza-shule-%F0%9F%94%A5/

‎Mama Rehema alikuwa mzazi wa kawaida tu mwenye mapambano ya kila siku 🧺. ‎Mtoto wake, Jamilah, alikuwa mpenda TikTok, sweetie na Netflix 📱🍬. ‎Kila siku alikuwa akiomba buku mbili, tatu… ila hakujua inakwenda wapi 💸. ‎ ‎Siku moja, Mama Jamilah alipata ujumbe kwenye WhatsApp 📨. ‎Ulikuwa kuhusu program ya NGUVU YA BUKU TOTO 📘. ‎Ulikuwa […]
💔 Ukikosa Leo… Utamweleza Nini Mtoto Wako Kesho?…
https://amkamtanzania.com/2025/06/30/%F0%9F%92%94-ukikosa-leo-utamweleza-nini-mtoto-wako-kesho/

‌‎Mzazi, hebu tafakari dakika moja…‌‎Umemzoesha mtoto wako chips, soda na TikTok,‎Lakini hajui hata buku lina nguvu gani ya kifedha?‎Anakua akijua kutumia hela,‎Lakini hajui kuitafuta, kuihifadhi, wala kuizalisha.‌‎📌 Hii ndo shida kubwa ya kizazi cha sasa:‎Wanafundishwa kutumia…‎Lakini hawafundishwi kujitegemea kifedha.‌‎💔 Na kama hutachukua hatua leo,‎Kesho mtoto wako akikosa mwelekeo,‎atakuuliza:‎Baba, mbona hukunionyesha njia mapema?‌‎🚀 SULUHISHO LIPO HAPA: […]
🧠 Una Biashara? Basi Jua Siri Ya Kuongeza Mauzo Mara Mbili Bila Kuongeza Muda Wala Bajeti…
https://amkamtanzania.com/2025/07/01/%F0%9F%A7%A0-una-biashara-basi-jua-siri-ya-kuongeza-mauzo-mara-mbili-bila-kuongeza-muda-wala-bajeti/

‎Kuna ukweli mchungu hapa kaka…‎Watu wengi wana biashara nzuri.‎Wana bidhaa poa.‎Wana huduma safi.‎Lakini bado mauzo yao ni ya kuvunjika moyo.‌‎Kwa nini?‎Kwa sababu hawajui kuuza.‎Wanadhani biashara ni kuwa na duka.‎Au kuwa na stock kubwa.‎Au kufungua page ya Instagram.‌‎Hapana.‎Biashara ni kuuza.‎Na kuuza ni maarifa ya kichwani – sio mzigo ulioko store.‌‌‎Hebu tafakari…‎Kila mwezi unahangaika.‎Unapiga kelele mitandaoni lakini […]
🧠 Kwanini Maisha Yako Hayabadiliki?…
https://amkamtanzania.com/2025/07/02/%F0%9F%A7%A0-kwanini-maisha-yako-hayabadiliki/

Mpendwa Rafiki,‌‎Umeshawahi kujiuliza mbona kila mwaka upo vile vile tu?‎Kila Januari una malengo.‎Lakini kufikia Julai tayari umeyasahau.‎Hakuna kilichobadilika.‎Bado uko pale pale.‌‎Sio kwamba huna akili.‎Sio kwamba Mungu hakupendi.‎Ni kwamba haujui cha kufanya, lini ufanye, na kwa nini unapaswa kufanya.‌‎Hakuna mwongozo.‎Unahangaika tu.‌‎Hii hali inachosha.‎Inauma kuona wenzako wanapiga hatua,‌‎Na wewe uko tu. Unacheka tu mitandaoni.‎Ukiona mtu amenunua gari […]
‎Kama Unampenda Mwanao Kweli Basi Usimcheleweshe Hiki ❤️👶
https://amkamtanzania.com/2025/07/03/kama-unampenda-mwanao-kweli-basi-usimcheleweshe-hiki-%E2%9D%A4%EF%B8%8F%F0%9F%91%B6/

‎Rafiki, Wazazi wengi husubiri mtoto awe mkubwa ndipo waanze kumfundisha kuhusu maisha. 😔‎Huo ni mtego. Mtoto hujifunza haraka akiwa mdogo. ⚠️📚‌‎Ukimfundisha sasa, anajijenga mapema. Ukisubiri, dunia itamfunza kwa maumivu. 🌍💔‌‎NGUVU YA BUKU TOTO ni kitabu rahisi kinachomfundisha mtoto wako namna ya kuheshimu pesa, kuweka akiba, na kuwa mbunifu. 💡💰‌‎Mama mmoja alikitumia, leo mwanawe wa miaka […]